Tuesday, 1 March 2016
Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
Pumba tupu. Nilipoteza mjukuu baada ya kuhangaika Lugalo kwenda Muhimbili na nilinunua mafuta ya landrover ili tupelekwe Muhimbili. Kufika huko ni ukanjanja tu mpaka binti akakosa mtoto. Alifika asubuhi sana opertesheni jioni sana mtoto maiti tumboni na alipitiliza muda wa kuzaa mtoto alikuwa mkubwa sana pia-vifaa hawana mara hili mara lile. Tuna stories nyingi zetu wenyewe tulizotendewa mahospitali, kliniki, unatoa hela ya hili na lile na kumpa kitu muhudumu ili tu mgonjwa wako, mzazi wako ahudumiwe. Kila kitu hakipo na una kadi ya afya. Unalipia, unanunua ili uje upate refund-wapi, utaipata?
Kama hata majengo ya hospitali kuu za serikali kunguru anaruka na placenta na uchafu mwingine wa kutoka chumba cha upasuaji incinerator haifanyi kazi-utakaba roho hospitari au zahanati nyingine? Sitaki kuweka picha hapa za kugawa mashuka niliyonunua mtumba kusaidia Zahanati mojawapo ya GVT Tarafa ya Ngerengere 2014. Hakuna shuka na mapazia. wakina mama wanalalia uchafu. rekebisha kwako kwanza kabla hujadandia kwa wengine. Hii funga, kamata, fukuza ya sasa itaumiza wengi na watu watakufa hasa wakati serikali yenyewe vibaka wengi na ulaji mkubwa alocation ya hela ndogo. Vifaa haviletwi kupewa wahusika au matengenezo duni.
On Tue, 1/3/16, Zainul Mzige <zmzige@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
To:
Date: Tuesday, 1 March, 2016, 7:38
Habari za
asubuhi,
Tafadhali pokea CODES hapa chini.
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi
Kigwangalla ameagiza kufungwa mara moja Chumba cha upasuaji
cha hospitali ya Sanitas ya Mikocheni Jijini Dar es Salaam
baada ya kubaini kuwa na kasoro mbalimbali ikiwemo mfumo na
ramani yake kimefungwa kwa kutokidhi vigezo vya kimataifa
vya namna chumba hicho kinavyotakiwa
kuwa.
Dk.
Kigwangalla ametoa agizo hilo mapema jana Februari 29.2016,
alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye hospitali hiyo majira
ya saa nane na nusu mchana  ambapo baada ya kutembelea
hospitali nzima na kushuhudia namna ya utolewaji wa huduma,
hakuridhishwa na hali aliyokutana nayo kwenye chumba hicho
na kutoa maagizo  kwa Msajili wa Hospitali Binafsi, Dkt.
Pamela Sawa kufunga chumba hicho mpaka uongozi wa hospitali
hiyo utakapofanya marekebisho ya mapungufu
yaliyopo.
"Chumba
cha upasuaji hakiko sawa, siwezi kuvumilia kuacha chumba
hiki kiko chini ya kiwango cha kimataifa. Rekebisheni chumba
hiki kwa kutumia mfumo wa ramani wa wizara," alieleza Dkt.
Kigwangalla wakati wa kutoa maagizo kwa mmoja wa Ofisa wa
Hospitali
hiyo.
Aidha
uongozi wa hospitali hiyo umepewa siku saba wawe
wamewasilisha maelezo ya kutowalipa mishahara kwa kipindi
cha miezi minne watumishi wake pamoja na jinsi
wanavyoteketeza taka hatarishi za hospitali
hiyo.
Katika
ziara hiyo Naibu  Waziri huyo alipata malalamiko kutoka kwa
watumishi hao ambao wamelalamikia kukatwa kwa makato ya
mafao pasipo kupelekwa mahali husika kwa zaidi ya miaka
mitatu na
nusu.
Dkt.
Kigwangalla  alivitaja viwango  vya chumba cha upasuaji
kuwa kinatakiwa chumba cha kubadilishia mavazi,kunawa
mikono,sehemu ya alama maalum zenye rangi nyekundu, meza ya
upasuaji, ukanda wa usafi, chumba cha mapunziko baada ya
kutoka kwenye upasuaji na chumba cha kusafishia vifaa vya
upasuaji na kuna mashine maalum kwa kuwa kila upasuaji una
idadi ya vifaa
vinavyotumika.
Aliongeza
kuwa viwango hivi vinawekwa ili kuepuka
maambukizi.
Kwa
upande wake Meneja Uendeshaji wa hospitali hiyo, Bi. Gean
Cabral alisema watarekebisha mapungufu yaliyobainika pamoja
na kufanya yale yote waliyoagiziwa baada ya tukio
hilo.
kuangalia tukio hilo hapa:
Modewjiblog/MO
tv)
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi
Kigwangalla (katikati) akipata maelezo machache kutoka kwa
Meneja uendeshaji wa Hospitali ya Sanitas,  Bi. Gean Cabral
wakati walipowasilia katika ziara
hiyo..
sehemu katika hospitali
hiyo.
akizungumza na baadhi ya wagonjwa (hawapo pichani) namna
Serikali ya Rais Magufuli inavyofanya kazi kwa kusimamia
haki na usawa ikiwemo kufika katika maeneo yenye kero na
kuchukua hatua ilikumuokoa Mwananchi katika kupata haki yake
na huduma bora
anayostahiki.
maagizo hayo kwa Meneja uendeshaji wa hospitali hiyo, Bi.
Gean Cabral
akimuonesha moja ya 'karatasi' iliyoandikwa ujumbe
mbalimbali dhidi ya madai kutoka kwa wafanyakazi wa
Hospitali
hiyo.
Hospitali hiyo Bi. Gean Cabral akifafanua jambo pamoja na
Naibu Waziri wakati wa ziara
hiyo..
akiangalia namna hali ya Maabara ya Hospitali hiyo licha ya
kuwa na vifaa vya kutosha, lakini imeshindwa kuweka
mpangilio mzuri unaotakiwa kutumika katika mahabara. ikiwemo
suala la
usafi
Dk. Kigwangalla (kushoto), Msajili wa Hospitali Binafsi
pamoja na maafisa wengine akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni, Dk. Aziz (kulia) wakijadiliana jambo muda mfupi
baada ya kumalizika kwa ziara hiyo ya kushtukiza kuangalia
namna ya uendeshaji katika huduma za Sekta za Afya, zikiwemo
za Serikali na zile za watu binafsi. (Picha zote na Andrew
Chale,Modewjiblog/MO
tv).
KAWAIDA
Naibu
wa  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza kufungwa mara moja
Chumba cha upasuaji cha hospitali ya Sanitas ya Mikocheni
Jijini Dar es Salaam baada ya kubaini kuwa na kasoro
mbalimbali ikiwemo mfumo na ramani yake kimefungwa kwa
kutokidhi vigezo vya kimataifa vya namna chumba hicho
kinavyotakiwa kuwa.Dk.
Kigwangalla ametoa agizo hilo mapema jana Februari 29.2016,
alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye hospitali hiyo majira
ya saa nane na nusu mchana  ambapo baada ya kutembelea
hospitali nzima na kushuhudia namna ya utolewaji wa huduma,
hakuridhishwa na hali aliyokutana nayo kwenye chumba hicho
na kutoa maagizo  kwa Msajili wa Hospitali Binafsi, Dkt.
Pamela Sawa kufunga chumba hicho mpaka uongozi wa hospitali
hiyo utakapofanya marekebisho ya mapungufu
yaliyopo."Chumba
cha upasuaji hakiko sawa, siwezi kuvumilia kuacha chumba
hiki kiko chini ya kiwango cha kimataifa. Rekebisheni chumba
hiki kwa kutumia mfumo wa ramani wa wizara," alieleza Dkt.
Kigwangalla wakati wa kutoa maagizo kwa mmoja wa Ofisa wa
Hospitali hiyo.Aidha
uongozi wa hospitali hiyo umepewa siku saba wawe
wamewasilisha maelezo ya kutowalipa mishahara kwa kipindi
cha miezi minne watumishi wake pamoja na jinsi
wanavyoteketeza taka hatarishi za hospitali
hiyo.Katika
ziara hiyo Naibu  Waziri huyo alipata malalamiko kutoka kwa
watumishi hao ambao wamelalamikia kukatwa kwa makato ya
mafao pasipo kupelekwa mahali husika kwa zaidi ya miaka
mitatu na nusu.Dkt.
Kigwangalla  alivitaja viwango  vya chumba cha upasuaji
kuwa kinatakiwa chumba cha kubadilishia mavazi,kunawa
mikono,sehemu ya alama maalum zenye rangi nyekundu, meza ya
upasuaji, ukanda wa usafi, chumba cha mapunziko baada ya
kutoka kwenye upasuaji na chumba cha kusafishia vifaa vya
upasuaji na kuna mashine maalum kwa kuwa kila upasuaji una
idadi ya vifaa vinavyotumika.Aliongeza
kuwa viwango hivi vinawekwa ili kuepuka
maambukizi.Kwa
upande wake Meneja Uendeshaji wa hospitali hiyo, Bi. Gean
Cabral alisema watarekebisha mapungufu yaliyobainika pamoja
na kufanya yale yote waliyoagiziwa baada ya tukio
hilo.Tazama
MO tv, kuangalia tukio hilo hapa:
Imeandaliwa
na Magreth Kinabo, (MAELEZO),
Andrew Chale, Modewjiblog/MO
tv)Naibu
wa  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akipata maelezo
machache kutoka kwa Meneja uendeshaji wa Hospitali ya
Sanitas,  Bi. Gean Cabral  wakati walipowasilia katika
ziara hiyo..Dk
Kigwangalla  akikagua baaadhi ya sehemu katika hospitali
hiyo.Dk.
Kigwangalla akizungumza na baadhi ya wagonjwa (hawapo
pichani) namna Serikali ya Rais Magufuli inavyofanya kazi
kwa kusimamia haki na usawa ikiwemo kufika katika maeneo
yenye kero na kuchukua hatua ilikumuokoa Mwananchi katika
kupata haki yake na huduma bora
anayostahiki.Dk.
Kigwangalla akitoa maagizo hayo kwa Meneja uendeshaji wa
hospitali hiyo, Bi. Gean
Cabral Dk.
Kigwangalla akimuonesha moja ya 'karatasi'
iliyoandikwa ujumbe mbalimbali dhidi ya madai kutoka kwa
wafanyakazi wa Hospitali hiyo.Meneja
Uendeshaji wa Hospitali hiyo Bi. Gean Cabral akifafanua
jambo pamoja na Naibu Waziri wakati wa ziara
hiyo..Dk
Kigwangalla akiangalia namna hali ya Maabara ya Hospitali
hiyo licha ya kuwa na vifaa vya kutosha, lakini imeshindwa
kuweka mpangilio mzuri unaotakiwa kutumika katika mahabara.
ikiwemo suala la usafiNaibu
Waziriwa Afya, Dk. Kigwangalla (kushoto), Msajili wa
Hospitali Binafsi pamoja na maafisa wengine akiwemo Mganga
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dk. Aziz (kulia) wakijadiliana
jambo muda mfupi baada ya kumalizika kwa ziara hiyo ya
kushtukiza kuangalia namna ya uendeshaji katika huduma za
Sekta za Afya, zikiwemo za Serikali na zile za watu binafsi.
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog/MO
tv).
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment