Bifabusha, mtu akihoji matumizi ya hovyo namna hiyo, anaonekana si mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM alipotamka. Nina Imani kuwa hata hawa wanaoponda US na sera na siasa zake siku JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo tulivyo!
Date: Mon, 28 Mar 2016 15:19:15 +0300
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Nakubaliana sana na wewe Dominick.
Maendeleo yanaanza na mtu binafsi. japo baadhi ya sera na taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha nyumba juhudi za mtu binafsi.
On 28 Mar 2016 11:14, "'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bifabusha umesema vema.Tujilaumu sisi wenyewe kama Tanzania/ Afrika.Tanzania tuna ardhi iliyosheheni kila kitu. Hivi kupanda maharage kunahitaji msaada kutoka Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani kwenye ardhi yetu?Tunachokiona cha kwanza ni kuiuza ardhi ya Tanzania.Sisi ni walegevu sana, swala la kazi linapaswa kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo itakayoinua taifa.Kwa mfano kuna faida gani kuwa na mfuasi wa chama chako cha siasa lakini hataki kufanya kazi?Unaposimama kumhutubia mfuasi wako hotuba nzima humhimizi baada ya mkutano na maandamano aende akafanye kazi. Mtu yeyote anayeipenda Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha maendeleo.Wenzetu wanaitazama ardhi tofauti na sisi. Wenzetu wanajua nini maana ya kazi.On Monday, March 28, 2016 9:15 AM, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Tukipata misaada tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata Japani walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka kuiba hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu wachache. Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative costs kubwa na development budget kidogo pia nazo zinahusu posho za semina zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi walioko serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo mamilioni ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya kwenda kwenye miradi.Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona humo ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na posho. Hatuwekezi kwenye miradi.Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi wenyewe. Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta maendeleo na kuondokana na utegemezi.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa Muhingo amehoji yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua sisi vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na kujali tumboni street.
HK
--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
Nawaogopa wale mnaoutukuza umagharibi na na
pia kupima mafanikio yenu kwa mizania ya kimagharibi!
Angalia China, India, Asian Tigers, hawaendekezi
U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
akili hii tutafika?
Hivi ni checklist gani ya
kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate hatua kwa
hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa, kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural, social and economical values in terms
of mission and visions should guide of undertakings. We are
in a very different environment in any of the above; how
come their missions and visions guide our strategies? Hapa
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na vision yake inaweza
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo na
nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini tunang'ang'ania
hizi dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha mambo yetu?
Can't we learn from others in the Eastern world?
Can't we come up with something African and particularly
Tanzanian to guide of move?
Or simply because bwana mkubwa Uncle
Sam (US) is not happy, then we are in a wrong direction?
Because we not dancing in his tune? Yes it's time to say
no!
For how long
should WE keep on licking their feet, kissing their ass to
please them love us? South Africa, North Korea, Iran, Libya,
were all sanctioned and denied the foreign aid few years
ago; you all know what they did out of dependence to change
their status.With exceptional of Libya where
these western thugs intervened, we are well informed of the
situation right now. Gadhafi is dead and Libya is a mess. US
and her western allies are there at large controlling oil
reserves! Similarly they intervened Libya government as
undemocratic, supported few individuals who took refuge in
UK and US, formed political movements, ousted Gadhafi; those
individuals as they were not united previously, started
fighting for power distribution; the West have failed and a
situation in not manageable right now; gone beyond control;
some groups have turned into terrorist groups, joined ISIS
and Al-Qaeda; and surprising enough still few Tanzanians are
hailing US as the remedy for our situation; come on guys; be
serious and think ahead.
Ndugu zangu wengine najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the way Donald Trump
doesn't need you anymore; km uko US; you better come
back ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe badala
ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We will never make
it under US missions and visions to determine our fate as a
country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively sisi
wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can make
it.
Just my
take!
Omukunirwa
Ireneus
2016-03-27 12:56 GMT+03:00
'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano wakati
chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha umasikini basi
mh.magufuli mpaka 2050!
Sent
from Yahoo Mail on Android From:"'mashakamakana'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Tunalo
jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri zao.
Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa. Hongera wanyarwanda
mh. kagame mpaka 1937
'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mapenzi ni
chongo.From:
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
Sent:
27/03/2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Unazungumzia Marekani
ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili Angola angola
isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
inatetea democrasia? Marekani iliyovamia Panama? Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata demokrasia?
Iliyomuunga Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
Marekani
ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
kwa misingi ya kidemokrasia
ikiwa ni pamoja na
kuwa na Tume
huru ya Uchaguzi ndiyo
tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
iliyoundwa
naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa CCM (Rais)
ndiye huyo huyo anayeelekeza
majeshi ya ulinzi na usalama
yawanyanyase
wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
kutakuwa na uchaguzi hapo?
CCM
inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi ndiyo maana
inang'ang'ania
Katiba iliyopo inayompa madaraka
makubwa
Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
masilahi yake madarakani.
Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
On Thursday, March
24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mara
baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na yaliyotokea Marekani
ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
Sababu
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar na
2) Kutaka kujua
kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya
kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
Majuzi baada ya
uchaguzi
Zanzibar Marekani ililalamika kwa
uchaguzi kufanyika bila
waliogoma
kushirikishwa.
Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
salama
na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it,
send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or
her postings, and hence statements
and
facts must be presented responsi
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment