Monday, 5 September 2016

[wanabidii] Mpango kazi wa Kitaifa wa Uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa Uwazi

Ndugu wadau

Nimeambatanisha Tangazo la serikali linalohusu wananchi na wadau kutoa maoni  kuhusu Mpango kazi wa Kitaifa wa Uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa Uwazi kwa awamu ya tatu 2016/2017-2017/2018. Mnashauriwa kutuma maoni yenu kama Tangazo lilivyooelekeza.
 
Kila la Kheri

 
Annastazia Rugaba, 0687 222 197 or +255 762837276

0 comments:

Post a Comment