Wednesday, 21 September 2016

Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.

Bahati mbaya nitatoka kwa muda hapa ningefuatilia.
Sijawa na uhakika kama misaada ya vifaa vya ujenzi inaweza kugawiwa kwa watu wote na taasisi zaidi ya serikali. Ninaona kila anayeleta anakabidhi serikali.
Nami kuna watu wangependa misaada iwafikie watu fulani na wanatarajia kuipitisha kwangu. Ni ndugu zao. Hiyo inaweza kuwaendea moja kwa moja. Lakini vinginevyo na viongozi wa dini waligawa vyakula lakini vifaa vya ujenzi walivipeleka serikalini *kama sikosei. Anayejua tofauti asaidie) najua serikali ina urasimu ndiyo maana hadi sasa kuna watu tunaona wanapata mateso na wako tayari kuanza kujen ga wanasubiri serikali. nayo bado "inafanya maandalizi". They were cought unprepared and arent experienced. Ninafikiri wangewapa TCRS au Red cross wangeishawafikia tayari.

--------------------------------------------
On Tue, 9/20/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 20, 2016, 4:51 PM

Muhingo n
LSM.
Binafsi sipendelei kupitisha misaada serikalini
cozy ningumu kidogo kufikia walengwa ipasavyo. Ningekuwa na
muda wa kutosha ningeulizia wolrd vision na red cross namna
ya kumsaidia LSM. Labda aingie kwenye web zao atapata
contacts na kama atashindwa anitaarifu alhamisi naweza
kufika world vision kuulizia au hata red cross.
On Sep 20, 2016 2:28 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Lakini
pia mratibu Mkuu akiwa serikali imetoa namba ya benki.
CRDB.

------------------------------ --------------

On Mon, 9/19/16, Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
upya.

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Monday, September 19, 2016, 11:41 PM #yiv7024275859 #yiv7024275859 -- P

 {margin-top:0;margin-bottom:0; }#yiv7024275859

 Ndugu Kamala, Ninashukuru sana. Niko Copenhagen, Denmark. Ningependa

 kutuma mchango wa kifedha kwa njia ya benki au Western
Union

 lakini sina anwani kamili ya kuwakilisha mchango huu
kwa

 moja ya mashirika uliyotaja. Juma hili nitajaribu
kwenda

 Msalaba Mwekundu hapa Copenhagen

  nione kama wataniunganisha na mojawapo ya mashirika

 hayo. Vinginevyo ninakushukuru kwa kunielekeza ni wapi

 nianzie. Waitu obusinge Alamsiki,

 LSM

   From:

 wanabidii@googlegroups.com

 <wanabidii@googlegroups.com>
on behalf of J L Kamala

 <jlkamala@gmail.com> Sent: Monday, September 19, 2016 9:28 PM To: wanabidii Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera

 upya.

 LSM

 Misaada inaratibiwa na mashirika ya kidini,

 kanisa katoloki, world vision nk. For more info, jlkamala@gmail.com On Sep 19, 2016 3:35

 PM, "Ludovick Simon Mwijage" <bugabo18@hotmail.com>

 wrote:

 Tafadhali kama kuna anayefahamu shirika au watu

 wanaoratibu misaada ya waathirika wa mtetemeko wa ardhi
huko

 Bukoba anifahamishe. Ninatanguliza shukrani,

 LSM

   From:

 wanabidii@googlegroups.com

 <wanabidii@googlegroups.com>

 on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com> Sent: Saturday, September 17, 2016 7:41 PM To: Wanazuoni; wanabidii Subject: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera

 upya.

   Wandugu,

 Ni faraja kubwa sana kuona Watanzania wenzetu na raia wa
nje

 ya nchi wanavyoshirikiana bega kwa bega kusaidia wahanga
wa

 tetemeko la ardhi la september 10. kwakweli inafariji,

 inatia moyo ni ishara ya umoja wetu.

 Kagera imepigwa, kagera imeharibiwa watu wameathirika

 kijamii, kiuchumi nk. Nyumba ziko chini,vifo, magonjwa
na

 ulemavu. wanakagera wana hali mbaya sana. Hili ni pigo la tatu tangu nchi yetu ipate uhuru.
ilianza

 vita ya kagera, ikaja janga la ukimwi, na sasa tetemeko
la

 ardhi. japo kuwa kuna kuzama kwa meli, mafuriko hasa ya

 elnino na vimbunga/ukame

 Kagera ina wakati mgumu sana aisee. inatia huruma
kuzungukia

 maeneo ya mkoa huu. zilipokuwa nyumba ni vifusi, mabati

 yaliyokuwa yameezeka majumba sasa yamepigiliwa misumari
na

 kuwa ndio makazi yao. hali ni mbaya.

 Faraja kubwa ni kwa wanaochangia walichonacho. Shurani

 kwenu

 -- J L Kamala

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com Utapata
Email ya kudhibitisha

 ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to

  abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to

 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit

 https://groups.google.com/d/
optout.

googlegroups.com Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole

googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment