Saturday, 30 May 2015

Re: [wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI

yona wazo lako jema. hawa walipata utajiri kwa kupuyangapuyanga lazima waukane

On 5/30/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Nakubaliana nawe Yona kuwa mtu tajiri anaweza kuwa kiongozi mzuri. Nimseme
> kenyata ambaye habari za ukubwa wa ardhi ulitokana na sheria za Kenya ambazo
> zilimruhusu kuinunua ardhi hiyo.
> Wakati watu wengi hatuna shida na matajiri, tuna shida na waliopata mali kwa
> wizi. Nimesikia wanasiasa uchwara wakisema kuwa wao wanawashangaa wanasiasa
> wanaoshabikia umaskini. Sikumbuki kumsikia mwanasiasa anayeshabikia
> umaskini.
> Mwalimu Nyerere na ujamaa wake aliorodhesha matatizo tunayokabiliana nayo
> kuwa ni Umaskini, Ujinga na maradhi. Sasa nani anashabikia umaskini?
> Shida iko hapa. Mtu akiwagusa wezi na kuwa Tanzania tusimchague mwizi wao
> wanasema tumesema utajili na tunashabikia umaskini. Mtu aweke humu tumuone
> aliyewahi kusema yeye akiwa rais, mbunge au diwani atawasaidia watanzania
> kuwa maskini.
> Naungana nawe Yona kuwahimiza watanzania kuendelea kuuita umaskini adui
> lakini kwanza ili utajiri uwe even lazima kwanza tuwaangamize mafisadi.
> Watajitajilisha kwa mgongo wa maskini. Mfano mmoja wapo ni jamaa anayetaka
> tanzania iwe na matajili 20,000. Mtu timamu kimwili na kiakili hawezi
> kusema hivyo mbele ya watu. Tanzania ina watu milioni 40. Mtu anatafuta watu
> ishilini.
> --------------------------------------------
> On Sat, 5/30/15, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, May 30, 2015, 7:54 PM
>
> SIMPIGII
> KURA MGOMBEA MASKINI
>
>
> Rais wa
> Kenya ,Uhuru Kenyatta ni mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika
> , inasemekana
> Aliachiwa urithi wa ardhi kubwa sana na baba yake ambaye
> alikuwa rais wa kwanza
> wa Kenya , Mzee Jomo Kenyatta .
>
>
> Toka
> ameingia madarakani amefanya mabadiliko mengi na kuwajibisha
> wengi ya karibuni
> zaidi ni kuwajibisha wakuu wa mashirika ya umma zaidi ya 20
> kutokana na tuhuma
> za rushwa .
>
>
> Prof Peter
> Mutharika ambaye ni rais wa Malawi wa sasa alitangaza mali
> zake alipoingia
> madarakani ambazo ni dola milioni 4 za kimarekani pamoja na
> vitega uchumi
> vingine alivyonavyo na hisa .
>
>
> John Kerry ,
> Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani wakati alipotakangaza
> kugombea urais wa
> Marekani alitangaza mali zake ambazo zilikuwa zaidi ya dola
> milioni 30 za
> marekani hapo ni nyumba zake , hisa zake na jinsi anavyolipa
> kodi .
>
>
> George Bush
> Mkubwa na Mdogo wote walikuwa marais wa Marekani , wote ni
> wamiliki wa moja ya
> kampuni kubwa kuliko zote za mafuta na Gesi ulimwenguni
> utajiri wake
> hausemekani lakini wote waliwahi kuwa marais wa marekani
> .
>
>
> Rais wa Sasa
> wa Marekani , Barak Obama alitangaza mali zake kabla ya
> kuukwaa urais ambazo
> zilifikia dola milioni 5 atakapomaliza muhula wake wa 2
> atatangaza tena mali
> zake na mengine mengi ambayo yatakuwa wameshakaguliwa na
> chama cha wahasibu wa
> marekani pamoja na taasisi nyingine za serikali
> .
>
>
> Kwahiyo wewe
> unasema si Tajiri , lakini umekuwa waziri kwa miaka 10 ,
> tunajua safari zako
> zote za nje unalipwa posho kiasi gani na msururu wa watu
> unaoenda nao kwa
> kipindi hicho cha miaka 10 , bado wewe ni mbunge unavyoenda
> bungeni unalipwa
> posho .
>
>
> Ukiacha hili
> la uwaziri tunajua ulikuwa unafanya shuguli nyingine kama ni
> za serikali au
> binafsi kabla hujawa mbunge wala waziri huku kote ulikuwa
> unatengeneza maisha
> yako na ya familia yako na kama una mke hata mkeo nae ni
> mfanyakazi kwahiyo
> kipato chenu kwa pamoja kilikuwa kikubwa kiasi Fulani iweje
> leo utuambie wewe
> ni maskini ?
>
>
> Hapa Kwetu
> inaonyesha mtu kuwa na hela au kuwa tajiri basi huyo
> hatakiwi kugombea urais au
> ubunge tunataka wale maskini wanaojionyesha kwamba wana hela
> chache na
> milolongo mengine mingi sana .
>
>
> Kuna baadhi
> ya wagombea wanajinasibu masikini saa hizi lakini hawako
> radhi kuonyesha mapato
> na matumizi yao toka wameingia serikalini kwenye ngazi ya
> ubunge na uwaziri kwa
> kipindi chote .
>
>
> Nikiambiwa
> nipige kura kati ya mgombea tajiri na maskini nitampa tajiri
> ambaye ameweka
> utajiri wake hadharani na ambao umekaguliwa na vyombo kama
> TRA na vingine
> nchini kuthibitika kwamba hazina utata wowote .
>
>
> Kiongozi
> tajiri anatupa funzo moja kuu kwamba yeye ameongoza kampuni
> yake kwa mafanikio
> kwa kipindi Fulani kabla ya kuamua kugombea urais , anajua
> mambo ya mikataba ,
> makubaliano , mikopo na masuala mengi yanayohusu biashara na
> maisha kwa ujumla
> kuliko baadhi ya wagombea .
>
>
> Nchi yetu
> inaingia kwenye kipindi cha Uzalishaji wa Gesi , mafuta ,
> Urani na maliasili
> nyingine nyingi hii inahitaji mtu mwenye uwezo huo wa
> biashara , maelewano ,
> mikataba , mikopo na maendeleo si mtu yoyote tu
> .
>
>
> Lengo la
> makala hii sio kumpigia kampeni Fulani , ni kusema ukweli
> uliopo tu ili tuweze
> kuwa huru .
>
>
> YONA FARES
> MARO
>
> 0786
> 806028
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>


--
J L Kamala

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment