Ajali zinazidi kuongezeka kutokana na uzembe wetu. Hata dreva anapokimbisana na mwenzake na wanapanda mlima kitonga wanajua kuna malori yanashuka yana mizigo sisi tupo kimya tu. Daladala zinakimbizana kuwahi abiria-hatukemei na zinaovertake hovyo malori ya mizigo. Mwendesha pikipiki amevaa ndala, hana kofia na anaendesha kasimama wima au kakaa upande kaegesha-tunamtazama, traffick police wangewakamata-wasingeendelea. Nasi tunakubali kuendeshwa nao hao waliovaa ndala na hawana kofia na huku pikipiki inapiga music kwa saudi.
Daladala au bus la abiria linapiga music kwa sauti nasi tumo ndani tunanengua! Hata ukipikiwa simu-hakuna kusikilizana. Dreva anahitaji kusikia warning ya magari mengine-hawezi kusikia. Makelele ya music anaongeza sauti kila wakati hata mkimwambia apunguze. Traffick police wanayaona magari haya, wanasikia makelele na abiria tunavumilia tunaogopa kuwakemea hawa mazombi wanaosababisha ajali. Matokeo hata akipewa warning signal nje haoni, hasikii yupo anatingatinga music sauti juu, concentration haipo kazini ni story na tingo na abiria rafikize pale mbele wamejaa.
Jiangalie sana unapoanza kuingia barabara ya Bagamoyo ukibaliza Bunju. Kuna malori yanachota mchanga kiwizi huko yanakwenda mwendo kasi sana sana. Magari ya watu binafsi yanayotoka bagamoyo huenda mwendo kasi sana utadhania anawahi ndege airport. Mara unamuona kasimama ghafla ananunua vitu. Na hiyo barabara ya lamikwenda Chalinze nayo wengi watapata madhara. Kuweka matuta sio tija kama akili na tabia zetu hazibadiliki na kujali usalama wetu na wa wenzetu. Gari inaingia kijijini haijali wakatiza njia, watoto na anaona watoto wa shule anapita kasi. Utaona wasomi na magari yao ya hela anaendesha huku anasoma sms ktk simu, anatuma ujumbe anaongea na simu. Hata kama umepewa lift unakosa amani kwani dreva mmiliki gari njia nzima anaendesha mkono mmoja na kuangalia simu sio usalama wa barabarani.
Anaendesha gari ya familia na ana familia yake humo-Yupo mbele yenu anaweka foleni-anasoma sms na kutuma sms. Simu zimeua ulaya na hapa zinatumaliza. Hujali hata usalama wa familia yako? Hata umsomeshe vipi mtanzania-issue ni atabadilika? Kuwa na elimu na kusoma ni jambo moja muhimu. Muhimu zaidi ni change in behaviour and practices ziwe sustainable na bila shuruti. Ndio unaona hata polisi, hakimu, daktari wanachukua rushwa. Kwani hajui kuwa sheria inakataza? Anajiaminishwa-hatokamatwa. Tunataka elimu isaidie kuleta mabadiliko. Lakini hili ni tatizo kuu bongoland na africa kwa ujumla. Hata viongozi wanaong'ang'ania madaraka wanajua ubaya wao lakini wanabadili katiba ili awe Rais milele; anajua ubaya wa vita-ila anachochea uasi; anajua dhambi na sheria kali ipo na mila inakataza lakini anambaka mwanae!?!
Bado hiyo misafara ya wakubwa nayo hapa nchini inakwenda mwendo kazi sana sana. Kwa nini wanafanya hivyo wakati wana ulinzi? Kama ni usalama-ndio waingie na kutoka mjini kwa speed za 200km per hour na wana ulinzi? Tatiozo ni nini? Ndipo lori la mchanga kerege Bagamoyo likachakaza magari na kuua ndugu wetu waliokuwa katika msafara-Mwanasheria, mhandisi maji, Mchumi, mchumi msaidizi, madreva wawili na wengineo hoi hospitali-vilema vya kuwatesa maisha. Mungu awasaidie.
Na bado wengi yatatufika tutakufa au kuwa vilema kama hatutotenganisha barabara. Malori yapite kwenda na kurudi njia yake pekee na gari za abiria kubwa na ndogo njia yao zisiingiliane. Ukiona dreva anapita juu ya reli au pa kupita kwa miguu au njia ya kwenda yeye anarudi-nyang'anya gari hiyo, mshitaki na gari piga bei pesa itumike kuboresha miundo mbinu. Serikali ikifanya hivyo-itasaidia kutushikisha adabu. Maloriya petroli yanaruhusiwaje kusimama barabarani highway au main road dreva amebeba viripuka kama petroli. Anakunywa hapo barabarani na kula mama ntilie lori au tanker lina petroli. Ikitokea utata dreva aje aligonge-moto utawaka na kuua wangapi. Budi kuwe na maeneo ya parking yanayolindwa mfano Kibaha, Mlandizi, Chalinze, Mikumi, Iringa, Makambako etc ili dreva akale chakula, gari likae pa usalama sio pale kwa mama ntilie. Moto wake utakaotokea kama lori au bus litakuja kuligonga na mafuta yamwagike yashike moto kutoka mama na baba ndilie anapopika-tutazika ile mbaya (Tazama kiambata ya ninaloongelea ya tankers za petroli).
Unakuta mtu amepanga biashara njia ya watu kupita kwa miguu. Mpaka darajani pa kupita kwa miguu wanapanga biashara-zoa, uza ndio tutaacha. Kituo cha basi cha kukaa watu amepanga chakula na soda unapita unakusanya kodi-ni makosa. Unarasimisha kuvunjwa sheria unapokusanya kodi na biashara ipo njia ya kupita kwa miguu. Angalia kituo cha bus cha Mawasiliano. Wamejengewa eneo ya biashara na soko huko ndani, kuna vyoo pia-hawakai. Wameweka magenge ya chakula, soda nje kwenye vumbi kali na chakula kipo wazi. Facility ipo ndani ya kituo wao kuweka biashara-hawataki watalipa kodi. Vigenge ubungo yote mpaka mawasiliano na biashara zimejaa njia ya kupita kiusalama waendao kwa miguu. Magenge mpaka eneo la Chuo cha Maji na Majengo ya Wizara ya Maji Ubungo hayapo mbali na Mto Ubungo unaoharibiwa mpaka mifugo imefugiwa kando na mto na inamwaga kinyesi mtoni.
Bado tupo mochwari katika utendaji wetu, hatubadiliki tabia zetu sisi wananchi kuisaidia serikali.Mpaka kuwe na mfumo wa Social Security Number (SSN) iliyowekwa na alama za vidole ktk mfumo wa electronic wa police na NIDA, uliounganishwa na DNA data Ocean Road ndipo tutakapoweza kupata ufanisi unapomsimamisha dreva na kumnyang'anya leseni leo asipate ingine kwa jina lingine kwani atakosa SSN ya kujiandikisha upya popote pale. Ukigonga namba yake-utaona huyu ni fuani na alikwisha kufungiwa maisha. Vitambulisho vya Taifa vingeondoa utatahuu. Ama sivyo-watapata tu vyeti bandia na kupata leseni wakiwa ni watu hatarishi.Hata afugendevu abadili sura-DNA atabadili vipi na SSN mpya ataipataje kiholela?
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Wed, 23/3/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] AJALI ZA MAGARI BARABARANI: TUNAHITAJI KUSAHIHISHA HAYA YA MSINGI KUZIPUNGUZA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 23 March, 2016, 8:31
Elisa;Eneo
la kwanza mi naona ndio sababu kubwa ya matatizo ya
ajali.Madereva
wetu hawajitambui kabisa na hii inasababishwa kwa kiasi
kikubwa na wasimamizi wa mfumo wa utoaji leseni,unajua
leseni zinauzwa tu kama karanga?
Pasipo kuzingatia kama unafahamu sheria au la unaletewa
leseni mezani/ofisini etc.Ngoma
ipo sasa huko barabarani,hii inapelekea hata wahusika
kushindwa kuwabana mana ni jamaa uliyempa leseni
mwenyewe,anapaki gari kama mbuni na yupo main road/highway
sababu anaingia dukani hapo opposite!!Hata
magonjwa ya sikuizi hayawezi kupungua mana watu hatutaki
kufanya mazoezi hata kiduchu,tunashindwa tu kuingia nayo
chooni.
Reuben
On Tuesday, March 22,
2016 11:23 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Imetokea ajali nyingine Baagamoyo. Imeua
watendaaji wa wilaya ya Bagamoyo na naibu waziri wa TAMISEMI
kuponea chupuchupu.
Chanzo cha ajali hiyo ni
mwendo mbovu usiofuata sheria za barabarani wa madereva
wawili wa gari ndogo na lori la mchanga.
Wakati tukiomboleza vilio hivyo vya ndugu zetu
tunatafakari pia ajali nyingi nyingine zinazoua na kujeruhi.
Zinazoacha ulemavu; yatima na wajane na uharibifu wa
miundombinu.
Kwa muda mrefu
ajali zimekuwa zinatokea na hatua kadhaa zinachukuliwa.
Hatua hizo ni pamoja na kujenga matuta barabarani; Kuongeza
viwango vya fine za barabarani; kuongeza vituo vya ukaguzi
wa askari barabarani; kuongeza vifaa vya kudhibiti mwendo
kama tochi za askari vinavyomulika na kubaini mwendo. Kwa
madereva wetu kuongeza ujanja askari wetu sasa wanaweza
kujificha na kumulika tochi hizo kwa kushtukiza. Bado ajali
zinatokea. Ukiziangalia njia zote nilizozitaja za kudhibiti
ajali tunaweza kuziita ''symptomatic control
measures'', yaani zinatibu dalili lakini hazidhibiti
vyanzo vya sababu za ajali.
Yapo mambo mengi ya msingi yanayohitaji
kufanyika na yanaweza kupunguza ajali hizi. Hapa nitajadili
mambo muhimu matatu na nayaona ni ya msingi katika kudhibiti
ajali hizi:
Upatikanaji wa
madreva:
Inafahamika kuwa siku ya mtihani wa
darasa la saba au Form four nchi yote hutaharuki. Usalama
wataifa; Polisi, na idara nyingi hushiriki. Madaktari wetu
wanapofanya mitihani watahini hutoka hospitali mbali mbali
kuja kuunda timu za kutahini waganga na madaktari wetu.
Wengine tunawaita 'External examiners' na wengine
'internal Examiners'. Mambo huwa hivyo ili kuhaskikisha
kama ni mganga, nesi au daktari anatahiniwa na kujiridhisha
kuwa amefaulu. Sijui walimu, mabwana shamba hutahiniwaje
lakini kuna taratibu zake. Lakini hata sifa za kuchukua
masomo hayo kuna mifumo yake.
1) Madereva wetu hupatikana kiholela.
Wakati hayo yakiwa hivyo kwa taaluma hizo
sivyo ilivyo kwa madreva wanaosababisha vifo na ulemavu
mwingi. Tanzania hatuna mfumo sahihi na rasmi unaotusaidia
kuwapata madreva. Wengi wamepata uzoefu walipokuwa mautingo.
Wengine huenda vyuo vya udreva na kununua cheti cha udreva
na baadaye kujifunza baada ya kuajiliwa. Mimi ni dereva.
Majuzi niliendeshwa na dreva mmoja ambaye naamini elimu yake
ni darasa la saba au chini. Niligundua kuwa kama tunataka
kuwa na madreva ni lazima dreva awe amemaliza kidato cha nne
na masomo muhimu ambayo lazima awe amefaulu ni Physics na
Hesabu.
Katika mtaala wa madreva, wasomeshwe
mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja ni mahesabu ya speed na
muda. Mfano speed ya gari unalotaka kulipita na muda
utakaotumia kwa kuliangalia gari lililo mbele yako linaweza
kuwa limefikia wapi kwa speed ya magari matatu hayo (lako,
unalolipita na linalokuja mbele yako). Impaction inayoweza
kutokea magari yanapogongana yakiwa katika speed fulani.
Madreva wetu hasa wanaoajiliwa lazima waende vyuoni na
utahini wao usisimamiwe na wenye vyuo. Kama ilivyo kwa
taaluma nilizozitaja na madreva iwe taaluma inayoheshimika
na upatikanaji wake usiwe wa kuokotwa. Twaweza kuweka nafuu
kwa dreva anayeendesha gari lake binafsi kwa sababu kwa
kawaida mwenye gari huwa makini kuliko anayeendesha la
mwingine.
2) Adhabu za makosa ya barabarani:
Eneo la pili linalosababisha ajali ni kuhusu
adhabu za makosa ya barabarani. Mtu ukipewa swali uchague
jibu likiuliza: Adhabu zinazotolewa kwa makosa barabarani
Tanzania zinalenga nini: (A) Kupunguza ajali barabarani (B)
Kukusanya mapato ya serikali. Jibu sahihi ni (B). Si muujiza
kusikia RTO au RPC akitoa taarifa kuwa mwezi huu Polisi
wamekusanya bilioni kadhaa kwa makosa ya barabarani na
anasema hilo kama sehemu ya mafanikio.
Adhabu hutolewa kwa wakosaji. Kwa hiyo kwa
taarifa hiyo Polisi wanakuwa wanashangilia makosa na kutaka
yaendelee ili mapato zaidi yakusanywe. Huu ni ujinga
tunaostahili kuutoka. Kwa sababu madreva wetu hawakwenda
shule tunahitaji kubadili mfumo wa kudhibito makosa ya
barabarani.
Mfano makosa
yatokanayo na dreva kutojua au uzembe, adhabu sahihi ni
dreva kumsimamishia liseni akaenda chuoni kwa wiki kadhaa
kujifunza sheria aliyoivunja. Hii itasaidia kama dreva
anafanya kwa kutojua basi akishajifunza hatarudia na kama ni
uzembe atakuwa mwangalifu ili liseni yake isizuiliwe. Makosa
kama yalioua maafisa wetu ya dreva kupita gari katika
mazingira mabovu, Kutotii king'ora cha ambulance,
kutofunga mkanda, kwenda speed iliyozidi nk yatadhibitiwa
kwa njia hiyo bila fine.
Kwa makosa ya ubovu wa magari dreva ataagizwa
kusimamisha gari hadi litengenezwe au anaweza kupewa
masharti ya speed hadi gari lifike liendako na likifika
lipelekwe gereji. Mfano gari lililoishiwa tyres, Taa
kutowaka, bodi iliyochakaa nk Utaratibu huu utapunguza sana
mapato ya serikali yatokanayo na ujinga au umaskini wa wenye
magari na madreva.
3)
Tabia ya Polisi barabarani:
Hili ni eneo la
tatu ninaloliona linasababisha maafa makubwa barabarani.
Polisi kuliachia gari bovu likaenda kwa sababu ama ni la
serikali, Rafiki yake au la mkubwa Fulani ni jambo la
kawaida. Trafiki kulikamata gari lisilo na kosa na kuanza
kutafuta ''kosa lolote' na huku magari mabovu au yenye
makosa-hatarishi yanapita ni kawaida. Hili ni eneo muhimu
kusahihisha ili kudhibiti ajali barabarani
Maeneo hayo matatu yakifanyiwa
masahihisho tunaweza kupunguza ajali barabarani kwa kiasi
kikubwa.
Elisa Muhingo
0767187507
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her postings,
and
hence
statements and
facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her postings,
and
hence
statements and
facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to
the
Google
Groups "Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment