Thursday, 22 September 2016

Re: [wanabidii] 5th February 2017

Bw. Kassala,
Nikupongeze kwa dhati kwa ulichotupatia, kwani mimi binafsi, na nadhani wapo wengine wengi, ambao hawajapata kulisoma kwa kina Azimio la Arusha,
achilia mbali kulitafakari. Ombi langu, kwa yeyote mwenye toleo la Kiswahili naomba atuwekee. Naamini itaongeza idadi ya tutakao-LIELEWA, ingawa najua WATAKAOLITAFAKARI  watabaki wachache sana, na wale watakao-DHAMIRIA NA KUONYESHA NJIA ya kulitekeleza watakuwa wachache zaidi. Wale wachache sana zaidi,  watakaoungana na kuchukua uamuzi wa KULITEKELEZA, ambao ndio Taifa letu linawahitaji, niseme TUWAOMBEE!!
Issa Osena.


From: 'Camillus Kassala' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Wanataaluma Wa Tanzania <wanataaluma@googlegroups.com>; "wanazuoni-subscribe@yahoogroups.com" <wanazuoni-subscribe@yahoogroups.com>; Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>; Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, September 22, 2016 4:47 PM
Subject: [wanabidii] 5th February 2017

Dear All!

On Sunday 5th February 2017 will be the 50th Anniversary of the Arusha Declaration. I invite you to begin an intellectual pilgrimage towards that day!

On your pilgrimage, kindly read and read and read the Arusha Declaration herwith attached.

The Best of luck in your intellectual pilgrimage!

CDNKassala
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment