Monday, 21 March 2016

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Tanzania’s forests at risk as foreign aid dries up?

We are also in the forefront in destroying our own environment. Tembea uone mengi mijini, nje ya miji na vijijini. Fika soko la samaki Bagamoyo mjini uone-Filthy environment. Lakini magogo ya kuni na kuni zimejaa lundo zinauzwa na wanachomea na kukaangia samaki. Hivi Bwana Afya Wilaya yupo, DED na DC. Utendaji wao upoje. SIDA imejitoa kusaidia Bagamoyo under SUDPF ilipoona ulaji umezidi. Lakini SIDO, TaTeDo na Halmashauri wanashindwa kujengesha soko la kisasa lenye fuel saving cooking stove za institution kama soko. Majiko ya kupeleka moshi juu badala ya kutawanyika soko lote kukera wanunuzi; kuni kila kona, taka zimelundikana ufukwe baharini; mainzo yamejaa katika samaki zilizokaangwa zinazoingia co2 pia ambapo ni dangrous. Mikoko na miti mingine kando ya bahari na kwingineko inakatwa inalundikwa na kuuzwa sokoni! Nani haoni environmental destruction na pollution hiyo? Wao ni kukusanya kodi tu. Hawapo innovative at all.

Fukwe za baharini Bagamoyo (na hata DSM) zilivyo chafu hata watalii kupita huko shida. Kama pamoja na kuwa na mabanda hayo kungekuwa na majiko sanifu, samaki wakikaangwa kuhifadhiwa katika kabati za wavu, kuwe na restaurant ya kisasa na safi-vijana wangepata kipato kizuri. Watalii kupita pwani kwenda kula milo ya asili ya huku kwetu. Wafanyakazi kwenda kukaa kula samaki zinazokaangwa na ugali; hapo kuna kaa, kamba, na kamba madole, ngisi, hobwa na samaki wengine wa baharini! Ila uchafu, moshi-vinafukuza watu. Bado hiyo miti kukatwa-forest officer haobi yupo mochwari. Maendeleo department ipo intensive care!! Hatujipendi, hatujitumi, hatujithamini-tunasubiri eti majipu yatumbuliwe kumbe nasi tu moyo wa jipu hilo wala hatushituki tunajirekebisha na kupenda kazi zetu. Nyingine ni organizational tui na networking. Tunaweza kubadili na kulinda mazingira na afya zetu bila ya kutegemea na kulaumu, kuudhi wahisani.

Norwegians na Finland wamekuja na Sera za Panda Miti kibiashara. Panda miti uuze sio ukate miti hujapanda ambayo ndio sera na tabia ya bongoland. Unatoa leseni ya mkaa, mbao-anakata wapi miti kama sio misitu hifadhi ya kijiji, wilaya na serikali kuu? Sera ya panda Mti kata Mti ni ya Baba wa Taifa. Kwa sasa misitu hiyo ya kijiji mingine ni catchment forests inaonekana-mapori yasiyo matumizi-yaondolewe! Huko Iringa, Njombe wanaopanda miti ya mbao-wanachomeana miti. Mwenye wivu akiona jirani yake miti imekua vizuri atapata hela-anamtilia moto ekari 5-10 zinateketea. Kilombero akiona mwezake atapata sana hela ya miwa jinsi ilivyomea vizuri-anatia moto kumuharibia-Trump anatusema akili zetu na tegemezi zetu hazitaki. Kukomoana, mapigano, kujiharibia mazingira, kipato, afya zetu kisha kutaka kutorokea kwao ndio tunaona tija na kuomba misaada tu tyumekaa tumebwetesha.

Soko la ngerengere mjini na gulio laililoko Diguzi Ngerengere-karne havijamalizika na huko kuna nyanya, vitunguu, nyanya chungu kama sisimizi. Vimejaaa. Ila kilimo kinaadhiriwa pia na barabara bara, mifugo inayoingia kila siku, kukosa soko lenye uhifadhi (Chakula barafu) na magari ya chakula barafu kusafirishia mazao ya bustani. Kukata na kuuza mkaa, mbao ndio tija ya kupata hela haraka kwani uuzaji wa mazao una matatizo ya soko na uhifadhi na uharibifu shambani (mifugo), wadudu. Kuchimba mawe na mchanga mitoni na ukataji miti unakimbiliwa na vijana wasiotaka kujiajiri mashambani. Unapofika kama mtumishi wa umma kukusanya kodi pale ambapo watu wanachakachua Mto (a River) na kuuharibu-ina maana unarasimisha uharibifu huo wa mazingira. sawa na kurasimisha makazi ya uvamizi ardhi, makazi ya mahala pasipofaa kujengwa kwa kuwapa wakazi hao huduma ya maji ya DAWASA/DAWASCO, Umeme wa Tanesco, simu, namba za mtaa na ofisi ya Mtaa na ya vyama vya siasa. Halafu uende ukabomoe useme-makazi sio rasmi. Walijengaje unawaona na maafisa wanawapa hati, unaweka huduma halafu uje useme hayo na kubomoa? Ni sawa na kutoa leseni za kukata misitu kuuza bidhaa zake ukijua huyo mtu hana msitu na wala hujaukagua kuthibitisha anao. Unalalamika mazingira na misitu yapo at Risk wakati wewe muhusika ndio unayafanya yawe hivyo?

Sielewi!!



--------------------------------------------
On Sun, 20/3/16, Baruani Mshale baruani.mshale@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Tanzania's forests at risk as foreign aid dries up?
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Sunday, 20 March, 2016, 12:45




To respond to all this usual mumbo
jumbo from you, just re-read my response to Thabit and my
dissertation abstract. Once you understand my position on
this issue, calm down and come back with a sober mind
tuendelee. Sasa hivi naona ushapoteza muelekeo.
Ingekua tuko shule ya msingi tunashea dawati,
unachofanya nngekuambia hebu usintingishe mie ukanharibia
hati wangu.
Kila la kheri though.
On 20 Mar 2016 04:26,
"George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:










You believe that? Kwa hiyo
wanatusaidia kwa kupenda weusi wetu tiii tu? Mbona South
Sudan ni weusi kuliko sisi? Mbona hawakuenda Kashmir au
Timbouktoo kwenye matatizo zaidi?
Jifunze geopolitics: the world is starved of
natiral resources, only Tanzania and a handful of other
countries are still richly endowed with these resources.
Tutumie lugha ya Emmanuel Muganda, wazungu
wanakuja hapa na bakuli mkononi kutubembeleza tuwape.
George W. Bush alienda Ngaramtoni akarukaruka
Kimasai akalala siku tano: haijatokea US President kulala
nje ya White House zaidi ya siku 3 tangu Rais Groveland
alale siku 4 Mexico miaka ya 890 kusuluhisha vita na nchi ya
Texas.
Rais wa Machina alipotawazwa tu, akaja Bongo
bakuli mkononi, wanatafuta resources zetu. Obama na Clinton
kidogo wavunjike mguu kupishana na Shujaa George Bush KIA
kuja kutafuta resources zetu.
Kama unadhani Norway wanatupenda tu ndiyo maana
wakaunga mkono REDD you Amust be in a minority of 1.
REDD waliunga mkono sawa na includive business
ya Mwasambili ambako smallholders hupewa jerrycans za
irrigation wao wanampa mwekezahi hekta 5000 za ardhi. Na
REDD hivohivo: Norway wametoa mafyekeo na seedlings za pines
huku kampuni zao zinapewa msitu nzima wenye miti laki 7
straight wanaomba carbon ration EU chini ya CDM.
Badala ya kuisaidia nji yako wewe mtaalamu wetu
unatetea "Kingdom of Norway". Kingdom my foot!
Kwani sisi hatuna Mangi?
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 20 Mar 2016 6:18
am, "Baruani Mshale baruani.mshale@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









The Royal Government of Norway
supported REDD+ which is implemented on either village land
forest reserve through community based forest management
(CBFM) where the ownership of forests remains with village
councils OR on central forest government reserves through
joint forest management (JFM) and the forests remain state
property
Private firms from
Norway such as Greenresources and the likes are undertaking
afforestation and reforestation projects. They have nothing
to do with REDD+ nor with the Norwegian Govt beyond normal
diplomatic support that even Tanzanian firms interested to
invest in other countries will benefit from TZ having
embassies/high commissions in those countries. THIS IS WHAT
YOU BROUGHT INTO THE DISCUSSION MR FUMBUKA. Ndio manna
nilisema tubaki kwenye mstari. 
The article that Chambi shared
relates to my first paragraph above and my contributions
remain as detailed in my first response to Chambi, Thabit,
Bernard etc etc. You brought this other issue of
CDM and carbon trapping because you confused the two
concepts of "reduced emissions of GHG INTO the
atmosphere through avoided deforestation and hence
keeping carbon stocks of mature forests intact"
Versus "reduced GHG concentration/accumulation
FROM the atmosphere through carbon sequestration and
storage functions of growing trees"
Pay attention to the text in
bold 

On Sat, Mar 19, 2016 at
10:23 PM, George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









Kwa hiyo umekiri kosa? Umekubali
kuwa Norway wameluja kuiba carbon yetu kipitia hiyo kampuni
yao? Kama nimekupata, hata rafiki yako CDM Inspector kasema
ripoti zao ni falsified?
Sasa turejee mada yetu. Kuondoka kwa
"foreign aid" kutatuathiriiiii au ni good
riddance? Serkali ya Norway imetoka sasa na sisi mtu wao
tumtoe.

ULIPATA BURE, TOA BURE
On 20 Mar 2016 12:03
am, "Baruani Mshale baruani.mshale@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









So mr carbon broker, they lie to
you when they tell you "all you have to show is that the
Forest in timbouktu is under your control." 
They have a list of certified evaluators and certifiers who
are supposed to be conversant with all the technicalities to
ensure the projects under review actually satisfy all the
requirements listed in my previous email. My email is a
summary of a summary of a summary of those lengthy
documents. You can get them online and check how detailed
they are. My interview with one of those internationally
accredited verifiers (will not mention his/her gender and
location), revealed that the approved CDM forest projects in
Tanzania, Kenya and Mozambique all cheated through the
process particularly regarding community and biodiversity
criteria. 
Next time, tell
them you have an independent evaluator and send me the
documents. I will evaluate for free but they (your project
proponents) will hate you. 
On Sat, Mar 19, 2016 at
4:56 PM, Baruani Mshale <baruani.mshale@gmail.com>
wrote:
Approved CDM projects in the forest
sector are countable with your fingers across the world.
There is a CDM executive board in Germany and at the country
level there is a CDM liaison officer in the VPO. CDM
projects in the forest sector never materialized because of
very strict conditionalities summarized below:1.
disagreements on establishing baselines against quantifiable
emissions reductions credits will be assessed. baseline
establishment also included debates on which carbon stocks
to include, that is, include both below and above ground
carbon stocks or just above ground biomass; what about soil
carbon? and which GHG? All of them including the NOX,
Methane, Oxides of sulfur or just CO2? Voluntary Carbon
Standards (VCS) has been very instrumental in improving on
these methodological debates and they keep improving year
after year.2. risk in insuring delivery of
credits lasting throughout the project phase against natural
forest disasters such as drought, insect or disease
infestations that might wipe away your forests. To buffer
this risk, some projects lost up to 15% and some proposed
even 50%3. disagreements on whether the emissions
credits are permanent or temporary. If temporary (which is
the practical case in forest plantations because you have to
harvest and sell your poles or timber) then it means you
cannot get full payment for all carbon stocks in your
forest. Then what proportion should get paid for was never
agreed upon.4. preventing leakage: that is, if
you protect your forest while forests are cleared for their
products, wouldn't you have caused deforestation
elsewhere? Then your payment will be deducted depending on
the estimated probability of leakage, i remember some
projects lost of 20% of potential revenues. 5.
proving additionality criteria, both financial and
environmental additionality. Financial additionality
requires that CDM projects provide sufficient proof that the
project would not have been financially viable if it was not
for sale of carbon credits. In other words, GreenResources
should prove that they did not have capital to run those
project in the absence of carbon payments. We know that they
gamed the system here. Environmenta additionality requires
that the project prove that those emissions reductions would
not have been attainable if it was not for the introduction
of carbon creditsMoreover CDM projects in the
forest sector were required to add other sets of
international standards and benchmarks such as Climate,
Community and Biodiversity Alliance's (CCBA)
requirements and/or Plan Vivo and if they involve timber
harvesting then they have to add Forest Stewardship Council
(FSC)' forest products certification
schemes. 
These
additional criteria required CDM projects in the forest
sector to prove exceptional/positive community benefits and
net positive impact on biodiversity. Now the Lindi Forest
Resources (sister company of Green Resources) cleared
natural forests with rich biodiversity (hence clearly net
negative impact on biodiversity) and cleared wamakonde's
cashew farms, mango and orange trees and reduced amount of
land available for food production resulting in food
shortages and frictions in the community (hence clearly net
negative impact on the socio-economic wellbeing of
surrounding communities) and yet, since they know wapi pa
kupenyeza rupia kuondoa usia, wamefanikiwa kuendelea na
miradi yao. 
This is
how complex these issues are. I have amassed some expertise
on the science and policy side of things but not on the
markets side. I have engaged with the markets from a
distance. I am very skeptical of these initiatives. My
skepticism is informed by my theoretical understanding and
extensive field experiences of living among wamakonde,
wamatumbi, wamwera, wayao, etc and meeting the
distinguishable elite scientists in Europe and USA and
activists scattered all over the world. At the end of the
day, it is a boring topic
On Sat, Mar 19, 2016 at
4:18 PM, George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









Ukirudi ongea juu ya CDM: hiyo
ndiyo manati. Huo ndiyo ubia wa Norway na Tanzania kupitia
hiyo kampuni. CDM credits are transferable and tradable on
the ETS, all you have to show is that the Forest in
timbouktu is under your control.
The ETS you mention is a normal stock exchange
for trading carbon credits. It has nothing to do with our
forests: most derivatives and futures markets now have
carbon contracts. CDM assets in foreign countries are
tradable.
You may or may not know it but I run a
brokerage license that allows us to work with licensed
colleagues to deal in carbon finance though we haven't
done so. I do not know the science (I have friends who do!)
but I have fair personal knowledge of carbon fonance.
Is Russia on the EU?
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 19 Mar 2016 10:16
pm, "Baruani Mshale baruani.mshale@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









ha ha haah...nimemaliza. wacha
nikachemshe ngogwe, nchome papa nile na bada
sasa. 
On Sat,
Mar 19, 2016 at 2:59 PM, George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









.....we will wait. Pumuzika
kidogo....
ULIPATA BURE, TOA BURE
On 19 Mar 2016 8:55
pm, "Baruani Mshale baruani.mshale@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









The EU has a carbon market
called EU emissions trading system (EU ETS) http://ec.europa.eu/clima/policies/ets/index_en.htm 
This is for helping member countries
within the EU as a block to have access to cheaper emissions
reductions options, strictly within the EU block. Last time
I checked, TZ cannot sell carbon credits in that system.
Supply of emissions reductions credits to the EU ETS was
dominated by Russia (a monopsony in this case) and multiple
buyers in the region. There were debates about whether they
should open up and allow non-EU supplier to sell their
credits there but Russia vehemently opposed arguing that it
will result in flooding the market with carbon credits
driving prices down while the marginal costs of producing
those credits keeps increasing. (this trading within EU
members falls under the Kyoto Joint Implementation JI
strategy) 
What you
were referring to about a firm in Norway paying for
"carbon trapping" in Africa is what was called CDM
under the Kyoto Protocol (CDM=clean development mechanism).
This was the only system that allowed Annex 1 countries
(industrialized countries that are responsible for the bulk
of current and historical emissions and have financial and
technological capacity to reduce emissions) to work
collaboratively with non-Annex 1 countries like Tanzania
(whose historical and current emissions are insignificant
but projected future emissions could be significant and
cannot afford those costly alternatives to reduce emissions
in various sectors of its economy)
Okay, back to the question on how
they assign emissions quota. Various approaches have been
tried and have proven difficulties and contentious in their
implementation. There was a "grandfathering"
approach whereby you get quota based on your historical
emissions. Others rejected this contending that it rewards
bad practices of the past and encourages bad practices now
which will be rewarded in the future and it prevents new
entrants into the system. There was an "equal
emissions" allocated across all polluters which was
also contested. There are six other approaches and my
fingers are getting numb typing now...

On Sat, Mar 19, 2016 at
1:40 PM, George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









Tell us a few words about carbon
quotas in the EU.....


On 19 Mar
2016 20:37, "Baruani Mshale baruani.mshale@gmail.com
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 









George,
You are confusing between
"carbon sequestration projects" like the
GreenResources' aforestation and reforestation
 projects on planted forests like in Mufindi and the REDD+
concept of "avoided emissions or reduced
emissions". GreenResources is a private company engaged
in several aforestation and reforestation projects (consult
UNFCCC website for definitions of these terms). The
Norwegian Government supported the Tanzanian government
through CBFM and JFM projects to avoid deforestation in
natural forests not planted
forests.
2016-03-19 13:25 GMT-04:00
George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>:















 









Bwana Dan: wilileyani Mbwane? Iza
du!
Punguza munkari braza, yaangalie mambo in their
totality. Before reaching binding conclusions use a healthy
dose of professional and don't believe everything you
are told. Embu fikiria yafuatayo:
1. Kichaka na Norway ndiyo ombaomba wanakuja
huku na bakuli. Siyo sisi.

2. Norway hutumia misitu yetu kufidia quota yao ya carbon
emmissions EU.

3. Misitu yetu ni yetu tukitaka kuguga tufuge tukitaka kula
tule.
Usisahau kuwa Ng'wakitolyo kuna pori kubwa
linaenda hadi Rwandaburundi. Meatu kuna pori kubwa linaenda
mpaka kwenu Iramba. Kilombero, Tabora, Bwemkuru, Uziguani,
na Mikumi, kote misitu. Yote yetu. Tukivuna a bit there here
na kukata kuni mbilitatu here there is no harm. Kwa nini
watubanebane?
Wao ndiyo wana shida sisi hatuna let them go
they will come back. I am sure they will come back.
I will tell you why.
EU kila kiwanda kimepewa quota ya carbon
emissions. Mathalani, Volvo na Fiat na Total na BP na
Volkswagen. Kama Volvo wamepewa mathalani tani 5,000
wanaweza kuzalisha tani 5,000 kwa kufungua msitu ANYWHERE in
the world, mradi msitu uwe wao na uweze kupimika kwamba
"unakula" carbon ya kufidia (carbon trapping) tani
5,000 za carbon.
Norway wamekuja Sao Hill "kuiba"
carbon yetu wewe unawasifia! You are mad. Unafikiri
watatoka, nyooo! Hiyo carbon wataipata wapi na hizo Volvo
watazifuaje? If they here, they are here to save their own
necks shenzi type, to create employment from their Volvos.
Hawakuja hapa kutetea misitu yetu - foreign "aid"
my foot!
Embu mtafute UKAWA mwenziyo Professor Mbuya
maana ya neno REDD; pia akueleze majuzi kwenye COP kule
Paree walisemaje hawa wakoloni kuhusu carbon trapping.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. George Bush
kafuta malaria Zanzibar na kustopisha kasi ya AIDS huku
Bara. Na nkwere wetu alijenga Daraja la Malagarasi wakati
visionary wako Kagame ananunua dreamliner!!
LGFumbuka,

Ng'wamadulu, Meatu, porini, mpakani na Iramba.
On 18 Mar 2016
08:15, "Dan babakulu@HOTMAIL.COM
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:















 












Do we really need to be funded to do what we ought
to be capable to do? Yaani kila kitu we sought funding!:
vyoo shule ya msingi I have seen Japan and Scandinavians
wakikata tepe choo kimoja, visima vya maji, chakula, madawa,
vifaa vya elimu, kulinda wanyama
pori, kulinda mazingira, utawala bora, uchaguzi mkuu....
What else have I forgotten?



Bado tunahadithiwa kuletewa chandarua na Joji
Kichaka!



When will a day arrive that we will all collectively
say no more Bakulism? 



May be we should auction Our executive and Legislative
branches to Japanese, South Koreans and Germans..!



Sent from my iPhone


On Mar 18, 2016, at 12:00 AM, Chambi Chachage
chambi78@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:





 



Mwana-REDD+ Baruani upo? H/T Thabit Jacob:



Tanzania's
forests at risk as foreign aid dries up | Climate Home -
climate change news





















Tanzania's forests at risk as foreign aid dries up |
Climate Home - climate...

NEWS: Norway's bankrolling of REDD+ scheme has ended,
leaving trees under threat from logging, mining and
farmla...


























































--

Baruani I.
Mshale
PostDoctoral Research
Fellow,CIFORNairobi













































--
Baruani I. Mshale
PostDoctoral Research
Fellow,CIFORNairobi













































--

Baruani I.
Mshale
PostDoctoral Research
Fellow,CIFORNairobi













































--

Baruani I.
Mshale
PostDoctoral Research
Fellow,CIFORNairobi




--
Baruani I. Mshale
PostDoctoral Research
Fellow,CIFORNairobi













































--

Baruani I.
Mshale
PostDoctoral Research
Fellow,CIFORNairobi

















































__._,_.___










Posted by: Baruani Mshale
<baruani.mshale@gmail.com>




Reply
via web post


Reply to sender


Reply to group

Start a New
Topic

Messages in this
topic
(25)
















Visit Your Group


New Members
1






• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















.







__,_._,___



#yiv0977513449 #yiv0977513449 --
#yiv0977513449ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mkp #yiv0977513449hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mkp #yiv0977513449ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mkp .yiv0977513449ad {
padding:0 0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mkp .yiv0977513449ad p {
margin:0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mkp .yiv0977513449ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-sponsor
#yiv0977513449ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-sponsor
#yiv0977513449ygrp-lc #yiv0977513449hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-sponsor
#yiv0977513449ygrp-lc .yiv0977513449ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449activity span {
font-weight:700;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449activity span
.yiv0977513449underline {
text-decoration:underline;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv0977513449 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449bold a {
text-decoration:none;}

#yiv0977513449 dd.yiv0977513449last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv0977513449 dd.yiv0977513449last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv0977513449 dd.yiv0977513449last p
span.yiv0977513449yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv0977513449 div.yiv0977513449attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv0977513449 div.yiv0977513449attach-table {
width:400px;}

#yiv0977513449 div.yiv0977513449file-title a, #yiv0977513449
div.yiv0977513449file-title a:active, #yiv0977513449
div.yiv0977513449file-title a:hover, #yiv0977513449
div.yiv0977513449file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv0977513449 div.yiv0977513449photo-title a,
#yiv0977513449 div.yiv0977513449photo-title a:active,
#yiv0977513449 div.yiv0977513449photo-title a:hover,
#yiv0977513449 div.yiv0977513449photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv0977513449 div#yiv0977513449ygrp-mlmsg
#yiv0977513449ygrp-msg p a span.yiv0977513449yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449green {
color:#628c2a;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv0977513449 o {
font-size:0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449reco-category {
font-size:77%;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv0977513449 .yiv0977513449replbq {
margin:4px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mlmsg select,
#yiv0977513449 input, #yiv0977513449 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mlmsg pre, #yiv0977513449
code {
font:115% monospace;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-mlmsg #yiv0977513449logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-msg
p#yiv0977513449attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-reco
#yiv0977513449reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-sponsor #yiv0977513449ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-sponsor #yiv0977513449ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-sponsor #yiv0977513449ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv0977513449 #yiv0977513449ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv0977513449

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment