Sunday, 6 March 2016

Re: [wanabidii] ‘Magufuli anaua upinzani’

Mimi siafiki kwani upinzani haina maana kuisema CCM bali upinzani upo ili kufanya watendaji wa serikali wafanye kazi ndio maana duniani kote kuna upinzani.Nia ni kuhimiza maendeleo na wananchi kutendewa haki.
Kama Rais ana fanya vizuri tinategemea nchi itafanya vizuri pia upinzani ni macho ya serikali ili isibweteke na ni nia ya Rais kuona wapo watu wakumsaidia.
Angalia Zanzibar haki haijatendeka kwani bado kuna mgogoro kama Rais ni msikivu atende haki vinginevyo kila kilichochema kwake kitaonekana hakifai kwani yeye ni Rais wa Tanzania sio wa Bara
Atasema yeye hahusiki kwa vile anaona hafanyi sawa na anaogopa kutumbua majibu talk to wazi kabisa kama amemtumbua Balozi Sefue basi asimuogope Shein au Maalim Seif atuambie kati yao nani Jipu vinginevyo watu wakinwaga Damu heshima yake itapotea hata kama atawatumia wanajeshi na silaha kwani mioyo yetu inazungumza

On Mar 6, 2016 2:20 PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:

Tanzania ni bara na visiwani

On Mar 4, 2016 14:11, "De kleinson kim" <dekleinson@gmail.com> wrote:

". Uongozi huu mzuri wa Rais wa sasa kikubwa utakachofanya ni kuinua viwango vya uongozi. Kila atakayetaka kugombea atapimwa kwa vigezo hivyo. Kwa hiyo hata kwa vyama vya upinzani watapaswa kujipanga upya kwa vile sasa viwango vya uongozi vimepanda."

" Haijalishi mambo haya anafanya nani na kupitia Chama gani, anafanya kwa ajili ya wa-Tanzania.

Tunatarajia mfano huu uigwe na viongozi wote bila kujali itikadi za vyama vyao sababu vyama vyote ni vyetu wa-Tanzania na kila aliyepewa dhamana amepewa kuitumikia Tanzania! "

Ule umoja aliotuwekea Mwalimu unafanya kazi.  Bado tu hatuioni Tanzania yetu mpya jamani??  Wengi tutakuwa tumeshakufa ila historia haifutiki!!!!!

MUNGU tubariki watu wako.
VIVA TANZANIA.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment