Sunday, 18 September 2016

[wanabidii] MREMA LYATONGA: Kazweka mwili: AKILI BADO SANA

Nimemsikiliza na kumwangalia Mwenyekiti wa PAROLE Augustine Lyatonga Mrema katika kipindi cha TBC asubuhi ya leo (18/9/16). Nimegundua mambo mawili. 1) Afya yake ni dhaifu na amezeeka. 2) Kichwani yuko kamili kama alivyokuwa wakati wa uwaziri wake myaka ya 1980.
Jinsi anavyoieleza PAROLE si muda mrefu taasisi hii hata watu wa kawaida wataanza kuiongelea. Kwa jinsi niliyoiona si muda mrefu wafungwa watapungua magereza.
Mrema akimpongeza mchungaji Getruda Rwakatare jinsi alivyowasaidia wafungwa kulipa fine na kuwatoa gerezani ameelezea Polisi kuwashughulikia waagizaji na wauzaji wa madawa ya kulevya na kuwachukulia watumiaji kama wagonjwa. Ameeleza umuhimu wa kuwakamata madada poa wanaouza miili yao pamoja na wanunuzi wa miili hiyo. Ukichunguza hilo utaona siku akikamata mnunuzi mmoja tu wa miili hiyo biashara itaisha siku hiyo maana kundi la wanunuzi ni wale wasiotarajiwa kuguswa. Mrema ameeleza upungufu wa fedha za kusaidia maafisa wa PAROLE kutembelea magereza na kuwa hii inawaweka magereza wafungwa ambao wameishabadilika na kuendelea kuwaweka magereza ni ni kuwajengea usugu. Anawahimiza waanzania kuchangia fedha za kuwasaidia wafungwa hao. PAROLE haikuanza jana. Lakini haikufahamika kwa watanzania kama inavyoelekea kufahamika
Kwa ujumla ukimsikiliza Mrema unaona creativity ya ajabu ambayo wanaokumbuka kipindi chake cha uwaziri wanakumbuka alivyosaidia kuipeleka serikali ya Mwinyi mpaka mwisho

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment