Tuesday, 20 September 2016

Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.

Muhingo n LSM.

Binafsi sipendelei kupitisha misaada serikalini cozy ningumu kidogo kufikia walengwa ipasavyo. Ningekuwa na muda wa kutosha ningeulizia wolrd vision na red cross namna ya kumsaidia LSM. Labda aingie kwenye web zao atapata contacts na kama atashindwa anitaarifu alhamisi naweza kufika world vision kuulizia au hata red cross.

On Sep 20, 2016 2:28 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Lakini pia mratibu Mkuu akiwa serikali imetoa namba ya benki. CRDB.
--------------------------------------------
On Mon, 9/19/16, Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Monday, September 19, 2016, 11:41 PM

 #yiv7024275859 #yiv7024275859 -- P
 {margin-top:0;margin-bottom:0;}#yiv7024275859

 Ndugu Kamala, Ninashukuru sana. Niko Copenhagen, Denmark. Ningependa
 kutuma mchango wa kifedha kwa njia ya benki au Western Union
 lakini sina anwani kamili ya kuwakilisha mchango huu kwa
 moja ya mashirika uliyotaja. Juma hili nitajaribu kwenda
 Msalaba Mwekundu hapa Copenhagen
  nione kama wataniunganisha na mojawapo ya mashirika
 hayo. Vinginevyo ninakushukuru kwa kunielekeza ni wapi
 nianzie. Waitu obusinge Alamsiki,
 LSM

   From:
 wanabidii@googlegroups.com
 <wanabidii@googlegroups.com> on behalf of J L Kamala
 <jlkamala@gmail.com>

 Sent: Monday, September 19, 2016 9:28 PM

 To: wanabidii

 Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
 upya.
  
 LSM
 Misaada inaratibiwa na mashirika ya kidini,
 kanisa katoloki, world vision nk.

 For more info, jlkamala@gmail.com

 On Sep 19, 2016 3:35
 PM, "Ludovick Simon Mwijage" <bugabo18@hotmail.com>
 wrote:
 Tafadhali kama kuna anayefahamu shirika au watu
 wanaoratibu misaada ya waathirika wa mtetemeko wa ardhi huko
 Bukoba anifahamishe. Ninatanguliza shukrani,
 LSM

   From:
 wanabidii@googlegroups.com
 <wanabidii@googlegroups.com>
 on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>

 Sent: Saturday, September 17, 2016 7:41 PM

 To: Wanazuoni; wanabidii

 Subject: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
 upya.
   Wandugu,
 Ni faraja kubwa sana kuona Watanzania wenzetu na raia wa nje
 ya nchi wanavyoshirikiana bega kwa bega kusaidia wahanga wa
 tetemeko la ardhi la september 10. kwakweli inafariji,
 inatia moyo ni ishara ya umoja wetu.
 Kagera imepigwa, kagera imeharibiwa watu wameathirika
 kijamii, kiuchumi nk. Nyumba ziko chini,vifo, magonjwa na
 ulemavu. wanakagera wana hali mbaya sana.

 Hili ni pigo la tatu tangu nchi yetu ipate uhuru. ilianza
 vita ya kagera, ikaja janga la ukimwi, na sasa tetemeko la
 ardhi. japo kuwa kuna kuzama kwa meli, mafuriko hasa ya
 elnino na vimbunga/ukame
 Kagera ina wakati mgumu sana aisee. inatia huruma kuzungukia
 maeneo ya mkoa huu. zilipokuwa nyumba ni vifusi, mabati
 yaliyokuwa yameezeka majumba sasa yamepigiliwa misumari na
 kuwa ndio makazi yao. hali ni mbaya.
 Faraja kubwa ni kwa wanaochangia walichonacho. Shurani
 kwenu
 --

 J L Kamala
 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to
  abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/ optout.

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment