Saturday 30 May 2015

Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI

kiwasila u cant feed us with lies bana
He not able to pay all those people , thousands of crowds> mkoa gani ww ulikuwepo dadaaa, acheni uzushii, huyu bw ni chaguo la watu wengi nchi inamtaka aje afanye maamuzi magumu we ARE TIRED
nYie na Ukawa  yenu hamna kitu mmekamata serikali za mtaa hakuna chochote ni sawa na kuruka mkoja kukanyaga mavi
NNao CDM wenyeviti kibao huku mbezi ya kimara wao kaz yao kushinda ofsn kukusanya buku 2 waishi njaaa, ndi mtake nchi si mtauza mtawra yoote mjenge mahoteliii na kunua mahelikopta ya wabungeeeee

Mollel
Kambi lowasa dam dam


From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, May 30, 2015 5:42 AM
Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI

Huko wilayani na miji wengine tuliyopita kuna mobilization ya watu kwenda Arusha na wameahidiwa nauli, chakula, malazi na posho! Hivi hizi hela anazochangiwa si angezitumia katika maendeleo jimboni liwe jimbo la mfano? Mungu ndiye mwamuzi. Tunahitaji wasiotumia rushwa na vijana zio wazee.


--------------------------------------------
On Fri, 29/5/15, 'joseph kiimbila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 29 May, 2015, 7:07

Lowassa
hana jipya wala utetezi kuhusu tuhuma alizokuwa nazo . mbona
alilalamika sana kamati ya Mwakyembe kutomuhoji ? leo anadai
hakuhusika ndiyo maana hakuhijiwa . PUMBA .

On Monday, May 25, 2015 at
10:32:52 PM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:Kipya cha kwanza ni garama za
kuwasafirisha wahariri anazirudishaje.

Ninalojiuliza ni hoa wawekezaji anaosema
wanampa hela Mbona hakueleza makubaliano yao ni nini na
namna gani watazirudishaje? ni nyingi lazima watataka
zirudi. Au hana akili za kumuwezesha kujiuliza kuwa wanampa
za nini? Nini matarajio yao mpaka wakatoe hela zote hizo?!

------------------------------
--------------

On Mon, 5/25/15, emmbaga <emm...@hotmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] MKUTANO WA
EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI

 To: wana...@googlegroups.com

 Date: Monday, May 25, 2015, 5:54 PM

 

 

 

 

 

 

 Nao wamenunuliwa? hapo wewe umeona ni
nini kipya?

 Ernest

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Sent from Samsung

 mobile

 

 

 

 De kleinson kim <dekle...@gmail.com> wrote:

 

 

 " Hayo ni kwa ufupi. Wahariri wakuu
katika media

 zote kupitia Jukwaa la Wahariri
walikuwepo, na Absalom

 Kibanda (New Habari) na Nevil Meena (Free
Media) ndio

 walikuwa waratibu wakuu wa mkutano
huu."

 teh teh teh tehhhh mbio zimeanza pale,
kipenga kinalia

 watazamaji wenzangu.....

 

 --

 

 Send Emails to wana...@googlegroups.com

 

  

 

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 

 wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata
Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 

  

 

 Disclaimer:

 

 Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility

 for any legal consequences of his or her
postings, and hence

 statements and facts must be presented
responsibly. Your

 continued membership signifies that you
agree to this

 disclaimer and pledge to

  abide by our Rules and Guidelines.

 

 ---

 

 You received this message because you are
subscribed to the

 Google Groups "Wanabidii"
group.

 

 To unsubscribe from this group and stop
receiving emails

 from it, send an email to

 wanabidii+...@ googlegroups.com.

 

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

 

 

 

 

 

 

 

 --

 

 Send Emails to wana...@googlegroups.com

 

  

 

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 

 wanabidii+...@ googlegroups.com  Utapata
Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 

  

 

 Disclaimer:

 

 Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility

 for any legal consequences of his or her
postings, and hence

 statements and facts must be presented
responsibly. Your

 continued membership signifies that you
agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.

 

 ---

 

 You received this message because you are
subscribed to the

 Google Groups "Wanabidii"
group.

 

 To unsubscribe from this group and stop
receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.

 

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

 





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment