Saturday, 26 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Namsemea. Wanaiba. Wanaiba kama Republican walivyowahi kuiba.
--------------------------------------------
On Sat, 3/26/16, emuganda@gmail.com <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, March 26, 2016, 9:31 AM

Dada yangu haya yote ungeweza kusema
katika paragraph mbili tu. Si lazima uandike kitabu. Kwa
mantiki yako CCM hawaibagi kura,
em

Sent from my iPhone

> On Mar 25, 2016, at 4:27 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
wrote:
>
>
>
> Mimi ni mtanzania mzawa tena mwana mapinduzi
tuliolishwa sumu ya ujamaa toka wadogo young pioneers,
gwaride na vivalo vya TANU. Tupo sekondari Mtwara-silaha
mafunzo ya JWTZ kutokana na mreno akimaliza watu Msumbiji.
Hapo tulifundishwa silaha kali kuliko tulizojifunza JKT.
Haikuishia hapo chuo cha ualimu-cha Kijeshi. sasa ukinieleza
nilivyolelewa na TANU na CCM nikasoma elimu bure hadi
ninazeeka na kupitia ukakamavu-huwezi ukanipeleka kwenye
kujiua mwenyewe kwa kuanzisha fujo za kipuuzi. Walileta watu
wao kutoka China na ulaya wakakaa na vyama vya mageuzi
baadhi na kompyuta zao ili kubadili matokeo-walifanikiwa kwa
ZNZ waliwakamata TZ bara wakitumia NGO sifika. Walipoona
wamekamatwa mabeberu vijakazi wao-wakakimbilia kujitangaza
Urais. Unajitangaza mwenyewe. Nchi ingezubaa tu wangetangaza
Bara kuwa Lowasa kashinda kura. Yaani waanchakachua kadi za
kupiga kura, wanaprint zinaonekana real kubadilisha matokeo.
Si tuliona kwenye vyombo vya habari na mitandao
walipowakamata?  Sitotokwa povu hata bali nitabeba
mtutu kuikomboa nchi. Povu litawatoka wao waliojitoa kupiga
kura na kushiriki siasa kwa kudanganywa. Mwenzao yupo Serena
Hotel anakula Kuku na analipiwa na Mh Mangufuli.
Akitembeap-analindwa na anapeperusha bendera ya nchi
kuonyesha bado Makamu wa kwanza wa-Rais. Sasa hakupiga Kura,
atakapotanganzwa mwingine atapeperusha bendera ipi? Raha ni
kwamba-bado atakuwa anakula hela za mafao ya umakamu Rais
mpaka kufa kama wanavyokula wengineo. Fikiria Serena hotel
(tumemuona katika mitandao) anakukula Kuku maalim Seid ni
milioni ngapi matumizi yake kwa siku 9 million plus
(ninakisia). Akikaa kwa mwezi na familia, walinzi ni kiasi
gani? Jee, huu si wizi kuwaibia Wa TZ?
>
> Kujipendekeza kwa USA na Ujerumani na mataifa mengine
ukasahau jinsi unavyokuwa nduma kuwili kwa wananchi wako na
taifa lako ni dhambi isiyo na msamaha. Povu litakutoka
unaowasaliti watakapoamka. Watuache wakae watatue yao.
wakawakomboe wenzetu Congo wanachinjana hovyo. Tunahitaji
maendeleo wasiturudishe nyumba. Tuache kuwa vibaraka.
Sikilizeni hotuba za baba wa Taifa Mh JK. Nyerere -Hakuna
alilobakiza. Makaburu tunayo humu humu tuache unduma kuwili.
Tujali utaifa na maendeleo ya nchi yetu.
>
> Kwani hata hayo matangazo ya uzazi tunayasingatia? Hata
ya Usubi, ya HIV, Kipindupindu etc hatujali.Sasa imeingia
Ebola ndio tutakwisha watu 2 wameshazikwa. Kama hatuna akili
pungufu tungekuwa mbali na misaada health sector lakini
mbona bado tunakula ngisi, chicken chip zilizo wazi na
mainzi yamejazana kibao? Siku ya kunywa dawa za matende na
usubi hatuendi kula? Lakini ukishawishiwa kuvuruga AMANI
nchini kwako-Wa Kwanza sio pale unapoambiwa usafi wa
mazingira na kula dawa za kuzuia maradhi yanayozuilika na
kuwa na tabia ya usafi. Ni ujambazi tu unaozingatia na
kuandamana. Lakini fahamu pia maadhi ya madawa tunayoletewa,
vaccines na miradi ya afya ni kutufanya guinea pigs. Baada
ya miaka 10-20 wanakufa kufanya impact evaluation ni pamoja
na kuona madhara gani yametokea TZ ukilinganisha na Kenya,
Nigeria, Hawaii. Hizo ni epidemiological longitudinal
studies zao. Kule kwao dawa hiyo hiyo ina maelezo it retards
groth if use by children under 5. Huku kwetu-it promotes
growth. Mtajiju!
>
> Tunaweza tukaacha kupata misaada mingi sekta nyingi
tukaboresha kwa uwezo wetu. Lakini hata choo cha kujisaidia
na kila material ya kujenga ipo-tunakunya mtoni sisi na
mifugo na kuchota maji hapo hapo-Kinyaa. Eti mpaka mzungu
aje atusaidie kuboresha kujenga vyoo bora iwe VIPL, CLTS,
Compost latrines etc wakati wasomi kibao, mafundi ujenzi
vijijini, mawe, tope, maji yapo? Shame on us. Unakwenda
kwenu unamkuta baba kazi yake kuoa tu wake kila akivuna
mazao. Yeye na wake kibao na watoto wote malnourished. Wewe
mtoto hufanyi kitu mpaka DHV, UNICEF, USAID ije na miradi ya
lishe na ulezi, mrama, mahindi, choya unalima mwenyewe?!
Aibu!
>
> Ndio tunapata misaada mingi kutoka nje ktk sekta mbali
mbali lakini hairasimishi wao kutuamulia kila kitu. Hapa
kazi tu!! Wanaanza kuona Africa tumeamka  na pia vita
vinawamalizia hela. Wanaanza  kuunda uhusiano mwena
wawekeze na kupata usalama ili Korea, China, Japan, Russia
isihamie  Cuba, Argentina.
>
>
> --------------------------------------------
> On Fri, 25/3/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, 25 March, 2016, 17:26
>
> Hivi
> Marekani ingesifia uchaguzi wa Tanzania watu humu
wangekuwa
> wanatokwa mapovu kama dada yangu
> Hildergarda?em
> 2016-03-25 4:13 GMT-04:00
> 'flein47' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Mbona
> mtoa mada huulizagi tunapodhaminiwa hata matangazo ya
uzazi
> wampango na marekani lkn kwenye uchaguzi unawashangaa?
> tumewaingiza wamarekani kila eneo so usiwashangae
kuona
> wanatushauri kwenye mambo ya kisiasa.
>
>
>
> Ungekua makini ungeanza kuhoji yale matangazo
> yanayoishia.......KWA UDHAMINI WA WATU WA MAREKANI!!
>
>
>
>  'elias mhegera' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>>
>
>> Somo na ndugu yangu Elias Msuya upo sahihi kabisa
> serikali ya CCM wanafahamu kabisa kwamba wamepoteza
mvuto
> walichobakiza sasa ni vitisho tu kutumia Jeshi la
> Polisi...
>
>>
>
>> Elias Mhegera
>
>> Pan African Human Rights Defender
>
>> Director of Research and Investigations
>
>>
>
>> Tanzania Journalists for Human Rights Association
> (Journorights)
>
>> Journalist and Counselor
>
>>
>
>> Tel: 255-0754-826272
>
>>     
   255-0715-076272
>
>> Email: mhegeraelias@yahoo.com

>
>>              mhegera@gmail.com
>
>> The only thing we have to fear is fear itself
>
>>
>
>>
>
>> --------------------------------------------
>
>> On Fri, 3/25/16,
> 'Elias Msuya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>>
>
>> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI
NA
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
>> Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
>
>>
>
>> Marekani
>
>> ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
> Kutofuatwa
>
>> kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kuwa
na
> Tume
>
>> huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa na
Tume
>
>> iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye
mgombea
> halafu
>
>> useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti wa
CCM
> (Rais)
>
>> ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya ulinzi na
> usalama
>
>> yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde
uchaguzi,
> bado
>
>> kutakuwa na uchaguzi hapo?
>
>> CCM
>
>> inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi ndiyo
maana
>
>> inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa
> madaraka
>
>> makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili
kulinda
>
>> masilahi yake madarakani.
>
>> Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
>
>> ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
>
>>
>
>>
>
>>
>
>>
>
>>     On Thursday, March
>
>> 24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii
>
>>
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>>
>
>>
>
>>   Mara
>
>> baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na yaliyotokea
> Marekani
>
>> ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
> Sababu
>
>> mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi wa
> Zanzibar na
>
>> 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao ina
haki
> ya
>
>> kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao
> kuvuruga
>
>> uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa dola.
>
>>
>
>> Majuzi baada ya uchaguzi
>
>> Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi
kufanyika
> bila
>
>> waliogoma kushirikishwa.
>
>>
>
>> Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
>
>> salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa na
tume
> za
>
>> uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>
>>   Send
>
>> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>>
>
>>   
>
>>
>
>>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>>
>
>>
>
>>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>
>> Utapata Email ya
>
>>   kudhibitisha ukishatuma
>
>>
>
>>   
>
>>
>
>>   Disclaimer:
>
>>
>
>>
>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>
>> responsibility
>
>>   for any legal consequences
>
>> of his or her postings, and hence
>
>>
>
>> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>>   continued membership signifies
that you agree
>
>> to this
>
>>   disclaimer and pledge to abide by
>
>> our Rules and Guidelines.
>
>>
>
>>
>
>> ---
>
>>
>
>>   You received this
>
>> message because you are subscribed to the
>
>>
>
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>>
>
>>
>
>>   To unsubscribe from this group and
stop
>
>> receiving emails
>
>>   from it, send an email to
>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>>
>
>>   For more options, visit
>
>> https://groups.google.com/d/optout.
>
>>
>
>> --
>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>>
>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>>
>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>>
>
>> Disclaimer:
>
>> Everyone posting to
>
>> this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
>
>> consequences of his or her postings, and hence
> statements
>
>> and facts must be presented responsibly. Your
> continued
>
>> membership signifies that you agree to this
disclaimer
> and
>
>> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>> ---
>
>> You received this message
>
>> because you are subscribed to the Google Groups
>
>> "Wanabidii" group.
>
>> To unsubscribe
>
>> from this group and stop receiving emails from it,
send
> an
>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>> For more options, visit
>
>> https://groups.google.com/d/optout.
>
>>
>
>>
>
>>
>
>>
>
>> --
>
>>
>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>>
>
>> 
>
>>
>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>>
>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya
>
>> kudhibitisha ukishatuma
>
>>
>
>> 
>
>>
>
>> Disclaimer:
>
>>
>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>> for any legal consequences of his or her postings,
and
> hence
>
>> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>> continued membership signifies that you agree to
> this
>
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>> Guidelines.
>
>>
>
>> ---
>
>>
>
>> You received this message because you are
subscribed to
> the
>
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>>
>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>>
>
>> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>>
>
>> --
>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>>
>
>> Kuj
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment