Tuesday, 15 March 2016

Re: [wanabidii] Hakika Chadema ya sasa siyo ile

Kweli. Siwezi kupuuza mchango wa Mbowe katika kuijenga taasisi hii kama nisivyoweza kupuuza uharibifu alioufanya ambao wengine mnashindwa kuliona hilo, au mnaliona mnapuuza.
--------------------------------------------
On Tue, 3/15/16, emuganda@gmail.com <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Hakika Chadema ya sasa siyo ile
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 15, 2016, 3:45 AM

Elisa,
Huwezi kupuuza mchango wa Mbowe katika ujenzi wa Chadema.
Mbowe angekuwa anaibomoa Chadema MaCCM yangekuwa
yanasgangilia.
em

Sent from my iPhone

> On Mar 14, 2016, at 4:15 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Reuben.
> Wakati mimi naongelea kuijenga CHADEMA Muganda
anaongelea kuijenga 'Mbowe'. Kwa hilo ushauri wangu haufai
kweli.
> --------------------------------------------
> On Fri, 3/11/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Hakika Chadema ya sasa siyo
ile
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, March 11, 2016, 12:38 PM
>
> Reuben,Ukishasoma makala aliyoandika Ngurumo,
> halafu usome ushauri wa Elisa ni dhahiri afadhali
tubaki na
> ujinga wetu badala ya kufuata akili za
> Elisa.em
> 2016-03-10 23:52 GMT-05:00
> 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Muganda;Hata
> wajinga tupo kwa mpango wa Mwenyezi (Ecology) i.e.
balance
> of nature.Mkiwapo nyie wenye akili
> tu,think for how will be the status of the
> World??Mkipewa ushauri utumieni au
> pokea hata usipoufanyia
> kazi. Reuben
>
>
>
>     On Friday, March 11,
> 2016 12:40 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Elisa,Najua wewe si Chadema na najua pia kuwa
> huitakii mema Chadema kwa hiyo wenye akili tunaelewa
> unaposema bila mageuzi
> makini.em
> 2016-03-10 16:22 GMT-05:00 'ELISA
> MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Kuna
> wkati ukweli ulisemwa na kubezwa. Lakini kama mama
mwenye
> mimba anajaribu kuificha kuna wakati unafika
haifichiki.
> Bila mageuzi makini CDM inayoyoma. Nalo laweza kubezwa
na
> kudharauliwa ila wakati ukifika ikaja tutakaa kimya
kama
> tulivyonyamazia mengine. Huenda katika kuihakikishia
uhai
> Mbowe anastahili kurudishwa nyuma. Au benchi kabisa
>
> --------------------------------------------
>
> On Thu, 3/10/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] Hakika Chadema ya sasa
siyo
> ile
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Thursday, March 10, 2016, 5:43 PM
>
>
>
>  Dhuh
>
>  Tena
>
>  wanojaribu kujenga hoja dhaifu za kumpaka mbowe
matope
> ni
>
>  mimamluki ya ccm lakin wameshindwa.
>
>  Cdm ndio
>
>  chama kinachokua kila siku na tunashukuru ccm
imekopi
> sera
>
>  za cdm na sasa wanazitekeleza though bado
itawachukua
> mda
>
>  mwingi kuweza kutekeleza bse sera si zao na ndio
maana
>
>  wamegawanyika
>
>  Mbowe ni kiongozi na analeta
>
>  mabdiliko makubwa ya kisiasa despite challenges
>
>  tunazopitia,hv sasa tunapambana vita ya katiba
mpya
> ianze
>
>  kwa kua tuliokua tunawategemea kutetea katiba ya
> warioba
>
>  washanunuliwa na warioba mwenyewe hivyo naamini
kupitia
> cdm
>
>  tutaanza vita hiyo na tutapata tu kwa kua bila
katiba
> mpya
>
>  kuiondoa ccm ni shida.
>
>  Kipengele cha
>
>  kuhojiwa matokeo mahakamani kama ya uganda
ikiwekwa
> tutakua
>
>  sawa
>
>
>
>
>
emuganda@gmail.com
> wrote:
>
>
>
>  Ansbert,All I can say is
>
>  thanks. Mwenye kusikia na asikie na mwenye
> kubeza
>
>  aendelee.em
>
>
>
>  Sent from my iPhone
>
>  On Mar 10,
>
>  2016, at 2:50 AM, 'Ansbert Ngurumo' via
> Wanabidii
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>  Ngoja
>
>  nijadili hoja hii kwa kifupi. Nakuhakikishia,
Mbowe
> hana
>
>  muda wa kukasirikia maoni yako. Ameitwa majina
mengi
> tangu
>
>  1992. Lakini ukweli unabaki kuwa Mbowe ndiye
mwenyekiti
>
>  pekee wa chama cha siasa ambaye amejenga na
kukuza
> chama
>
>  chake wakati vingine vinakufa. Kwa vigezo vyote,
> Chadema
>
>  ndicho chama pekee kinachokua kwa kasi Tanzania.
Watu
> wengi
>
>  waliokaa mbali naye hawamjui vema, na wanamdharau
kwa
> sababu
>
>  za kipropaganda, na kwa kuwa hajikwezi.
>
>  Waliokaa
>
>  naye karibu wanatambua kuwa Mbowe ni kiongozi
ambaye
>
>  amewekeza katika kutengeneza na kutanguliza
wanasiasa
>
>  wenzake. Vipaji vingi unavyoona na kujua katika
Chadema
>
>  vimeibuliwa naye. Kwa asilimia kubwa, Chadema ya
2004
> hadi
>
>  sasa ni zao la ubunifu na uchapakazi wa Mbowe.
>
>
>
>  Hana
>
>  makuu.Ni msikivu kupita wanasiasa wote niliowahi
kukaa
> nao,
>
>  ukimwondoa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni
mbunifu.
> Ni
>
>  mwepesi wa kubadilika kulingana na mahitaji ya
wakati.
> Ni
>
>  mfuatiliaji asiyechoka wa mambo anayotaka.
Anajua
> kujenga
>
>  hoja kutetea anachoamini. Kwa Tanzania ya sasa na
siasa
>
>  zake, nadiriki kusema kuwa Mbowe is the most
> influential
>
>  politician of current politics. Hata siasa
zinazofanywa
> na
>
>  Magufuli sasa zinaegemea katika mtazamo
uliojengwa na
>
>  Chadema kwa miaka 10 mfululizo. UKAWA unayoiona
leo
>
>  imejengwa kwa kiasi kikubwa katika mgongo wa
Mbowe.
>
>
>
>  Propagandists
>
>  wa CCM na usalama wa taifa wamefanya kazi kubwa
> kummaliza
>
>  Mbowe kisiasa, wameshindwa. Wametumia magazeti
yao,
> hasa
>
>  HOJA na TAZAMA. Tangu 2004, gazeti la HOJA
limempiga
> Mbowe
>
>  kila wiki. Limeshindwa kumbomoa. Limpiga Chadema
> limeshindwa
>
>  kukivunja. Wametumia mbinu zote walizotumia dhidi
ya
>
>  Augustine Mrema wa NCCR-Mageuzi na Ibrahim
Lipumba wa
> CUF;
>
>  hazikufua dafu kwa Mbowe.
>
>  Hata mwaka
>
>  jana, Chadema kilipompokea Edward Lowassa,
walithubutu
>
>  kupandikiza sumu dhidi ya Mbowe na Chadema.
Haikuwa na
>
>  makali. Walitumia kila mtu waliyedhani angeweza
> kusaidia
>
>  kubomoa Chadema. Hawakufaulu. Walijaribu
kukosanisha
>
>  Chadema, Mbowe na umma; wananchi ndio wakafumuka
zaidi
>
>  kuunga mkono Chadema, Mbowe na Lowassa.
>
>  Hata
>
>  waliomhusisha na ujio wa Lowassa, hawakujua
kwamba si
> Mbowe
>
>  aliyemshawishi Lowassa kujiunga na Chadema.
Lakini baada
> ya
>
>  yeye kushawishika kuhusu umuhimu wa Lowassa
katika
> harakati
>
>  za mabadiliko, alisimama kidete kukamilisha kazi
>
>  iliyoanzishwa na wenzake kwa ufanisi mkubwa. Na
kweli,
>
>  huwezi kupuuza nguvu ya waliomshawishi Lowassa,
au
> Lowassa
>
>  mwenyewe au Mbowe katika harakati za kuinua upya
> upinzani
>
>  Tanzania.
>
>
>
>  Itabidi
>
>  wanaomchukia Mbowe watafute mbinu mpya. Hizi za
miaka
> 12
>
>  mfululizo zimeshindikana. Mbowe anakipanga upya
chama
>
>  akishirikiana na viongozi wenzake, wapya na wa
zamani.
> Moto
>
>  utakaowaka nchi nzima baada ya wiki hii si wa
kubeza.
>
>  Propaganda za mtandaoni zitaendelea. Matusi ya
> magazetini
>
>  yataendelea. Lakini hayatakomesha ubunifu na
uchapakazi
> wa
>
>  Mbowe na timu yake. Nimefanya kazi naye kwa
karibu.
> Najua
>
>  ninachosema. Sihitaji kuambiwa Mbowe ni nani.
>
>
>
>  Unataka
>
>  kumjua Mbowe? Tazama Chadema. Tafakari imepita
katika
>
>  mabonde na milima ipi. Itazame Chadema ya Edwin
Mtei na
> Bob
>
>  Makani. Ilinganishe na ya Mbowe. Ilinganishe na
vyama
>
>  vingine vya siasa. Utaelewa kwa nini Mbowe
anapigwa vita
> na
>
>  watawala na wapambe wao. Mbowe ni mti wenye
matunda.
>
>  Atarushiwa mawe tu. Bahati nzuri, hana kawaida
ya
> kujibizana
>
>  na wanaompinga. Wakati nyie mnahangaika
kumtwanga
>
>  mitandaoni, yeye anachapa kazi.
>
>
>
>
>
>   Ansbert Ngurumo
>
>
>
>
>
>  Mobile    +255 767 172
>
665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.com
>
www.ngurumo.wordpress.com
>
www.ngurumo.blogspot.com
>
>
>
>
>
>
>
>      On Thursday, March
>
>  10, 2016 6:37 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>
>
>   Ukiniuliza Who is Mbowe?
>
>  Jibu ni rahisi sana. DALALI BORA TANZANIA.
>
>  Anisamehe kama atakasirika.
>
>
>
>  ;-)
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>   Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to
this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are
subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop
receiving
> emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

> Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

Utapata Email ya

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment