Monday, 19 September 2016

Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.

Ndugu Kamala,

Ninashukuru sana. Niko Copenhagen, Denmark. Ningependa kutuma mchango wa kifedha kwa njia ya benki au Western Union lakini sina anwani kamili ya kuwakilisha mchango huu kwa moja ya mashirika uliyotaja. Juma hili nitajaribu kwenda Msalaba Mwekundu hapa Copenhagen nione kama wataniunganisha na mojawapo ya mashirika hayo.

Vinginevyo ninakushukuru kwa kunielekeza ni wapi nianzie.

Waitu obusinge

Alamsiki,

LSM

From: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com> on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
Sent: Monday, September 19, 2016 9:28 PM
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
 
LSM

Misaada inaratibiwa na mashirika ya kidini, kanisa katoloki, world vision nk.

For more info, jlkamala@gmail.com

On Sep 19, 2016 3:35 PM, "Ludovick Simon Mwijage" <bugabo18@hotmail.com> wrote:

Tafadhali kama kuna anayefahamu shirika au watu wanaoratibu misaada ya waathirika wa mtetemeko wa ardhi huko Bukoba anifahamishe.

Ninatanguliza shukrani,

LSM

From: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com> on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
Sent: Saturday, September 17, 2016 7:41 PM
To: Wanazuoni; wanabidii
Subject: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
 
Wandugu,

Ni faraja kubwa sana kuona Watanzania wenzetu na raia wa nje ya nchi wanavyoshirikiana bega kwa bega kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi la september 10. kwakweli inafariji, inatia moyo ni ishara ya umoja wetu.

Kagera imepigwa, kagera imeharibiwa watu wameathirika kijamii, kiuchumi nk. Nyumba ziko chini,vifo, magonjwa na ulemavu. wanakagera wana hali mbaya sana.

Hili ni pigo la tatu tangu nchi yetu ipate uhuru. ilianza vita ya kagera, ikaja janga la ukimwi, na sasa tetemeko la ardhi. japo kuwa kuna kuzama kwa meli, mafuriko hasa ya elnino na vimbunga/ukame

Kagera ina wakati mgumu sana aisee. inatia huruma kuzungukia maeneo ya mkoa huu. zilipokuwa nyumba ni vifusi, mabati yaliyokuwa yameezeka majumba sasa yamepigiliwa misumari na kuwa ndio makazi yao. hali ni mbaya.

Faraja kubwa ni kwa wanaochangia walichonacho. Shurani kwenu

--
J L Kamala

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment