Sunday, 18 September 2016

[wanabidii] MIAKA KUMI YA MJENGWABLOG: ' Born Again Pagan' Akumbushia Ya Miaka Baada Ya Uhuru..


Na Rommel Z. Mauma (a.k.a Born Again Pagan, Septemba 17, 2016

Born Again Pagan BAP, New York,

"Ili mwanadamu uyaelewe yanayotokea leo na upate mwanga wa kitakachotokea kesho, ni muhimu ukae- lewa kilichotokea jana." Maggid Mjengwa

NIMEANZA na yaliyoandikwa na Mwenyekiti wa Kijiji chetu (Bwana Bwana Maggid Mjengwa) hivi majuzi wakati akikumbuka Makamu wa Rais wa Tanzania na Rais wa ZanzĂ­bar, hayati Aboud Jumbe. Mwenyekiti wetu huyo, ambaye kwa dhamira au utashi wake wa hali juu ya kisiasa (the highest personal political will), tutaadhimisha kwa heshima, furaha na hongera nyingi za dhati Miaka 10 ya Kuzaliwa kwa Kijiji chetu hiki hapo Jumatatu tarehe 19, mwezi huu.

Mara nyingi, nimechangia mawazo yangu hapa kijijini nikitumia jina la uandishi tu, Born Again Pagan au BAP, kwa ufupisho. Niliwahi kueleza kisa cha jina hilo.

Katika Kuadhimisha Miaka 10 ya Kijiji chetu, naandika makala yenye kukidhi ahadi zangu kwa Mwenyekiti wetu. Moja, kuhusu mfululizo wa makala za maisha yetu ya ujana hapo Mlimani (1966-1970), Mwenyekiti amekuwa akiniomba nimtumie angalau baadhi ya picha zetu; nimefanikiwa kuokoa picha mbili. Sababu ya kuweka hapa hizo picha mbili ni kwamba ... Soma zaidi..http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/27827-miaka-kumi-ya-mjengwablog-born-again-pagan-akumbushia-ya-miaka-baada-ya-uhuru.html#.V97cZfkrLIU

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment