Sunday, 6 March 2016

Re: [wanabidii] HIVI January Makamba ANAFIKIRI KWA KUTUMIA KIUNGO GANI?

Matusi mengine sio lazima yawe direct lakini mtu akitoa mawazo yake aheshimiwe halafu Mheshimiwa umepewa Wizara ni kitu kikubwa unajua ni bora serikali ya mtaa/kijiji kwani unashughulika na watu na huna tofauti na Mfalme Suleimani aliyeomba Hekima kwa Mungu kuwatawala watu kuliko wizara sanasana nikulinda maslahi kisiasa na kutoa maagizo huna shida kubwa

sema ulichopendelewa ni maslahi makubwa sana kama fedha magari majumba ndipo mkabweteka wakati mwenye watu yaani mwenyekiti wa serikali ya kijiji hapati hata mia mnawakandamiza mkija kuomba kura.Usimdharau mtu.ukiweza kuwatawala wananchi wenye shida ambao serikali yao haiwajali hawana dawa wala watoto wao hawana madawati wala waalimu madaktari manesi dawa barabara chakula nk

na ambao wamedanganywa kupewa milioni hamsini wakati hakuna mikakati mizuri iliyowekwa ya kuwakomboa kiuchumi na kiakili ukiweza ujue unaweza hata kuwa Rais kwani ndiye pia

wananchi wote wanamwangalia.Tunakuheshimu mheshimiwa Dr.Kingwangala naomba ujiheshimu na kufikiri unapokuwa unaandika ujue tunachukua kama wizara imesema.Mtu kukueleza hisia zake sio dhambi wewe kama kiongozi nikichukua nakufikiri kwa nini amesema labda kuna mantiki chunguza usiitetee serikali wacha serikali ijitetee kwa kuwatendea wananchi walioiweka madarakani ujue wewe ni mtumishi wa wananchi.always your client is right

.huu ni ushauri wa bure ukipenda ichukue hapana uponde.

Wakati mwingine kutokana matatizo tuliyonayo wengi tunaongea sana wewe observe.
RAIS  amekuweka umsaidie kutatua matatizo lakini isimtukane mtu huu ni utoto.Tutaogopa na kuona kumbe Rais amechagua mtu ambaye kiakili hajakua. Nitakuomba uondoe lile neno lako la mwisho au utuombe radhi wewe ni celebrity

On Mar 4, 2016 5:25 PM, "Mike Zunzu" <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
Ningeliweza kukuita kwa sifa inayotumiwa sana mitaana, lakini neno hilo nalihifadhi kama ulivyokihifadhi kiungo kinachotumiwa na baadhi ya watu wanapofikiri kutoa hoja zisizokuwa na msingi.
Bahati mbaya kwa namna hiyo umeshajitambulisha unazo sifa zote mbili, ya kwanza ile sifa ya neon la mitaani wanapoitwa watu wanaponekana kufanya mambo ya kipuuzi + kufikiria kwa kutumia kiungo hicho hicho ulichoshindwa kukitaja.

Hivi hapa ni ushabiki au uhalisi na ukweli ndicho kinachozungumziwa? Waswali husema kinachopenda moyo ni dawa. au mtu akipenda hata kama mtu anachongo itaonekchongo bali ni kengeza!

On Friday, 4 March 2016, 5:20, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Shida yetu hatupendi kuambiwa ukweli,
Kuna uongo gani hapo? Na majuzi kwenye sherehe za maadhimisho ya chama
JK alimwambia Magu "...kuna vijana walifanya kampeni....
...waangaliwe...",  bado anafikiria mambo yanaenda kama alivyokuwa
akiyaendesha yeye.

Mlizoea kufanya urahisi flani mpewe vyeo... Leo pamekuwa pagumu.

teh teh teh
"Ikumbukwe kwamba serikali ya JK ilikuwa makini kuliko hii serikali ya
KUKURUPUKA. Sasa iweje huyu mwendawazimu aikashfu serikali ya JK
hadharani? " Gikaro, wasemea umakini kwenye nini??

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci

*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment