Umenena Reuben.
Siku tatu nilipata mbeni mmoja. kijana mdogo wa myaka 19. Akaniambia mzee nimekuja kutafuta TIN numbefr. Akasema nakwenda kutafuta Liseni ya udereva. Nikamuuliza kama ameisha maliza mafunzo akasema hapana. Nikamuuliza anafanya kazi gani. Akasema yeye ni dereva. Anaendesha gari la mtu mkubwa huwezi kuamini. Nikamwambia mbona unamuaibisha bosi wako? Alikuajilije bila kuwa na liseni? Akasema ndiyo maana anaitafuta.
Mambo haya hayawezi kumaliza ajali bila kuyashughulikia.
--------------------------------------------
On Wed, 3/23/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] AJALI ZA MAGARI BARABARANI: TUNAHITAJI KUSAHIHISHA HAYA YA MSINGI KUZIPUNGUZA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 23, 2016, 8:31 AM
Elisa;Eneo
la kwanza mi naona ndio sababu kubwa ya matatizo ya
ajali.Madereva
wetu hawajitambui kabisa na hii inasababishwa kwa kiasi
kikubwa na wasimamizi wa mfumo wa utoaji leseni,unajua
leseni zinauzwa tu kama karanga?
Pasipo kuzingatia kama unafahamu sheria au la unaletewa
leseni mezani/ofisini etc.Ngoma
ipo sasa huko barabarani,hii inapelekea hata wahusika
kushindwa kuwabana mana ni jamaa uliyempa leseni
mwenyewe,anapaki gari kama mbuni na yupo main road/highway
sababu anaingia dukani hapo opposite!!Hata
magonjwa ya sikuizi hayawezi kupungua mana watu hatutaki
kufanya mazoezi hata kiduchu,tunashindwa tu kuingia nayo
chooni.
Reuben
On Tuesday, March 22,
2016 11:23 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Imetokea ajali nyingine Baagamoyo. Imeua
watendaaji wa wilaya ya Bagamoyo na naibu waziri wa TAMISEMI
kuponea chupuchupu.
Chanzo cha ajali hiyo ni
mwendo mbovu usiofuata sheria za barabarani wa madereva
wawili wa gari ndogo na lori la mchanga.
Wakati tukiomboleza vilio hivyo vya ndugu zetu
tunatafakari pia ajali nyingi nyingine zinazoua na kujeruhi.
Zinazoacha ulemavu; yatima na wajane na uharibifu wa
miundombinu.
Kwa muda mrefu
ajali zimekuwa zinatokea na hatua kadhaa zinachukuliwa.
Hatua hizo ni pamoja na kujenga matuta barabarani; Kuongeza
viwango vya fine za barabarani; kuongeza vituo vya ukaguzi
wa askari barabarani; kuongeza vifaa vya kudhibiti mwendo
kama tochi za askari vinavyomulika na kubaini mwendo. Kwa
madereva wetu kuongeza ujanja askari wetu sasa wanaweza
kujificha na kumulika tochi hizo kwa kushtukiza. Bado ajali
zinatokea. Ukiziangalia njia zote nilizozitaja za kudhibiti
ajali tunaweza kuziita ''symptomatic control
measures'', yaani zinatibu dalili lakini hazidhibiti
vyanzo vya sababu za ajali.
Yapo mambo mengi ya msingi yanayohitaji
kufanyika na yanaweza kupunguza ajali hizi. Hapa nitajadili
mambo muhimu matatu na nayaona ni ya msingi katika kudhibiti
ajali hizi:
Upatikanaji wa
madreva:
Inafahamika kuwa siku ya mtihani wa
darasa la saba au Form four nchi yote hutaharuki. Usalama
wataifa; Polisi, na idara nyingi hushiriki. Madaktari wetu
wanapofanya mitihani watahini hutoka hospitali mbali mbali
kuja kuunda timu za kutahini waganga na madaktari wetu.
Wengine tunawaita 'External examiners' na wengine
'internal Examiners'. Mambo huwa hivyo ili kuhaskikisha
kama ni mganga, nesi au daktari anatahiniwa na kujiridhisha
kuwa amefaulu. Sijui walimu, mabwana shamba hutahiniwaje
lakini kuna taratibu zake. Lakini hata sifa za kuchukua
masomo hayo kuna mifumo yake.
1) Madereva wetu hupatikana kiholela.
Wakati hayo yakiwa hivyo kwa taaluma hizo
sivyo ilivyo kwa madreva wanaosababisha vifo na ulemavu
mwingi. Tanzania hatuna mfumo sahihi na rasmi unaotusaidia
kuwapata madreva. Wengi wamepata uzoefu walipokuwa mautingo.
Wengine huenda vyuo vya udreva na kununua cheti cha udreva
na baadaye kujifunza baada ya kuajiliwa. Mimi ni dereva.
Majuzi niliendeshwa na dreva mmoja ambaye naamini elimu yake
ni darasa la saba au chini. Niligundua kuwa kama tunataka
kuwa na madreva ni lazima dreva awe amemaliza kidato cha nne
na masomo muhimu ambayo lazima awe amefaulu ni Physics na
Hesabu.
Katika mtaala wa madreva, wasomeshwe
mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja ni mahesabu ya speed na
muda. Mfano speed ya gari unalotaka kulipita na muda
utakaotumia kwa kuliangalia gari lililo mbele yako linaweza
kuwa limefikia wapi kwa speed ya magari matatu hayo (lako,
unalolipita na linalokuja mbele yako). Impaction inayoweza
kutokea magari yanapogongana yakiwa katika speed fulani.
Madreva wetu hasa wanaoajiliwa lazima waende vyuoni na
utahini wao usisimamiwe na wenye vyuo. Kama ilivyo kwa
taaluma nilizozitaja na madreva iwe taaluma inayoheshimika
na upatikanaji wake usiwe wa kuokotwa. Twaweza kuweka nafuu
kwa dreva anayeendesha gari lake binafsi kwa sababu kwa
kawaida mwenye gari huwa makini kuliko anayeendesha la
mwingine.
2) Adhabu za makosa ya barabarani:
Eneo la pili linalosababisha ajali ni kuhusu
adhabu za makosa ya barabarani. Mtu ukipewa swali uchague
jibu likiuliza: Adhabu zinazotolewa kwa makosa barabarani
Tanzania zinalenga nini: (A) Kupunguza ajali barabarani (B)
Kukusanya mapato ya serikali. Jibu sahihi ni (B). Si muujiza
kusikia RTO au RPC akitoa taarifa kuwa mwezi huu Polisi
wamekusanya bilioni kadhaa kwa makosa ya barabarani na
anasema hilo kama sehemu ya mafanikio.
Adhabu hutolewa kwa wakosaji. Kwa hiyo kwa
taarifa hiyo Polisi wanakuwa wanashangilia makosa na kutaka
yaendelee ili mapato zaidi yakusanywe. Huu ni ujinga
tunaostahili kuutoka. Kwa sababu madreva wetu hawakwenda
shule tunahitaji kubadili mfumo wa kudhibito makosa ya
barabarani.
Mfano makosa
yatokanayo na dreva kutojua au uzembe, adhabu sahihi ni
dreva kumsimamishia liseni akaenda chuoni kwa wiki kadhaa
kujifunza sheria aliyoivunja. Hii itasaidia kama dreva
anafanya kwa kutojua basi akishajifunza hatarudia na kama ni
uzembe atakuwa mwangalifu ili liseni yake isizuiliwe. Makosa
kama yalioua maafisa wetu ya dreva kupita gari katika
mazingira mabovu, Kutotii king'ora cha ambulance,
kutofunga mkanda, kwenda speed iliyozidi nk yatadhibitiwa
kwa njia hiyo bila fine.
Kwa makosa ya ubovu wa magari dreva ataagizwa
kusimamisha gari hadi litengenezwe au anaweza kupewa
masharti ya speed hadi gari lifike liendako na likifika
lipelekwe gereji. Mfano gari lililoishiwa tyres, Taa
kutowaka, bodi iliyochakaa nk Utaratibu huu utapunguza sana
mapato ya serikali yatokanayo na ujinga au umaskini wa wenye
magari na madreva.
3)
Tabia ya Polisi barabarani:
Hili ni eneo la
tatu ninaloliona linasababisha maafa makubwa barabarani.
Polisi kuliachia gari bovu likaenda kwa sababu ama ni la
serikali, Rafiki yake au la mkubwa Fulani ni jambo la
kawaida. Trafiki kulikamata gari lisilo na kosa na kuanza
kutafuta ''kosa lolote' na huku magari mabovu au yenye
makosa-hatarishi yanapita ni kawaida. Hili ni eneo muhimu
kusahihisha ili kudhibiti ajali barabarani
Maeneo hayo matatu yakifanyiwa
masahihisho tunaweza kupunguza ajali barabarani kwa kiasi
kikubwa.
Elisa Muhingo
0767187507
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her postings,
and
hence
statements and
facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her postings,
and
hence
statements and
facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google
Groups "Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment