Friday, 11 March 2016

Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING

Kuna madhara makubwa sana kumpeleka mtoto boarding schools katika umri mdogo pamoja na mengi yaliyosemwa yakiwepo ya ushoga na tabia mbaya ya watoto kukosa nidhamu na kuingia katika biashara hasa ngono no lakini pia

Watoto wanakosa mapenzi ya wazazi kiasi kuwa anawaona wale aliosoma nao kuwa ndugu zaidi na hasa anapokuwa mkubwa akiwa amemaliza mfano chuo au akianza kazi haoni umuhimu kwa wazazi au walezi wake kwani hakupata mapenzi na kupelekea kuwajali wanafunzi wenzake nakuhurumiana na kujaliana kuliko wazazi ama walezi mfano wakati wa harusi vifo ugonjwa huduma mbalinbali haoni umuhimu kabisa na mzazi ukianza kulalamika wanashangaa.

Ni vema kujipangia utaratibu mzuri wa kuwakuza na kuwajali na kuwafundisha maadili wakiwa katika umri mdogo akishajitambua basi unaweza kumjengea msingi mzuri wa kwanini Elimu.akigundua mtoto kuwa elimu ndio maisha na mafanikio ya baadaye mtoto aliyejitambua hatafanya mchezo kwani utakuwa umemfundisha jinsi ya kufanikiwa kimaisha kuwa na marafiki wale wanaopata mia ambao wanathamini elimu na wenye Maadili Emma.
Mzazi wewe ndiwe unapaswa kuwa Mentor wa kwanza katika kila hatua uwe rafiki wa karibu ili asikufiche lolote ili uweze kumsaidia .
Wakati mwingine kutokana na matatizo ya kifamilia watoto wanakuwa katika shida labda mama na baba wameachana mtoto kilelewa na mama Au Baba wa kambo kuteswa inalazimu mtu afanye maamuzi magumu ya mtoto kwenda bweni Au mama baba amefariki au mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa nk mara nyingi matatizo kama haya hulazimu mtoto kuishi bweni ili kumpa mtoto haki yake ya msingi ya kusoma

Kwa hiyo tusikimbilie kuponda hebu tafiti za kutosha na pia shule zipo zenye maadili mema na wafanyakazi wanaojali sio shule zote hazifai kweli nyingi sana hakuna maadili lakini wazazi huwapeleka watoto kwa sifa na kufuata mkumbo wakidhani ni maendeleo kumbe unaharibu watoto.tijitahidi sana kufanya maamuzi sahihi kabla ya kumpeleka mtoto wako mbali na wewe mzazi.wengine wanaachwa kwa bibi zao na babu zao na hakuna uangalizi wa kutosha ambapo inakuwa haina tofauti na boarding.
Australia ndugu tu na jamaa tunapaswa sana kuhangaika mwenyewe kwani wewe ndiwe ujuaye uchungu wa mwana

On Mar 10, 2016 4:21 PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:

Hii mada tuliwahi ijadili. Kusema kweli wazazi wanajitahidi sana kujinyima ili watoto wawe na elimu nzuri, Lakini changamoto zilizopo ni nyingi mno unapompeleka mtoto shule za boarding.
Huu mjadala ulitakiwa uwe wa kitaifa bahati mbaya tuko busy sana hatuna muda huo.
Pengine yangefanywa maboresho ya shule zetu na miundo mbinu ikiwa ni pamoja na kila mtu kuchangia maendeleo ya shule eneo wanaloishi labda tungetatua matatizo mengi lakinj hilo haliwezekani.
Kwa ndugu yetu ulieomba ushauri, binafsi mimi sio shabiki wa boarding schools unless unakwepa majukumu kwa kisingizio cha utafutaji sambamba na hilo kwa ajili ya watoto ungetafuta shuguli/kazi inayokuwezesha kumudu watoto kusoma huku ukiwa unawaangalia maendeleo yao.
Hapo upime kazi pesa nzuri au makuzi mazuri ya watoto na ujenzi wa familia hii ni changamoto iko tofauti kwa kila mtu. Hata ikibidi uache kazi usiogope kuwa mbunifu bada miaka 15/20 watoto watakuwa wameenda zao na wewe unastaafu pengine bond unayotengeneza italipa ubaya wa boarding uzeeni tujijengee nyumba za wazee kama ulaya maana watoto hawafundishwi kuishi kifamilia ubinafsi ndo mpango mzimaaaaa

On Mar 10, 2016 06:34, "Atu Mwangomale" <acanemwango@gmail.com> wrote:

Nadhani mwenzetu ameomba ushauri tu badala yake ameandikiwa gazeti.  80% ya mashoga wanaanzia nyumbani mara shuleni. shuleni wanaambukizwa ugonjwa wa zinaa mara wanavuta bangi..  nyumbani nako si salama....

Mbona anatishwa zaidi badala ya kusaidiwa!

changamoto za kutafuta elimu na hasa elimu ya sekondari sasa hivi zinatufanya wazazi tupeleke watoto shule za bweni. 

ila kwa kuwa mtoto ni mdogo ni vyema mzazi ukajaribu kupima changamoto za nyumbani ulizokuwa nazo na zile za mtoto kukaa bweni.  shule za bweni nazo zimetofautiana.  nashauri ujaribu kuangalia mazingira ya shule mbili Tatu za bweni na upime na changamoto ulizonazo kabla ya kufanya maamuzi

On 10 Mar 2016 13:26, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Sijasoma wengine wameandika nini kuhusu shule za boarding kwa watoto wadogo. Lakini wazazi kuwalaza watioto wadogo wa kiume na kaka zao, houseboy, ndugu wengine; kuwafanya watoto wa kiume kuchangia vyumba na watroto wa wapangaji wengine na wakike hivyo hivyo ktk kutatua uhaba wa vyumba; kumlaza mtoto na kaka-houseboy; kuwachanganya kiumri mabwenini na wake wakorofi wasio nidhamu vyote hivi vinachangia saha ushoga. katika tafiti zetu za matatizo ya wanafunzi na sodomy TZ-jinsi unavyowalaza namna hii na shule za boda zinachangia kuongeza mashoga nchini. Asilimia 80 ya vijana mashoga wametengenezwa majumbani kwao. Asilimia nyingine ndio kubakwa njiani akienda na kurudi shamba, shule, mabwenini; bosi kumuahidi mshahara mkubwa au mafao mengi mengi (Land Lord, mwenye duka anakomuuzia duka, ice creame, kuuza chakula hotelini au mpishi etc). Kumpeleka mtoto wa miaka 3 boarding unamnyima mapenzi ya wazazi na malezi ya maadili. Kule anaonewa vibaya na wengine kuwapa magonjwa ya zinaa; kutishiwa, kusimangwa na wengine kujifunza uhuni, matusi, bangi katika umri mdogo. Wadada nao-wana michezo yao na vitoto hivyo.
Tusitatfute ufahari eti mtoto yupo boarding international, sina muda na kazi nyingi, baba/mamake  kanikimbia sina msaada-tunaharibu watoto wetu na kuwatesa vibaya.
Ninachangia
--------------------------------------------
On Thu, 10/3/16, 'Baika Kahuta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, 10 March, 2016, 13:14

 dah, na
 hilo jambo  Mt. B; Bukoba Municipal,
 Tanzania - East Africa.

     On Wednesday, March
 9, 2016 4:32 PM, "anbalyimo@gmail.com"
 <anbalyimo@gmail.com> wrote:

  Mm binatamanawaza
 mpeleka mwanangu boarding Kwan wadada wakaz wananisumbua
 Sana na mm ndo Mama na ndie Baba. Nimeingia kwe ukurasahuu
 nimesoma maon yenu nahis kuchanganyikiwa jaman nifanye nn
 wazaz wenzangu Kwan bilakutafuta hela tutaish vp? 
 Nanikisema nikaenae nyumban Yaan tutakuaombaomba sasa.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment