Kuna wanaofaa lakini hawajatangaza. Kama alivyosema JK tuwashauri hao tunaona wanatufaa watangaze nia. Binafsi wote waliokuwepo kwenye mtandao wa JK hawatufai kwani watendeleza makundi, na tutakuwa tunajenga nyufa, kuziba nyufa, kukamiana, na kuumizana wakati nchi yetu inazidi kudidimia. Anachofanya Lowasa ni mfano hai wa kukamiana na kuonyeshana ubabe huku wananchi tunateseka . Hilo halikubaliki
Mimi ninatoa wazo kwa Tumshauri na tumwombe Mheshimiwa Jaji Mstaafu AUGUSTINO RAMADHANI achukue form. Huyu ni mzanzibari, mwanasheria, mwanajeshi, mchamungu, ana utu, hata akikosea hasiti kuomba radhi, mpole, mwenye huruma, mnyenyekevu, jasiri, ana uchungu na nchi yetu, yuko makini, ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu, hana rekodi ya ufisadi, hana makundi, mfuatiliaji wa mambo, hana majivuno na ana akili licha ya kuwa mwanausalama hodari (kazi kubwa aliyofanya akiwa Uganda inajulikana na wanausalama). Hata rekodi yake ya darasani inaonyesha
Wale wanaokubaliana nami tuanze kazi haraka kwani hatuna muda mrefu wa kujenga hoja.
Hima wananchi tufanye kweli
Herment A. Mrema
Date: Sun, 31 May 2015 07:49:06 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Mi msimamo wangu uko wazi tu...Lowassa ni bora kuliko Membe x1000...na katika wote waliotangaza nia wenye uwezo wa kuisaidia Tz yetu ni watatu tu....Lowasa, Magufuli na comrade Mwigulu...wengine wote ni wasanii tu.....
'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
From: 'wilson kalumuna' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 28, 2015 10:40 AM

Mtafiti Ngupula umeona jembe leoooo
Upo mafinga nataka kuja kukupiga tafu, ila achana na mwigula atakulostishA ATACHUKUA AFTER JEMBE LOWASA BAADAE
From: 'wilson kalumuna' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 28, 2015 10:40 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.
|
0 comments:
Post a Comment