Thursday, 10 March 2016

Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI

Naona mambo ni mazito mno. Lakini hatutakiwi tukate tamaa. Ushirikiano mzuri baina ya watawala na wanaotawaliwa unapaswa uwe mzuri kwa faida ya nchi na kwa nguvu za Mungu nchi yetu itaendelea tu.
Mtanganyika


Od: "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
Do: wanabidii@googlegroups.com;
Wysłane: 9:53 Czwartek 2016-03-10
Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI

>
>
> Neatness Msemo-hata kama hawakujibu lakini hiyo miradi utakayotekeleza kwa kushirikisha wananchi katika eneo la wilaya, tarafa, kata, kijiji cha hao wataalamu wasiokujibu-unapowapa taarifa au wanapotembelea vijiji au maeneo yako ya kazi wataona hayo maendeleo au miradi yako. Ninaomba kama umejenga kitu au kuanzisha mradhi mfano shamba darasa au kilimo, bwawa za samaki etc weka kibao katika jengo ulilohisani. Weka bao kuwa kuna mradi huu na huu unahisaniwa na Mhisani ....na kutekelezwa na NGO..... Usipofanya hivi na kusambaza taarifa kwa wengi yenye jina la NGO yako, Mhisani etc-WAO hao wasiokusaidia au kukujibu-ndio watakuwa wakwanza kuorodhesha huo mradi wako kuwa umetekelezwa na WAO. watajisifu kuutekeleza na bajeti ya pesa iliyopangwa wataila. Wewe si umejenga au kuhamasisha matokeo au miundo mbinu, mashamba yapo? Wanakuja na wahisani wao, viongozi wao bila ya wewe kujua. Wanawaonyesha kazi yako kuifanya yao na hiyo inatumika kama justification ya matumizi za hela za miradi ya halmashauri au ya muhisani ambapo hela waliangamiza tumboni street. Kutangaza kimaandishi na kwa vibao inawafedhehesha na kukata ulaji wao. Viongozi hata wa vijiji hutumia mbinu hiyo na kuonyesha miradi yako kama ndio ile ya hela ya kuchangisha wanavijiji au hela walizopewa na hakmashauri au mhisani fulani. Ulaji mpaka nyumbani. NGO au mtu binafsi unajitolea kuchoresha ramani ya jengo la shule-wanatoa hela za akaunti fulani ya ujenzi kuwa hela hizo zilitoka humo-wanagawana, wanakula. Unanunua mbegu shamba la shule lilimwe na dawa unawapa za kupiga-gharama wanazidai halmashauri Idara ya Elimu wapate mrejesho na shamba la kulisha wanafunzi uji lililimwa kwa kuelimisha, kuhimiza na kulianzisha-wewe tena hutambuliwi ni dili lao. Hawatokutaja kuwa mhisani wao. lakini ukija-watakuchekea, mtatembelea mashamba kama kawa.
> Majipu ni mengi, vamia ofisi, kijiji lakini ujue bila ya sisi wabongo kukubali kubadilika kuwa wakweli, waaminifu, kuipenda nchi na jamii yetu na kukubali kujituma na kuacha ubinafsi na kuacha kutishiana, kulipizana kisasi na kukomoana ikiwa mwenzako atakuonya, kukushauri usiibe na kutenda uovu-Majipu hayataisha, yatatengeneza madonda ndugu kutokana na mbinu za kukomoana na kulipiza kisasi-tutarudi nyuma daima.
>
> Bwira Chini juzi kumetokea mapigano ya wafugaji wenyewe kwa wenyewe wametwangana hasa. Huku Bwira chini watahamisha kwani juu kutajengwa Bwawa la Dawasa-Kidunda Dam. wamewapimia makazi maeneo mapya wananchi wahamie ili kama bwawa likipasuka wasife kuzamishwa. Tayari walikopimiwa viwanja maeneo ya makazi wafugaji wanamiminika kuja na mifugo kwa maelfu maeneo ambayo kwa sasa mahindi na mpunga upo katika hali ya kati kutoa mazao ya kuvunwa June. Mifugo ndio inahamia. Wanakopita kama wahamiaji kwa kuswaga mifugo wanaonekana ila wanaachiwa tu. Wanaopita kwa malori-wanakaguliwa na wanapita njia ambayo haiendi kwenye masoko ya mji-wanapita. Wametoa zawadi y mifugo au pesa. wanakuja kikaoni wakiitwa-na silaha, tunaziona ktk TV na vijijini ana mkuki, kisu, rungu, panga na wengine bunduki. Kikao kikimkera si ataua watu wengi? Viongozi, polisi wapo lakini-tunayaangalia eti mila y kutembea na silaha-Mpaka Kikaoni? WEO milima ya Uluguru-Bwira-matombo viongozi wengine walitekwa nyara na baadhi kupigwa bakora vibaya sana walipowazuia kuhamia bila kibali na kuja na mifugo mingi eneo ambalo bwawa litajengwa na mito inahitaji ulinzi ili maji yapatikane DSM, Kibaha, Bagamoyo na umeme chalinze. Mfugaji anatandika viongozi na kuwahumiza vibaya anapewaje dhamana na kiongozi wa serikali kisha mshitakiwa anakimbia. Mhalifu anatorokaje akiwa lockup kituo cha polisi? Hii inatokea sana TZ. Kila kona ni uchafu mtupu.
> Sio Majipu ni Kansa kuitibu utata.
>
> Kama Kawa
>
>
>
> --------------------------------------------
> On Mon, 7/3/16, Neatness Msemo wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Monday, 7 March, 2016, 0:54
>
> Mimi ninafanya kazi
> keen he Ngo baada ya kustaafu.Nilikuwa Dar lakini sasa
> nimehamia Wilaya fulani sitaitaja kwa maslahi yangu. kwa
> sasa naomba Dr.unisaidie nina mwaka wa tatu sijamwona mtu
> anayehusika na maendeleo ya jamii kwenye kata ninayofanyia
> kazi.Ngo yangu inaitwa jina ninalihifadhi imesajiliwa kwenye
> wizara yako mwaka 2007.kuna matatizo mengi sana kwa Jamii
> lakini pia kuna ukoaefu wa wafanyakazi wanadai wapo kumi tu
> wilaya nzima.lakini pamoja na uchache wao nadhani ni vema
> wakajipanga au wawe na mpango kazi.Nimeona wengi wako busy
> tu na Tasaf kwa vile wanalipwa na kusahau majukumu yao ya
> kuangalia jamii inayowazunguka.Nimewaandea lakini nadhani
> hawakunielewa na nikawapa report yangu ya mwaka na
> nikampelekea mkurugenzi lakini hata barua yangu ya
> kujitambulisha sijajibiwa nimetuma karibu mara mbili na
> inabidi nifanye kazi ya kuwahudumia wananchi kinguvu nguvu
> tu wakati watendaji wapo na nimeenda wako busy wakati wote
> na sijui wanalolifanya lakini kama kiongozi nakuomba tupia
> macho huko chini wananchi wanaumia watendaji wa vijiji
> hawana mafunzo ya kuhudumia wananchi katika kuleta maendeleo
> pasipo mabwana maendeleo kuhusika. Najua nagusa mikono ya
> watu lakini huu ndio ukweli.ukitaka information zote
> nitakupatia.
> On Mar 7, 2016 12:32
> AM, wrote:
> Jamani mimi niko kijijini kabisa yaani kama
> serikali ni sikivu nadhani NW angekuwa anaibukia vijijini
> kusikokuwa na A B ndipo angejua.watu wapo vijijini kuna
> miungu huko usisikie kila kitu hakuna ningefurahi kama miezi
> sita angeibukia tu vijijini bila taarifa na uone bibi afya
> ambaye hajasoma yupo huko ndiye anaonekana badala ya NW
> kweli unampa mtu darasa la saba kuwa bibi afya kata
> unategemea nini wakati vijana wamesoma hawana kazi kisa
> vijijini hakuna wasomi jamani waambieni wakurugenzi wa
> wilaya waende masijala kila wilaya wakaone madudu hospital
> zipo lakini hakuna watendaji kila mtu ni mwizi na fisadi
> mahali pa kazi hakuna wa kuwasemesha watendaji wenyewe
> ngumbaru unategemea nini kwanini wote hao hawaendi kusoma au
> wapewe redundancy.For the sake of the Govt.wasomi wapo kila
> kona hawana kazi lakini tuna wilaya nzima au mikoa wasomi
> unahesabu je hamuoni.unatafuta afisa vijana amechoka yuko
> frustrated hawezi hata andaa mipango mikakati lakini yupo tu
> ukimuuliza mkuu wa wilaya anasema sina watu creative lakini
> ofisi zina mizigo waende shule au waachie ngazi ni Tanzania
> yote.unaweza usiwe msomi lakini mchapa kazi kwa uzoefu
> lakini wengi hulindana mamizigo ni mengi sana
> serikalini.lazima sasa Dr.Kingwangala mtusaidie kushape kila
> ofisi kuanzia chini hadi huu.
> On Mar 6, 2016 4:42
> PM, "Hildegarda Kiwasila"
> wrote:
>
>
>
>
> Kwenye health education theory kuna warning au understanging
> kwamba-Health Education in important but not sufficient for
> positive behaviour change. Ninaomba uende Google Search
> utafute-Health Education Theory or Behaviour Change Theory
> -utajifunza mengi. Binadamu wote hata ulaya kuna matatizo
> mengi. Wanajua Cigarette Smoking can cause cancer lakini wao
> ni chain smokers wanawake na wanaume na kansa za koo
> zinawamaliza. Hapa ni kipindupindu, ukimwi na elimu ya afya
> inatolewa lakini bado tu wachafu sana tupo katika stages za
> pre-contemplation pamoja na kuona vifi vya HIV, cholera na
> hata TB. Wanaojichubua jee-mapaka wanatoka makovu. Vipi
> kuhusu vidonge vya minyoo-matangazo mabango kibao, taarifa
> redioni, TV, magazetini na ubalozi kupita kuhimiza kuhusu
> kunywa dawa za matende na mabusha, minyoo-wazazi wanakataza
> watoto wasiende kunywa dawa hizo nao ukienda ktk foleni
> huwakuti bali wasichana, middle age women na wanafunzi au
> watoto wachache. Wanafunzi wanaomezeshwa mashuleni na
> kukaguliwa kinywa-baadhi yao wanakatazwa siku hiyo wasiende
> shule.
>
>
>
> Ufagiaji na uzoaji takataka upo decentralized na wananchi
> wanajua, wameelimishwa na kuunda kamati za mazingira Mtaa.
> Wameombwa kuuna CBOs au NGOs kujiajiri katika kufagia na
> kukusanya takataka, mkandarasi ajaajiriwa kubeba taka
> kupeleka dampo. Mkandarasi anaomba kikao kinakaa kumjadili
> na Halmashauri inahusishwa na Mtaa kupitia list ya
> walijiorodhesha kuomba kuzoa taka. Kila Mtaa unapanga
> gharama ya kaya kulipia, aina ya biashara na gharama zake
> zinatofautiana. Kama ni duka, genge, meza tu ya samaki,
> mashine ya kusaga, bar lodging etc. Wanaweza kukubaliana
> kulipa kwa wiki au mwezi. Hata hivyo, ulipaji wengine
> wanakataa na kuamka usiku kuzitupa mferejini au nyumba
> jirani ili asitoe 500/= kwa wiki. Mwingine anasema-anashinda
> kazi na hana familia. Mwingine anamlipa mzoaji binafsi ambae
> anazoa na kuzitupa mitaroni, nyumba zinazojengwa anatoa hapa
> nyumba hii anatupa nyumba ile na vichochoroni, katikati ya
> barabara kwenye bustani na hata rapid bus transport stands.
> Mzoaji binafsi anatakiwa akaziweke ktk substation na
> alipie-hataki. wakati mzoaji binafsi anapata kama 150,000/=
> kwa mwezi na akifika majumbani anatumwa kufua, kutengeneza
> bustani, kufyeaka na kulipwa hela na chakula anapewa na nguo
> mbovu wanazotaka kutupa-anapata na vivalo. Utafiti wangu wa
> 2003 funded by ILO TZ nilitembea na wafagizi na wazoa taka
> kuanzia 10 jioni hadi midnight wakifagia namna hiyo
> usiku-UHuru-kariakoo area na Zanaki-Libya mjini. Kima cha
> chini cha GVT mshahara ilikuwa 80,000/= mzoaji akipata
> 150,000/+ yule aliyejiajiri. Aliyeajiriwa 30,000-50,000/= na
> foreman na dreva wa lori la taka 70-75,000/= (uonevu ulioje)
> Akiumwa mfagiaji hata kama alishafagia wiki anaanza moja na
> analipwa hiyo 30 elfu kidogo kidogo. Sexual abuse ilitawala
> pia kwa akina dada. Nilikuta walimu wastaafu wakifagia pia.
> Mikataba ya magari ya kubeba taka-utata mkubwa sina haja ya
> kuwapotezea muda. Nilihoji  kampuni 23. Nia yangu ilikuwa
> kuona kwa nini pamoja na kuwepo PPP bado mji mchafu, wazoao
> taka na kufagia hawavai protective gear? (Solid waste
> collection and utilization of protective gear with a gender
> perspective). Wengi hawapewi, wapewao huziuza na pia kuna
> kuporwa gum boot, fagio, reki, toroli na vibaka hasa mjini.
> Mfagizi anabondwa-anaporwa. Kampuni inakutaka-ujinunulie
> ikiajiri kama mfagiaji, mpakia taka kwa sepeto. Red cross na
> kampuni chache ndio wakilipa waajiriwa vema. Makusanyo ya
> kaya kulipa wafagizi na makampuni ya kuzoa taka-hufisadiwa
> na viongozi wa Mtaa halafu kuwa wakali asiulizwe. wapatao
> kontrakti-makanjanja kumbe magari hawana kimagumashi kukodi
> gari hela hawana na waliupata mkataba kimagumashi
> waliowapatia wakijua uwezo hawana wamekula hela hawawezi
> kuwadhibiti. Au-halmashauri ilidanganjwa mjamaa alikodisha
> magari akaandika majina na kupanga vifaa vya kukodi na
> vijana walamba bangi akaonekana ana ofisi na anauwezo
> kumbe-kiini macho taka zinamshinda. CBO na NGO nyingine si
> za wajasiriamali ni mtu kanjanja binafsi hivyo anawadhulumu
> anashiba yeye. Bongoland hiyo-taka zinalundikana Sokoni,
> management inakusanya hela-tumboni street kuchafu, kunanuka.
> wanaona ila sugu na vipofu wa kuona ulaji tu sio afya zao na
> taifa lao. Mfuatilie kiongozi hapo sokoni-uokotwe kichwa
> Urafiki na mikuu mabibo dampo la maji machafu.
>
>
>
>
>
> Mabango ya Elimu Jamii ni mengi mno barabarani, zahanati na
> kazini.Ngoja nipate muda nikuwekee, mpaka ofisi za mtaa,
> kata, kijiji. Nimehusika sana na Evaluation ya IEC
> (Information Education, Communication) inayohusiana na elimu
> ya afya jamii, mazingira, afya kazini na mpaka kupima
> wafanyakazi waliopewa elimu ya afya na kuwahoji kuhuysu
> matumizi ya condom. Ukimuuliza mtu Mtanzania utapata majibu
> sahihi 80-100%. Lakini positive action less tha 40%. Katika
> HIV unakuta 90% positive ni married people. Hata kula dawa
> ya matende na ngiri maji-wanayaona matende na mabusha-hawali
> dawa kutikana na Imani potofu ina dominate kuizidi elimu ya
> afya waliyopewa. Hata ulaya-wamesoma lakini sigara
> inamfariji anaivuta daily kila mtu na matatizo yake.
> Enjoyment bila kondom ni superior kuliko outcome ya bila
> kutumia-Mungu yupo akitaka ufe utakufa tu na HIV. Hata
> mafuriko yalivyowaathiri wanabebwa na boat na kupewa
> viwanja, bati, cement wakae Mabwepande-waliuza
> wakarudi-tumezoea mjini ikawa dominant kiakili kuliko athari
> iliyokuwa inawafika kupoteza ndugu, mali na kuishi uchafuni
> daima. Mabwe pande ni uzunguni sasa. UMUELIMISHE KILA SIKU
> AU UACHE SIASA UTUMIE SHERIA UMZOE NA KUMUONDOA ASIRUDI
> HAPO-BOMOA, JENGA MIUNDO MBINU YA KISASA JANGWANI IWE KAMA
> UK-THAMES VALLEY!!
>
>
>
>
>
> Hii ya usafirishaji taka kila jumamosi ni ya  Mh Mangufuli.
> Kila Mtaa una maamuzi yake ktk kuzoa taka na kupeleka dampo.
> Kuna mitaa Dar inafanya vizuri sana sana kwa usafi-Manzese
> Uwanja wa Fisi ni Mtaa/Eneo  mmojawapo na Jumuiya za
> Watumia maji Manzese pia Kibaha ni mfano wa kuiga.
>
> Kodi wanazolipa mbona zina kazi nyingi lakini 'Polluter
> Pay Principle' inakutaka ugharimie uchafunzi unaoufanya
> ndio RIO Summit na mikutano mingine ya kidunia
> ilivyokubaliana na World Bank na DFID, SNV na donor wengineo
> hawapo tena kutugharimia city cleansing. Kunyonya maji
> machafu CIty Council na Municipality wawaachie private
> sector pia kufagia na kuzoa taka kulipiwe na wachafuaji. Ila
> waannchi tunatoboa vyoo na kutiririshia nje na mitaropni ili
> tusilipie. Kama kodi yako ilipie kila kitu hiyo 500 kwa wiki
> basi pia GVT ije ikuchambishe au ikuogesho ukitoka haja!
> Hizi pumba sizipendi. Unaweka choo kinafura, unakitiririsha
> maji ya kinyesi na maji taka mitaroni na hasa mvua ikinyesha
> ndio unafungulia ilioje, kisha  bomba lako la maji
> limepasuka lina plasta linapita uchafuni mtaroni, unakunywa
> maji mashafu, unaumwa, ulipiwe matibabu pia kwa pumba zako
> mwenyewe mtanzania! Changia kadi ya afya-nalipa kodi. Lakini
> unalewa, kununua madela, nyumba ndogo, unavuta sigara,
> kucheza kamali, kutwa kigengeni unakula ubishi wa simba na
> yanga huna hela ila umebweteka- Hebu tuwe na senses!!
>
>
>
> Kliniki akina baba wanatakiwa waende-wabishi hawaendi. Mama
> anaelekezwa yote kuhusu uzazi salama, kondom ya kike na ya
> kiume, tubal ligation lakini-Hataki anaogpopa kuachwa
> akitumia dawa za majira au kuweka kitanzi au kutumia kondom.
> Michepuko mume na mke wanayo wote. Hata Mererani, Geita
> machimboni elimu inakotolewa sana na mabango yapo-na kule
> ambako wafanyakazi wanapewa kondomu bure-tumeluta matumizi
> yake madogo sana 2%. Wafanyakazoi huzibena na kuziuza.
>
>
>
> Kama ni Elimu ya AFYA-Tanzania inaongoza. Sera na
> Mikakati-mingi na mizuri, sheria-zipo zinatakiwa
> kurekebishwa nyingine ziwe updated. Tatizo ni utendaji wetu
> kuanzia kaya hadi ofisi za Mtaa, Wlaya, Mkoa na Mawizara.
> Ifike wakati hata ktk kilimo unapofika mahara kuna kilimo na
> ufugaji sio endelevu, ofisi ya kijiji, kata, Tafara haina
> choo au choo bora-fukuza hao extension staff kama hakuna
> sababu maalum ya kuridhisha kwa nini hakuna choo na kilimo
> ni haribifu. Kituo cha Afya choo  kibovu au mlango hauna
> bawaba haufukingi na fundi yupo kuweka bawaba tu!-Tumbua
> mshahara wa fundi kama hela alipewa hakuweka.
>
>
>
> Bila ya Unyapara-nchi haitobadilika hata aje nani udikteta
> lazima.  Kila mmoja nje ya nyumba yake mfereji uwe safi no
> majani, taka ngumu, maji kutoka nyumba yake kuingia
> mtaroni-Tumbua. Wakifagia hayakubebwa wamelundika nje au
> mtaroni-Tumbua Serikali ya Mtaa (sio Wilaya)-Bwana Afya
> Kata, Diwani, Viongozi wa Mtaa na kamati zao na Ubalozi.
> Kwani Mbunge naye jimbo lake chafu anafanya nini; kilimo na
> ufugaji usio endelevu anachekelea na kujali maandamano tu!
> Hivi kweli kuwe na Chuo cha Kilimo, Ranch ya GVT ya Ufugaji
> lakini vijiji kuzunguka chuo na ranchi viwe vinalima na
> kufuga ktk hali ya Karne ya 6? TUMBUA! Field practice yao
> wanafanya wapi. Nje ya Health Training Institution takataka
> mitaani zimelundikana halafu eti unafundisha hapo Sanitary
> engineers, Health officers???? Ndani ya Chuo cha
> Construction Engineers mazingira ya chuo ngazi zote
> zimeporomoka, concere slabs zimetoka mitaroni pia zinazagaa
> na kuvunjika, ceiling board ya darasa imemegeka inataka
> kuanguka-EXCUSE ME!! tumbua Mkuu wa Idara na wa Chuo Hicho!!
> Mbona wanafanya consultancies na practices wanakwenda
> kufanyia wapi?
>
>
>
> Nina mengi usinichokozege haha12. Unyapara lazima uwepo!!
>
> Kama Kawa
>
>
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Sun, 6/3/16, haha12@poczta.fm
>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA
> CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Sunday, 6 March, 2016, 1:30
>
>
>
>  Nakubaliana na mengi
>
>  uliyoyasema, na ndio maana mapema niliandika kuwa ni
>
>  serikali ndiyo inapaswa kutowa muweleweko unaoweza
> kueleweka
>
>  kwa jumuia nzima. Iwapo bajeti inaruhusu zitumike kiasi
>
>  kadhaa kwa madhumuni fulani na zaidi ya hapo nchi
> haimudu,
>
>  basi wananchi waelewe. Kuelimisha watu liwe ni jambo la
>
>  kawaida. Vyombo vya habari, mashuleni, wana siasa, kwenye
>
>  familia zetu tuwe tunaambiana ukweli na sio propanda.
> Watu
>
>  lazima wajue hizo kodi wanazolipa zinakwenda wapi na zina
>
>  umihimu gani katka fani mbali mbali za maisha yao. Umetoa
>
>  mfano wa usafishaji kila jumamosi, lakini still watu
>
>  wanatupa taka hovyo. Ni kwamba watu hawaelewi kwa nini
>
>  wanatakiwa kusafisha miji wakati kuna serikali za miji-
>
>  town/city councils. Lakini ukiwaelisha watu wajue kuwa
> pesa
>
>  za usafishaji tutazitumia kwa shughuli nyingine kama
> kununua
>
>  dawa n.k wataacha tabia hiyo ambayo unaweza kuilinganisha
> na
>
>  usaliti. Nchi yetu hivi sasa ina wasomi wengi, ndio maana
>
>  unaona watu hawataki tena mambo ya kienyeji. Wote
>
>  tunakimbilia hospitalini ambako pia wanapaswa sio tu
>
>  kutubiwa bali kupewa health education ambayo itasaidia
>
>  kupunguza/eradicate baadhi ya maradhi. Yote hayo yapo
>
>  mikononi mwa serikali na sisi kama raia tunapaswa
>
>  kuyatekeleza. Unyapara lazima uwepo
>
>  Mtanganyka
>
>
>
>
>
>  Od: "Hildegarda Kiwasila"
>
>  Do: wanabidii@googlegroups.com;
>
>
>
>  Wysłane: 20:42 Sobota 2016-03-05
>
>  Temat: Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
>
>  KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
>
>  MIKOCHENI
>
>
>
>  >
>
>  >
>
>  > Unayoyasema Haha12
>
>  ni sawa kabisa. Lakini ujue-kujaa watu hospitali au
> katika
>
>  huduma za afya kwa sasa ni positive trend katika uelewa
> wa
>
>  watu kuhusu huduma ya kisasa ya afya. Pia akina mama
>
>  kujazana na kuazlia zahanati au hospitali. Ina maana
>
>  hawategemei zaidi waganga wa kienyeji bali huduma ya
>
>  kisasa.
>
>  >
>
>  > Kama kuna
>
>  zahanati ambayo hupokea wagonjwa na kuwahudumia vizuri-
>
>  watatoka mbali na kujazana hapo na madaktari wakiwa
> wachache
>
>  ila wanafuata huduma bora.
>
>  >
>
>  > Kuhusu wananchi kumudu gharama-elfu kumi
>
>  kwa mwaka kadi ya afya na nyingine gharama ni ya serikali
> ni
>
>  hela kidogo sana kwa kaya kwa mafao ya afya bora.
> Ukifanya
>
>  household survey na kuangalia expenditure yao kwa siku
>
>  utaona wanaweza kulipa elfu kumi kwa mwaka-pombe, sigara
> na
>
>  matumizi mengine binafsi.
>
>  >
>
>  > Fikiria kuku mmoja kijijini ni 12,000+
>
>  angalia mauzo ya nyanya, bamia, na mazao mengine ya
>
>  biashara-nazi, samaki, korosho, kahawa, maziwa, nyama.
>
>  Mfugaji ana ng'ombe elfu 5 a na mifugo mingineyo na
>
>  masikini anao  angalau wa 5 na mbuzi chache anauza
> ,mnavu
>
>  pori, maziwa, dawa. Mkulima-kisambu, mchicha etc;
>
>  Mvuvi-samaki gharama-elfu 10 kwa mwaka?! Unawaelimisha na
>
>  kichwa na mifano kuonyeshwa na wanaona wanapoumwa ghafla
> au
>
>  ugonjwa sugu. Bado anapokwenda kwa mganga wa kienyeji
>
>  anatumia pesa nyingi kuliko hospitali kuchangia kadi ya
> afya
>
>  kwa familia TAS 10 elfu kwa mwaka.
>
>  >
>
>  > Uelewa wetu hata na mifano ya wagonjwa na
>
>  wanaofariki bado hakieleweki. Mifano hata hii ya usafi
>
>  takataka kuziweka panapohusika, usafi wa pamoja kila
> jmosi
>
>  na kila mwisho wa mwezi-bado tunatupa takataka mifereji
> wazi
>
>  zinakwama, kunafurika mpaka ndani ya nyumba na
> tunaendelea
>
>  kutupa na kuunganisha vyoo katika open drainage system.
>
>  Chakula kuuzwa wazi, kipindupindu kinaua na tunaona
>
>  walivyolala chini na wanaofariki-bado tunauza chalkula
> wazi
>
>  pembeni taka zipo na mainzi kibao, tunanunua na mainzi
> yapo,
>
>  serikali ya mtaa inakusanya kodi mainzini hapo. Ajali
>
>  tunaziona lakini tunapanga biashara mpaka barabarani na
> njia
>
>  za kupita kwa miguu hazipitiki. Kitu gani utufundishe
> sisi
>
>  wabongo tuelewe na tutie katika matiki tuzingatie uhai na
>
>  afya zetu. Hata viongozi wa siasa wanaelewa lakini bora
>
>  apike mazuri ili apate kura atetee tu ushabiki wa
>
>  kupinga.
>
>  >
>
>  > Ulaya
>
>  wanakatwa kodi hasa kuikwepa si rahisi sana na kodi
> inakuwa
>
>  invested katika huduma. Huwezi kusafiri na kuingia nchi
> zao
>
>  bila ya Health Insurance labda uwe mhamiaji haram
> umejificha
>
>  na hutoumwa wakakubamba. Kama bajeti inawekwa kikanjanja
>
>  halafu inaingia kugharimia kisiasa sio kununua vifaa na
>
>  kugharimia panapohusika-kumfukuza daktari wa wagonjwa
> kulala
>
>  chini au kukosa dawa si vema. wapo vibaka lakini wapo pia
>
>  watendaji bora watoa huduma na kuhurumia watu. Kama kuna
>
>  good governance na ufuatiliaji uliotukuka-haya yote ya
>
>  vibaka kuiba vya health sector kusingekuwepo. Hapa
>
>  bongoland-ubadhirifu mpaka family/household level.
>
>  >
>
>  > Maduka ya Umma yes
>
>  yawe ndani ya huduma husika ya afya -kuwe na dirisha la
> dawa
>
>  na duka la dawa apate zile ambazo anastahili kutokana na
>
>  kadi yake ya afya na Duka la umm hap ktk health facility
> la
>
>  watu kununua ambazo hawezi kupata kutokana na card yake
> au
>
>  mahitaji yake kama kalazwa Lakini usikataze watu
> wasifanye
>
>  biashara hiyo kama vile utakavyotakiwa usikataze wasiuze
>
>  mbegu na madawa ya kilimo eti wategemee ofisi za kilimo
> tu
>
>  au za Vet care tu ambazo zitakuwa mbali na waliowengi
> vijini
>
>  na mijijini. Liberalization of the economy itarudishwa
> nyuma
>
>  na masuala ya ajira. Ila msisitizo ni sheria izingatiwe,
>
>  kutokuuza vitu feki na vilivyoisha muda wake sekta zote.
>
>  Serikali iboreshe mifumo yake na kuisimamia vizuri,
> iondoe
>
>  utata ilioutengeneza before punishing the innocent and
>
>  blaiming the victims unnecessarily.
>
>  >
>
>  --------------------------------------------
>
>  >
>
>  >
>
>  > On Sat, 5/3/16, haha12@poczta.fm 
>
>  wrote:
>
>  >
>
>  >  Subject:
>
>  Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA
> CHA
>
>  UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
>
>  >  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  >  Date: Saturday, 5 March, 2016, 21:25
>
>  > 
>
>  >  Huo ukosefu wa
>
>  madawa
>
>  >  haukuanza leo, lakini
>
>  ninayoyasikia leo kuhusu suala hilo
>
>  > 
>
>  inaonyesha jinsi ufanisi wa kazi zinavyodidimia- Hospital
>
>  >  managements zinandelea kuwa mbovu.
>
>  Zamani hayakuwepo maduka
>
>  >  mengi ya
>
>  madawa kama yalivyo leo na wakuu wa hospitali zote
>
>  >  kuanzia zahanati walikuwa wanapatiwa
>
>  dawa kuambatana na
>
>  >  matakwa halisi
>
>  ikiangaliwa na uwezo wa bajeti iliyotelewa na
>
>  >  serikali. Wagonjwa hawakuwa wanalala
>
>  chini, wagonjwa
>
>  >  mawodini walikuwa
>
>  hawanunui dawa wala chakula. Sasa iwapo
>
>  >  leo kuna haja ya kujitegemea kiafya,
>
>  serikali inapaswa
>
>  >  iwaeleze wananchi
>
>  ukweli halisi  kuwa ukienda hospitali
>
>  >  unapaswa ulipe au usilipe badala tu ya
>
>  kuwalaumu wafanya
>
>  >  kazi. Sio wananchi
>
>  wote wana health insurance kutokana na
>
>  >  sababu mbali mbali. Tatizo hilo ni zito
>
>  sana hata kwa nchi
>
>  >  ziliZOendelea.
>
>  Wananchi wanapaswa waelimishwe umuhimu wa
>
>  >  health insurance na serikali iwe makini
>
>  kwa wahujumu wa aina
>
>  >  yeyote kwenye
>
>  masuala ya madawa, vifaa na pesa za umma .
>
>  >  Maduka ya madawa ni vyema yarudishwe
>
>  mikononi mwa serikali
>
>  >  ili kupunguza
>
>  ulanguaji na ubinafsi unaofanywa na baadhi ya
>
>  >  wafanya kazi ktk hospiltali zetu. Tuache
>
>  kuwalaumu madaktari
>
>  >  na wauguzi kwani
>
>  sio wao wanaopanga sheria
>
>  > 
>
>  Mtanganyika
>
>  > 
>
>  > 
>
>
>
>  >  Od: "Hildegarda
>
>  >  Kiwasila"
>
>  > 
>
>  Do: wanabidii@googlegroups.com;
>
>  > 
>
>  >  Wysłane: 18:07
>
>  Sobota 2016-03-05
>
>  >  Temat: Re:
>
>  [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
>
>  > 
>
>  KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA
>
>  >  MIKOCHENI
>
>  > 
>
>  >  >
>
>  >  >
>
>  >  > Yes Kim-Zamani hata
>
>  >  kama dawa hospitali hakuna anakwambia
>
>  doctor au nurse nenda
>
>  >  hapa au pale
>
>  ukanunue dawa aliyokuandikia lete hapa hakuna
>
>  >  au zimekwisha. Mgonjwa anatibiwa na
>
>  unakuta kila mgongwa ana
>
>  >  bahasha lake
>
>  la dawa alilonunua nurse kaliweka separate na
>
>  >  mengine. Hakuna pampas unakwenda dukani
>
>  nje unanunua
>
>  >  unapeleka kwani private
>
>  hospital huwezi gharama zake ambako
>
>  > 
>
>  pamsai utazilipia ktk bili yako ya gharama za juu.
>
>  >  Unaridhika unampa kadogo kitu doctor wa
>
>  GVT hospital kama
>
>  >  asante.
>
>  >  >
>
>  >  > Sasa
>
>  hii
>
>  >  fukuza na funga hapa na pale,
>
>  fukuza nurse, daktari
>
>  > 
>
>  waliobaki-watakuangalia pale unakufa- Msubiri Mangufuli
>
>  na
>
>  >  Kingwalala waje!! Cheza na mbongo
>
>  wewe!
>
>  >  >
>
>  > 
>
>  >  > Narudia-usifunge Duka la Dawa nje
>
>  ya
>
>  >  zahanati au huduma ya afya yoyote
>
>  kabla hujafungua lako
>
>  >  ndani ya huduma
>
>  hiyo na kuhakikisha Health Kit ya huduma
>
>  >  husika ina dawa za kutosha. Wakitoka nje
>
>  wanakuta dawa ghali
>
>  >  kuliko duka la
>
>  ndani ya facility hiyo ya GVT hawanunui nje
>
>  >  bali ndani.  Daktari atafanya uwekezaji
>
>  upi kama sio ktk
>
>  >  sekta yake
>
>  aliyosomea?_Duka la Dawa. kama hana
>
>  > 
>
>  hilo-ataondoka hapo mapema kwenda kutoa huduma private
>
>  >  hospital ili agange njaa. Foleni ndefu
>
>  yupo  daktari mmoja
>
>  >  tu wengine
>
>  wamesepa kuongeza mshahara.
>
>  >  >
>
>  > 
>
>  >  > Kama maduka
>
>  ya dawa yamezingatia
>
>  >  sheria na kupata
>
>  leseni na wananunua dawa kiuhalali hata
>
>  >  liwe la daktari liache!. Daktari ya
>
>  hospitali, health
>
>  >  Centre, Dispensary
>
>  anajua ni magonjwa gani yapo highly
>
>  > 
>
>  prevalent hapo na muda gani yanatokea. Hivyo ananunua
>
>  dawa
>
>  >  anazoona zitahitajika eneo hilo.
>
>  Health Kit ya Zahanati kwa
>
>  >  mfano
>
>  inategemea kaya ngapi zimenunua Health Card ya SHS
>
>  >  10,000 kwa mwaka familia ya watu sita na
>
>  health Card ya
>
>  >  mwanafunzi shule
>
>  watoto 5 wanaweza kujumuishwa shs elfu 2
>
>  >  kila mmoja matibabu ya mwaka kwa kadi
>
>  moja ya elfu 10.
>
>  >  >
>
>  >  > Binafsi-nimejitolea
>
>  >  sana kutibu wanafunzi kwa pesa zangu
>
>  kila nipitapo vijijini
>
>  >  kwa research
>
>  na ninaposimamia miradi ya maendeleo vijijini
>
>  >  ambayo huhusisha pia school health. Dawa
>
>  nyingine za minyoo
>
>  >  iliyomfanya mtoto
>
>  awe na matezi nilizinunua DSM kwa ajili ya
>
>  >  mwanafunzi aliyepo Milola kilometa 60
>
>  kutoka Lindi mjini.
>
>  >  Haikupatikana
>
>  Lindi. Kuzisafirisha vijijini kwa bus la
>
>  >  abiria. Vifaa vya zahanati kuvinunua Dar
>
>  maduka ya medical
>
>  >  equipment
>
>  authorized by the Ministry na kusafirisha Zahanati
>
>  >  ninakosimamia mradi husika unaogopa
>
>  vikipitisha Wilayani
>
>  >  vinaweza
>
>  visifike vinakotakiwa lakini unamuarifu DMO kuwa
>
>  >  umepeleka hiki na kile kama
>
>  mlivyokubaliana wakavikague
>
>  > 
>
>  vimeshafika. Hiyo ni Health Centre au Zahanati ya
>
>  Serikali.
>
>  > 
>
>  > 
>
>  >
>
>  >  > Mzazi anashindwa
>
>  >  hata kumpa mtoto hela akatibiwe zahanati
>
>  lakini anakunywa
>
>  >  pombe daily hanunui
>
>  health card. Kama kaya ni elfu 2
>
>  > 
>
>  waliolippia kadi ya afya ni kaya asilimia 2 unafikiri
>
>  Health
>
>  >  Kit ya Zahanati itapatikana
>
>  vipi? Wakati mwingine inakwenda
>
>  >  sio
>
>  kit husika kwa eneo hilo. Mpaka irudishwe inayohusika
>
>  >  hapo na madawa hitajika ifike-hawajafa
>
>  tu kama hakuna duka
>
>  >  la dawa la
>
>  binafasi? Hii funga funga mimi inanikera labda
>
>  >  kwa mtu ambae hana uelewa na sekta hii
>
>  ataona ile ingia
>
>  >  funga na toka nje
>
>  funga maduka ya dawa ni kitu chema. Hata
>
>  >  vyuo vya elimu ya juu wameruhusu
>
>  restaurants za watu binafsi
>
>  >  na
>
>  wanauza chakula sio bure tena kama tuposoma sisi
>
>  >  cafeteria unapata nusu kuku unakula na
>
>  kutupa. Sasa lipia
>
>  >  kula ule utupe kwa
>
>  matakwa yako. Huwezi ukafunga tu biashara
>
>  >  hapo campus au nje ya shule wakati
>
>  huduma ya serikali ya
>
>  >  chuo kwa sasa
>
>  inaendeshwa na mkandarasi sio dezo tena.
>
>  >  Tujiangalie na maamuzi ya Hapa Kazi tu
>
>  yanavyofasiriwa
>
>  >  vibaya bila ya
>
>  kuzingatia principles of good democratic
>
>  >  governance, effective manpower
>
>  management and effective
>
>  > 
>
>  institutional management.
>
>  >  >
>
>  >  > Kama Kawa
>
>  > 
>
>  >
>
>  >  >
>
>  > 
>
>  --------------------------------------------
>
>  >  > On Fri, 4/3/16, De kleinson
>
>  kim 
>
>  >  wrote:
>
>  > 
>
>  >
>
>  >  >  Subject:
>
>  >  Re: [wanabidii] DK. KIGWANGALLA AAGIZA
>
>  KUFUNGWA CHUMBA CHA
>
>  >  UPASUAJI CHA
>
>  HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
>
>  > 
>
>  >  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  >  >  Date: Friday, 4 March, 2016,
>
>  22:51
>
>  >  > 
>
>  > 
>
>  >  MAMA Kiwasila
>
>  >  ametoa
>
>  >  >  mwangaza,
>
>  > 
>
>  > 
>
>  >  >  serikali isishie
>
>  >  kuwa wakali kwa watumishi wa afya
>
>  haswa
>
>  >  >  huduma za afya,
>
>  tuangalie takwimu za
>
>  >  vifo na
>
>  huduma
>
>  >  >  nyinginezo katika
>
>  >  hospitali zetu!! 
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  Ndio namna ya kugundua kama tunasonga
>
>  > 
>
>  mbele, zikizidi
>
>  >  >  tunarudi
>
>  kurekebisha
>
>  >  jambo, zikipungua
>
>  tunashukuru
>
>  >  > 
>
>  >  tumeweza!!  Ila kugawa mambo ya msingi
>
>  kama dawa n.k. ni
>
>  >  >  jukumu la
>
>  serikali.
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>
>
>  >  >  --
>
>  > 
>
>  > 
>
>  >  >  Send Emails to
>
>  >  wanabidii@googlegroups.com
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>   
>
>  >  > 
>
>  > 
>
>  >  Kujiondoa Tuma
>
>  >  Email kwenda
>
>
>
>  >  > 
>
>  > 
>
>  > 
>
>  >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  >  Utapata Email ya
>
>  > 
>
>  >  kudhibitisha
>
>  >  ukishatuma
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  >   
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  > 
>
>  Disclaimer:
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  >  Everyone
>
>  posting to this Forum bears the sole
>
>  > 
>
>  responsibility
>
>  >  >  for any
>
>  legal
>
>  >  consequences of his or her
>
>  postings, and hence
>
>  >  >  statements
>
>  and facts must be presented
>
>  > 
>
>  responsibly. Your
>
>  >  >  continued
>
>  >  membership signifies that you agree to
>
>  this
>
>  >  >  disclaimer and pledge to
>
>  abide by our
>
>  >  Rules and Guidelines.
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  ---
>
>  >  > 
>
>  > 
>
>  >  You received this message because you
>
>  >  are subscribed to the
>
>  >  >  Google Groups
>
>  >  "Wanabidii" group.
>
>  >  > 
>
>  >  >  To
>
>  unsubscribe from this group and stop
>
>  > 
>
>  receiving emails
>
>  >  >  from it, send
>
>  an
>
>  >  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  >  > 
>
>  >  > 
>
>  For more
>
>  >  options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/optout.
>
>  > 
>
>  >
>
>  >  > --
>
>  > 
>
>  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  >  >
>
>  >  >
>
>  Kujiondoa Tuma Email
>
>  >  kwenda
>
>  >  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  >  Utapata Email ya kudhibitisha
>
>  ukishatuma
>
>  >  >
>
>  >  > Disclaimer:
>
>  > 
>
>  > Everyone posting to this Forum bears the
>
>  >  sole responsibility for any legal
>
>  consequences of his or her
>
>  >  postings,
>
>  and hence statements and facts must be presented
>
>  >  responsibly. Your continued membership
>
>  signifies that you
>
>  >  agree to this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules
>
>  >  and Guidelines.
>
>  > 
>
>  > ---
>
>  >  > You received this
>
>  message because you are
>
>  >  subscribed to
>
>  the Google Groups "Wanabidii"
>
>  >  group.
>
>  >  > To
>
>  unsubscribe from this group
>
>  >  and stop
>
>  receiving emails from it, send an email to
>
>  >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  >  > For more options, visit
>
>  >  https://groups.google.com/d/optout.
>
>  >  >
>
>  > 
>
>  > 
>
>  > 
>
>  >  --
>
>  >  Send Emails
>
>  to wanabidii@googlegroups.com
>
>  > 
>
>  >  Kujiondoa Tuma
>
>  Email kwenda
>
>  > 
>
>  > 
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  >  Utapata Email ya kudhibitisha
>
>  ukishatuma
>
>  > 
>
>  > 
>
>  Disclaimer:
>
>  >  Everyone posting to
>
>  >  this Forum bears the sole responsibility
>
>  for any legal
>
>  >  consequences of his or
>
>  her postings, and hence statements
>
>  > 
>
>  and facts must be presented responsibly. Your continued
>
>  >  membership signifies that you agree to
>
>  this disclaimer and
>
>  >  pledge to abide
>
>  by our Rules and Guidelines.
>
>  >  ---
>
>  >  You received this message
>
>  >  because you are subscribed to the Google
>
>  Groups
>
>  >  "Wanabidii"
>
>  group.
>
>  >  To unsubscribe
>
>  >  from this group and stop receiving
>
>  emails from it, send an
>
>  >  email to
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  >  For more options, visit
>
>  >  https://groups.google.com/d/optout.
>
>  >
>
>  > --
>
>  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  >
>
>  > Kujiondoa Tuma Email
>
>  kwenda
>
>  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>  >
>
>  > Disclaimer:
>
>  > Everyone posting to this Forum bears the
>
>  sole responsibility for any legal consequences of his or
> her
>
>  postings, and hence statements and facts must be
> presented
>
>  responsibly. Your continued membership signifies that you
>
>  agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
>
>  and Guidelines.
>
>  > ---
>
>  > You received this message because you are
>
>  subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
>
>  group.
>
>  > To unsubscribe from this group
>
>  and stop receiving emails from it, send an email to
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  > For more options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/optout.
>
>  >
>
>
>
>
>
>  --
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to
>
>  this Forum bears the sole responsibility for any legal
>
>  consequences of his or her postings, and hence statements
>
>  and facts must be presented responsibly. Your continued
>
>  membership signifies that you agree to this disclaimer
> and
>
>  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this message
>
>  because you are subscribed to the Google Groups
>
>  "Wanabidii" group.
>
>  To unsubscribe
>
>  from this group and stop receiving emails from it, send
> an
>
>  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment