Friday, 11 March 2016

Re: [wanabidii] Mkurugenzi mtendaji wa shirika la elimu kibaha atakiwa kujieleza

Hapaswi kukaa kimya kama tatizo lipo kwani ni kwa faida ya wananchi na akiwa mkweli naamin mengi yatawekwa wazi kuisaidia serikali nini cha kufanya kukaa kimya ni kukosa uadilifu na kutoheshimu mamlaka zilizopo kwani zimewekwa na Mungu .Ikiwa tatizo ni serikali basi serikali iwe sikivu kama ilivyokuwa Muhimbili kwani hospital hii ni muhimu sana hasa kwa majeruhi na ajali mbalimbali lazima serikali isaidie

On Mar 11, 2016 12:31 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hivi akiamua kukaa kimya au akamwambia wizara ilizoleta ndizo walizotumia naibu waziri atafanya nini? Kuna haja mambo mengine yakajibiwa kwa jeuri lakini.
--------------------------------------------
On Thu, 3/10/16, 'cathysungura@yahoo.com' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Mkurugenzi mtendaji wa shirika la elimu kibaha atakiwa kujieleza
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, March 10, 2016, 7:50 PM

 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya
 Jamii,Jinsia na Watoto Dk.Hamisi Kigwangwala amemtaka
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha Bw.Sprian
 Mpemba kuandika barua ndani ya masaa 24 ya kujieleza kwanini
 asifukuzwe kazi kutokana na kushindwa kutatua changamoto
 mbalimbali zinazoikabili hospitali Teule ya Rufaa 
 Tumbi

 Sent from my Huawei Mobile

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment