Friday, 29 May 2015

Re: [wanabidii] UTAFITI HUU: CCM KUOGOPA SANGARA KUHAMA BWAWA?

hizo ni tafiti za tumboni streets, zisikusumbue ndugu, kuna wtu wapiga pesa kwa tafiti kama hizo kwa kuwa yupo mgombea ambae ana mwaga mapesa, kama ujuavyo cha mlevi huliwa na mgema

2015-05-29 13:03 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
UTAFITI HUU: CCM KUOGOPA SANGARA KUHAMA BWAWA?
Tafadhali angalia kiambatanisho kama kinavyonukuliwa kutoka gazeti la nipashe
Nimeangalia kielelezo cha matokeo ya utafiti wa taasisi inayoheshimika nikajaribu kuitetea ili nami niiheshimu nikakosa nikaona niilete hapa nisaidiwe ili tuweze kuiheshimu wote.
1)      Nimeona na kushangaa hili duara. Sehemu ya 32.8 ni dogo kuliko sehemu nyingine. Nilifikiri hilo lingekuwa la kwanza maana ni 32.8% ndio ije ya 20 (Lowasa) na 11 (Dr. Slaa). Nikafikiri labda kwa kuwa hiyo inawakilisha watu kumi. Nikasonga mbele.
2)      Mtu wa Mwisho ana 2% (Lisu). Kama zile 32.8% zinagawanywa sawa kwa watu kumi maana yake wana 3%. Iweje asiwaandike hao wenye kubwa (3%), badala yake aandike wa 2%? Lakini uwezekano wa watu 10 kuzidiana sawa haupo. Kwa hiyo huenda kuna wan ne au hata tano mboha hakuwaweka?
3       Mtafiti anashauri kuwa Chama kikikosa kumleta anayependwa sana (in this case Lowasa) basi wananchi watampigia kura anayefuata yaani Slaa. Simuelewi. Lowasa na Slaa wana 30% hatwambii kuwa hao 30% walisema wasipotokea wanaowapenda hawatapiga kura. Kwa nini asione uwezekano wa namba mbili katika CCM yaani Magufuli au namba tatu (Membe) wanaweza kupigiwa kura kwa sababu waliowapenda hawapo? Ushindi wa 20% unaweza kubabaisha chama kikaweka mtu mbovu ili kishinde? Angejaribu utafiti mwingine basi kutaka kujiridhisha. Akaondoa jina la Lowasa kuona kama wale 20% wataacha kupiga kura. Hata kama wakiacha 70% wana uwezo mkubwa wa kumchagua rais bila 20% wanaompenda Lowasa. Mtafiti nadhani ni mgeni katika nchi hii. Kwa garama kubwa Lowasa anamkaribia Mrema wa 1995. Kwani ilikuwaje? Nani atukumbushe tafiti za siku hizo.
Mawazo yangu utafiti huu umevisaidia vyama kuzikodolea asilimia za ambao hawatakuwepo katika kinyanganyilo. Kuna dalili kuwa Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM. Basi CDM wakodolee hiyo 20% ya Lowasa. Kuna dalili kuwa UKAWA watamsimamisha mgombea mmoja basi CCM izikodolee kura za watakaoachwa ndani ya ukawa. Kuna 32.8% ambazo wenye nazo hawajulikani. Vyama vizitafute hizo. Ninachojua sangara akishaona jua hawezi kuishi hata akirudi majini. Kwa hiyo kwa CCM hakuna kuogopa masangara kuhama mabwawa.

    Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
  
    wanabidii+...@
  googlegroups.com Utapata
   Email ya
  
    kudhibitisha ukishatuma
  
    Disclaimer:
  
    Everyone posting to this Forum bears the
   sole responsibility
  
    for any legal consequences of his or her
   postings, and hence
  
    statements and facts must be presented
   responsibly. Your
  
    continued membership signifies that you
   agree to this
  
    disclaimer and pledge to

     abide by our Rules and Guidelines.
  
    ---
  
    You received this
  message because you are
   subscribed to
  the
  
    Google Groups
  "Wanabidii"
   group.
  
    To unsubscribe from this group and stop
   receiving emails
  
    from it, send an email to

    wanabidii+...@ googlegroups.com.
  
    For more options, visit https://groups.google.com/d/
   optout.
  
    --

   Send Emails to wana...@googlegroups.com
  
    Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
  
    wanabidii+...@
  googlegroups.com  Utapata
   Email ya
  
    kudhibitisha ukishatuma
  
    Disclaimer:
  
    Everyone posting to this Forum bears the
   sole responsibility
  
    for any legal consequences of his or her
   postings, and hence
  
    statements and facts must be presented
   responsibly. Your
  
    continued membership signifies that you
   agree to this
  
    disclaimer and pledge to abide by our
   Rules and Guidelines.
  
    ---

    You received this message because you are
   subscribed to the
  
    Google Groups "Wanabidii"
   group.
  
    To unsubscribe from
  this group and stop
   receiving emails
  
    from it, send an email to
  wanabidii+...@
   googlegroups.com.
  
    For more options, visit https://groups.google.com/d/
   optout.
  
   --
  
   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
  
   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
   kudhibitisha ukishatuma
  
   Disclaimer:
  
  Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
   for any legal consequences
  of his or her postings, and hence

  statements and facts must be presented responsibly. Your
   continued membership signifies that you agree
  to this
   disclaimer and pledge to abide by
  our Rules and
   Guidelines.

   ---
  
  You received this message because you are subscribed to
  the
   Google Groups "Wanabidii"
  group.
  
   To unsubscribe
  from this group and stop receiving emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  
   For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
  
  Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:
  Everyone posting to
  this Forum bears the sole responsibility for any legal
  consequences of his or her postings, and hence statements
  and facts must be presented responsibly. Your continued
  membership signifies that you agree to this disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message
  because you are subscribed to the Google Groups
  "Wanabidii" group.
  To unsubscribe
  from this group and stop receiving emails from it, send an
  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment