Sunday 31 May 2015

Re: [wanabidii] LOWASSA UACHE UONGO

Inashangaza kweli jamani! Mgombea mtarajiwa wa kiti cha Rais anasoma hotuba yake? Huwezi ukajieleza kwa kutumia kichwa chako? unasoma hotuba, jee ukienda nchi za nje na kupigwa maswali ya papo kwa papo? unaongea, macho hayaonekani! waandishi wa habari-umma wote huo ni waandishi? Nauli ya kwenda, kurudi, posho ya malazi na kula umetoa-huko Ikulu kutakuwa na mambo!! Waachieni vijana jamani wazee muwe washauri wao. Baba wa Taifa alisema-akiwapa hongo-kuleni lakini kura ni yasiri. Tayarisha ambulance Mollel!!

--------------------------------------------
On Sun, 31/5/15, 'joseph kiimbila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA UACHE UONGO
To: wanabidii@googlegroups.
Cc: mikezunzu@yahoo.co.uk
Date: Sunday, 31 May, 2015, 20:26

Tatizo
kambi lowassa mme lost mbaya . hata kwa dodoki la chuma
hasafishiki huyo . you are wasting your time . Mtu
alishindwa hata kushika mic ataweza kufanya kazi gani
?Kuweni makini na mnayemnadi . Anapakwa mafuta kwa
mgongo wa chupa . wait you will see . Jiandaeni kupata
vitanda hospitalini kwa pressure . Penye kosa mkubali
kukosolewa . 

On Sunday,
May 31, 2015 at 12:05:53 PM UTC+3, Mike Zunzu
wrote:Natamani dada huyu
angelipewa nafasiu ya juu kwenye tume ya
uchaguzi.


On Sunday, 31 May
2015, 0:00, 'lesian mollel' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
wrote:


wee katabazi
mwandishi gani bana usiejua hata kiswahili, dada ni hadhara
si adhara, nshaandika sana magazeti ya kimombo na mimi ni
mmasai lakini kiswahili nakijua na siwez andika hv, adhara
halafu unajiita makini, unapendaga kujisifia na kuwaponda
watu tuuuuu as if ur perfect while ur fake in every work u
put the publicLowasa si mjinga wa
kijibu ujinga, anatangaza nia na nia maana yake atasimamia
nini hajaja kujisafisha na watanzania wamesema  liwalo na
liwe hata kama mtakomaa na richmond wao wanamtaka hvo
alivyooooo, polen na agenda yenu chafuu mtashindwa hadi
mkomeHes smart ndo maana si mtu wa
kujisifu ni mtu wa matendo hawez kuanza kuzungumzia past
while anatakiwa kuwaambia watanzania kua atawaondoaje hapa
alipo ndio maana ya safar ya matumaini elimu, elimu,
elimu....leo kakabiziwa mzigo na mzee nyerer aliebakia mwl 
wa itikadi, mwl wa kivukoni elimu ya siasa mel kingunge
ngombale mwiru kasema mzigo huu akabidhiwe mnyamwezi
lowasaaaaaaaaaa. lowasa oye...who else...mti weny matunda
matamu ndio unaorushiwa mijiweHua 
nashangaaa kina Gamba, kina Makamba jr na Kigwa vijana
wq3nzangu badala ya kunadi sera zao wamekua wanajibu na
kumponda mgombea mwenzao sawa na wazee kina Membe kina
Mwigulu, mkibisha ,,,,angalieni kuanzia keshosasa najiuliza huo si uogaaa, au kutojitambua,
nadi sera zako na si kuanza kumponda mgombea mwenzako na je
akija shinda itakaujeeeeeeee, sawa na huyu mdada mpondaji
anaejiita kukaa kwenye media 15 yrs while bado anaandika
rubbbishmollelKambi Lowasa



From:
'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
To: WANABIDII <wana...@googlegroups.com>

Sent: Saturday, May 30,
2015 12:06 PM
Subject: [wanabidii]
LOWASSA UACHE UONGO

LOWASSA UACHE UONGO

Na Happiness Katabazi

NIMEMTAZAMA kupitia Televisheni ya ITV ,Mzee
Edward Lowassa na kuisoma neno kwa neno hotuba yake ya
kutangaza nia leo katika Uwanja wa Sheikh Abeid Mkoani
Arusha ya kugombea urais wa serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania nimebaini uongo wazi katika aya ya kwanza.

Haya hiyo katika hotuba hiyo
inasomeka hivi; HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA
KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA KUTANGAZA
NIA YA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(CCM) KWA NAFASI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA).

Ukisoma kichwa
hicho cha habari cha hotuba yake kimesema ( Hotuba ya
Mheshimiwa Edward Lowassa kwenye mkutano wake na Waandishi
wa Habari......).

Sehemu ya
hiyo aya Lowassa amedanganya umma kuwa eti leo amezungumza
na waandishi wa habari wakati
akitangaza nia.

Ukweli ni
kwamba Lowassa leo ametangaza nia mbele ya wafuasi wake
katika mkutano wa adhara ambao wanamuziki wa muziki wa
kizazi kipya,wasanii wa Kimasai wakiwa na mishale na silaha
za jadi na mwanamuziki wa muziki wa Taarabu Hadija Kopa
walitumbuiza.

Binafsi ni
mwandishi wa habari kwa zaidi ya miaka 15 sasa,nimeisha
shiriki mikutano mbalimbali ya waandishi wa habari na
vyanzo vya habari(source) yaani (Press Conference).

Kitaaluma mkutano wa waandishi
wa habari uhusisha waandishi wa habari na wale
wanamsindikiza mtoa habari na mkutano na waandishi wa habari
katika eneo la mkutano.

Mkutano na waandishi wa habari haunaga
mbwembwe ,kualika makundi ya watu mbalimbali,
wasanii,vibweka kama tulivyovishuhudia leo katika mkutano
huo ,wafuasi wako kupaza sauti kusema Lowassa Rais,wanasiasa
kupanda majukwaani kumnadi mtoa habari(Lowassa), kama
ulivyoshuhudia leo katika mkutano ile jinsi Kingunge
Ngombale Mwilu, Kangi Lugola, Mtumishi wa Mungu Josephat
Gwajima, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha,Onesmo Ole Nangolo
walivyokuwa wakimpigia debe Lowassa.

Kimsingi tukubaliane Lowassa kupitia aya hiyo
ya hotuba yako ya leo amedanganya umma na amejidanganya yeye
mwenyewe na kujionyesha asivyo makini katika baadhi ya
mambo.

Hata kama hiyo
hotuba uliandaliwa na waandishi wako wa hotuba
unaowaamini,kama kweli wewe ni kiongozi makini na unayetaka
kuwa rais wa nchi hii kwa kila njia, ulipaswa uisome kwanza
hotuba hiyo neno na kwa dosari hii imedhirisha na wewe
siyo makini.

Hadi ulikubali
kuisoma hiyo hotuba mbele ya adhara ina maana ulikubaliana
na mambo yote yaliyoandikwa kwenye hiyo hotuba ambapo baada
ya wewe kuisoma jukwaani leo sisi wafuatiliaji wa mambo
ndani ya muda mchache tumeibaini ina kasoro hiyo ya wazi
kabisa tena kwenye kichwa cha habari.

Sasa hao waandishi wa hotuba yako utawachukulia
maamuzi
magumu? Maana umekuwa ukijinasibu wewe ni kiongozi
unayeweza kuchukua maamuzi magumu kwa haraka.

Nakushauri anza kutoa maamuzi
magumu kwa hao waandishi wa hotuba yako hii ambayo ni hotuba
ya kihistoria kwani hotuba hii ni ishara ya wewe kuanza
safari ya matumaini kwenda Ikulu lakini tayari nimeibaini
ina dosari hiyo.

Nyie
waandishi wa hotuba ya Mzee Lowassa kuweni makini na kazi
yenu, au kama mmetumwa kumuandikia ujinga huo mzee Lowassa
katika hotuba zake ili atolewe kasoro kuwa sio makini,mseme
maana waandishi wengi hivi sasa hamuaminiki mmekuwa kama
wanawake Malaya wanaouza mihili yao ambao wana mabwana
wengi ili mradi wapate fedha upitia mihili yao.

Na hili linawezekana maana
aingii akili mwandishi wa habari amuandalie hotuba mtu
anayemuunga mkono afanye kosa la kiufundi kama hili tena
katika kichwa cha habari.

Niitimishe kwa kumtaka Lowassa aache uongo.Ule
ni mkutano wa adhara aliohutubia leo wakati
akitangaza nia na siyo mkutano wake na waandishi wa habari
kama alivyodai katika hotuba yake. Hongera sana Mzee Lowassa
kwa mkutano wako huo uliofurika watu wengi.Ila ukumbuke
msemo usemao ' Kuzikwa na watu wengi sio kwenda
Mbinguni.

Kila la kheri
katika hiyo safari yako
Mungu ibariki
Tanzania

Chanzo: www.katabazihappy.blogspot.com
0716 774494
Mei 30 mwaka
2015..



--

Send Emails to wana...@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+...@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wana...@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+...@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.







--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment