Sunday 31 May 2015

RE: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.

Sasa nimeamini kuwa lowasa kapoteza kumbukumbu alisema ktk wote waliopo hakuna aliyepigana vita vya uganda ila yeye tu kashau kuwa miongonimwa wanaotajwa urais yupo huyu jaji ambae nae alikuwepo uganda.

On May 31, 2015 11:13 AM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Kuna wanaofaa lakini hawajatangaza.  Kama alivyosema JK tuwashauri hao tunaona wanatufaa watangaze nia.  Binafsi wote waliokuwepo kwenye mtandao wa JK hawatufai kwani watendeleza makundi, na tutakuwa tunajenga nyufa, kuziba nyufa, kukamiana, na kuumizana wakati nchi yetu inazidi kudidimia. Anachofanya Lowasa ni mfano hai wa kukamiana na kuonyeshana ubabe huku wananchi tunateseka .  Hilo halikubaliki

Mimi ninatoa wazo kwa Tumshauri na tumwombe Mheshimiwa Jaji Mstaafu AUGUSTINO RAMADHANI achukue form.  Huyu ni mzanzibari, mwanasheria, mwanajeshi, mchamungu, ana utu, hata akikosea hasiti kuomba radhi, mpole, mwenye huruma, mnyenyekevu, jasiri, ana uchungu na nchi yetu, yuko makini, ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu, hana rekodi ya ufisadi, hana makundi,  mfuatiliaji wa mambo, hana majivuno na ana akili licha ya kuwa mwanausalama hodari (kazi kubwa aliyofanya akiwa Uganda inajulikana na wanausalama).  Hata rekodi yake ya darasani inaonyesha

Wale wanaokubaliana nami tuanze kazi haraka kwani hatuna muda mrefu wa kujenga hoja.

Hima wananchi tufanye kweli

Herment A. Mrema

Date: Sun, 31 May 2015 07:49:06 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Mi msimamo wangu uko wazi tu...Lowassa ni bora kuliko Membe x1000...na katika wote waliotangaza nia wenye uwezo wa kuisaidia Tz yetu ni watatu tu....Lowasa, Magufuli na comrade Mwigulu...wengine wote ni wasanii tu.....

'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mtafiti Ngupula umeona jembe leoooo
Upo mafinga nataka kuja kukupiga tafu, ila achana na mwigula atakulostishA ATACHUKUA AFTER JEMBE LOWASA BAADAE

From: 'wilson kalumuna' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 28, 2015 10:40 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.

From:"'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Thu, May 28, 2015 at 7:54 PM
Subject:Re: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.

Fred..hakuna tena malumbano...ni muda sasa wa Mungu kuchukua mamlaka yake na kuamua...lkn, ninachojua mimi wanafiki na vibaraka hawatakuwa na nafasi katika urais wa 2015 to 2025..Amina.

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula, mazingaombwe hayatawasaidia kitu. Hivi kutumia ujanja wa kumhusisha Membe na JK ili wale wanaomchukia JK wamchukie na Membe unadhani itawasaidia kuingia ikulu? Kwa akili ya kawaida tu miaka ya 1950 mwela asiyemfanyakazi tena mke wa ndoa ya kikristo na mkwere mkulima walikutanaje hata wakazaa mtoto! Lakini yawezekana wanaozua haya ni watoto wa nje ya ndoa hivyo wanaamini kila mtu amezaliwa kama wao. Kweli mfa maji haachi kutapatapa.Njaa mbaya sana ndugu yangu

From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 27, 2015 11:48 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nilichokisema jana kutokana na kauli ya Mhe. LOWASSA.

Now that Kigwa umekiri Kikwete ni mjombako nadhani kumpinga kwako Lowassa hakutakuwa ni juhudi za kumpigania mjombako mwingine Membe....take note of this....Tanzania ni yetu sote

'ekabwoto' via Wanabidii <w
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment