Friday, 11 March 2016

Re: [wanabidii] Marais EAC waimba ‘Hana Kazi Tu’

Wanalazimisha kwani kukataa matokeo ya kura za Zanzibar na kutumia gharama za mamilioni kuchapisha karatasi za kura huko SA na uhodari wa kutangaza kurudia uchaguzi tarehe 20/03/2016 na pamoja na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais kukataa picha na jina lake kuwekwa katika karatasi hizo lakini wameliweka ili kumdhililisha huyo aliyekuwa mgombea na mshindi wa uchaguzi uliopita ni dalili kamili kuwa hakuna demokrasia wala hakuna Muungano wala hakuna ushindani bali kinachofanyika ni kuna Shein anaendelea kuwa Rais.hivyo ni rais bado kwani hajawahi kuachia madaraka hakuna sheria hakuna katiba hakuna wana mapinduzi waliokuwepo kama enzi ya Karume original.
Sisi watanzania tunasema n kuhubiri amani ambayo haipo sisi turns else kuomba kwani CCM na wale wote ambao wametamani kutawala milele siku moja wataulizwa kama Kaini ...yuko wapi ndugu yako....kwani mimi ni mlinzi wa....unajua kulaaniwa sio lazima uwe kichaa

On Mar 9, 2016 1:09 PM, "F Kitigwa" <kitigwa@gmail.com> wrote:
hivi shein ni raisi au mgombea uraisi?
naomba kusaidiwa

2016-03-04 23:00 GMT+03:00 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:

Ushauri wa Bure,
Hawa watu wasitutishe kwa namna yoyote, iwe kwa kutusifia au kutuchukia, walikuwa kitu kimoja, mpaka wakawa wanaendeleza vikao vyao kimya kimya!!
Hatuwachukii ni ndugu zetu, ila tuwe makini kufanya mambo yetu kwa kujiangalia sisi kuliko wengine kwanza. Wakijirekebisha tutarudi.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment