Sunday, 6 March 2016

Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI

Mimi ninafanya kazi keen he Ngo baada ya kustaafu.Nilikuwa Dar lakini sasa nimehamia Wilaya fulani sitaitaja kwa maslahi yangu. kwa sasa naomba Dr.unisaidie nina mwaka wa tatu sijamwona mtu anayehusika na maendeleo ya jamii kwenye kata ninayofanyia kazi.Ngo yangu inaitwa jina ninalihifadhi imesajiliwa kwenye wizara yako mwaka 2007.kuna matatizo mengi sana kwa Jamii lakini pia kuna ukoaefu wa wafanyakazi wanadai wapo kumi tu wilaya nzima.lakini pamoja na uchache wao nadhani ni vema wakajipanga au wawe na mpango kazi.Nimeona wengi wako busy tu na Tasaf kwa vile wanalipwa na kusahau majukumu yao ya kuangalia jamii inayowazunguka.Nimewaandea lakini nadhani hawakunielewa na nikawapa report yangu ya mwaka na nikampelekea mkurugenzi lakini hata barua yangu ya kujitambulisha sijajibiwa nimetuma karibu mara mbili na inabidi nifanye kazi ya kuwahudumia wananchi kinguvu nguvu tu wakati watendaji wapo na nimeenda wako busy wakati wote na sijui wanalolifanya lakini kama kiongozi nakuomba tupia macho huko chini wananchi wanaumia watendaji wa vijiji hawana mafunzo ya kuhudumia wananchi katika kuleta maendeleo pasipo mabwana maendeleo kuhusika. Najua nagusa mikono ya watu lakini huu ndio ukweli.ukitaka information zote nitakupatia.

On Mar 7, 2016 12:32 AM, wrote:

Jamani mimi niko kijijini kabisa yaani kama serikali ni sikivu nadhani NW angekuwa anaibukia vijijini kusikokuwa na A B ndipo angejua.watu wapo vijijini kuna miungu huko usisikie kila kitu hakuna ningefurahi kama miezi sita angeibukia tu vijijini bila taarifa na uone bibi afya ambaye hajasoma yupo huko ndiye anaonekana badala ya NW kweli unampa mtu darasa la saba kuwa bibi afya kata unategemea nini wakati vijana wamesoma hawana kazi kisa vijijini hakuna wasomi jamani waambieni wakurugenzi wa wilaya waende masijala kila wilaya wakaone madudu hospital zipo lakini hakuna watendaji kila mtu ni mwizi na fisadi mahali pa kazi hakuna wa kuwasemesha watendaji wenyewe ngumbaru unategemea nini kwanini wote hao hawaendi kusoma au wapewe redundancy.For the sake of the Govt.wasomi wapo kila kona hawana kazi lakini tuna wilaya nzima au mikoa wasomi unahesabu je hamuoni.unatafuta afisa vijana amechoka yuko frustrated hawezi hata andaa mipango mikakati lakini yupo tu ukimuuliza mkuu wa wilaya anasema sina watu creative lakini ofisi zina mizigo waende shule au waachie ngazi ni Tanzania yote.unaweza usiwe msomi lakini mchapa kazi kwa uzoefu lakini wengi hulindana mamizigo ni mengi sana serikalini.lazima sasa Dr.Kingwangala mtusaidie kushape kila ofisi kuanzia chini hadi huu.

On Mar 6, 2016 4:42 PM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:


Kwenye health education theory kuna warning au understanging kwamba-Health Education in important but not sufficient for positive behaviour change. Ninaomba uende Google Search utafute-Health Education Theory or Behaviour Change Theory -utajifunza mengi. Binadamu wote hata ulaya kuna matatizo mengi. Wanajua Cigarette Smoking can cause cancer lakini wao ni chain smokers wanawake na wanaume na kansa za koo zinawamaliza. Hapa ni kipindupindu, ukimwi na elimu ya afya inatolewa lakini bado tu wachafu sana tupo katika stages za pre-contemplation pamoja na kuona vifi vya HIV, cholera na hata TB. Wanaojichubua jee-mapaka wanatoka makovu. Vipi kuhusu vidonge vya minyoo-matangazo mabango kibao, taarifa redioni, TV, magazetini na ubalozi kupita kuhimiza kuhusu kunywa dawa za matende na mabusha, minyoo-wazazi wanakataza watoto wasiende kunywa dawa hizo nao ukienda ktk foleni huwakuti bali wasichana, middle age women na wanafunzi au watoto wachache. Wanafunzi wanaomezeshwa mashuleni na kukaguliwa kinywa-baadhi yao wanakatazwa siku hiyo wasiende shule.

Ufagiaji na uzoaji takataka upo decentralized na wananchi wanajua, wameelimishwa na kuunda kamati za mazingira Mtaa. Wameombwa kuuna CBOs au NGOs kujiajiri katika kufagia na kukusanya takataka, mkandarasi ajaajiriwa kubeba taka kupeleka dampo. Mkandarasi anaomba kikao kinakaa kumjadili na Halmashauri inahusishwa na Mtaa kupitia list ya walijiorodhesha kuomba kuzoa taka. Kila Mtaa unapanga gharama ya kaya kulipia, aina ya biashara na gharama zake zinatofautiana. Kama ni duka, genge, meza tu ya samaki, mashine ya kusaga, bar lodging etc. Wanaweza kukubaliana kulipa kwa wiki au mwezi. Hata hivyo, ulipaji wengine wanakataa na kuamka usiku kuzitupa mferejini au nyumba jirani ili asitoe 500/= kwa wiki. Mwingine anasema-anashinda kazi na hana familia. Mwingine anamlipa mzoaji binafsi ambae anazoa na kuzitupa mitaroni, nyumba zinazojengwa anatoa hapa nyumba hii anatupa nyumba ile na vichochoroni, katikati ya barabara kwenye bustani na hata rapid bus transport stands. Mzoaji binafsi anatakiwa akaziweke ktk substation na alipie-hataki. wakati mzoaji binafsi anapata kama 150,000/= kwa mwezi na akifika majumbani anatumwa kufua, kutengeneza bustani, kufyeaka na kulipwa hela na chakula anapewa na nguo mbovu wanazotaka kutupa-anapata na vivalo. Utafiti wangu wa 2003 funded by ILO TZ nilitembea na wafagizi na wazoa taka kuanzia 10 jioni hadi midnight wakifagia namna hiyo usiku-UHuru-kariakoo area na Zanaki-Libya mjini. Kima cha chini cha GVT mshahara ilikuwa 80,000/= mzoaji akipata 150,000/+ yule aliyejiajiri. Aliyeajiriwa 30,000-50,000/= na foreman na dreva wa lori la taka 70-75,000/= (uonevu ulioje) Akiumwa mfagiaji hata kama alishafagia wiki anaanza moja na analipwa hiyo 30 elfu kidogo kidogo. Sexual abuse ilitawala pia kwa akina dada. Nilikuta walimu wastaafu wakifagia pia. Mikataba ya magari ya kubeba taka-utata mkubwa sina haja ya kuwapotezea muda. Nilihoji  kampuni 23. Nia yangu ilikuwa kuona kwa nini pamoja na kuwepo PPP bado mji mchafu, wazoao taka na kufagia hawavai protective gear? (Solid waste collection and utilization of protective gear with a gender perspective). Wengi hawapewi, wapewao huziuza na pia kuna kuporwa gum boot, fagio, reki, toroli na vibaka hasa mjini. Mfagizi anabondwa-anaporwa. Kampuni inakutaka-ujinunulie ikiajiri kama mfagiaji, mpakia taka kwa sepeto. Red cross na kampuni chache ndio wakilipa waajiriwa vema. Makusanyo ya kaya kulipa wafagizi na makampuni ya kuzoa taka-hufisadiwa na viongozi wa Mtaa halafu kuwa wakali asiulizwe. wapatao kontrakti-makanjanja kumbe magari hawana kimagumashi kukodi gari hela hawana na waliupata mkataba kimagumashi waliowapatia wakijua uwezo hawana wamekula hela hawawezi kuwadhibiti. Au-halmashauri ilidanganjwa mjamaa alikodisha magari akaandika majina na kupanga vifaa vya kukodi na vijana walamba bangi akaonekana ana ofisi na anauwezo kumbe-kiini macho taka zinamshinda. CBO na NGO nyingine si za wajasiriamali ni mtu kanjanja binafsi hivyo anawadhulumu anashiba yeye. Bongoland hiyo-taka zinalundikana Sokoni, management inakusanya hela-tumboni street kuchafu, kunanuka. wanaona ila sugu na vipofu wa kuona ulaji tu sio afya zao na taifa lao. Mfuatilie kiongozi hapo sokoni-uokotwe kichwa Urafiki na mikuu mabibo dampo la maji machafu.


Mabango ya Elimu Jamii ni mengi mno barabarani, zahanati na kazini.Ngoja nipate muda nikuwekee, mpaka ofisi za mtaa, kata, kijiji. Nimehusika sana na Evaluation ya IEC (Information Education, Communication) inayohusiana na elimu ya afya jamii, mazingira, afya kazini na mpaka kupima wafanyakazi waliopewa elimu ya afya na kuwahoji kuhuysu matumizi ya condom. Ukimuuliza mtu Mtanzania utapata majibu sahihi 80-100%. Lakini positive action less tha 40%. Katika HIV unakuta 90% positive ni married people. Hata kula dawa ya matende na ngiri maji-wanayaona matende na mabusha-hawali dawa kutikana na Imani potofu ina dominate kuizidi elimu ya afya waliyopewa. Hata ulaya-wamesoma lakini sigara inamfariji anaivuta daily kila mtu na matatizo yake. Enjoyment bila kondom ni superior kuliko outcome ya bila kutumia-Mungu yupo akitaka ufe utakufa tu na HIV. Hata mafuriko yalivyowaathiri wanabebwa na boat na kupewa viwanja, bati, cement wakae Mabwepande-waliuza wakarudi-tumezoea mjini ikawa dominant kiakili kuliko athari iliyokuwa inawafika kupoteza ndugu, mali na kuishi uchafuni daima. Mabwe pande ni uzunguni sasa. UMUELIMISHE KILA SIKU AU UACHE SIASA UTUMIE SHERIA UMZOE NA KUMUONDOA ASIRUDI HAPO-BOMOA, JENGA MIUNDO MBINU YA KISASA JANGWANI IWE KAMA UK-THAMES VALLEY!!


Hii ya usafirishaji taka kila jumamosi ni ya  Mh Mangufuli. Kila Mtaa una maamuzi yake ktk kuzoa taka na kupeleka dampo. Kuna mitaa Dar inafanya vizuri sana sana kwa usafi-Manzese Uwanja wa Fisi ni Mtaa/Eneo  mmojawapo na Jumuiya za Watumia maji Manzese pia Kibaha ni mfano wa kuiga.
Kodi wanazolipa mbona zina kazi nyingi lakini 'Polluter Pay Principle' inakutaka ugharimie uchafunzi unaoufanya ndio RIO Summit na mikutano mingine ya kidunia ilivyokubaliana na World Bank na DFID, SNV na donor wengineo hawapo tena kutugharimia city cleansing. Kunyonya maji machafu CIty Council na Municipality wawaachie private sector pia kufagia na kuzoa taka kulipiwe na wachafuaji. Ila waannchi tunatoboa vyoo na kutiririshia nje na mitaropni ili tusilipie. Kama kodi yako ilipie kila kitu hiyo 500 kwa wiki basi pia GVT ije ikuchambishe au ikuogesho ukitoka haja! Hizi pumba sizipendi. Unaweka choo kinafura, unakitiririsha maji ya kinyesi na maji taka mitaroni na hasa mvua ikinyesha ndio unafungulia ilioje, kisha  bomba lako la maji limepasuka lina plasta linapita uchafuni mtaroni, unakunywa maji mashafu, unaumwa, ulipiwe matibabu pia kwa pumba zako mwenyewe mtanzania! Changia kadi ya afya-nalipa kodi. Lakini unalewa, kununua madela, nyumba ndogo, unavuta sigara, kucheza kamali, kutwa kigengeni unakula ubishi wa simba na yanga huna hela ila umebweteka- Hebu tuwe na senses!!

Kliniki akina baba wanatakiwa waende-wabishi hawaendi. Mama anaelekezwa yote kuhusu uzazi salama, kondom ya kike na ya kiume, tubal ligation lakini-Hataki anaogpopa kuachwa akitumia dawa za majira au kuweka kitanzi au kutumia kondom. Michepuko mume na mke wanayo wote. Hata Mererani, Geita machimboni elimu inakotolewa sana na mabango yapo-na kule ambako wafanyakazi wanapewa kondomu bure-tumeluta matumizi yake madogo sana 2%. Wafanyakazoi huzibena na kuziuza.

Kama ni Elimu ya AFYA-Tanzania inaongoza. Sera na Mikakati-mingi na mizuri, sheria-zipo zinatakiwa kurekebishwa nyingine ziwe updated. Tatizo ni utendaji wetu kuanzia kaya hadi ofisi za Mtaa, Wlaya, Mkoa na Mawizara. Ifike wakati hata ktk kilimo unapofika mahara kuna kilimo na ufugaji sio endelevu, ofisi ya kijiji, kata, Tafara haina choo au choo bora-fukuza hao extension staff kama hakuna sababu maalum ya kuridhisha kwa nini hakuna choo na kilimo ni haribifu. Kituo cha Afya choo  kibovu au mlango hauna bawaba haufukingi na fundi yupo kuweka bawaba tu!-Tumbua mshahara wa fundi kama hela alipewa hakuweka.

Bila ya Unyapara-nchi haitobadilika hata aje nani udikteta lazima.  Kila mmoja nje ya nyumba yake mfereji uwe safi no majani, taka ngumu, maji kutoka nyumba yake kuingia mtaroni-Tumbua. Wakifagia hayakubebwa wamelundika nje au mtaroni-Tumbua Serikali ya Mtaa (sio Wilaya)-Bwana Afya Kata, Diwani, Viongozi wa Mtaa na kamati zao na Ubalozi. Kwani Mbunge naye jimbo lake chafu anafanya nini; kilimo na ufugaji usio endelevu anachekelea na kujali maandamano tu! Hivi kweli kuwe na Chuo cha Kilimo, Ranch ya GVT ya Ufugaji lakini vijiji kuzunguka chuo na ranchi viwe vinalima na kufuga ktk hali ya Karne ya 6? TUMBUA! Field practice yao wanafanya wapi. Nje ya Health Training Institution takataka mitaani zimelundikana halafu eti unafundisha hapo Sanitary engineers, Health officers???? Ndani ya Chuo cha Construction Engineers mazingira ya chuo ngazi zote zimeporomoka, concere slabs zimetoka mitaroni pia zinazagaa na kuvunjika, ceiling board ya darasa imemegeka inataka kuanguka-EXCUSE ME!! tumbua Mkuu wa Idara na wa Chuo Hicho!! Mbona wanafanya consultancies na practices wanakwenda kufanyia wapi?

Nina mengi usinichokozege haha12. Unyapara lazima uwepo!!
Kama Kawa


--------------------------------------------
On Sun, 6/3/16, haha12@poczta.fm <haha12@poczta.fm> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Sunday, 6 March, 2016, 1:30

 Nakubaliana na mengi
 uliyoyasema, na ndio maana mapema niliandika kuwa ni
 serikali ndiyo inapaswa kutowa muweleweko unaoweza kueleweka
 kwa jumuia nzima. Iwapo bajeti inaruhusu zitumike kiasi
 kadhaa kwa madhumuni fulani na zaidi ya hapo nchi haimudu,
 basi wananchi waelewe. Kuelimisha watu liwe ni jambo la
 kawaida. Vyombo vya habari, mashuleni, wana siasa, kwenye
 familia zetu tuwe tunaambiana ukweli na sio propanda. Watu
 lazima wajue hizo kodi wanazolipa zinakwenda wapi na zina
 umihimu gani katka fani mbali mbali za maisha yao. Umetoa
 mfano wa usafishaji kila jumamosi, lakini still watu
 wanatupa taka hovyo. Ni kwamba watu hawaelewi kwa nini
 wanatakiwa kusafisha miji wakati kuna serikali za miji-
 town/city councils. Lakini ukiwaelisha watu wajue kuwa pesa
 za usafishaji tutazitumia kwa shughuli nyingine kama kununua
 dawa n.k wataacha tabia hiyo ambayo unaweza kuilinganisha na
 usaliti. Nchi yetu hivi sasa ina wasomi wengi, ndio maana
 unaona watu hawataki tena mambo ya kienyeji. Wote
 tunakimbilia hospitalini ambako pia wanapaswa sio tu
 kutubiwa bali kupewa health education ambayo itasaidia
 kupunguza/eradicate baadhi ya maradhi. Yote hayo yapo
 mikononi mwa serikali na sisi kama raia tunapaswa
 kuyatekeleza. Unyapara lazima uwepo
 Mtanganyka


 Od: "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
 Do: wanabidii@googlegroups.com;

 Wysłane: 20:42 Sobota 2016-03-05
 Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
 KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
 MIKOCHENI

 >
 >
 > Unayoyasema Haha12
 ni sawa kabisa. Lakini ujue-kujaa watu hospitali au katika
 huduma za afya kwa sasa ni positive trend katika uelewa wa
 watu kuhusu huduma ya kisasa ya afya. Pia akina mama
 kujazana na kuazlia zahanati au hospitali. Ina maana
 hawategemei zaidi waganga wa kienyeji bali huduma ya
 kisasa.
 >
 > Kama kuna
 zahanati ambayo hupokea wagonjwa na kuwahudumia vizuri-
 watatoka mbali na kujazana hapo na madaktari wakiwa wachache
 ila wanafuata huduma bora.
 >
 > Kuhusu wananchi kumudu gharama-elfu kumi
 kwa mwaka kadi ya afya na nyingine gharama ni ya serikali ni
 hela kidogo sana kwa kaya kwa mafao ya afya bora. Ukifanya
 household survey na kuangalia expenditure yao kwa siku
 utaona wanaweza kulipa elfu kumi kwa mwaka-pombe, sigara na
 matumizi mengine binafsi.
 >
 > Fikiria kuku mmoja kijijini ni 12,000+
 angalia mauzo ya nyanya, bamia, na mazao mengine ya
 biashara-nazi, samaki, korosho, kahawa, maziwa, nyama.
 Mfugaji ana ng'ombe elfu 5 a na mifugo mingineyo na
 masikini anao  angalau wa 5 na mbuzi chache anauza ,mnavu
 pori, maziwa, dawa. Mkulima-kisambu, mchicha etc;
 Mvuvi-samaki gharama-elfu 10 kwa mwaka?! Unawaelimisha na
 kichwa na mifano kuonyeshwa na wanaona wanapoumwa ghafla au
 ugonjwa sugu. Bado anapokwenda kwa mganga wa kienyeji
 anatumia pesa nyingi kuliko hospitali kuchangia kadi ya afya
 kwa familia TAS 10 elfu kwa mwaka.
 >
 > Uelewa wetu hata na mifano ya wagonjwa na
 wanaofariki bado hakieleweki. Mifano hata hii ya usafi
 takataka kuziweka panapohusika, usafi wa pamoja kila jmosi
 na kila mwisho wa mwezi-bado tunatupa takataka mifereji wazi
 zinakwama, kunafurika mpaka ndani ya nyumba na tunaendelea
 kutupa na kuunganisha vyoo katika open drainage system.
 Chakula kuuzwa wazi, kipindupindu kinaua na tunaona
 walivyolala chini na wanaofariki-bado tunauza chalkula wazi
 pembeni taka zipo na mainzi kibao, tunanunua na mainzi yapo,
 serikali ya mtaa inakusanya kodi mainzini hapo. Ajali
 tunaziona lakini tunapanga biashara mpaka barabarani na njia
 za kupita kwa miguu hazipitiki. Kitu gani utufundishe sisi
 wabongo tuelewe na tutie katika matiki tuzingatie uhai na
 afya zetu. Hata viongozi wa siasa wanaelewa lakini bora
 apike mazuri ili apate kura atetee tu ushabiki wa
 kupinga.
 >
 > Ulaya
 wanakatwa kodi hasa kuikwepa si rahisi sana na kodi inakuwa
 invested katika huduma. Huwezi kusafiri na kuingia nchi zao
 bila ya Health Insurance labda uwe mhamiaji haram umejificha
 na hutoumwa wakakubamba. Kama bajeti inawekwa kikanjanja
 halafu inaingia kugharimia kisiasa sio kununua vifaa na
 kugharimia panapohusika-kumfukuza daktari wa wagonjwa kulala
 chini au kukosa dawa si vema. wapo vibaka lakini wapo pia
 watendaji bora watoa huduma na kuhurumia watu. Kama kuna
 good governance na ufuatiliaji uliotukuka-haya yote ya
 vibaka kuiba vya health sector kusingekuwepo. Hapa
 bongoland-ubadhirifu mpaka family/household level.
 >
 > Maduka ya Umma yes
 yawe ndani ya huduma husika ya afya -kuwe na dirisha la dawa
 na duka la dawa apate zile ambazo anastahili kutokana na
 kadi yake ya afya na Duka la umm hap ktk health facility la
 watu kununua ambazo hawezi kupata kutokana na card yake au
 mahitaji yake kama kalazwa Lakini usikataze watu wasifanye
 biashara hiyo kama vile utakavyotakiwa usikataze wasiuze
 mbegu na madawa ya kilimo eti wategemee ofisi za kilimo tu
 au za Vet care tu ambazo zitakuwa mbali na waliowengi vijini
 na mijijini. Liberalization of the economy itarudishwa nyuma
 na masuala ya ajira. Ila msisitizo ni sheria izingatiwe,
 kutokuuza vitu feki na vilivyoisha muda wake sekta zote.
 Serikali iboreshe mifumo yake na kuisimamia vizuri, iondoe
 utata ilioutengeneza before punishing the innocent and
 blaiming the victims unnecessarily.
 >
 --------------------------------------------
 >
 >
 > On Sat, 5/3/16, haha12@poczta.fm 
 wrote:
 >
 >  Subject:
 Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA
 UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
 >  To: wanabidii@googlegroups.com
 >  Date: Saturday, 5 March, 2016, 21:25
 > 
 >  Huo ukosefu wa
 madawa
 >  haukuanza leo, lakini
 ninayoyasikia leo kuhusu suala hilo
 > 
 inaonyesha jinsi ufanisi wa kazi zinavyodidimia- Hospital
 >  managements zinandelea kuwa mbovu.
 Zamani hayakuwepo maduka
 >  mengi ya
 madawa kama yalivyo leo na wakuu wa hospitali zote
 >  kuanzia zahanati walikuwa wanapatiwa
 dawa kuambatana na
 >  matakwa halisi
 ikiangaliwa na uwezo wa bajeti iliyotelewa na
 >  serikali. Wagonjwa hawakuwa wanalala
 chini, wagonjwa
 >  mawodini walikuwa
 hawanunui dawa wala chakula. Sasa iwapo
 >  leo kuna haja ya kujitegemea kiafya,
 serikali inapaswa
 >  iwaeleze wananchi
 ukweli halisi  kuwa ukienda hospitali
 >  unapaswa ulipe au usilipe badala tu ya
 kuwalaumu wafanya
 >  kazi. Sio wananchi
 wote wana health insurance kutokana na
 >  sababu mbali mbali. Tatizo hilo ni zito
 sana hata kwa nchi
 >  ziliZOendelea.
 Wananchi wanapaswa waelimishwe umuhimu wa
 >  health insurance na serikali iwe makini
 kwa wahujumu wa aina
 >  yeyote kwenye
 masuala ya madawa, vifaa na pesa za umma .
 >  Maduka ya madawa ni vyema yarudishwe
 mikononi mwa serikali
 >  ili kupunguza
 ulanguaji na ubinafsi unaofanywa na baadhi ya
 >  wafanya kazi ktk hospiltali zetu. Tuache
 kuwalaumu madaktari
 >  na wauguzi kwani
 sio wao wanaopanga sheria
 > 
 Mtanganyika
 > 
 > 

 >  Od: "Hildegarda
 >  Kiwasila"
 > 
 Do: wanabidii@googlegroups.com;
 > 
 >  Wysłane: 18:07
 Sobota 2016-03-05
 >  Temat: Re:
 [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
 > 
 KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
 >  MIKOCHENI
 > 
 >  >
 >  >
 >  > Yes Kim-Zamani hata
 >  kama dawa hospitali hakuna anakwambia
 doctor au nurse nenda
 >  hapa au pale
 ukanunue dawa aliyokuandikia lete hapa hakuna
 >  au zimekwisha. Mgonjwa anatibiwa na
 unakuta kila mgongwa ana
 >  bahasha lake
 la dawa alilonunua nurse kaliweka separate na
 >  mengine. Hakuna pampas unakwenda dukani
 nje unanunua
 >  unapeleka kwani private
 hospital huwezi gharama zake ambako
 > 
 pamsai utazilipia ktk bili yako ya gharama za juu.
 >  Unaridhika unampa kadogo kitu doctor wa
 GVT hospital kama
 >  asante.
 >  >
 >  > Sasa
 hii
 >  fukuza na funga hapa na pale,
 fukuza nurse, daktari
 > 
 waliobaki-watakuangalia pale unakufa- Msubiri Mangufuli
 na
 >  Kingwalala waje!! Cheza na mbongo
 wewe!
 >  >
 > 
 >  > Narudia-usifunge Duka la Dawa nje
 ya
 >  zahanati au huduma ya afya yoyote
 kabla hujafungua lako
 >  ndani ya huduma
 hiyo na kuhakikisha Health Kit ya huduma
 >  husika ina dawa za kutosha. Wakitoka nje
 wanakuta dawa ghali
 >  kuliko duka la
 ndani ya facility hiyo ya GVT hawanunui nje
 >  bali ndani.  Daktari atafanya uwekezaji
 upi kama sio ktk
 >  sekta yake
 aliyosomea?_Duka la Dawa. kama hana
 > 
 hilo-ataondoka hapo mapema kwenda kutoa huduma private
 >  hospital ili agange njaa. Foleni ndefu
 yupo  daktari mmoja
 >  tu wengine
 wamesepa kuongeza mshahara.
 >  >
 > 
 >  > Kama maduka
 ya dawa yamezingatia
 >  sheria na kupata
 leseni na wananunua dawa kiuhalali hata
 >  liwe la daktari liache!. Daktari ya
 hospitali, health
 >  Centre, Dispensary
 anajua ni magonjwa gani yapo highly
 > 
 prevalent hapo na muda gani yanatokea. Hivyo ananunua
 dawa
 >  anazoona zitahitajika eneo hilo.
 Health Kit ya Zahanati kwa
 >  mfano
 inategemea kaya ngapi zimenunua Health Card ya SHS
 >  10,000 kwa mwaka familia ya watu sita na
 health Card ya
 >  mwanafunzi shule
 watoto 5 wanaweza kujumuishwa shs elfu 2
 >  kila mmoja matibabu ya mwaka kwa kadi
 moja ya elfu 10.
 >  >
 >  > Binafsi-nimejitolea
 >  sana kutibu wanafunzi kwa pesa zangu
 kila nipitapo vijijini
 >  kwa research
 na ninaposimamia miradi ya maendeleo vijijini
 >  ambayo huhusisha pia school health. Dawa
 nyingine za minyoo
 >  iliyomfanya mtoto
 awe na matezi nilizinunua DSM kwa ajili ya
 >  mwanafunzi aliyepo Milola kilometa 60
 kutoka Lindi mjini.
 >  Haikupatikana
 Lindi. Kuzisafirisha vijijini kwa bus la
 >  abiria. Vifaa vya zahanati kuvinunua Dar
 maduka ya medical
 >  equipment
 authorized by the Ministry na kusafirisha Zahanati
 >  ninakosimamia mradi husika unaogopa
 vikipitisha Wilayani
 >  vinaweza
 visifike vinakotakiwa lakini unamuarifu DMO kuwa
 >  umepeleka hiki na kile kama
 mlivyokubaliana wakavikague
 > 
 vimeshafika. Hiyo ni Health Centre au Zahanati ya
 Serikali.
 > 
 > 
 >
 >  > Mzazi anashindwa
 >  hata kumpa mtoto hela akatibiwe zahanati
 lakini anakunywa
 >  pombe daily hanunui
 health card. Kama kaya ni elfu 2
 > 
 waliolippia kadi ya afya ni kaya asilimia 2 unafikiri
 Health
 >  Kit ya Zahanati itapatikana
 vipi? Wakati mwingine inakwenda
 >  sio
 kit husika kwa eneo hilo. Mpaka irudishwe inayohusika
 >  hapo na madawa hitajika ifike-hawajafa
 tu kama hakuna duka
 >  la dawa la
 binafasi? Hii funga funga mimi inanikera labda
 >  kwa mtu ambae hana uelewa na sekta hii
 ataona ile ingia
 >  funga na toka nje
 funga maduka ya dawa ni kitu chema. Hata
 >  vyuo vya elimu ya juu wameruhusu
 restaurants za watu binafsi
 >  na
 wanauza chakula sio bure tena kama tuposoma sisi
 >  cafeteria unapata nusu kuku unakula na
 kutupa. Sasa lipia
 >  kula ule utupe kwa
 matakwa yako. Huwezi ukafunga tu biashara
 >  hapo campus au nje ya shule wakati
 huduma ya serikali ya
 >  chuo kwa sasa
 inaendeshwa na mkandarasi sio dezo tena.
 >  Tujiangalie na maamuzi ya Hapa Kazi tu
 yanavyofasiriwa
 >  vibaya bila ya
 kuzingatia principles of good democratic
 >  governance, effective manpower
 management and effective
 > 
 institutional management.
 >  >
 >  > Kama Kawa
 > 
 >
 >  >
 > 
 --------------------------------------------
 >  > On Fri, 4/3/16, De kleinson
 kim 
 >  wrote:
 > 
 >
 >  >  Subject:
 >  Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
 KUFUNGWA CHUMBA CHA
 >  UPASUAJI CHA
 HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
 > 
 >  To: wanabidii@googlegroups.com
 >  >  Date: Friday, 4 March, 2016,
 22:51
 >  > 
 > 
 >  MAMA Kiwasila
 >  ametoa
 >  >  mwangaza,
 > 
 > 
 >  >  serikali isishie
 >  kuwa wakali kwa watumishi wa afya
 haswa
 >  >  huduma za afya,
 tuangalie takwimu za
 >  vifo na
 huduma
 >  >  nyinginezo katika
 >  hospitali zetu!! 
 >  > 
 >  > 
 Ndio namna ya kugundua kama tunasonga
 > 
 mbele, zikizidi
 >  >  tunarudi
 kurekebisha
 >  jambo, zikipungua
 tunashukuru
 >  > 
 >  tumeweza!!  Ila kugawa mambo ya msingi
 kama dawa n.k. ni
 >  >  jukumu la
 serikali.
 >  > 
 >  > 
 >  > 

 >  >  --
 > 
 > 
 >  >  Send Emails to
 >  wanabidii@googlegroups.com
 >  > 
 >  > 
  
 >  > 
 > 
 >  Kujiondoa Tuma
 >  Email kwenda

 >  > 
 > 
 > 
 >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 >  Utapata Email ya
 > 
 >  kudhibitisha
 >  ukishatuma
 >  > 
 >  > 
 >   
 >  > 
 >  > 
 > 
 Disclaimer:
 >  > 
 >  > 
 >  Everyone
 posting to this Forum bears the sole
 > 
 responsibility
 >  >  for any
 legal
 >  consequences of his or her
 postings, and hence
 >  >  statements
 and facts must be presented
 > 
 responsibly. Your
 >  >  continued
 >  membership signifies that you agree to
 this
 >  >  disclaimer and pledge to
 abide by our
 >  Rules and Guidelines.
 >  > 
 >  > 
 ---
 >  > 
 > 
 >  You received this message because you
 >  are subscribed to the
 >  >  Google Groups
 >  "Wanabidii" group.
 >  > 
 >  >  To
 unsubscribe from this group and stop
 > 
 receiving emails
 >  >  from it, send
 an
 >  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >  > 
 >  > 
 For more
 >  options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.
 > 
 >
 >  > --
 > 
 > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >  >
 >  >
 Kujiondoa Tuma Email
 >  kwenda
 >  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 >  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma
 >  >
 >  > Disclaimer:
 > 
 > Everyone posting to this Forum bears the
 >  sole responsibility for any legal
 consequences of his or her
 >  postings,
 and hence statements and facts must be presented
 >  responsibly. Your continued membership
 signifies that you
 >  agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules
 >  and Guidelines.
 > 
 > ---
 >  > You received this
 message because you are
 >  subscribed to
 the Google Groups "Wanabidii"
 >  group.
 >  > To
 unsubscribe from this group
 >  and stop
 receiving emails from it, send an email to
 >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >  > For more options, visit
 >  https://groups.google.com/d/optout.
 >  >
 > 
 > 
 > 
 >  --
 >  Send Emails
 to wanabidii@googlegroups.com
 > 
 >  Kujiondoa Tuma
 Email kwenda
 > 
 > 
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 >  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma
 > 
 > 
 Disclaimer:
 >  Everyone posting to
 >  this Forum bears the sole responsibility
 for any legal
 >  consequences of his or
 her postings, and hence statements
 > 
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 >  membership signifies that you agree to
 this disclaimer and
 >  pledge to abide
 by our Rules and Guidelines.
 >  ---
 >  You received this message
 >  because you are subscribed to the Google
 Groups
 >  "Wanabidii"
 group.
 >  To unsubscribe
 >  from this group and stop receiving
 emails from it, send an
 >  email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >  For more options, visit
 >  https://groups.google.com/d/optout.
 >
 > --
 > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >
 > Kujiondoa Tuma Email
 kwenda
 > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 >
 > Disclaimer:
 > Everyone posting to this Forum bears the
 sole responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.
 > ---
 > You received this message because you are
 subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
 group.
 > To unsubscribe from this group
 and stop receiving emails from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 > For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.
 >


 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment