Naomba namba yako ndugu
On 9/28/12, fidelis mugasha <cfkitabu@yahoo.com> wrote:
> Nimeona ni vyema niwajulishe suala hili muhimu la ufugaji wa samaki,
> kimsingi watanzania tumekuwa na vyanzo vingi vya utajiri lakini tumekuwa
> hatutaki kuvituia au pale tunapokuwa tayari kuvitumia basi fulsa inakuwa sio
> sawa kwa wote. Sikia sasa mimi nimeanzisha mradi wa kuzalisha vifaranga wa
> samaki aina ya sato wa ziwa victoria ambao wanafugika katika mazingira haya
> na kukua (kufikia kilo moja) baada ya miezi sita. Hivyo ni vyema ukaja
> kuangalia wazo ambalo aliliasisi baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage
> Nyerere alipowasaidia ndugu zetu wa Vietnam na Malasia vifaranga wa samaki
> kutoka mto nile ili kuwakomboa na umaskini na vilevile mwaka 1968
> aliposimamia zoezi la uchimbaji wa mabwawa 8000 sehemu mbalimbali za nchi.
> Hivyo njoo ujionee na tusaidia katika kumkomboa Mtanzania katika wimbi la
> umaskini. Njoo ujifunze kuchimba bwawa dogo na kubwa kutokana na uwezo wako,
> jifunze kutengeneza chakula cha samaki, jifunze kulisha na uyajue masoko ili
> baada ya
> miezi sita tufungue ukurasa mpy wa maisha ambao utatuwezesha kuwasaidia
> watoto, kinamama kwa lishe na pato stahiki
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment