". Uongozi huu mzuri wa Rais wa sasa kikubwa utakachofanya ni kuinua viwango vya uongozi. Kila atakayetaka kugombea atapimwa kwa vigezo hivyo. Kwa hiyo hata kwa vyama vya upinzani watapaswa kujipanga upya kwa vile sasa viwango vya uongozi vimepanda."
" Haijalishi mambo haya anafanya nani na kupitia Chama gani, anafanya kwa ajili ya wa-Tanzania.
Tunatarajia mfano huu uigwe na viongozi wote bila kujali itikadi za vyama vyao sababu vyama vyote ni vyetu wa-Tanzania na kila aliyepewa dhamana amepewa kuitumikia Tanzania! "
Ule umoja aliotuwekea Mwalimu unafanya kazi. Bado tu hatuioni Tanzania yetu mpya jamani?? Wengi tutakuwa tumeshakufa ila historia haifutiki!!!!!
MUNGU tubariki watu wako.
VIVA TANZANIA.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment