FUATILIA VZR BRO
Kwa utawala wa lowasa hakuna hicho kitu rudisha hela na kaz nje, nenda same watakusimulia DED alivotimuliwa baba, nenda Egypt alipofanya maamuz magum kua tutatumia maji ya victoria penda msipenda, nenda kawaulize city water waliokuja na usanii wao wa maji fake dar, nini wasema muganda au humjui edo vZr ktk usimamiaji na ufuatiliajiiiii
Huyu tuachieni tu aingie ikulu nchi ikae stable, mugandaaa hapa dar sasa ni tabu alfu kumi ni sawa na mia hata lakini haina issaue nao twafa wenzako hukju ndio maana hatuwatak kina mwingulu sjiu waropokaji tu wasiokua na chembe ya ukweli
tchao
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, May 31, 2015 3:42 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
Lesian,
Nakumbuka alipoikuwa waziri wa maji Lowassa alikwenda Mara na akaambiwa viongozi katika wizara yake "walitumia vibaya" hela za umma. Lowassa kama
waziri aliwaambia wazirudishe hizo hela na kesi ikaishia hapo. Enzi za mkoloni na enzi za Nyerere maafisa hao wangetimuliwa kazi na kupelekwa mahakamani.
Kwa hiyo mimi naona hii ni slogan tu ya kushinda uchaguzi kama tulivyopewa slogan ya maisha bora kwa kila mtanzania mwaka 2005.
em
2015-05-31 16:23 GMT-04:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
maamuz magum ni hivi mganda, mtu amekula rushwa live anaambiwa ajiuzulu tuuu, haitoshi alipaswa arejeshe alichokiiiba, laki ni kwa kua maamuz ya ccm na serikali yake iliokuwepo ilikua ni ya kishikaji hakuna maamuz yeyote waliochukuliwa waliofanya ufisadi huoo, angel merkel alishawahi kuomba pccb ya kule au anti corruption bereau yaoliwachunguze wale waliomchangia kushinda uchaguz kama wanakwepa kodi ama la, hakuna cha kubebwa lazima uwajibikaji uchukue mkondo wake, uwajijibikaji kuanzia kwa mwananchi hadi serikali.
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, May 31, 2015 12:01 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
Bado sijaelewa kauli mbiu ya maamuzi magumu. Sijui anamaanisha nini anaposema hivyo.em
Sent from my iPhoneKusema kweli Mheshimiwa Lowasa anachekesha sana. Kusema kuwa tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye kufanya maamuzi magumu ana maana CCM haifanyi maamuzi magumu na viongozi wake hawafanyi maamuzi magumu na uthubutu. Yeye yuko wapi. Anasahau kama anamsema JK anasema chama chake na viongozi wake na anawapa wapinzani silaha ya kuishambulia CCM?--
CCM watamheshimu kwa kuhujumu chama anachoomba kimchague kuwa mgombea Urais. Sidhani.
Kusema kuwa angekuwa Waziri Mkuu eti hali ingekuwa tofauti anasahau kuwa Waziri Mkuu siye mtendaji nia msimamizi wa collective management? Anataka kusema kuwa Chama chke kimeshindwa kutekeleza majukumu yake. Sasa huku anakisema chama na viongozi wake huku anavaa magwanda yake na anakiomba chama kimteue/
Hivi ana akili sawa sawa au ndio mateke ya mfa maji?.
Kusema yeye anauchukia umaskini? Kwa vipi? Amewafanya wangapi kuwa matajiri kwa kutumia nguvu zake?
Kusema Yeye sio Tajiri bado anausaka utajiri? Anataka kukumbilia Ikulu akautafute huko huku mtaani hakumtoshi.
Watanzania tuchunge sana mtu huyu ni hatari na janga la taifa
Herment A. Mrema
Date: Sun, 31 May 2015 08:17:45 -0700
From: mairi.info@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!Mheshimiwa Edward Lowassa ametangaza nia akiomba kuteuliwa na Chama chake kuwa Mgombea Urais kwa mwaka 2015. Lakini zipo kasoro kadhaa zilizojitokeza kwenye sherehe ile, ambazo binafsi naomba zisahihishwe, zisijitokeze tena! Kasoro hizo ni pamoja na:1. Matangazo kupitia ITV EATV na AZAM TWO kukatikakatika na wakati mwingine kuonesha mchelemchele.2. Dj. hakuwa amechagua nyimbo mahususi kuendana na tukio na wakati husika pale alipotakiwa kucheza wimbo husika.3. Mtangaza nia kumtaja Kiongozi wa Chama chake kuwa, huenda akatumia baadhi ya maneno kupata sababu ya kumwadhibu tena. Hii inajenga hisia ya msuguano ndani ya Chama.4. Baba Askofu kutumia kutumia maneno machungu kuwa, wasiompenda Mtangaza nia wakale malimao. Mtumishi wa Mungu anapaswa kutumia maneno ya upako na ushawishi.5. Mzee Kingunge kutumia mkutano wa kutangaza nia kuelezea ajenda ya katiba mpya, ambayo bado ina maswali mengi kwa watanzania, na hivyo kutumia muda mrefu kuhutubia kuliko hata mtangaza nia.Nakubaliana na Mtangaza nia kwa mambo haya:1. Nchi yetu inahitaji kiongozi mwenye uthubutu anayeweza kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya watanzania.2. Nchi yetu inahitaji kiongozi atakayesimamia raslimali zetu kama vile madini, mafuta na gesi zisichukuliwe ovyo ovyo na wawekezaji uchwara.NB: Huu ni mtizamo wangu binafsi, maana mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania, ila ni mpiga kura mzoefu, ambaye nimejiandaa kujiandikisha kwa mfumo wa BVR.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment