Unayoyasema Haha12 ni sawa kabisa. Lakini ujue-kujaa watu hospitali au katika huduma za afya kwa sasa ni positive trend katika uelewa wa watu kuhusu huduma ya kisasa ya afya. Pia akina mama kujazana na kuazlia zahanati au hospitali. Ina maana hawategemei zaidi waganga wa kienyeji bali huduma ya kisasa.
Kama kuha zahanati ambayo hup[okea wagonjwa na kuwahudumia vizuri- watatoka mbali na kujazana hapo na madaktari wakiwa wachache ila wanafuata huduma bora.
Kuhusu wananchi kumudu gharama-elfu kumi kwa mwaka kadi ya afya na nyingine gharama ni ya serikali ni hela kidogo sana kwa kaya kwa mafao ya afya bora. Ukifanya household survey na kuangalia expenditure yao kwa siku utaona wanaweza kulipa elfu kumi kwa mwaka-pombe, sigara na matumizi mengine binafsi.
Fikiria kuku mmoja kijijini ni 12,000+ angalia mauzo ya nyanya, bamia, na mazao mengine ya biashara-nazi, samaki, korosho, kahawa, maziwa, nyama. Mfugaji ana ng'ombe elfu 5 a na mifugo mingineyo na masikini anao angalau wa 5 na mbuzi chache anauza ,mnavu pori, maziwa, dawa. Mkulima-kisambu, mchicha etc; Mvuvi-samaki gharama-elfu 10 kwa mwaka?! Unawaelimisha na kichwa na mifano kuonyeshwa na wanaona wanapoumwa ghafla au ugonjwa sugu. Bado anapokwenda kwa mganga wa kienyeji anatumia pesa nyingi kuliko hospitali kuchangia kadi ya afya kwa familia TAS 10 elfu kwa mwaka.
Uelewa wetu hata na mifano ya wagonjwa na wanaofariki bado hakieleweki. Mifano hata hii ya usafi takataka kuziweka panapohusika, usafi wa pamoja kila jmosi na kila mwisho wa mwezi-bado tunatupa takataka mifereji wazi zinakwama, kunafurika mpaka ndani ya nyumba na tunaendelea kutupa na kuunganisha vyoo katika open drainage system. Chakula kuuzwa wazi, kipindupindu kinaua na tunaona walivyolala chini na wanaofariki-bado tunauza chalkula wazi pembeni taka zipo na mainzi kibao, tunanunua na mainzi yapo, serikali ya mtaa inakusanya kodi mainzini hapo. Ajali tunaziona lakini tunapanga biashara mpaka barabarani na njia za kupita kwa miguu hazipitiki. Kitu gani utufundishe sisi wabongo tuelewe na tutie katika matiki tuzingatie uhai na afya zetu. Hata viongozi wa siasa wanaelewa lakini bora apike mazuri ili apate kura atetee tu ushabiki wa kupinga.
Ulaya wanakatwa kodi hasa kuikwepa si rahisi sana na kodi inakuwa invested katika huduma. Huwezi kusafiri na kuingia nchi zao bila ya Health Insurance labda uwe mhamiaji haram umejificha na hutoumwa wakakubamba. Kama bajeti inawekwa kikanjanja halafu inaingia kugharimia kisiasa sio kununua vifaa na kugharimia panapohusika-kumfukuza daktari wa wagonjwa kulala chini au kukosa dawa si vema. wapo vibaka lakini wapo pia watendaji bora watoa huduma na kuhurumia watu. Kama kuna good governance na ufuatiliaji uliotukuka-haya yote ya vibaka kuiba vya health sector kusingekuwepo. Hapa bongoland-ubadhirifu mpaka family/household level.
Maduka ya Umma yes yawe ndani ya huduma husika ya afya -kuwe na dirisha la dawa na duka la dawa apate zile ambazo anastahili kutokana na kadi yake ya afya na Duka la umm hap ktk health facility la watu kununua ambazo hawezi kupata kutokana na card yake au mahitaji yake kama kalazwa Lakini usikataze watu wasifanye biashara hiyo kama vile utakavyotakiwa usikataze wasiuze mbegu na madawa ya kilimo eti wategemee ofisi za kilimo tu au za Vet care tu ambazo zitakuwa mbali na waliowengi vijini na mijijini. Liberalization of the economy itarudishwa nyuma na masuala ya ajira. Ila msisitizo ni sheria izingatiwe, kutokuuza vitu feki na vilivyoisha muda wake sekta zote. Serikali iboreshe mifumo yake na kuisimamia vizuri, iondoe utata ilioutengeneza before punishing the innocent and blaiming the victims unnecessarily.
--------------------------------------------
On Sat, 5/3/16, haha12@poczta.fm <haha12@poczta.fm> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 5 March, 2016, 21:25
Huo ukosefu wa madawa
haukuanza leo, lakini ninayoyasikia leo kuhusu suala hilo
inaonyesha jinsi ufanisi wa kazi zinavyodidimia- Hospital
managements zinandelea kuwa mbovu. Zamani hayakuwepo maduka
mengi ya madawa kama yalivyo leo na wakuu wa hospitali zote
kuanzia zahanati walikuwa wanapatiwa dawa kuambatana na
matakwa halisi ikiangaliwa na uwezo wa bajeti iliyotelewa na
serikali. Wagonjwa hawakuwa wanalala chini, wagonjwa
mawodini walikuwa hawanunui dawa wala chakula. Sasa iwapo
leo kuna haja ya kujitegemea kiafya, serikali inapaswa
iwaeleze wananchi ukweli halisi kuwa ukienda hospitali
unapaswa ulipe au usilipe badala tu ya kuwalaumu wafanya
kazi. Sio wananchi wote wana health insurance kutokana na
sababu mbali mbali. Tatizo hilo ni zito sana hata kwa nchi
ziliZOendelea. Wananchi wanapaswa waelimishwe umuhimu wa
health insurance na serikali iwe makini kwa wahujumu wa aina
yeyote kwenye masuala ya madawa, vifaa na pesa za umma .
Maduka ya madawa ni vyema yarudishwe mikononi mwa serikali
ili kupunguza ulanguaji na ubinafsi unaofanywa na baadhi ya
wafanya kazi ktk hospiltali zetu. Tuache kuwalaumu madaktari
na wauguzi kwani sio wao wanaopanga sheria
Mtanganyika
Od: "Hildegarda
Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
Do: wanabidii@googlegroups.com;
Wysłane: 18:07 Sobota 2016-03-05
Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
MIKOCHENI
>
>
> Yes Kim-Zamani hata
kama dawa hospitali hakuna anakwambia doctor au nurse nenda
hapa au pale ukanunue dawa aliyokuandikia lete hapa hakuna
au zimekwisha. Mgonjwa anatibiwa na unakuta kila mgongwa ana
bahasha lake la dawa alilonunua nurse kaliweka separate na
mengine. Hakuna pampas unakwenda dukani nje unanunua
unapeleka kwani private hospital huwezi gharama zake ambako
pamsai utazilipia ktk bili yako ya gharama za juu.
Unaridhika unampa kadogo kitu doctor wa GVT hospital kama
asante.
>
> Sasa hii
fukuza na funga hapa na pale, fukuza nurse, daktari
waliobaki-watakuangalia pale unakufa- Msubiri Mangufuli na
Kingwalala waje!! Cheza na mbongo wewe!
>
> Narudia-usifunge Duka la Dawa nje ya
zahanati au huduma ya afya yoyote kabla hujafungua lako
ndani ya huduma hiyo na kuhakikisha Health Kit ya huduma
husika ina dawa za kutosha. Wakitoka nje wanakuta dawa ghali
kuliko duka la ndani ya facility hiyo ya GVT hawanunui nje
bali ndani. Daktari atafanya uwekezaji upi kama sio ktk
sekta yake aliyosomea?_Duka la Dawa. kama hana
hilo-ataondoka hapo mapema kwenda kutoa huduma private
hospital ili agange njaa. Foleni ndefu yupo daktari mmoja
tu wengine wamesepa kuongeza mshahara.
>
> Kama maduka ya dawa yamezingatia
sheria na kupata leseni na wananunua dawa kiuhalali hata
liwe la daktari liache!. Daktari ya hospitali, health
Centre, Dispensary anajua ni magonjwa gani yapo highly
prevalent hapo na muda gani yanatokea. Hivyo ananunua dawa
anazoona zitahitajika eneo hilo. Health Kit ya Zahanati kwa
mfano inategemea kaya ngapi zimenunua Health Card ya SHS
10,000 kwa mwaka familia ya watu sita na health Card ya
mwanafunzi shule watoto 5 wanaweza kujumuishwa shs elfu 2
kila mmoja matibabu ya mwaka kwa kadi moja ya elfu 10.
>
> Binafsi-nimejitolea
sana kutibu wanafunzi kwa pesa zangu kila nipitapo vijijini
kwa research na ninaposimamia miradi ya maendeleo vijijini
ambayo huhusisha pia school health. Dawa nyingine za minyoo
iliyomfanya mtoto awe na matezi nilizinunua DSM kwa ajili ya
mwanafunzi aliyepo Milola kilometa 60 kutoka Lindi mjini.
Haikupatikana Lindi. Kuzisafirisha vijijini kwa bus la
abiria. Vifaa vya zahanati kuvinunua Dar maduka ya medical
equipment authorized by the Ministry na kusafirisha Zahanati
ninakosimamia mradi husika unaogopa vikipitisha Wilayani
vinaweza visifike vinakotakiwa lakini unamuarifu DMO kuwa
umepeleka hiki na kile kama mlivyokubaliana wakavikague
vimeshafika. Hiyo ni Health Centre au Zahanati ya Serikali.
>
> Mzazi anashindwa
hata kumpa mtoto hela akatibiwe zahanati lakini anakunywa
pombe daily hanunui health card. Kama kaya ni elfu 2
waliolippia kadi ya afya ni kaya asilimia 2 unafikiri Health
Kit ya Zahanati itapatikana vipi? Wakati mwingine inakwenda
sio kit husika kwa eneo hilo. Mpaka irudishwe inayohusika
hapo na madawa hitajika ifike-hawajafa tu kama hakuna duka
la dawa la binafasi? Hii funga funga mimi inanikera labda
kwa mtu ambae hana uelewa na sekta hii ataona ile ingia
funga na toka nje funga maduka ya dawa ni kitu chema. Hata
vyuo vya elimu ya juu wameruhusu restaurants za watu binafsi
na wanauza chakula sio bure tena kama tuposoma sisi
cafeteria unapata nusu kuku unakula na kutupa. Sasa lipia
kula ule utupe kwa matakwa yako. Huwezi ukafunga tu biashara
hapo campus au nje ya shule wakati huduma ya serikali ya
chuo kwa sasa inaendeshwa na mkandarasi sio dezo tena.
Tujiangalie na maamuzi ya Hapa Kazi tu yanavyofasiriwa
vibaya bila ya kuzingatia principles of good democratic
governance, effective manpower management and effective
institutional management.
>
> Kama Kawa
>
>
--------------------------------------------
> On Fri, 4/3/16, De kleinson kim
wrote:
>
> Subject:
Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA
UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, 4 March, 2016, 22:51
>
> MAMA Kiwasila
ametoa
> mwangaza,
>
> serikali isishie
kuwa wakali kwa watumishi wa afya haswa
> huduma za afya, tuangalie takwimu za
vifo na huduma
> nyinginezo katika
hospitali zetu!!
>
> Ndio namna ya kugundua kama tunasonga
mbele, zikizidi
> tunarudi kurekebisha
jambo, zikipungua tunashukuru
>
tumeweza!! Ila kugawa mambo ya msingi kama dawa n.k. ni
> jukumu la serikali.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to
wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha
ukishatuma
>
>
>
>
Disclaimer:
>
>
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal
consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented
responsibly. Your
> continued
membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our
Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you
are subscribed to the
> Google Groups
"Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
> from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more
options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment