Saturday 30 May 2015

Re: [wanabidii] Re: Nitagombea Ubunge "Mufindi kaskazini"-Godfrey Ngupula.

Ngupula nakuunga mkono. Nanyaro sio kweli CCM haijaoza kiasi hicho. Ikipata watu kama ngupula inaweza kufufuka. Wanahitaji kuingia kwa makini na uangalifu mkubwa wasije wakabatizwa na kupata kipaimara cha dini ya ufisadi. Mimi ni mwanaCCM ninayejua siku moja CCM itakuja kuwa chama cha wanyonge kama zamani na kitawasaidia kuutoka unyonge kupitia itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea katika mfumo huu wa soko huria.
Ngupula ni kweli kazi ya kupita kwenye mchujo ni kubwa. lakini Mungu akutangulie.
Tutamuomba atasikia
Elisa
--------------------------------------------
On Sat, 5/30/15, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: Nitagombea Ubunge "Mufindi kaskazini"-Godfrey Ngupula.
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, May 30, 2015, 11:13 AM

Ni hatari
sana kupanda mtumbi mbovu huku ukijua kabisa hutomaliza
safari yako kutokana na ubovu wa mtumbi.CCM ni chama mfu
kabisa
2015-05-30 5:18 GMT+01:00
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kila
la kheri Ngupula.Nakutakia kila
lililo jema na ukipata tumikia wananchi wako kama yalivyo
mawazo yako sasa. Reuben



On Friday, May 29,
2015 1:44 PM, 'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



Karibu mtani
ukishindwa kubali
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH
TABLET

'ngupula'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Kwenu ndugu
zangu mnaonithamini, napenda kuwataarifuni kuwa nitagombea
ubunge Mufindi kaskazini ili hatimaye niliongoze jimbo hilo
kwa kipindi cha 2015 -2020....nitagombea ubunge huo kwa
ticket ya Chama cha Mapinduzi( CCM). Kinachonisukuma haswa
kugombea ni kuwa naona wananchi wa jimbo hilo tunastahili
mema zaidi ya ukiwa mbaya tulionao...Lakini pia mambo mengi
katika mustakhabali wa uongozi wa nchi yetu huwa
yananisumbua sana...na nafikiri ni muda mwafaka wa mimi
kujitosa huko kwa mapenzi mema ya nchi yangu. Nakumbuka
Askofu Wa jimbo la Iringa..mhashamu Ngalalekumtwa aliwahi
kusema...ukiona mtu anafundisha wakati wewe
ukimsikiliza...halafu ukajisikia moyoni na akilini kuwa
unaweza kufundisha vizuri zaidi yake....basi hiyo ni dalili
nzuri ya kuwa wewe kipaji chako ni UALIMU...jimbo la Mufindi
kusini liliwahi kuongozwa na Josef Mungai na kwa sasa mbunge
wake ni Mahamud Mgimwa, ambaye pia ni naibu waziri wa
maliasili na utalii..Zipo habari kuwa jimbo hilo litakuwa
majimbo mawili...yaani jimbo la Mafinga na Mufindi
kaskazini...mimi nitagombea Mufindi kaskazini.... elimu
yangu ni  Bsc: Chuo kikuu cha Dar es salaam, Msc of Aquatic
ecology, chuo kikuu cha Bremen Germany, Msc of fish farming,
chuo kikuu cha Bergen Norway..Kikazi nipo Tanzania Fisheries
Research institute (TAFIRI) kama senior research
scientist...Nilizaliwa 1974...nina mke na watoto
watatu...Dini ni mkristo hai...value zangu : Napenda heshima
na kuthaminiana..naamini uongozi ni kazi maalumu..hivyo basi
inastahili watu maalumu..nafikiri ni muda mwafaka sasa kwa
nchi yetu kulitazama hilo na kuiponya nchi...Naombeni maombi
yenu...muda si mrefu tutapita katika mchujo wa chama...sio
kazi rahisi, rafu ni nyingi lkn naamini
nitashinda...Ngupula.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
>To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754
834152Skype.nanyaro.ephata
"truth shall set you
free"




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment