Thursday, 10 March 2016

Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING

Nadhani mwenzetu ameomba ushauri tu badala yake ameandikiwa gazeti.  80% ya mashoga wanaanzia nyumbani mara shuleni. shuleni wanaambukizwa ugonjwa wa zinaa mara wanavuta bangi..  nyumbani nako si salama....

Mbona anatishwa zaidi badala ya kusaidiwa!

changamoto za kutafuta elimu na hasa elimu ya sekondari sasa hivi zinatufanya wazazi tupeleke watoto shule za bweni. 

ila kwa kuwa mtoto ni mdogo ni vyema mzazi ukajaribu kupima changamoto za nyumbani ulizokuwa nazo na zile za mtoto kukaa bweni.  shule za bweni nazo zimetofautiana.  nashauri ujaribu kuangalia mazingira ya shule mbili Tatu za bweni na upime na changamoto ulizonazo kabla ya kufanya maamuzi

On 10 Mar 2016 13:26, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Sijasoma wengine wameandika nini kuhusu shule za boarding kwa watoto wadogo. Lakini wazazi kuwalaza watioto wadogo wa kiume na kaka zao, houseboy, ndugu wengine; kuwafanya watoto wa kiume kuchangia vyumba na watroto wa wapangaji wengine na wakike hivyo hivyo ktk kutatua uhaba wa vyumba; kumlaza mtoto na kaka-houseboy; kuwachanganya kiumri mabwenini na wake wakorofi wasio nidhamu vyote hivi vinachangia saha ushoga. katika tafiti zetu za matatizo ya wanafunzi na sodomy TZ-jinsi unavyowalaza namna hii na shule za boda zinachangia kuongeza mashoga nchini. Asilimia 80 ya vijana mashoga wametengenezwa majumbani kwao. Asilimia nyingine ndio kubakwa njiani akienda na kurudi shamba, shule, mabwenini; bosi kumuahidi mshahara mkubwa au mafao mengi mengi (Land Lord, mwenye duka anakomuuzia duka, ice creame, kuuza chakula hotelini au mpishi etc). Kumpeleka mtoto wa miaka 3 boarding unamnyima mapenzi ya wazazi na malezi ya maadili. Kule anaonewa vibaya na wengine kuwapa magonjwa ya zinaa; kutishiwa, kusimangwa na wengine kujifunza uhuni, matusi, bangi katika umri mdogo. Wadada nao-wana michezo yao na vitoto hivyo.
Tusitatfute ufahari eti mtoto yupo boarding international, sina muda na kazi nyingi, baba/mamake  kanikimbia sina msaada-tunaharibu watoto wetu na kuwatesa vibaya.
Ninachangia
--------------------------------------------
On Thu, 10/3/16, 'Baika Kahuta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, 10 March, 2016, 13:14

 dah, na
 hilo jambo  Mt. B; Bukoba Municipal,
 Tanzania - East Africa.

     On Wednesday, March
 9, 2016 4:32 PM, "anbalyimo@gmail.com"
 <anbalyimo@gmail.com> wrote:

  Mm binatamanawaza
 mpeleka mwanangu boarding Kwan wadada wakaz wananisumbua
 Sana na mm ndo Mama na ndie Baba. Nimeingia kwe ukurasahuu
 nimesoma maon yenu nahis kuchanganyikiwa jaman nifanye nn
 wazaz wenzangu Kwan bilakutafuta hela tutaish vp? 
 Nanikisema nikaenae nyumban Yaan tutakuaombaomba sasa.

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment