Thursday, 15 September 2016

[wanabidii] UJENZI MPYA BAADA YA TETEMEKO: Ushauri wangu!

UJENZI MPYA BAADA YA TETEMEKO: Ushauri wangu!
Ninapita maeneo lilikopita tetemeko la ardhi mjini bukoba naona mengi. Nasikiliza mipango ya watoa msaada naona mgongano wa mambo. Najifunza mengi.
Mwanzoni serikali ilitangaza kuwa watu walioathirika na tetemeko wakusanyike mashule Fulani ili misaada iwakute pale. Nawapitia waliobomolewa nyumba naongea nao. Hawana mpango wa kutelekeza miji yao. Kila upande una sababu lakini najifunza kuwa kabla ya watoa misaada kutangaza waathirika kukusanyika mashuleni walihitaji kujifunza meni: aina na tatizo lililopo; Matatizo yaliyopo; utamaduni wa watu na kadhalika.
Mtu akipitia miji ya Mwanza na Bukoba hakosi kuona nyumba zilivyobanana. Nyumba ziko kwenye myamba; mazingira magumu kujenga vyoo, barabara, na miundo mbinu ya maji. Huenda tetemeko hili ni fursa kwa uongozi wa manispaa ya Bukoba kufanya marekebisho fulani. Kwa mfano:
Kwa nini nyumba zilizojengwa karibu karibu wamiliki wake wengine wasiondolewe na kupelekwa maeneo mengine? Kwa mfano:
Kwa nini nyumba zilizojengwa karibu karibu wamiliki wake wengine wasiondolewe na kupelekwa maeneo mengine? Yaani eneo lenye nyumba tatu akaondolewa mmoja na kiwanja chake wakagawiwa wawili waliobaki na kuwapimia kwa garama zao. Hao watakaoondolewa wapelekwe maeneo mengine mapya. Kupanukaa kwa viwanja kulenge kuboresha mazingira ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kila kaya inapanda miti hasa ya matunda kama maparachichi, Mafenesi miembe nk.
Kwa nini fursha hii isitumike kutengeneza barabara kurahisisha kufika maeneo yaliyoathirika. Nimeyashuhudia magari ya watoa msaada yakilazimika kubaki mbali na waliko waathirika. Ni dhahiri serikali itapata zaidi ya zile fedha zilizokisiwa. Basi sehemu ya hela hiyo isaidie kutengeneza miundo mbinu hiyo.
Ngoja nikusanye mengine.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment