Kwa sasa jamii yetu imebadilika sio kama ile ya zamani ambapo watoto waliweza kulala hata kana na dada chumba kimoja wakiwa wadogo. Kwa sasa kulaza watoto wa kiume tu peke yao wakubwa na wadogo nyumbani-shughuli kuna utata unajitokeza. Kama unawapenda vijana wako-ongea nao. Watoto ni wako au wewe ndio mlezi kama si mzazi. Waambie hao wakubwa-ikiwa itatokea moja, mbili basi mimi na wewe. Wale wadogo nao tafuta jinsi ya kuwaambia kiurahisi kama kaka au dada akikufanya hivi na vile niambie. Kama unaweza pia-wakague wasichana kwa wavulana. Binafsi-ninazokaratasi walioniandikia watoto shule ya msingi kuhusu matatizo yao-utalia. Binafsi-nimetibu au kugharimia matibabu ya watoto hao ya magonjwa ya zinaa bila wazazi kujua kuwa mtoto fulani katibiwa nini. Ila baada ya hayo tuliwaita wazazi na kuwaeleza kinachoendelea na wachukue hatua gani.
kama uovu-shule za seminari na za malezi za miaka ile ya 47 zinalaumiwa Ulaya na mapadri wapo indicated. lakini hapa petu TZ usiri wetu waliotendewa hivyo hawatoweza kujitokeza. Tunapata shida pia kufuatilia kesi za ubakaja wazazi wanataka kuyamaliza kisiri/kiusirisiri.
Utahurumia unapotembelea shule yenye boarding ya watoto wa miaka 3 unaona katoto kinamuita baba kila mtu mzima anayepita na kinataka kimbebe. Nimeiona hii DSM shule mojawapo njia ya Ununio.
Mashoga tuliohoji waliyotueleza yanatokea zaidi majumbani. Shuleni, kazini yapo ila si asilimia kubwa kama ile ya nyumbani ya udugu kumtishia, kumdanganya na kumshawishi. TZ hatusaidii sana wenyematatizo ya homoni na wazazi huficha vilema hili nalo jingine.
Malezi mazuri hata kama umeachana na mke au mume-wapo akina baba wanalea watoto wao vizuri hata kama mke hayupo na hata kama mke yupo akirudi baba tu balaa. Mtoto na baba na halali usingizi kama baba hajamlaza inakuwa kero kwa mama kama baba hayupo hapakaliki! Malezi ya pamoja ni bora na hata ya mama na baba peke peke kama wametengana wana watoto bila ya ndoa-unaweza ukawalea kimaadili. kama unafanyakazi-utatafuta msaidizi makini mwenye upendo ambao ayaukosa boarding. Unamchanganya akili mtoto kulelewa boarding toka utoto hadi utu uzima. Anakuwa na sirika mbaya. Kama watoto wengine wanalelewa na wazazi unaona kadekezwa nidhamu mbaya etc-jee huyo wa shuleni toka udogo atakuwaje. Wazazi nao wabadilike walee watoto kimaadili, wawafunze kazi za nyumbani sio kubweteka na watumie stadi za maisha kuwajenga wawe watoto bora.
--------------------------------------------
On Sat, 12/3/16, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 12 March, 2016, 1:06
Kuna madhara makubwa
sana kumpeleka mtoto boarding schools katika umri mdogo
pamoja na mengi yaliyosemwa yakiwepo ya ushoga na tabia
mbaya ya watoto kukosa nidhamu na kuingia katika biashara
hasa ngono no lakini pia
Watoto wanakosa mapenzi ya wazazi kiasi kuwa
anawaona wale aliosoma nao kuwa ndugu zaidi na hasa
anapokuwa mkubwa akiwa amemaliza mfano chuo au akianza kazi
haoni umuhimu kwa wazazi au walezi wake kwani hakupata
mapenzi na kupelekea kuwajali wanafunzi wenzake
nakuhurumiana na kujaliana kuliko wazazi ama walezi mfano
wakati wa harusi vifo ugonjwa huduma mbalinbali haoni
umuhimu kabisa na mzazi ukianza kulalamika wanashangaa.
Ni vema kujipangia utaratibu mzuri wa kuwakuza
na kuwajali na kuwafundisha maadili wakiwa katika umri mdogo
akishajitambua basi unaweza kumjengea msingi mzuri wa
kwanini Elimu.akigundua mtoto kuwa elimu ndio maisha na
mafanikio ya baadaye mtoto aliyejitambua hatafanya mchezo
kwani utakuwa umemfundisha jinsi ya kufanikiwa kimaisha kuwa
na marafiki wale wanaopata mia ambao wanathamini elimu na
wenye Maadili Emma.
Mzazi wewe ndiwe unapaswa kuwa Mentor wa kwanza katika kila
hatua uwe rafiki wa karibu ili asikufiche lolote ili uweze
kumsaidia .
Wakati mwingine kutokana na matatizo ya kifamilia watoto
wanakuwa katika shida labda mama na baba wameachana mtoto
kilelewa na mama Au Baba wa kambo kuteswa inalazimu mtu
afanye maamuzi magumu ya mtoto kwenda bweni Au mama baba
amefariki au mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa nk mara nyingi
matatizo kama haya hulazimu mtoto kuishi bweni ili kumpa
mtoto haki yake ya msingi ya kusoma
Kwa hiyo tusikimbilie kuponda hebu tafiti za
kutosha na pia shule zipo zenye maadili mema na wafanyakazi
wanaojali sio shule zote hazifai kweli nyingi sana hakuna
maadili lakini wazazi huwapeleka watoto kwa sifa na kufuata
mkumbo wakidhani ni maendeleo kumbe unaharibu
watoto.tijitahidi sana kufanya maamuzi sahihi kabla ya
kumpeleka mtoto wako mbali na wewe mzazi.wengine wanaachwa
kwa bibi zao na babu zao na hakuna uangalizi wa kutosha
ambapo inakuwa haina tofauti na boarding.
Australia ndugu tu na jamaa tunapaswa sana kuhangaika
mwenyewe kwani wewe ndiwe ujuaye uchungu wa mwana
On Mar 10, 2016 4:21
PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com>
wrote:
Hii mada tuliwahi ijadili. Kusema kweli wazazi
wanajitahidi sana kujinyima ili watoto wawe na elimu nzuri,
Lakini changamoto zilizopo ni nyingi mno unapompeleka mtoto
shule za boarding.
Huu mjadala ulitakiwa uwe wa kitaifa bahati mbaya tuko busy
sana hatuna muda huo.
Pengine yangefanywa maboresho ya shule zetu na miundo mbinu
ikiwa ni pamoja na kila mtu kuchangia maendeleo ya shule
eneo wanaloishi labda tungetatua matatizo mengi lakinj hilo
haliwezekani.
Kwa ndugu yetu ulieomba ushauri, binafsi mimi sio shabiki wa
boarding schools unless unakwepa majukumu kwa kisingizio cha
utafutaji sambamba na hilo kwa ajili ya watoto ungetafuta
shuguli/kazi inayokuwezesha kumudu watoto kusoma huku ukiwa
unawaangalia maendeleo yao.
Hapo upime kazi pesa nzuri au makuzi mazuri ya watoto na
ujenzi wa familia hii ni changamoto iko tofauti kwa kila
mtu. Hata ikibidi uache kazi usiogope kuwa mbunifu bada
miaka 15/20 watoto watakuwa wameenda zao na wewe unastaafu
pengine bond unayotengeneza italipa ubaya wa boarding uzeeni
tujijengee nyumba za wazee kama ulaya maana watoto
hawafundishwi kuishi kifamilia ubinafsi ndo mpango
mzimaaaaa
On Mar 10, 2016 06:34,
"Atu Mwangomale" <acanemwango@gmail.com>
wrote:
Nadhani mwenzetu ameomba ushauri tu badala yake
ameandikiwa gazeti. 80% ya mashoga wanaanzia nyumbani mara
shuleni. shuleni wanaambukizwa ugonjwa wa zinaa mara
wanavuta bangi.. nyumbani nako si salama....
Mbona anatishwa zaidi badala ya kusaidiwa!
changamoto za kutafuta elimu na hasa elimu ya
sekondari sasa hivi zinatufanya wazazi tupeleke watoto shule
za bweni.
ila kwa kuwa mtoto ni mdogo ni vyema mzazi
ukajaribu kupima changamoto za nyumbani ulizokuwa nazo na
zile za mtoto kukaa bweni. shule za bweni nazo
zimetofautiana. nashauri ujaribu kuangalia mazingira ya
shule mbili Tatu za bweni na upime na changamoto ulizonazo
kabla ya kufanya maamuzi
On 10 Mar 2016 13:26,
"Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
wrote:
Sijasoma wengine wameandika nini kuhusu shule za boarding
kwa watoto wadogo. Lakini wazazi kuwalaza watioto wadogo wa
kiume na kaka zao, houseboy, ndugu wengine; kuwafanya watoto
wa kiume kuchangia vyumba na watroto wa wapangaji wengine na
wakike hivyo hivyo ktk kutatua uhaba wa vyumba; kumlaza
mtoto na kaka-houseboy; kuwachanganya kiumri mabwenini na
wake wakorofi wasio nidhamu vyote hivi vinachangia saha
ushoga. katika tafiti zetu za matatizo ya wanafunzi na
sodomy TZ-jinsi unavyowalaza namna hii na shule za boda
zinachangia kuongeza mashoga nchini. Asilimia 80 ya vijana
mashoga wametengenezwa majumbani kwao. Asilimia nyingine
ndio kubakwa njiani akienda na kurudi shamba, shule,
mabwenini; bosi kumuahidi mshahara mkubwa au mafao mengi
mengi (Land Lord, mwenye duka anakomuuzia duka, ice creame,
kuuza chakula hotelini au mpishi etc). Kumpeleka mtoto wa
miaka 3 boarding unamnyima mapenzi ya wazazi na malezi ya
maadili. Kule anaonewa vibaya na wengine kuwapa magonjwa ya
zinaa; kutishiwa, kusimangwa na wengine kujifunza uhuni,
matusi, bangi katika umri mdogo. Wadada nao-wana michezo yao
na vitoto hivyo.
Tusitatfute ufahari eti mtoto yupo boarding international,
sina muda na kazi nyingi, baba/mamake kanikimbia sina
msaada-tunaharibu watoto wetu na kuwatesa vibaya.
Ninachangia
--------------------------------------------
On Thu, 10/3/16, 'Baika Kahuta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA
BOARDING
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 10 March, 2016, 13:14
dah, na
hilo jambo Mt. B; Bukoba Municipal,
Tanzania - East Africa.
On Wednesday, March
9, 2016 4:32 PM, "anbalyimo@gmail.com"
<anbalyimo@gmail.com>
wrote:
Mm binatamanawaza
mpeleka mwanangu boarding Kwan wadada wakaz wananisumbua
Sana na mm ndo Mama na ndie Baba. Nimeingia kwe
ukurasahuu
nimesoma maon yenu nahis kuchanganyikiwa jaman nifanye nn
wazaz wenzangu Kwan bilakutafuta hela tutaish vp?
Nanikisema nikaenae nyumban Yaan tutakuaombaomba sasa.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment