Wednesday, 16 March 2016

RE: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM

Walatini walisema kuwa nyakati fulani "melior fuiset se tacuiset". Kuna nyakazi nivyema kunyamaza na kuona kinachoendelea. Lakini tukubali kuwa Wazungu hawatudharau hivi hivi tu. Kuna sababu. Hivi kuna aliye na andiko alilolitoa Mzee huyu alipokuwa anajitoa CCM tulisome tena?

Date: Wed, 16 Mar 2016 11:14:19 -0500
Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM
From: ngonzy@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Jamani kuzikwa kwa matarumbeta na bendera kitu muhimu au nimekosea mimi.
Hataki shuguli zake na jamaa zake zikwamishwe na serikali hahaha tumuelewe tu.
Na hii ndo aina ya binadamu tunaodeal nao kila siku

On Mar 16, 2016 11:06, "Lushengo Lutinwa" <lutinwa@gmail.com> wrote:
A giant of a fool

On Wednesday, 16 March 2016, Sylivanus Kangolle <ysc_kangolle@yahoo.co.uk> wrote:
Trumph yuko sahihi kinona. Yeyote anayesema ukweli huchukiwa
Ona matokeo haya sasa kula matapishi why ?

On Wed, 16 Mar, 2016 at 17:40, Onesmo Olengurumwa
Kumbe Donald Trump anaweza kuwa sawa kuhusu African leadership

================================================================
Onesmo Paul  Olengurumwa,
 Master of Research and  Public Policy  (MRPP- UDSM -Student),  LLB (Hons,  UDSM),  
Dip in Security Management (PI) & Cert in Risk Assessment ( York Un).
THRD-Coalition National Coordinator,
Police Mabatini-Kijitonyama
P.O.BOX 105926
Defenders Builiding
mobile +255 717-082228/0783-172394
Website: www.thrd.or.tz  
 
                           TO CREATE LASTING CHANGE - RAISE YOUR STANDARDS

         'Any time you sincerely want to make a change, the first thing you must do is to raise your standards. Change what you demand of yourself. Write down all the things you will no longer accept in your life, all the things you will no longer tolerate, and all the things that you aspire to becoming.'

2016-03-16 17:34 GMT+03:00 Yona Maro oldmoshi@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>:
 
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM 
MIKOCHENI 16/03/2016

Ndugu zangu,

Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM (maelezo hayo pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa facebook). Nilieleza kwamba CCM imepoteza mwelekeo kwa kuamua kumnyima haki ya kugombea mcha mungu Edwad Lowasa. Nikasema Edwad Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM na ndiye chaguo la Watanzania. Nikasema nitakuwa mnafiki nikiendelea kubaki CCM huku naamini Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko John Pombe Magufuli.

Baada ya miezi miwili ya uongozi wa Magufuli nataka niseme nilikosea sana. Nililewa mahaba ya Lowasa, nililewa ahadi ya Lowasa kunipa uwaziri wa mambo ya Nje. Niliamini mafuriko ya Lowasa ambayo yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi. Tulikubaliana na wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho tuihame CCM kwa wimbi kubwa ili kuitikisa na kuitoa madarakani. Lakini baadhi wakaogopa na hadi sasa wengine wamebaki CCM na wana vyeo.

Leo natangaza kurudi CCM kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya kosa kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana kwenye siasa wasifanye. Nilihama kwa kwasababu ya mtu (Lowassa). Nimerudi kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba CCM ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama. Usemi wa CCM kwamba Chama Kwanza, Mtu Baadaye sasa ndio nauona maana yake. Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa lakini sikujua kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua jembe bora linaloitwa Magufuli.

Naomba mnisamehe kwa kulifanya jambo langu la kujitoa CCM na kurudi CCM kuwa jambo la kitaifa ukizingatia kwamba sikuwa na nafasi yoyote ya uongozi wa CCM wakati nahama na pia sijawahi kuwa hata Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa nje ya ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20. Niliamua kulifanya jambo kubwa ili kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali kwasababu tu huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu.

Naomba radhi kwa familia ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku aliyokufa (tar 14 Octoba) na kutumia msiba wake kutoa kauli za kisiasa zidi ya chama chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa alikuwa mwanachama.

Wananchi wote tumuombee Magufuli na tumsaidie kwani tumepata nyerere mpya.

Mungu Ibariki Tanzania 
mungu Ibariki Afrika

Balozi Juma Mwapachu

__._,_.___

Posted by: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (1)

Save time and get your email on the go with the Yahoo Mail App
Get the beautifully designed, lighting fast, and easy-to-use, Yahoo Mail app today. Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook, AOL and more) in one place. Never delete an email again with 1000GB of free cloud storage.

.

__,_._,___

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment