Nakubaliana na mengi uliyoyasema, na ndio maana mapema niliandika kuwa ni serikali ndiyo inapaswa kutowa muweleweko unaoweza kueleweka kwa jumuia nzima. Iwapo bajeti inaruhusu zitumike kiasi kadhaa kwa madhumuni fulani na zaidi ya hapo nchi haimudu, basi wananchi waelewe. Kuelimisha watu liwe ni jambo la kawaida. Vyombo vya habari, mashuleni, wana siasa, kwenye familia zetu tuwe tunaambiana ukweli na sio propanda. Watu lazima wajue hizo kodi wanazolipa zinakwenda wapi na zina umihimu gani katka fani mbali mbali za maisha yao. Umetoa mfano wa usafishaji kila jumamosi, lakini still watu wanatupa taka hovyo. Ni kwamba watu hawaelewi kwa nini wanatakiwa kusafisha miji wakati kuna serikali za miji- town/city councils. Lakini ukiwaelisha watu wajue kuwa pesa za usafishaji tutazitumia kwa shughuli nyingine kama kununua dawa n.k wataacha tabia hiyo ambayo unaweza kuilinganisha na usaliti. Nchi yetu hivi sasa ina wasomi wengi, ndio maana unaona watu hawataki tena mambo ya kienyeji. Wote tunakimbilia hospitalini ambako pia wanapaswa sio tu kutubiwa bali kupewa health education ambayo itasaidia kupunguza/eradicate baadhi ya maradhi. Yote hayo yapo mikononi mwa serikali na sisi kama raia tunapaswa kuyatekeleza. Unyapara lazima uwepo
Mtanganyka
Od: "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
Do: wanabidii@googlegroups.com;
Wysłane: 20:42 Sobota 2016-03-05
Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
>
>
> Unayoyasema Haha12 ni sawa kabisa. Lakini ujue-kujaa watu hospitali au katika huduma za afya kwa sasa ni positive trend katika uelewa wa watu kuhusu huduma ya kisasa ya afya. Pia akina mama kujazana na kuazlia zahanati au hospitali. Ina maana hawategemei zaidi waganga wa kienyeji bali huduma ya kisasa.
>
> Kama kuha zahanati ambayo hup[okea wagonjwa na kuwahudumia vizuri- watatoka mbali na kujazana hapo na madaktari wakiwa wachache ila wanafuata huduma bora.
>
> Kuhusu wananchi kumudu gharama-elfu kumi kwa mwaka kadi ya afya na nyingine gharama ni ya serikali ni hela kidogo sana kwa kaya kwa mafao ya afya bora. Ukifanya household survey na kuangalia expenditure yao kwa siku utaona wanaweza kulipa elfu kumi kwa mwaka-pombe, sigara na matumizi mengine binafsi.
>
> Fikiria kuku mmoja kijijini ni 12,000+ angalia mauzo ya nyanya, bamia, na mazao mengine ya biashara-nazi, samaki, korosho, kahawa, maziwa, nyama. Mfugaji ana ng'ombe elfu 5 a na mifugo mingineyo na masikini anao angalau wa 5 na mbuzi chache anauza ,mnavu pori, maziwa, dawa. Mkulima-kisambu, mchicha etc; Mvuvi-samaki gharama-elfu 10 kwa mwaka?! Unawaelimisha na kichwa na mifano kuonyeshwa na wanaona wanapoumwa ghafla au ugonjwa sugu. Bado anapokwenda kwa mganga wa kienyeji anatumia pesa nyingi kuliko hospitali kuchangia kadi ya afya kwa familia TAS 10 elfu kwa mwaka.
>
> Uelewa wetu hata na mifano ya wagonjwa na wanaofariki bado hakieleweki. Mifano hata hii ya usafi takataka kuziweka panapohusika, usafi wa pamoja kila jmosi na kila mwisho wa mwezi-bado tunatupa takataka mifereji wazi zinakwama, kunafurika mpaka ndani ya nyumba na tunaendelea kutupa na kuunganisha vyoo katika open drainage system. Chakula kuuzwa wazi, kipindupindu kinaua na tunaona walivyolala chini na wanaofariki-bado tunauza chalkula wazi pembeni taka zipo na mainzi kibao, tunanunua na mainzi yapo, serikali ya mtaa inakusanya kodi mainzini hapo. Ajali tunaziona lakini tunapanga biashara mpaka barabarani na njia za kupita kwa miguu hazipitiki. Kitu gani utufundishe sisi wabongo tuelewe na tutie katika matiki tuzingatie uhai na afya zetu. Hata viongozi wa siasa wanaelewa lakini bora apike mazuri ili apate kura atetee tu ushabiki wa kupinga.
>
> Ulaya wanakatwa kodi hasa kuikwepa si rahisi sana na kodi inakuwa invested katika huduma. Huwezi kusafiri na kuingia nchi zao bila ya Health Insurance labda uwe mhamiaji haram umejificha na hutoumwa wakakubamba. Kama bajeti inawekwa kikanjanja halafu inaingia kugharimia kisiasa sio kununua vifaa na kugharimia panapohusika-kumfukuza daktari wa wagonjwa kulala chini au kukosa dawa si vema. wapo vibaka lakini wapo pia watendaji bora watoa huduma na kuhurumia watu. Kama kuna good governance na ufuatiliaji uliotukuka-haya yote ya vibaka kuiba vya health sector kusingekuwepo. Hapa bongoland-ubadhirifu mpaka family/household level.
>
> Maduka ya Umma yes yawe ndani ya huduma husika ya afya -kuwe na dirisha la dawa na duka la dawa apate zile ambazo anastahili kutokana na kadi yake ya afya na Duka la umm hap ktk health facility la watu kununua ambazo hawezi kupata kutokana na card yake au mahitaji yake kama kalazwa Lakini usikataze watu wasifanye biashara hiyo kama vile utakavyotakiwa usikataze wasiuze mbegu na madawa ya kilimo eti wategemee ofisi za kilimo tu au za Vet care tu ambazo zitakuwa mbali na waliowengi vijini na mijijini. Liberalization of the economy itarudishwa nyuma na masuala ya ajira. Ila msisitizo ni sheria izingatiwe, kutokuuza vitu feki na vilivyoisha muda wake sekta zote. Serikali iboreshe mifumo yake na kuisimamia vizuri, iondoe utata ilioutengeneza before punishing the innocent and blaiming the victims unnecessarily.
> --------------------------------------------
>
>
> On Sat, 5/3/16, haha12@poczta.fm wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, 5 March, 2016, 21:25
>
> Huo ukosefu wa madawa
> haukuanza leo, lakini ninayoyasikia leo kuhusu suala hilo
> inaonyesha jinsi ufanisi wa kazi zinavyodidimia- Hospital
> managements zinandelea kuwa mbovu. Zamani hayakuwepo maduka
> mengi ya madawa kama yalivyo leo na wakuu wa hospitali zote
> kuanzia zahanati walikuwa wanapatiwa dawa kuambatana na
> matakwa halisi ikiangaliwa na uwezo wa bajeti iliyotelewa na
> serikali. Wagonjwa hawakuwa wanalala chini, wagonjwa
> mawodini walikuwa hawanunui dawa wala chakula. Sasa iwapo
> leo kuna haja ya kujitegemea kiafya, serikali inapaswa
> iwaeleze wananchi ukweli halisi kuwa ukienda hospitali
> unapaswa ulipe au usilipe badala tu ya kuwalaumu wafanya
> kazi. Sio wananchi wote wana health insurance kutokana na
> sababu mbali mbali. Tatizo hilo ni zito sana hata kwa nchi
> ziliZOendelea. Wananchi wanapaswa waelimishwe umuhimu wa
> health insurance na serikali iwe makini kwa wahujumu wa aina
> yeyote kwenye masuala ya madawa, vifaa na pesa za umma .
> Maduka ya madawa ni vyema yarudishwe mikononi mwa serikali
> ili kupunguza ulanguaji na ubinafsi unaofanywa na baadhi ya
> wafanya kazi ktk hospiltali zetu. Tuache kuwalaumu madaktari
> na wauguzi kwani sio wao wanaopanga sheria
> Mtanganyika
>
>
> Od: "Hildegarda
> Kiwasila"
> Do: wanabidii@googlegroups.com;
>
> Wysłane: 18:07 Sobota 2016-03-05
> Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
> KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
> MIKOCHENI
>
> >
> >
> > Yes Kim-Zamani hata
> kama dawa hospitali hakuna anakwambia doctor au nurse nenda
> hapa au pale ukanunue dawa aliyokuandikia lete hapa hakuna
> au zimekwisha. Mgonjwa anatibiwa na unakuta kila mgongwa ana
> bahasha lake la dawa alilonunua nurse kaliweka separate na
> mengine. Hakuna pampas unakwenda dukani nje unanunua
> unapeleka kwani private hospital huwezi gharama zake ambako
> pamsai utazilipia ktk bili yako ya gharama za juu.
> Unaridhika unampa kadogo kitu doctor wa GVT hospital kama
> asante.
> >
> > Sasa hii
> fukuza na funga hapa na pale, fukuza nurse, daktari
> waliobaki-watakuangalia pale unakufa- Msubiri Mangufuli na
> Kingwalala waje!! Cheza na mbongo wewe!
> >
>
> > Narudia-usifunge Duka la Dawa nje ya
> zahanati au huduma ya afya yoyote kabla hujafungua lako
> ndani ya huduma hiyo na kuhakikisha Health Kit ya huduma
> husika ina dawa za kutosha. Wakitoka nje wanakuta dawa ghali
> kuliko duka la ndani ya facility hiyo ya GVT hawanunui nje
> bali ndani. Daktari atafanya uwekezaji upi kama sio ktk
> sekta yake aliyosomea?_Duka la Dawa. kama hana
> hilo-ataondoka hapo mapema kwenda kutoa huduma private
> hospital ili agange njaa. Foleni ndefu yupo daktari mmoja
> tu wengine wamesepa kuongeza mshahara.
> >
>
> > Kama maduka ya dawa yamezingatia
> sheria na kupata leseni na wananunua dawa kiuhalali hata
> liwe la daktari liache!. Daktari ya hospitali, health
> Centre, Dispensary anajua ni magonjwa gani yapo highly
> prevalent hapo na muda gani yanatokea. Hivyo ananunua dawa
> anazoona zitahitajika eneo hilo. Health Kit ya Zahanati kwa
> mfano inategemea kaya ngapi zimenunua Health Card ya SHS
> 10,000 kwa mwaka familia ya watu sita na health Card ya
> mwanafunzi shule watoto 5 wanaweza kujumuishwa shs elfu 2
> kila mmoja matibabu ya mwaka kwa kadi moja ya elfu 10.
> >
> > Binafsi-nimejitolea
> sana kutibu wanafunzi kwa pesa zangu kila nipitapo vijijini
> kwa research na ninaposimamia miradi ya maendeleo vijijini
> ambayo huhusisha pia school health. Dawa nyingine za minyoo
> iliyomfanya mtoto awe na matezi nilizinunua DSM kwa ajili ya
> mwanafunzi aliyepo Milola kilometa 60 kutoka Lindi mjini.
> Haikupatikana Lindi. Kuzisafirisha vijijini kwa bus la
> abiria. Vifaa vya zahanati kuvinunua Dar maduka ya medical
> equipment authorized by the Ministry na kusafirisha Zahanati
> ninakosimamia mradi husika unaogopa vikipitisha Wilayani
> vinaweza visifike vinakotakiwa lakini unamuarifu DMO kuwa
> umepeleka hiki na kile kama mlivyokubaliana wakavikague
> vimeshafika. Hiyo ni Health Centre au Zahanati ya Serikali.
>
> >
> > Mzazi anashindwa
> hata kumpa mtoto hela akatibiwe zahanati lakini anakunywa
> pombe daily hanunui health card. Kama kaya ni elfu 2
> waliolippia kadi ya afya ni kaya asilimia 2 unafikiri Health
> Kit ya Zahanati itapatikana vipi? Wakati mwingine inakwenda
> sio kit husika kwa eneo hilo. Mpaka irudishwe inayohusika
> hapo na madawa hitajika ifike-hawajafa tu kama hakuna duka
> la dawa la binafasi? Hii funga funga mimi inanikera labda
> kwa mtu ambae hana uelewa na sekta hii ataona ile ingia
> funga na toka nje funga maduka ya dawa ni kitu chema. Hata
> vyuo vya elimu ya juu wameruhusu restaurants za watu binafsi
> na wanauza chakula sio bure tena kama tuposoma sisi
> cafeteria unapata nusu kuku unakula na kutupa. Sasa lipia
> kula ule utupe kwa matakwa yako. Huwezi ukafunga tu biashara
> hapo campus au nje ya shule wakati huduma ya serikali ya
> chuo kwa sasa inaendeshwa na mkandarasi sio dezo tena.
> Tujiangalie na maamuzi ya Hapa Kazi tu yanavyofasiriwa
> vibaya bila ya kuzingatia principles of good democratic
> governance, effective manpower management and effective
> institutional management.
> >
> > Kama Kawa
> >
> >
> --------------------------------------------
> > On Fri, 4/3/16, De kleinson kim
> wrote:
> >
> > Subject:
> Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA
> UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Friday, 4 March, 2016, 22:51
> >
> > MAMA Kiwasila
> ametoa
> > mwangaza,
> >
> > serikali isishie
> kuwa wakali kwa watumishi wa afya haswa
> > huduma za afya, tuangalie takwimu za
> vifo na huduma
> > nyinginezo katika
> hospitali zetu!!
> >
> > Ndio namna ya kugundua kama tunasonga
> mbele, zikizidi
> > tunarudi kurekebisha
> jambo, zikipungua tunashukuru
> >
> tumeweza!! Ila kugawa mambo ya msingi kama dawa n.k. ni
> > jukumu la serikali.
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to
> wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
> >
> >
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> > kudhibitisha
> ukishatuma
> >
> >
>
> >
> >
> Disclaimer:
> >
> >
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
> > statements and facts must be presented
> responsibly. Your
> > continued
> membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you
> are subscribed to the
> > Google Groups
> "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop
> receiving emails
> > from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more
> options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > To unsubscribe from this group
> and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment