Thursday, 17 March 2016

Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM

Nadhani zote ni zake. Ni kutokana na mtu mmoja ambaye ameitoa na hana upuuzi wa kughushi. Ikitokea ikawa haikuwa yake bado kuna mambo yanabaki vilevile kama tulivyoijadili kwa kuzingatia maelezo aliyoyatoa wakati anaihama CCM.
--------------------------------------------
On Thu, 3/17/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, March 17, 2016, 2:42 PM

Mbona waliokuwa
wanaisambaza baadhi yao ni wadau wazuri wa chama au
imekuwaje? Walau source mmojawapo ni mdau mzuri tu.

2016-03-17 14:34
GMT+03:00 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>:
Kaka, ndio maana nikasema kwamba hotuba
iliyotumwa awali si sahihi! Hiyo iliyokuwa ikijadiliwa tangu
jana hatukusomewa na Mwapachu pale Mikocheni wala si ile
aliyoigawa kwa waandishi wa habari! Hii niliyoituma ndiyo
aliisoma na kasha kuisambaza kwa waandishi kaka.
Nadhani ile ya awali ilitungwa kwa malengo
mahsusi
2016-03-17 14:31
GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Beda mbona hii phrase inayosema 'alihamia
upinzani kumfuata mtu (Lowassa) na amerudi ccm kumfuta mtu
(Magufuli)' kwako inakosekana au sijasoma yote?

2016-03-17 14:10
GMT+03:00 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>:
Jamani, hotuba hii iliyotumwa humu kwenye
mitandao ni upotoshaji mkubwa. Kwa hakika ninamuonea huruma
sana Balozi Mwapachu kama ameisoma hotuba hii na kuangalia
michango ya wanabidii iliyotolewa. Kwa hakika aliyeipost
humu na kwenye mitandao mingine anastahili kuadhibiwa labda
kama akimwomba radhi.
Hatuba hii inayojadiliwa si ile aliyoitoa jana
Mikocheni, ingawa ni kweli aliulizwa swali kuhusu
'kuyumba' kwa biashara (shughuli) zake, swali ambali
alionekana wazi kutopendezwa nalo.
Tuliokuwapo Mikocheni alitusomea hotuba tofauti
kabisa na hiyo na kutukabidhi mikononi nayo ni hii
hapa:

TAMKO LA BALOZI JUMA V. MWAPACHU,
KUREJEA UANACHAMA WA CHAMA
CHA MAPINDUZI (CCM), Dar es Salaam, 16 Machi,
2016

Viongozi wa CCM, Mkoa, Wilaya na
Kata ya Mikocheni;

Wana habari,

Ndugu zangu.

CCM OYEE! KIDUMU CHAMA CHA
MAPINDUZI.

Awali ya yote naomba nitoe shurani
zangu kwa uongozi wa CCM
Kata ya Mikocheni kwa kuandaa shughuli hii maalumu
kushuhudia tamko langu la kurejea
katika Chama Cha Mapinduzi na kukabidhiwa kadi yangu
upya.

Ahsanteni sana.

Wahenga wamenena kwamba,
'yaliyopita si ndwele, tugange
yajayo'.

Kwa kiasi fulani, itikadi ya msemo
huu ni kiini kimojawapo
cha uamuzi ambao nimeuchukua hii leo wa kurejea katika chama
changu; chama changu
tangu mwaka 1967,

Ndugu zangu,

Yaliyotokea wakati wa harakati za
kumpata mgombea urais
ndani ya CCM na baadaye (wakati wa harakati) za kampeni za
Uchaguzi Mkuu kwa
hakika kwangu, asilani, 'si ndwele'.

Ni maradhi ya kibinadamu
yanayotibika kwa urahisi.

Hivyo, sioni haja au umuhimu wa
kurejea mazingira hayo na
hasa ikitambulika kwamba sikujiunga na chama chochote cha
siasa.

Na kwa hakika, tangu Uchaguzi Mkuu
umalizike, nimepitia
kipindi kigumu cha kupima na kutafakari mustakabali wangu
kisiasa.

Katika wiki zipatazo saba hivi
sasa, nimekuwa na mawasiliano
na ofisi hii ya Kata ya Mikocheni kuhusu vipi ningeweza
kukubaliwa kurejea
uanachama wa CCM. Ndugu Sudi Odemba wa Ofisi hii ni shahidi
yangu.

Kipo kiini au msingi wa pili kwa
nini narejea CCM. Ni vyema
nitamke hili.

Msingi wenyewe unatokana na
mafundisho na hekima za Rais (mstaafu)
wa Awamu ya Pili, Mzee wetu Alhaji Ali Hassan
Mwinyi.

Mzee Mwinyi aliwahi kutamka kwamba,
nanukuu; 'kila zama na
kitabu chake.'

Alikuwa akifafanua utofauti wa
misingi na mielekeo ya
uongozi pale panapotokea mabadiliko ya viongozi
kidemokrasia.

Maana yake ni kwamba viongozi wapya
hupima hali ya mazingira
halisi ya nchi, na hata yale ya vyama vyao vya
siasa.

Wengi wao hufungua kurasa mpya
zinazokidhi matarajio na
matumaini ya watu.

Ndugu viongozi,

Imani yangu ni kwamba Tanzania hivi
sasa imeingia katika 'zama'
mpya na 'kitabu' kipya kimeandaliwa na kinazidi
kufafanuliwa na Mheshimiwa Rais
Dk. John Pombe Magufuli.

Maamini pia zama hii mpya itaona
uzinduzi wa kitabu kipya
kuhusu uongozi ndani ya CCM.

Naamini kwa dhati kabisa kwamba
Rais Magufuli atakaposhika
hatamu za kuongoza CCM. Atakijenga chama hiki UPYA;
ataimarisha CCM na
kukirejesha katika misingi ya demokrasia na
haki.

Na itabidi iwe hivyo kwa sababu
ushindani wa kisiasa nchini
umeimarika. CCM haina budi na italazimika kufungua milango
upya ili kirejeshe
hadhi yake kama chama cha wakulima na
wafanyakazi.

Natoa shukrani zangu kwa uongozi wa
CCM kwa kukubali
kunipokea tena kama mwanachama.

Niko tayari katika ujenzi wa fikra
mpya za kukiimarisha
chama cheti.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

2016-03-17 13:29
GMT+03:00 Amb. Ali <karume_ali@hotmail.com>:

Hata sisi CCM tungeweza kumpa uwaziri wa mambo ya nje, au
waziri wa afrika mashariki; uwezo huo anao na haikuwa lazima
kulitafuta hilo kutoka upinzani.

From: wanabidii@googlegroups.com
<wanabidii@googlegroups.com>
on behalf of Makaveli Markus <jikomboe@gmail.com>

Sent: Wednesday, March 16, 2016 4:01 PM

To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA
MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM
 
Makubwa hayo....

2016-03-16 17:43
GMT+03:00 Atu Mwangomale
<acanemwango@gmail.com>:

Ni haki yake kufanya maamuzi aliyoyafanya Ila
mtu mzima kusaliti chama kisa cheo anaonyosha ana uchu wa
madaraka.  si ajabu kusikia amehamia CUF

On 16 Mar 2016 17:34,
"Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com>
wrote:

HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM 

MIKOCHENI 16/03/2016

Ndugu zangu,

Mtakumbuka kwamba mnamo
tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha
kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya
Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM
(maelezo hayo pia niliyabandika katika
ukurasa wangu wa facebook). Nilieleza kwamba CCM imepoteza
mwelekeo kwa kuamua kumnyima haki ya kugombea mcha mungu
Edwad Lowasa. Nikasema Edwad Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM
na ndiye chaguo la Watanzania. Nikasema nitakuwa mnafiki
nikiendelea kubaki CCM
huku naamini Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko John
Pombe Magufuli.
Baada ya miezi miwili ya uongozi
wa Magufuli nataka niseme nilikosea sana. Nililewa mahaba ya
Lowasa, nililewa ahadi ya Lowasa kunipa uwaziri wa mambo ya
Nje. Niliamini mafuriko ya Lowasa ambayo yakanifanya niamini
kabisa anachukua
nchi. Tulikubaliana na wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho
tuihame CCM kwa wimbi kubwa ili kuitikisa na kuitoa
madarakani. Lakini baadhi wakaogopa na hadi sasa wengine
wamebaki CCM na wana vyeo.
Leo natangaza kurudi CCM
kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya kosa
kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana kwenye siasa
wasifanye. Nilihama kwa kwasababu ya mtu (Lowassa). Nimerudi
kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka
niwaahidi kwamba CCM ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli,
sitahama. Usemi wa CCM kwamba Chama Kwanza, Mtu Baadaye sasa
ndio nauona maana yake. Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa
lakini sikujua kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua
jembe bora linaloitwa
Magufuli.
Naomba mnisamehe kwa kulifanya
jambo langu la kujitoa CCM na kurudi CCM kuwa jambo la
kitaifa ukizingatia kwamba sikuwa na nafasi yoyote ya
uongozi wa CCM wakati nahama na pia sijawahi kuwa hata
Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa nje
ya ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20. Niliamua kulifanya
jambo kubwa ili kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua
kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye
kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu
zikwamishwe na Serikali kwasababu tu
huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu.
Naomba radhi kwa familia ya baba
wa taifa Mwalimu Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku aliyokufa
(tar 14 Octoba) na kutumia msiba wake kutoa kauli za kisiasa
zidi ya chama chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa
alikuwa mwanachama.
Wananchi wote tumuombee Magufuli
na tumsaidie kwani tumepata nyerere mpya.
Mungu Ibariki Tanzania 

mungu Ibariki Afrika
Balozi Juma Mwapachu

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment