AIBU Muganda kuutafuta uongozi kwa hela!
Hii nchi ukitegemea unamchagua mtu awe kiongozi ataleta maendeleo-yatashuka yenyewe, Rais atayaleta si kweli. Watu tu wavivu, tunapenda vidondoke kama mvua, hatujitumi, matajiri hawaungani kuushika uchumi; makampuni binafsi hayalipi mishahara mikubwa kuliko serikali, kufanyakazi chini ya kiwango na kutumia rushwa kupata mikataba ya kontrakti na wanapoharibu hawashitakiwi kwa vile walishahonga pesa.
Vijijini hatukutaki. Hata tukifunga colleges tunabaki mabwenini tunapanga vyumba tunakaa kujiuza, kuhanja sio kurudi kwa wazee kuwasaidia kuwalimia etc. Ukipata mkopo wa masomo-unaanza kununua gari za kusotasota na anasa sio kuweka kipaumbele cha kuboresha kibanda cha wazee au kuwanunulia plau.
Miji ni makorokoro uchafu kila kona, kila nyumba inapika nje, miavuli ya kulia chakula, pombe mpaka barabarani watoto hawana pa kucheza, maji machafu, takataka kila kona. Leo mtu anayetaka Urais anasema-machinga wasiwe na hofu ya kubughudhiwa, atahakikisha wanafanya shughuli zao bila bugdha. Hasemi juu ya umuhimu wa kuzingatia sheria za mji, vijiji bila shuruti; kuzingatia misingi ya afya, mazingira na unapotakiwa ukae ndio hapo sio barabarani. Leo kila kiwanja cha umma-garage; nguvu kazi-juu ya bodaboda;
Mashamba ya mifugo ya malmlaka za mifugo yapo tu hayatumiwi kufuga kisasa na wafugaji wanalishia mashamba ya wengine na kuhanja nchi nzima vitoto vinateseka. Wakulima kulima mpaka mitoni na kukata miti hela kulewea. Utawaahidi ajira wakati kujiajiri hawana muda? Utazitoa wapi kama hukemei na ukasema utawazoa kuwaweka mashambani walime na kuuza hata nje ya nchi hakuna kuzagaa mijini. Uone kama watakupenda!! Wao wanajua vitadondoka na kwa vile umewalipia hela ya nauli, malazi, posho; umechangiwa na matajiri ambao wanategemea hutowapora ardhi walizovamia na madawa wanayouza! kuna kazi mwaka huu.
Vizee, vibabu na vibabuzi, wanaotaka kulinda vyeo vyao-watakukimbilia tu kwa hizo ahadi za alinacha na wao kulinda uovu wao. Utajenga uchumi wa kisasa na taifa linalojitegemea kwa kuwapa mihela mpaka posho ya nyumbani? mashamba ya shule hayapo, ya magereza hawalimi wakubwa wamejigawia. Tunataka mtu wa kufanya JKT, Magereza-walime wajilishe na kujaza maghala ya serikali na kulisha hospitali pia. Mikataba ya ujenzi madaraja-wape JWTZ pale mkandarasi uchwara anapokula hela na kufanyakazi duni. Bomoa walioziba njia za surveyed areas, bomoa waliojenga mitoni na mabondeni miji iwe safi. Kila mtu akae alipo azalishe mali sio mapigano daima ya wakulima na wafugaji. Fanikisha kilimo na ufugaji endelevu na ufugaji samaki na uvuvi pia. Hata kwa kiboko sawa-no lele mama maana tunabaki kuchekwa daima. Kila kitu tunacho ila kujituma-NIL. Tanzania-hata kukimbia mbio mashindano E.A na kidunia na mipira tunashindwa-nini tutaweza? Maneno, mikingamo, siasa kuingilia
utendaji, kutishana, wizi, uvivu, pombe, rushwa, zinaa!! Weka vijana-vibabu kwenye Urais vya nini? Wanataka kuficha nini? Nakerwa!!
--------------------------------------------
On Sat, 30/5/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 30 May, 2015, 15:44
Nasikia
hata kwetu Musoma kuna mabasi yaliondoka na wafuasi wa CCM
kuelekea Arusha na kila mtu alilipiwa posho, na hela za
kubakisha nyumbani.Urais mwaka huu ni wa bei ghali
kweli kweli.em
2015-05-30 8:42 GMT-04:00
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huko
wilayani na miji wengine tuliyopita kuna mobilization ya
watu kwenda Arusha na wameahidiwa nauli, chakula, malazi na
posho! Hivi hizi hela anazochangiwa si angezitumia katika
maendeleo jimboni liwe jimbo la mfano? Mungu ndiye mwamuzi.
Tunahitaji wasiotumia rushwa na vijana zio wazee.
--------------------------------------------
On Fri, 29/5/15, 'joseph
kiimbila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA
WAHARIRI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 29 May, 2015, 7:07
Lowassa
hana jipya wala utetezi kuhusu tuhuma alizokuwa nazo .
mbona
alilalamika sana kamati ya Mwakyembe kutomuhoji ? leo
anadai
hakuhusika ndiyo maana hakuhijiwa . PUMBA .
On Monday, May 25, 2015 at
10:32:52 PM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:Kipya cha kwanza ni
garama za
kuwasafirisha wahariri anazirudishaje.
Ninalojiuliza ni hoa wawekezaji anaosema
wanampa hela Mbona hakueleza makubaliano yao ni nini na
namna gani watazirudishaje? ni nyingi lazima watataka
zirudi. Au hana akili za kumuwezesha kujiuliza kuwa
wanampa
za nini? Nini matarajio yao mpaka wakatoe hela zote
hizo?!
------------------------------
--------------
On Mon, 5/25/15, emmbaga <emm...@hotmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA
EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
To: wana...@googlegroups.com
Date: Monday, May 25, 2015, 5:54 PM
Nao wamenunuliwa? hapo wewe umeona ni
nini kipya?
Ernest
Sent from Samsung
mobile
De kleinson kim <dekle...@gmail.com>
wrote:
" Hayo ni kwa ufupi. Wahariri wakuu
katika media
zote kupitia Jukwaa la Wahariri
walikuwepo, na Absalom
Kibanda (New Habari) na Nevil Meena (Free
Media) ndio
walikuwa waratibu wakuu wa mkutano
huu."
teh teh teh tehhhh mbio zimeanza pale,
kipenga kinalia
watazamaji wenzangu.....
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata
Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment