Magufuli ameiumbua saaana serikali iliyopita. Ile hotuba yake ya mkutano wa EAU alitumia lugha kali sana. "mambo ya hovyo hovyo". akaishia kusema niombeeni.. maana yake kudeal na watu hao ambao wengi wako serikalini ni kazi ngumu.
lakini bado kuna watu hawalioni hili... bado wanaimba serikali yetu kwa miaka mingi ni serikali safii.. hawa wanapingana na Magufuli ambaye yeye chama pembeni maslahi ya wananchi kwanza.
On 17 Mar 2016 10:14, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Ha ha ha ha! Lesian akirudi mimi sitakiaga chama. Harufu mbaya lazima itawale c humbani. Yeye ni CDM kuanzia utumbo, Neurle, Figo, maini. Kila kitu ni CDM Wala hafuati sera. Anafurahia jina na originality ya CDM. Labda vibadilike hivyo kwqanza. Na yeye atadhibitisha kuwa simsingizii.
--------------------------------------------
On Thu, 3/17/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, March 17, 2016, 9:50 AM
Kaka
Elisa et al;Tusubiri,huu
ni mwanzo tu.Watarudi
wote kwa kuwa walienda huko kumfuata mtu na vyeo sasa hakuna
mafanikio na shughuli zao sababu ni za magumashi na speed ya
Mh. Magufuli inawapa wakati mgumu.Wanafikiri
kurudi ndio suluhu ya shughuli zao na za jamaa zao
kutokwama, ukimya wao sio bure waliko wanapata shida
mno.Si
ajabu siku chache zijazo tukamsikia KINGU nae anarudi,nazani
hata LESSIAN yupo njiani, sababu zao ndio hizo kama za
watoto,tabia hizi hazina tofauti na umarioo.
Reuben
On Thursday, March
17, 2016 9:12 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mwapachu alihama.
Hatukujua kuwa alikuwa anafuata Cheo CHADEMA. Sasa amerudi
CCM.
Tunajifunza mambo mengi hapa.
1) Chadema inahitaji kujua kuwa kama Lowasa
angeshinda Serikali yake ingekuwa inaundwa na CCM. Kama
msimamizi wa sera za nje wa Serikali ya CDM angetoka CCM.
hatujui waziri wa uchumi, kilimo elimu na nyingine alikuwa
hatoki CCM, basi CDM ijue kuwa serikali hiyo ingekuwa ya
CCM.
2) Watanzania wajue
kuwa wangekosea kufikiri wanaongozwa na CHADEMA kumbe
wanaongozwa na CCM kwa jina la CDM. Taifa lingeyumba na
linaweza kuyumba 2020 kama wakifanya kosa walilokwepa
2015.
3) Mwapachu alipohama
tulimjadili. Tulisema ameonyesha kuwa hana maana. Sasa si
kwamba amedhihirisha kuwa hana maana bali ameziki kupunguza
na maana kidogo aliyokuwa amebakiza. Kumbe anayumbishwa na
Mtu. Kwanza alienda CDM kumfuata Lowasa. Sasa anarudi CCM
kumfuata Magufuli. Hatujajua kama magufuli amemuahidi au
hapana. Tusubiri. Eti anatoa ushauri vijana wasihame tena.
Anaiahidi CCM ikitaka iweke mtu wa hovyo maana hawezi tena
kuhama. Alihama kwa sababu hakuweza kutambua kuwa magufuli
hakuwa mtu wa Hovyo. Watu wote ambao mpaka tarehe 13 October
2015 walikuwa hawajajua kuwa magufuli ni mtu makini watu hao
ni wa hovyo.. Haya ni maneno ya kujadili.
Mimi CCM ikiweka mtu wa hovyo
nitaihama. Wakati ule ilipoelekea kuweka mtu wa hovyo
nilikuwa nasema wazi kuwa sitampigia kura ya urais. Wakati
huo nilikuwa namuona mtu wa hovyo anaelekea kukiyumbisha
chama cha mapinduzi. Na nilikuwa naona mtu makini ndani ya
CDM ambaye alikuwa ameshiriki kuijenga CDM na ikapendeza na
kuwa chama mbadala. Mtu makini akatimka CDM na CCM ikaweka
mtu makini na watu wa hovyo wakaimbia CCM. Kampeni za
uchaguzi zikaanza. Mtu makini akaonekana wazi katika
kampeni. Hotuba zake ziliguza matatizo ya watanzania. Mtu wa
hovyo akaonekana pia. Mikutanoni hasemi chochote. watu
makini wakawa wameona. Lakini Mwapachu tadi 13 October
alikuwa hajajua kuwa Magufuli si mtu wa hovyo. Akahama kwa
maneno yaliyotushangaza na nakumbuka kuandika kuwa kwa nini
hakuyasema wakati CCM ikiwa hovyo na sasa inarekebika
anaikimbia.
Ni kwa sababu ya hayo nashindwa
kumuamini Mwapachu na nawashangaa watakaomuamini.
Nimeyaandika mimi Elisa Muhingo
--------------------------------------------
On Wed, 3/16/16, Makaveli Markus <jikomboe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA
CCM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 16, 2016, 6:01 PM
Makubwa hayo....
2016-03-16 17:43
GMT+03:00 Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>:
Ni haki yake kufanya maamuzi aliyoyafanya Ila
mtu
mzima kusaliti chama kisa cheo
anaonyosha ana uchu wa
madaraka. si ajabu
kusikia amehamia CUF
On 16 Mar 2016
17:34,
"Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com>
wrote:
HOTUBA YA
BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA
CCM
MIKOCHENI 16/03/2016Ndugu
zangu,Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe
13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na
kurejesha kadi
yangu ya uanachama kwenye
ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni.
Nilitoa
maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM (maelezo hayo
pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa
facebook).
Nilieleza kwamba CCM imepoteza
mwelekeo kwa kuamua kumnyima
haki ya
kugombea mcha mungu Edwad Lowasa. Nikasema Edwad
Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM na ndiye
chaguo la
Watanzania. Nikasema nitakuwa
mnafiki nikiendelea kubaki CCM
huku naamini
Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko John Pombe
Magufuli.Baada ya miezi
miwili ya uongozi wa Magufuli nataka niseme nilikosea
sana.
Nililewa mahaba ya Lowasa, nililewa
ahadi ya Lowasa kunipa
uwaziri wa mambo ya
Nje. Niliamini mafuriko ya Lowasa ambayo
yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi. Tulikubaliana
na
wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho
tuihame CCM kwa wimbi
kubwa ili kuitikisa
na kuitoa madarakani. Lakini baadhi
wakaogopa na hadi sasa wengine wamebaki CCM na wana
vyeo.Leo natangaza kurudi CCM
kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya kosa
kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana
kwenye siasa
wasifanye. Nilihama kwa
kwasababu ya mtu (Lowassa). Nimerudi
kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba CCM
ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama.
Usemi wa CCM
kwamba Chama Kwanza, Mtu
Baadaye sasa ndio nauona maana
yake.
Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa lakini sikujua
kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua
jembe bora
linaloitwa Magufuli.Naomba
mnisamehe kwa kulifanya jambo langu la kujitoa
CCM na kurudi
CCM kuwa jambo la kitaifa
ukizingatia kwamba sikuwa na
nafasi yoyote
ya uongozi wa CCM wakati nahama na pia
sijawahi kuwa hata Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa nje
ya
ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20.
Niliamua kulifanya
jambo kubwa ili
kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua
kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye
kwasababu sitaki shughuli zangu na za
washirika wangu
zikwamishwe na Serikali
kwasababu tu huko nyuma niliamua
kumsaidia
swahiba wangu.Naomba radhi kwa familia ya baba wa taifa
Mwalimu
Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku
aliyokufa (tar 14 Octoba)
na kutumia msiba
wake kutoa kauli za kisiasa zidi ya chama
chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa alikuwa
mwanachama.Wananchi wote
tumuombee Magufuli na tumsaidie kwani tumepata nyerere
mpya.Mungu Ibariki
Tanzania
mungu Ibariki AfrikaBalozi
Juma Mwapachu
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment