Thursday, 17 March 2016

Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM

Thank you somuch for your brilliant coment. Are you reffering to my comment on Lesian? If so-I was kiding.
--------------------------------------------
On Thu, 3/17/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, March 17, 2016, 10:46 AM

Vita
yako ni CHADEMA. KWANINI? JE CHANZO CHA SHIDA HAPA NCHII NI
NINU NS NANI KAZILETA? ELISA YOU ARE TALKING ILEREVANT
ISSUES AND NONSENSE

Sent
from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU
KUTANGAZA KUREJEA CCM

Nfasi hiyo hata yenyewe hainitafuti. ningejua inanifuata
ningetimka mbio kuikimbia.
Kweli CDM ina viongozi makini. Sikatai. Ninalojua zaidi ni
hao viongozi ni makini katika kufanya nini. Hapo ndipo
tunaposhukuru kwa kuwaona wako mitaani wakitangaza
'Visions".
--------------------------------------------
On Thu, 3/17/16, 'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU
KUTANGAZA KUREJEA CCM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, March 17, 2016, 10:16 AM

Kiongozi
makini ni wale walio ndani ya CHADEMA. Askari anayetupa
silaha, anayekimbia kikosi chake huyo ni askari gani?
Afadhali omba nafasi ya NAPE itakufaa ukaeneze
pumba.

Sent
from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: 
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU
KUTANGAZA KUREJEA CCM
 
Mwapachu alihama. Hatukujua kuwa alikuwa anafuata Cheo
CHADEMA. Sasa amerudi CCM.
Tunajifunza mambo mengi hapa.
1) Chadema inahitaji kujua kuwa kama Lowasa angeshinda
Serikali yake ingekuwa inaundwa na CCM. Kama msimamizi wa
sera za nje wa Serikali ya CDM angetoka CCM. hatujui
waziri
wa uchumi, kilimo elimu na nyingine alikuwa hatoki CCM,
basi
CDM ijue kuwa serikali hiyo ingekuwa ya CCM.
 
2) Watanzania wajue kuwa wangekosea kufikiri wanaongozwa
na
CHADEMA kumbe wanaongozwa na CCM kwa jina la CDM. Taifa
lingeyumba na linaweza kuyumba 2020 kama wakifanya kosa
walilokwepa 2015.

3) Mwapachu alipohama tulimjadili. Tulisema ameonyesha
kuwa
hana maana. Sasa si kwamba amedhihirisha kuwa hana maana
bali ameziki kupunguza na maana kidogo aliyokuwa
amebakiza.
Kumbe anayumbishwa na Mtu. Kwanza alienda CDM kumfuata
Lowasa. Sasa anarudi CCM kumfuata Magufuli. Hatujajua kama
magufuli amemuahidi au hapana. Tusubiri. Eti anatoa
ushauri
vijana wasihame tena. Anaiahidi CCM ikitaka iweke mtu wa
hovyo maana hawezi tena kuhama. Alihama kwa sababu
hakuweza
kutambua kuwa magufuli hakuwa mtu wa Hovyo. Watu wote
ambao
mpaka tarehe 13 October 2015 walikuwa hawajajua kuwa
magufuli ni mtu makini watu hao ni wa hovyo.. Haya ni
maneno
ya kujadili.

Mimi CCM ikiweka mtu wa hovyo nitaihama. Wakati ule
ilipoelekea kuweka mtu wa hovyo nilikuwa nasema wazi kuwa
sitampigia kura ya urais. Wakati huo nilikuwa namuona mtu
wa
hovyo anaelekea kukiyumbisha chama cha mapinduzi. Na
nilikuwa naona mtu makini ndani ya CDM ambaye alikuwa
ameshiriki kuijenga CDM na ikapendeza na kuwa chama
mbadala.
Mtu makini akatimka CDM na CCM ikaweka mtu makini na watu
wa
hovyo wakaimbia CCM. Kampeni za uchaguzi zikaanza. Mtu
makini akaonekana wazi katika kampeni. Hotuba zake
ziliguza
matatizo ya watanzania. Mtu wa hovyo akaonekana pia.
Mikutanoni hasemi chochote. watu makini wakawa wameona.
Lakini Mwapachu tadi 13 October alikuwa hajajua kuwa
Magufuli si mtu wa hovyo. Akahama kwa maneno
yaliyotushangaza na nakumbuka kuandika kuwa kwa nini
hakuyasema wakati CCM ikiwa hovyo na sasa inarekebika
anaikimbia.
Ni kwa sababu ya hayo nashindwa kumuamini Mwapachu na
nawashangaa watakaomuamini.
Nimeyaandika mimi Elisa Muhingo
--------------------------------------------
On Wed, 3/16/16, Makaveli Markus
<jikomboe@gmail.com>
wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA
MWAPACHU
KUTANGAZA KUREJEA CCM
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Wednesday, March 16, 2016, 6:01 PM
 
  Makubwa hayo....
 
  2016-03-16 17:43
  GMT+03:00 Atu Mwangomale
<acanemwango@gmail.com>:
  Ni haki yake kufanya maamuzi aliyoyafanya Ila mtu
  mzima kusaliti chama kisa cheo anaonyosha ana uchu
wa
  madaraka.  si ajabu kusikia amehamia CUF
  On 16 Mar 2016 17:34,
  "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com>
  wrote:
  HOTUBA YA
  BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM 
  MIKOCHENI 16/03/2016Ndugu
  zangu,Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe
  13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha
kadi
  yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya
Mikocheni.
  Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM
(maelezo
hayo
  pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa facebook).
  Nilieleza kwamba CCM imepoteza mwelekeo kwa kuamua
kumnyima
  haki ya kugombea mcha mungu Edwad Lowasa. Nikasema
Edwad
  Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM na ndiye chaguo la
  Watanzania. Nikasema nitakuwa mnafiki nikiendelea
kubaki
CCM
  huku naamini Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko
John
Pombe
  Magufuli.Baada ya miezi
  miwili ya uongozi wa Magufuli nataka niseme
nilikosea
sana.
  Nililewa mahaba ya Lowasa, nililewa ahadi ya Lowasa
kunipa
  uwaziri wa mambo ya Nje. Niliamini mafuriko ya
Lowasa
ambayo
  yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi.
Tulikubaliana
na
  wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho tuihame CCM kwa
wimbi
  kubwa ili kuitikisa na kuitoa madarakani. Lakini
baadhi
  wakaogopa na hadi sasa wengine wamebaki CCM na wana
  vyeo.Leo natangaza kurudi CCM
  kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya
kosa
  kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana kwenye
siasa
  wasifanye. Nilihama kwa kwasababu ya mtu (Lowassa).
Nimerudi
  kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba
CCM
  ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama. Usemi
wa
CCM
  kwamba Chama Kwanza, Mtu Baadaye sasa ndio nauona
maana
  yake. Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa lakini
sikujua
  kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua jembe bora
  linaloitwa Magufuli.Naomba
  mnisamehe kwa kulifanya jambo langu la kujitoa CCM
na
kurudi
  CCM kuwa jambo la kitaifa ukizingatia kwamba sikuwa
na
  nafasi yoyote ya uongozi wa CCM wakati nahama na pia
  sijawahi kuwa hata Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa
nje ya
  ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20. Niliamua
kulifanya
  jambo kubwa ili kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua
  kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko
naye
  kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika
wangu
  zikwamishwe na Serikali kwasababu tu huko nyuma
niliamua
  kumsaidia swahiba wangu.Naomba radhi kwa familia ya
baba wa
taifa Mwalimu
  Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku aliyokufa (tar 14
Octoba)
  na kutumia msiba wake kutoa kauli za kisiasa zidi ya
chama
  chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa alikuwa
  mwanachama.Wananchi wote
  tumuombee Magufuli na tumsaidie kwani tumepata
nyerere
  mpya.Mungu Ibariki
  Tanzania 
  mungu Ibariki AfrikaBalozi
  Juma Mwapachu
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
  statements and facts must be presented responsibly.
Your
  continued membership signifies that you agree to
this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed
to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
  from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email
ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment