Neatness Msemo-hata kama hawakujibu lakini hiyo miradi utakayotekeleza kwa kushirikisha wananchi katika eneo la wilaya, tarafa, kata, kijiji cha hao wataalamu wasiokujibu-unapowapa taarifa au wanapotembelea vijiji au maeneo yako ya kazi wataona hayo maendeleo au miradi yako. Ninaomba kama umejenga kitu au kuanzisha mradhi mfano shamba darasa au kilimo, bwawa za samaki etc weka kibao katika jengo ulilohisani. Weka bao kuwa kuna mradi huu na huu unahisaniwa na Mhisani ....na kutekelezwa na NGO..... Usipofanya hivi na kusambaza taarifa kwa wengi yenye jina la NGO yako, Mhisani etc-WAO hao wasiokusaidia au kukujibu-ndio watakuwa wakwanza kuorodhesha huo mradi wako kuwa umetekelezwa na WAO. watajisifu kuutekeleza na bajeti ya pesa iliyopangwa wataila. Wewe si umejenga au kuhamasisha matokeo au miundo mbinu, mashamba yapo? Wanakuja na wahisani wao, viongozi wao bila ya wewe kujua. Wanawaonyesha kazi yako kuifanya yao na hiyo inatumika kama justification ya matumizi za hela za miradi ya halmashauri au ya muhisani ambapo hela waliangamiza tumboni street. Kutangaza kimaandishi na kwa vibao inawafedhehesha na kukata ulaji wao. Viongozi hata wa vijiji hutumia mbinu hiyo na kuonyesha miradi yako kama ndio ile ya hela ya kuchangisha wanavijiji au hela walizopewa na hakmashauri au mhisani fulani. Ulaji mpaka nyumbani. NGO au mtu binafsi unajitolea kuchoresha ramani ya jengo la shule-wanatoa hela za akaunti fulani ya ujenzi kuwa hela hizo zilitoka humo-wanagawana, wanakula. Unanunua mbegu shamba la shule lilimwe na dawa unawapa za kupiga-gharama wanazidai halmashauri Idara ya Elimu wapate mrejesho na shamba la kulisha wanafunzi uji lililimwa kwa kuelimisha, kuhimiza na kulianzisha-wewe tena hutambuliwi ni dili lao. Hawatokutaja kuwa mhisani wao. lakini ukija-watakuchekea, mtatembelea mashamba kama kawa.
Majipu ni mengi, vamia ofisi, kijiji lakini ujue bila ya sisi wabongo kukubali kubadilika kuwa wakweli, waaminifu, kuipenda nchi na jamii yetu na kukubali kujituma na kuacha ubinafsi na kuacha kutishiana, kulipizana kisasi na kukomoana ikiwa mwenzako atakuonya, kukushauri usiibe na kutenda uovu-Majipu hayataisha, yatatengeneza madonda ndugu kutokana na mbinu za kukomoana na kulipiza kisasi-tutarudi nyuma daima.
Bwira Chini juzi kumetokea mapigano ya wafugaji wenyewe kwa wenyewe wametwangana hasa. Huku Bwira chini watahamisha kwani juu kutajengwa Bwawa la Dawasa-Kidunda Dam. wamewapimia makazi maeneo mapya wananchi wahamie ili kama bwawa likipasuka wasife kuzamishwa. Tayari walikopimiwa viwanja maeneo ya makazi wafugaji wanamiminika kuja na mifugo kwa maelfu maeneo ambayo kwa sasa mahindi na mpunga upo katika hali ya kati kutoa mazao ya kuvunwa June. Mifugo ndio inahamia. Wanakopita kama wahamiaji kwa kuswaga mifugo wanaonekana ila wanaachiwa tu. Wanaopita kwa malori-wanakaguliwa na wanapita njia ambayo haiendi kwenye masoko ya mji-wanapita. Wametoa zawadi y mifugo au pesa. wanakuja kikaoni wakiitwa-na silaha, tunaziona ktk TV na vijijini ana mkuki, kisu, rungu, panga na wengine bunduki. Kikao kikimkera si ataua watu wengi? Viongozi, polisi wapo lakini-tunayaangalia eti mila y kutembea na silaha-Mpaka Kikaoni? WEO milima ya Uluguru-Bwira-matombo viongozi wengine walitekwa nyara na baadhi kupigwa bakora vibaya sana walipowazuia kuhamia bila kibali na kuja na mifugo mingi eneo ambalo bwawa litajengwa na mito inahitaji ulinzi ili maji yapatikane DSM, Kibaha, Bagamoyo na umeme chalinze. Mfugaji anatandika viongozi na kuwahumiza vibaya anapewaje dhamana na kiongozi wa serikali kisha mshitakiwa anakimbia. Mhalifu anatorokaje akiwa lockup kituo cha polisi? Hii inatokea sana TZ. Kila kona ni uchafu mtupu.
Sio Majipu ni Kansa kuitibu utata.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Mon, 7/3/16, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 7 March, 2016, 0:54
Mimi ninafanya kazi
keen he Ngo baada ya kustaafu.Nilikuwa Dar lakini sasa
nimehamia Wilaya fulani sitaitaja kwa maslahi yangu. kwa
sasa naomba Dr.unisaidie nina mwaka wa tatu sijamwona mtu
anayehusika na maendeleo ya jamii kwenye kata ninayofanyia
kazi.Ngo yangu inaitwa jina ninalihifadhi imesajiliwa kwenye
wizara yako mwaka 2007.kuna matatizo mengi sana kwa Jamii
lakini pia kuna ukoaefu wa wafanyakazi wanadai wapo kumi tu
wilaya nzima.lakini pamoja na uchache wao nadhani ni vema
wakajipanga au wawe na mpango kazi.Nimeona wengi wako busy
tu na Tasaf kwa vile wanalipwa na kusahau majukumu yao ya
kuangalia jamii inayowazunguka.Nimewaandea lakini nadhani
hawakunielewa na nikawapa report yangu ya mwaka na
nikampelekea mkurugenzi lakini hata barua yangu ya
kujitambulisha sijajibiwa nimetuma karibu mara mbili na
inabidi nifanye kazi ya kuwahudumia wananchi kinguvu nguvu
tu wakati watendaji wapo na nimeenda wako busy wakati wote
na sijui wanalolifanya lakini kama kiongozi nakuomba tupia
macho huko chini wananchi wanaumia watendaji wa vijiji
hawana mafunzo ya kuhudumia wananchi katika kuleta maendeleo
pasipo mabwana maendeleo kuhusika. Najua nagusa mikono ya
watu lakini huu ndio ukweli.ukitaka information zote
nitakupatia.
On Mar 7, 2016 12:32
AM, wrote:
Jamani mimi niko kijijini kabisa yaani kama
serikali ni sikivu nadhani NW angekuwa anaibukia vijijini
kusikokuwa na A B ndipo angejua.watu wapo vijijini kuna
miungu huko usisikie kila kitu hakuna ningefurahi kama miezi
sita angeibukia tu vijijini bila taarifa na uone bibi afya
ambaye hajasoma yupo huko ndiye anaonekana badala ya NW
kweli unampa mtu darasa la saba kuwa bibi afya kata
unategemea nini wakati vijana wamesoma hawana kazi kisa
vijijini hakuna wasomi jamani waambieni wakurugenzi wa
wilaya waende masijala kila wilaya wakaone madudu hospital
zipo lakini hakuna watendaji kila mtu ni mwizi na fisadi
mahali pa kazi hakuna wa kuwasemesha watendaji wenyewe
ngumbaru unategemea nini kwanini wote hao hawaendi kusoma au
wapewe redundancy.For the sake of the Govt.wasomi wapo kila
kona hawana kazi lakini tuna wilaya nzima au mikoa wasomi
unahesabu je hamuoni.unatafuta afisa vijana amechoka yuko
frustrated hawezi hata andaa mipango mikakati lakini yupo tu
ukimuuliza mkuu wa wilaya anasema sina watu creative lakini
ofisi zina mizigo waende shule au waachie ngazi ni Tanzania
yote.unaweza usiwe msomi lakini mchapa kazi kwa uzoefu
lakini wengi hulindana mamizigo ni mengi sana
serikalini.lazima sasa Dr.Kingwangala mtusaidie kushape kila
ofisi kuanzia chini hadi huu.
On Mar 6, 2016 4:42
PM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
wrote:
Kwenye health education theory kuna warning au understanging
kwamba-Health Education in important but not sufficient for
positive behaviour change. Ninaomba uende Google Search
utafute-Health Education Theory or Behaviour Change Theory
-utajifunza mengi. Binadamu wote hata ulaya kuna matatizo
mengi. Wanajua Cigarette Smoking can cause cancer lakini wao
ni chain smokers wanawake na wanaume na kansa za koo
zinawamaliza. Hapa ni kipindupindu, ukimwi na elimu ya afya
inatolewa lakini bado tu wachafu sana tupo katika stages za
pre-contemplation pamoja na kuona vifi vya HIV, cholera na
hata TB. Wanaojichubua jee-mapaka wanatoka makovu. Vipi
kuhusu vidonge vya minyoo-matangazo mabango kibao, taarifa
redioni, TV, magazetini na ubalozi kupita kuhimiza kuhusu
kunywa dawa za matende na mabusha, minyoo-wazazi wanakataza
watoto wasiende kunywa dawa hizo nao ukienda ktk foleni
huwakuti bali wasichana, middle age women na wanafunzi au
watoto wachache. Wanafunzi wanaomezeshwa mashuleni na
kukaguliwa kinywa-baadhi yao wanakatazwa siku hiyo wasiende
shule.
Ufagiaji na uzoaji takataka upo decentralized na wananchi
wanajua, wameelimishwa na kuunda kamati za mazingira Mtaa.
Wameombwa kuuna CBOs au NGOs kujiajiri katika kufagia na
kukusanya takataka, mkandarasi ajaajiriwa kubeba taka
kupeleka dampo. Mkandarasi anaomba kikao kinakaa kumjadili
na Halmashauri inahusishwa na Mtaa kupitia list ya
walijiorodhesha kuomba kuzoa taka. Kila Mtaa unapanga
gharama ya kaya kulipia, aina ya biashara na gharama zake
zinatofautiana. Kama ni duka, genge, meza tu ya samaki,
mashine ya kusaga, bar lodging etc. Wanaweza kukubaliana
kulipa kwa wiki au mwezi. Hata hivyo, ulipaji wengine
wanakataa na kuamka usiku kuzitupa mferejini au nyumba
jirani ili asitoe 500/= kwa wiki. Mwingine anasema-anashinda
kazi na hana familia. Mwingine anamlipa mzoaji binafsi ambae
anazoa na kuzitupa mitaroni, nyumba zinazojengwa anatoa hapa
nyumba hii anatupa nyumba ile na vichochoroni, katikati ya
barabara kwenye bustani na hata rapid bus transport stands.
Mzoaji binafsi anatakiwa akaziweke ktk substation na
alipie-hataki. wakati mzoaji binafsi anapata kama 150,000/=
kwa mwezi na akifika majumbani anatumwa kufua, kutengeneza
bustani, kufyeaka na kulipwa hela na chakula anapewa na nguo
mbovu wanazotaka kutupa-anapata na vivalo. Utafiti wangu wa
2003 funded by ILO TZ nilitembea na wafagizi na wazoa taka
kuanzia 10 jioni hadi midnight wakifagia namna hiyo
usiku-UHuru-kariakoo area na Zanaki-Libya mjini. Kima cha
chini cha GVT mshahara ilikuwa 80,000/= mzoaji akipata
150,000/+ yule aliyejiajiri. Aliyeajiriwa 30,000-50,000/= na
foreman na dreva wa lori la taka 70-75,000/= (uonevu ulioje)
Akiumwa mfagiaji hata kama alishafagia wiki anaanza moja na
analipwa hiyo 30 elfu kidogo kidogo. Sexual abuse ilitawala
pia kwa akina dada. Nilikuta walimu wastaafu wakifagia pia.
Mikataba ya magari ya kubeba taka-utata mkubwa sina haja ya
kuwapotezea muda. Nilihoji kampuni 23. Nia yangu ilikuwa
kuona kwa nini pamoja na kuwepo PPP bado mji mchafu, wazoao
taka na kufagia hawavai protective gear? (Solid waste
collection and utilization of protective gear with a gender
perspective). Wengi hawapewi, wapewao huziuza na pia kuna
kuporwa gum boot, fagio, reki, toroli na vibaka hasa mjini.
Mfagizi anabondwa-anaporwa. Kampuni inakutaka-ujinunulie
ikiajiri kama mfagiaji, mpakia taka kwa sepeto. Red cross na
kampuni chache ndio wakilipa waajiriwa vema. Makusanyo ya
kaya kulipa wafagizi na makampuni ya kuzoa taka-hufisadiwa
na viongozi wa Mtaa halafu kuwa wakali asiulizwe. wapatao
kontrakti-makanjanja kumbe magari hawana kimagumashi kukodi
gari hela hawana na waliupata mkataba kimagumashi
waliowapatia wakijua uwezo hawana wamekula hela hawawezi
kuwadhibiti. Au-halmashauri ilidanganjwa mjamaa alikodisha
magari akaandika majina na kupanga vifaa vya kukodi na
vijana walamba bangi akaonekana ana ofisi na anauwezo
kumbe-kiini macho taka zinamshinda. CBO na NGO nyingine si
za wajasiriamali ni mtu kanjanja binafsi hivyo anawadhulumu
anashiba yeye. Bongoland hiyo-taka zinalundikana Sokoni,
management inakusanya hela-tumboni street kuchafu, kunanuka.
wanaona ila sugu na vipofu wa kuona ulaji tu sio afya zao na
taifa lao. Mfuatilie kiongozi hapo sokoni-uokotwe kichwa
Urafiki na mikuu mabibo dampo la maji machafu.
Mabango ya Elimu Jamii ni mengi mno barabarani, zahanati na
kazini.Ngoja nipate muda nikuwekee, mpaka ofisi za mtaa,
kata, kijiji. Nimehusika sana na Evaluation ya IEC
(Information Education, Communication) inayohusiana na elimu
ya afya jamii, mazingira, afya kazini na mpaka kupima
wafanyakazi waliopewa elimu ya afya na kuwahoji kuhuysu
matumizi ya condom. Ukimuuliza mtu Mtanzania utapata majibu
sahihi 80-100%. Lakini positive action less tha 40%. Katika
HIV unakuta 90% positive ni married people. Hata kula dawa
ya matende na ngiri maji-wanayaona matende na mabusha-hawali
dawa kutikana na Imani potofu ina dominate kuizidi elimu ya
afya waliyopewa. Hata ulaya-wamesoma lakini sigara
inamfariji anaivuta daily kila mtu na matatizo yake.
Enjoyment bila kondom ni superior kuliko outcome ya bila
kutumia-Mungu yupo akitaka ufe utakufa tu na HIV. Hata
mafuriko yalivyowaathiri wanabebwa na boat na kupewa
viwanja, bati, cement wakae Mabwepande-waliuza
wakarudi-tumezoea mjini ikawa dominant kiakili kuliko athari
iliyokuwa inawafika kupoteza ndugu, mali na kuishi uchafuni
daima. Mabwe pande ni uzunguni sasa. UMUELIMISHE KILA SIKU
AU UACHE SIASA UTUMIE SHERIA UMZOE NA KUMUONDOA ASIRUDI
HAPO-BOMOA, JENGA MIUNDO MBINU YA KISASA JANGWANI IWE KAMA
UK-THAMES VALLEY!!
Hii ya usafirishaji taka kila jumamosi ni ya Mh Mangufuli.
Kila Mtaa una maamuzi yake ktk kuzoa taka na kupeleka dampo.
Kuna mitaa Dar inafanya vizuri sana sana kwa usafi-Manzese
Uwanja wa Fisi ni Mtaa/Eneo mmojawapo na Jumuiya za
Watumia maji Manzese pia Kibaha ni mfano wa kuiga.
Kodi wanazolipa mbona zina kazi nyingi lakini 'Polluter
Pay Principle' inakutaka ugharimie uchafunzi unaoufanya
ndio RIO Summit na mikutano mingine ya kidunia
ilivyokubaliana na World Bank na DFID, SNV na donor wengineo
hawapo tena kutugharimia city cleansing. Kunyonya maji
machafu CIty Council na Municipality wawaachie private
sector pia kufagia na kuzoa taka kulipiwe na wachafuaji. Ila
waannchi tunatoboa vyoo na kutiririshia nje na mitaropni ili
tusilipie. Kama kodi yako ilipie kila kitu hiyo 500 kwa wiki
basi pia GVT ije ikuchambishe au ikuogesho ukitoka haja!
Hizi pumba sizipendi. Unaweka choo kinafura, unakitiririsha
maji ya kinyesi na maji taka mitaroni na hasa mvua ikinyesha
ndio unafungulia ilioje, kisha bomba lako la maji
limepasuka lina plasta linapita uchafuni mtaroni, unakunywa
maji mashafu, unaumwa, ulipiwe matibabu pia kwa pumba zako
mwenyewe mtanzania! Changia kadi ya afya-nalipa kodi. Lakini
unalewa, kununua madela, nyumba ndogo, unavuta sigara,
kucheza kamali, kutwa kigengeni unakula ubishi wa simba na
yanga huna hela ila umebweteka- Hebu tuwe na senses!!
Kliniki akina baba wanatakiwa waende-wabishi hawaendi. Mama
anaelekezwa yote kuhusu uzazi salama, kondom ya kike na ya
kiume, tubal ligation lakini-Hataki anaogpopa kuachwa
akitumia dawa za majira au kuweka kitanzi au kutumia kondom.
Michepuko mume na mke wanayo wote. Hata Mererani, Geita
machimboni elimu inakotolewa sana na mabango yapo-na kule
ambako wafanyakazi wanapewa kondomu bure-tumeluta matumizi
yake madogo sana 2%. Wafanyakazoi huzibena na kuziuza.
Kama ni Elimu ya AFYA-Tanzania inaongoza. Sera na
Mikakati-mingi na mizuri, sheria-zipo zinatakiwa
kurekebishwa nyingine ziwe updated. Tatizo ni utendaji wetu
kuanzia kaya hadi ofisi za Mtaa, Wlaya, Mkoa na Mawizara.
Ifike wakati hata ktk kilimo unapofika mahara kuna kilimo na
ufugaji sio endelevu, ofisi ya kijiji, kata, Tafara haina
choo au choo bora-fukuza hao extension staff kama hakuna
sababu maalum ya kuridhisha kwa nini hakuna choo na kilimo
ni haribifu. Kituo cha Afya choo kibovu au mlango hauna
bawaba haufukingi na fundi yupo kuweka bawaba tu!-Tumbua
mshahara wa fundi kama hela alipewa hakuweka.
Bila ya Unyapara-nchi haitobadilika hata aje nani udikteta
lazima. Kila mmoja nje ya nyumba yake mfereji uwe safi no
majani, taka ngumu, maji kutoka nyumba yake kuingia
mtaroni-Tumbua. Wakifagia hayakubebwa wamelundika nje au
mtaroni-Tumbua Serikali ya Mtaa (sio Wilaya)-Bwana Afya
Kata, Diwani, Viongozi wa Mtaa na kamati zao na Ubalozi.
Kwani Mbunge naye jimbo lake chafu anafanya nini; kilimo na
ufugaji usio endelevu anachekelea na kujali maandamano tu!
Hivi kweli kuwe na Chuo cha Kilimo, Ranch ya GVT ya Ufugaji
lakini vijiji kuzunguka chuo na ranchi viwe vinalima na
kufuga ktk hali ya Karne ya 6? TUMBUA! Field practice yao
wanafanya wapi. Nje ya Health Training Institution takataka
mitaani zimelundikana halafu eti unafundisha hapo Sanitary
engineers, Health officers???? Ndani ya Chuo cha
Construction Engineers mazingira ya chuo ngazi zote
zimeporomoka, concere slabs zimetoka mitaroni pia zinazagaa
na kuvunjika, ceiling board ya darasa imemegeka inataka
kuanguka-EXCUSE ME!! tumbua Mkuu wa Idara na wa Chuo Hicho!!
Mbona wanafanya consultancies na practices wanakwenda
kufanyia wapi?
Nina mengi usinichokozege haha12. Unyapara lazima uwepo!!
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Sun, 6/3/16, haha12@poczta.fm
<haha12@poczta.fm>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA
CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 6 March, 2016, 1:30
Nakubaliana na mengi
uliyoyasema, na ndio maana mapema niliandika kuwa ni
serikali ndiyo inapaswa kutowa muweleweko unaoweza
kueleweka
kwa jumuia nzima. Iwapo bajeti inaruhusu zitumike kiasi
kadhaa kwa madhumuni fulani na zaidi ya hapo nchi
haimudu,
basi wananchi waelewe. Kuelimisha watu liwe ni jambo la
kawaida. Vyombo vya habari, mashuleni, wana siasa, kwenye
familia zetu tuwe tunaambiana ukweli na sio propanda.
Watu
lazima wajue hizo kodi wanazolipa zinakwenda wapi na zina
umihimu gani katka fani mbali mbali za maisha yao. Umetoa
mfano wa usafishaji kila jumamosi, lakini still watu
wanatupa taka hovyo. Ni kwamba watu hawaelewi kwa nini
wanatakiwa kusafisha miji wakati kuna serikali za miji-
town/city councils. Lakini ukiwaelisha watu wajue kuwa
pesa
za usafishaji tutazitumia kwa shughuli nyingine kama
kununua
dawa n.k wataacha tabia hiyo ambayo unaweza kuilinganisha
na
usaliti. Nchi yetu hivi sasa ina wasomi wengi, ndio maana
unaona watu hawataki tena mambo ya kienyeji. Wote
tunakimbilia hospitalini ambako pia wanapaswa sio tu
kutubiwa bali kupewa health education ambayo itasaidia
kupunguza/eradicate baadhi ya maradhi. Yote hayo yapo
mikononi mwa serikali na sisi kama raia tunapaswa
kuyatekeleza. Unyapara lazima uwepo
Mtanganyka
Od: "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
Do: wanabidii@googlegroups.com;
Wysłane: 20:42 Sobota 2016-03-05
Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
MIKOCHENI
>
>
> Unayoyasema Haha12
ni sawa kabisa. Lakini ujue-kujaa watu hospitali au
katika
huduma za afya kwa sasa ni positive trend katika uelewa
wa
watu kuhusu huduma ya kisasa ya afya. Pia akina mama
kujazana na kuazlia zahanati au hospitali. Ina maana
hawategemei zaidi waganga wa kienyeji bali huduma ya
kisasa.
>
> Kama kuna
zahanati ambayo hupokea wagonjwa na kuwahudumia vizuri-
watatoka mbali na kujazana hapo na madaktari wakiwa
wachache
ila wanafuata huduma bora.
>
> Kuhusu wananchi kumudu gharama-elfu kumi
kwa mwaka kadi ya afya na nyingine gharama ni ya serikali
ni
hela kidogo sana kwa kaya kwa mafao ya afya bora.
Ukifanya
household survey na kuangalia expenditure yao kwa siku
utaona wanaweza kulipa elfu kumi kwa mwaka-pombe, sigara
na
matumizi mengine binafsi.
>
> Fikiria kuku mmoja kijijini ni 12,000+
angalia mauzo ya nyanya, bamia, na mazao mengine ya
biashara-nazi, samaki, korosho, kahawa, maziwa, nyama.
Mfugaji ana ng'ombe elfu 5 a na mifugo mingineyo na
masikini anao angalau wa 5 na mbuzi chache anauza
,mnavu
pori, maziwa, dawa. Mkulima-kisambu, mchicha etc;
Mvuvi-samaki gharama-elfu 10 kwa mwaka?! Unawaelimisha na
kichwa na mifano kuonyeshwa na wanaona wanapoumwa ghafla
au
ugonjwa sugu. Bado anapokwenda kwa mganga wa kienyeji
anatumia pesa nyingi kuliko hospitali kuchangia kadi ya
afya
kwa familia TAS 10 elfu kwa mwaka.
>
> Uelewa wetu hata na mifano ya wagonjwa na
wanaofariki bado hakieleweki. Mifano hata hii ya usafi
takataka kuziweka panapohusika, usafi wa pamoja kila
jmosi
na kila mwisho wa mwezi-bado tunatupa takataka mifereji
wazi
zinakwama, kunafurika mpaka ndani ya nyumba na
tunaendelea
kutupa na kuunganisha vyoo katika open drainage system.
Chakula kuuzwa wazi, kipindupindu kinaua na tunaona
walivyolala chini na wanaofariki-bado tunauza chalkula
wazi
pembeni taka zipo na mainzi kibao, tunanunua na mainzi
yapo,
serikali ya mtaa inakusanya kodi mainzini hapo. Ajali
tunaziona lakini tunapanga biashara mpaka barabarani na
njia
za kupita kwa miguu hazipitiki. Kitu gani utufundishe
sisi
wabongo tuelewe na tutie katika matiki tuzingatie uhai na
afya zetu. Hata viongozi wa siasa wanaelewa lakini bora
apike mazuri ili apate kura atetee tu ushabiki wa
kupinga.
>
> Ulaya
wanakatwa kodi hasa kuikwepa si rahisi sana na kodi
inakuwa
invested katika huduma. Huwezi kusafiri na kuingia nchi
zao
bila ya Health Insurance labda uwe mhamiaji haram
umejificha
na hutoumwa wakakubamba. Kama bajeti inawekwa kikanjanja
halafu inaingia kugharimia kisiasa sio kununua vifaa na
kugharimia panapohusika-kumfukuza daktari wa wagonjwa
kulala
chini au kukosa dawa si vema. wapo vibaka lakini wapo pia
watendaji bora watoa huduma na kuhurumia watu. Kama kuna
good governance na ufuatiliaji uliotukuka-haya yote ya
vibaka kuiba vya health sector kusingekuwepo. Hapa
bongoland-ubadhirifu mpaka family/household level.
>
> Maduka ya Umma yes
yawe ndani ya huduma husika ya afya -kuwe na dirisha la
dawa
na duka la dawa apate zile ambazo anastahili kutokana na
kadi yake ya afya na Duka la umm hap ktk health facility
la
watu kununua ambazo hawezi kupata kutokana na card yake
au
mahitaji yake kama kalazwa Lakini usikataze watu
wasifanye
biashara hiyo kama vile utakavyotakiwa usikataze wasiuze
mbegu na madawa ya kilimo eti wategemee ofisi za kilimo
tu
au za Vet care tu ambazo zitakuwa mbali na waliowengi
vijini
na mijijini. Liberalization of the economy itarudishwa
nyuma
na masuala ya ajira. Ila msisitizo ni sheria izingatiwe,
kutokuuza vitu feki na vilivyoisha muda wake sekta zote.
Serikali iboreshe mifumo yake na kuisimamia vizuri,
iondoe
utata ilioutengeneza before punishing the innocent and
blaiming the victims unnecessarily.
>
--------------------------------------------
>
>
> On Sat, 5/3/16, haha12@poczta.fm
wrote:
>
> Subject:
Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA
CHA
UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, 5 March, 2016, 21:25
>
> Huo ukosefu wa
madawa
> haukuanza leo, lakini
ninayoyasikia leo kuhusu suala hilo
>
inaonyesha jinsi ufanisi wa kazi zinavyodidimia- Hospital
> managements zinandelea kuwa mbovu.
Zamani hayakuwepo maduka
> mengi ya
madawa kama yalivyo leo na wakuu wa hospitali zote
> kuanzia zahanati walikuwa wanapatiwa
dawa kuambatana na
> matakwa halisi
ikiangaliwa na uwezo wa bajeti iliyotelewa na
> serikali. Wagonjwa hawakuwa wanalala
chini, wagonjwa
> mawodini walikuwa
hawanunui dawa wala chakula. Sasa iwapo
> leo kuna haja ya kujitegemea kiafya,
serikali inapaswa
> iwaeleze wananchi
ukweli halisi kuwa ukienda hospitali
> unapaswa ulipe au usilipe badala tu ya
kuwalaumu wafanya
> kazi. Sio wananchi
wote wana health insurance kutokana na
> sababu mbali mbali. Tatizo hilo ni zito
sana hata kwa nchi
> ziliZOendelea.
Wananchi wanapaswa waelimishwe umuhimu wa
> health insurance na serikali iwe makini
kwa wahujumu wa aina
> yeyote kwenye
masuala ya madawa, vifaa na pesa za umma .
> Maduka ya madawa ni vyema yarudishwe
mikononi mwa serikali
> ili kupunguza
ulanguaji na ubinafsi unaofanywa na baadhi ya
> wafanya kazi ktk hospiltali zetu. Tuache
kuwalaumu madaktari
> na wauguzi kwani
sio wao wanaopanga sheria
>
Mtanganyika
>
>
> Od: "Hildegarda
> Kiwasila"
>
Do: wanabidii@googlegroups.com;
>
> Wysłane: 18:07
Sobota 2016-03-05
> Temat: Re:
[wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
>
KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
> MIKOCHENI
>
> >
> >
> > Yes Kim-Zamani hata
> kama dawa hospitali hakuna anakwambia
doctor au nurse nenda
> hapa au pale
ukanunue dawa aliyokuandikia lete hapa hakuna
> au zimekwisha. Mgonjwa anatibiwa na
unakuta kila mgongwa ana
> bahasha lake
la dawa alilonunua nurse kaliweka separate na
> mengine. Hakuna pampas unakwenda dukani
nje unanunua
> unapeleka kwani private
hospital huwezi gharama zake ambako
>
pamsai utazilipia ktk bili yako ya gharama za juu.
> Unaridhika unampa kadogo kitu doctor wa
GVT hospital kama
> asante.
> >
> > Sasa
hii
> fukuza na funga hapa na pale,
fukuza nurse, daktari
>
waliobaki-watakuangalia pale unakufa- Msubiri Mangufuli
na
> Kingwalala waje!! Cheza na mbongo
wewe!
> >
>
> > Narudia-usifunge Duka la Dawa nje
ya
> zahanati au huduma ya afya yoyote
kabla hujafungua lako
> ndani ya huduma
hiyo na kuhakikisha Health Kit ya huduma
> husika ina dawa za kutosha. Wakitoka nje
wanakuta dawa ghali
> kuliko duka la
ndani ya facility hiyo ya GVT hawanunui nje
> bali ndani. Daktari atafanya uwekezaji
upi kama sio ktk
> sekta yake
aliyosomea?_Duka la Dawa. kama hana
>
hilo-ataondoka hapo mapema kwenda kutoa huduma private
> hospital ili agange njaa. Foleni ndefu
yupo daktari mmoja
> tu wengine
wamesepa kuongeza mshahara.
> >
>
> > Kama maduka
ya dawa yamezingatia
> sheria na kupata
leseni na wananunua dawa kiuhalali hata
> liwe la daktari liache!. Daktari ya
hospitali, health
> Centre, Dispensary
anajua ni magonjwa gani yapo highly
>
prevalent hapo na muda gani yanatokea. Hivyo ananunua
dawa
> anazoona zitahitajika eneo hilo.
Health Kit ya Zahanati kwa
> mfano
inategemea kaya ngapi zimenunua Health Card ya SHS
> 10,000 kwa mwaka familia ya watu sita na
health Card ya
> mwanafunzi shule
watoto 5 wanaweza kujumuishwa shs elfu 2
> kila mmoja matibabu ya mwaka kwa kadi
moja ya elfu 10.
> >
> > Binafsi-nimejitolea
> sana kutibu wanafunzi kwa pesa zangu
kila nipitapo vijijini
> kwa research
na ninaposimamia miradi ya maendeleo vijijini
> ambayo huhusisha pia school health. Dawa
nyingine za minyoo
> iliyomfanya mtoto
awe na matezi nilizinunua DSM kwa ajili ya
> mwanafunzi aliyepo Milola kilometa 60
kutoka Lindi mjini.
> Haikupatikana
Lindi. Kuzisafirisha vijijini kwa bus la
> abiria. Vifaa vya zahanati kuvinunua Dar
maduka ya medical
> equipment
authorized by the Ministry na kusafirisha Zahanati
> ninakosimamia mradi husika unaogopa
vikipitisha Wilayani
> vinaweza
visifike vinakotakiwa lakini unamuarifu DMO kuwa
> umepeleka hiki na kile kama
mlivyokubaliana wakavikague
>
vimeshafika. Hiyo ni Health Centre au Zahanati ya
Serikali.
>
>
>
> > Mzazi anashindwa
> hata kumpa mtoto hela akatibiwe zahanati
lakini anakunywa
> pombe daily hanunui
health card. Kama kaya ni elfu 2
>
waliolippia kadi ya afya ni kaya asilimia 2 unafikiri
Health
> Kit ya Zahanati itapatikana
vipi? Wakati mwingine inakwenda
> sio
kit husika kwa eneo hilo. Mpaka irudishwe inayohusika
> hapo na madawa hitajika ifike-hawajafa
tu kama hakuna duka
> la dawa la
binafasi? Hii funga funga mimi inanikera labda
> kwa mtu ambae hana uelewa na sekta hii
ataona ile ingia
> funga na toka nje
funga maduka ya dawa ni kitu chema. Hata
> vyuo vya elimu ya juu wameruhusu
restaurants za watu binafsi
> na
wanauza chakula sio bure tena kama tuposoma sisi
> cafeteria unapata nusu kuku unakula na
kutupa. Sasa lipia
> kula ule utupe kwa
matakwa yako. Huwezi ukafunga tu biashara
> hapo campus au nje ya shule wakati
huduma ya serikali ya
> chuo kwa sasa
inaendeshwa na mkandarasi sio dezo tena.
> Tujiangalie na maamuzi ya Hapa Kazi tu
yanavyofasiriwa
> vibaya bila ya
kuzingatia principles of good democratic
> governance, effective manpower
management and effective
>
institutional management.
> >
> > Kama Kawa
>
>
> >
>
--------------------------------------------
> > On Fri, 4/3/16, De kleinson
kim
> wrote:
>
>
> > Subject:
> Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
KUFUNGWA CHUMBA CHA
> UPASUAJI CHA
HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Friday, 4 March, 2016,
22:51
> >
>
> MAMA Kiwasila
> ametoa
> > mwangaza,
>
>
> > serikali isishie
> kuwa wakali kwa watumishi wa afya
haswa
> > huduma za afya,
tuangalie takwimu za
> vifo na
huduma
> > nyinginezo katika
> hospitali zetu!!
> >
> >
Ndio namna ya kugundua kama tunasonga
>
mbele, zikizidi
> > tunarudi
kurekebisha
> jambo, zikipungua
tunashukuru
> >
> tumeweza!! Ila kugawa mambo ya msingi
kama dawa n.k. ni
> > jukumu la
serikali.
> >
> >
> >
> > --
>
>
> > Send Emails to
> wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
>
> Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
> >
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha
> ukishatuma
> >
> >
>
> >
> >
>
Disclaimer:
> >
> >
> Everyone
posting to this Forum bears the sole
>
responsibility
> > for any
legal
> consequences of his or her
postings, and hence
> > statements
and facts must be presented
>
responsibly. Your
> > continued
> membership signifies that you agree to
this
> > disclaimer and pledge to
abide by our
> Rules and Guidelines.
> >
> >
---
> >
>
> You received this message because you
> are subscribed to the
> > Google Groups
> "Wanabidii" group.
> >
> > To
unsubscribe from this group and stop
>
receiving emails
> > from it, send
an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> >
For more
> options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> > --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal
consequences of his or her
> postings,
and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership
signifies that you
> agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
>
> ---
> > You received this
message because you are
> subscribed to
the Google Groups "Wanabidii"
> group.
> > To
unsubscribe from this group
> and stop
receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
>
>
>
> --
> Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>
Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility
for any legal
> consequences of his or
her postings, and hence statements
>
and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to
this disclaimer and
> pledge to abide
by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google
Groups
> "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving
emails from it, send an
> email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or
her
postings, and hence statements and facts must be
presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send
an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment