Saturday 30 May 2015

Re: [wanabidii] Re: Nitagombea Ubunge "Mufindi kaskazini"-Godfrey Ngupula.

Hahahaaa... Dunia siyo mbaya, walimwengu ndiyo wabaya, siyo? CCM ni majumba, siyo? Hao wabaya siyo CCM? Watanzania mnachekesha kweli kweli na mapenzi yenu ya kufa na kuzikana...

2015-05-31 2:36 GMT+07:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Thanks Reuben, Elisa, Fred, and Nanyaro...ukweli ni kuwa CCM sio mbaya lkn watu fulani ndio wabaya..na ni kweli uko wakati chama hiki kitakuwa tumain la watz kama ilivyokuwa mwanzo...am sure 2015 kutafanyika displacement kubwa na vijana wengi wenye mtizamo tofauti tutabadili taswira ya chama kwa kiasi fulani...Ngupula

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Ngupula nakuunga mkono. Nanyaro sio kweli CCM haijaoza kiasi hicho. Ikipata watu kama ngupula inaweza kufufuka. Wanahitaji kuingia kwa makini na uangalifu mkubwa wasije wakabatizwa na kupata kipaimara cha dini ya ufisadi. Mimi ni mwanaCCM ninayejua siku moja CCM itakuja kuwa chama cha wanyonge kama zamani na kitawasaidia kuutoka unyonge kupitia itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea katika mfumo huu wa soko huria.
>Ngupula ni kweli kazi ya kupita kwenye mchujo ni kubwa. lakini Mungu akutangulie.
>Tutamuomba atasikia
>Elisa
>--------------------------------------------
>On Sat, 5/30/15, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Nitagombea Ubunge "Mufindi kaskazini"-Godfrey Ngupula.
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Saturday, May 30, 2015, 11:13 AM
>
> Ni hatari
> sana kupanda mtumbi mbovu huku ukijua kabisa hutomaliza
> safari yako kutokana na ubovu wa mtumbi.CCM ni chama mfu
> kabisa
> 2015-05-30 5:18 GMT+01:00
> 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Kila
> la kheri Ngupula.Nakutakia kila
> lililo jema na ukipata tumikia wananchi wako kama yalivyo
> mawazo yako sasa. Reuben
>
>
>
>      On Friday, May 29,
> 2015 1:44 PM, 'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>  Karibu mtani
> ukishindwa kubali
> SENT FROM ALCATEL ONETOUCH
> TABLET
>
> 'ngupula'
> via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Kwenu ndugu
> zangu mnaonithamini, napenda kuwataarifuni kuwa nitagombea
> ubunge Mufindi kaskazini ili hatimaye niliongoze jimbo hilo
> kwa kipindi cha 2015 -2020....nitagombea ubunge huo kwa
> ticket ya Chama cha Mapinduzi( CCM). Kinachonisukuma haswa
> kugombea ni kuwa naona wananchi wa jimbo hilo tunastahili
> mema zaidi ya ukiwa mbaya tulionao...Lakini pia mambo mengi
> katika mustakhabali wa uongozi wa nchi yetu huwa
> yananisumbua sana...na nafikiri ni muda mwafaka wa mimi
> kujitosa huko kwa mapenzi mema ya nchi yangu. Nakumbuka
> Askofu Wa jimbo la Iringa..mhashamu Ngalalekumtwa aliwahi
> kusema...ukiona mtu anafundisha wakati wewe
> ukimsikiliza...halafu ukajisikia moyoni na akilini kuwa
> unaweza kufundisha vizuri zaidi yake....basi hiyo ni dalili
> nzuri ya kuwa wewe kipaji chako ni UALIMU...jimbo la Mufindi
> kusini liliwahi kuongozwa na Josef Mungai na kwa sasa mbunge
> wake ni Mahamud Mgimwa, ambaye pia ni naibu waziri wa
> maliasili na utalii..Zipo habari kuwa jimbo hilo litakuwa
> majimbo mawili...yaani jimbo la Mafinga na Mufindi
> kaskazini...mimi nitagombea Mufindi kaskazini.... elimu
> yangu ni  Bsc: Chuo kikuu cha Dar es salaam, Msc of Aquatic
> ecology, chuo kikuu cha Bremen Germany, Msc of fish farming,
> chuo kikuu cha Bergen Norway..Kikazi nipo Tanzania Fisheries
> Research institute (TAFIRI) kama senior research
> scientist...Nilizaliwa 1974...nina mke na watoto
> watatu...Dini ni mkristo hai...value zangu : Napenda heshima
> na kuthaminiana..naamini uongozi ni kazi maalumu..hivyo basi
> inastahili watu maalumu..nafikiri ni muda mwafaka sasa kwa
> nchi yetu kulitazama hilo na kuiponya nchi...Naombeni maombi
> yenu...muda si mrefu tutapita katika mchujo wa chama...sio
> kazi rahisi, rafu ni nyingi lkn naamini
> nitashinda...Ngupula.
> >
> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >---
> >You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
> group.
> >To unsubscribe from this group
> and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapat

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment