Wednesday, 23 March 2016

Re: [wanabidii] AJALI ZA MAGARI BARABARANI: TUNAHITAJI KUSAHIHISHA HAYA YA MSINGI KUZIPUNGUZA

Tatizo Muhigo sisi wabongo hatupendi tu ukweli na kujirekebisha. Hivyo kila miaka nenda rudi ni kurudia kule tulikotoka (re-inventing the wheel). Kuanzia Baba wa Taifa na wito wa Mtu ni Afya, Mti ni kazi, Kata Mti Panda Mti; decentralization usimamizi kuanzia ubalozi, kitongoji na kufika kijiji. balozi akijua nani anaingia kufanya nini na ulinzi wa mgambo. Misitu ya mila ikiheshimiwa na mbuga za hifadhi pia. Mabasi ay DMT, Railway, UDA, yakiheshimu mwendo wa usalama sio hivi sana magari na biashara binafsi zimekuwa kesho kiusalama sio tu ajali za magari pia uchafu wa mazingira na uchafu ktk chakula kipikwacho na kuuzwa. Ukimkamata na kumtumbua jipu-anaibua komando yoso, fisi, mbwa, na vibaka wa aina za ajabu na majambazi kukukomesha ukose amani wakati kuhimisa utendaji effective, efficient na kuzingatia sheria ndio maendeleo.
Hovyo Kabisa.
--------------------------------------------
On Wed, 23/3/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] AJALI ZA MAGARI BARABARANI: TUNAHITAJI KUSAHIHISHA HAYA YA MSINGI KUZIPUNGUZA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 23 March, 2016, 16:58

Nimeziona picha zako Kiwasila. Kwa
kweli tuko mbali. Magufuli anahitaji myaka ishirini kuja
kuwashikisha adabu watu wakaenda na sheria. naikumbuka
makala yangu inayousifu udictator wa Kagame. Na kuwa
tunamhitaji kama huyo hapa Tz.
--------------------------------------------
On Wed, 3/23/16, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] AJALI ZA MAGARI BARABARANI:
TUNAHITAJI KUSAHIHISHA HAYA YA MSINGI KUZIPUNGUZA
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Wednesday, March 23, 2016, 11:45 AM

Ajali zinazidi kuongezeka kutokana na
uzembe wetu. Hata dreva anapokimbisana na mwenzake na
wanapanda mlima kitonga wanajua kuna malori yanashuka yana
mizigo sisi tupo kimya tu. Daladala zinakimbizana kuwahi
abiria-hatukemei na zinaovertake hovyo malori ya
mizigo.  Mwendesha pikipiki amevaa ndala, hana kofia na
anaendesha kasimama wima au kakaa upande
kaegesha-tunamtazama, traffick police
wangewakamata-wasingeendelea. Nasi tunakubali kuendeshwa
nao
hao waliovaa ndala na hawana kofia na huku pikipiki
inapiga
music kwa saudi.

Daladala au bus la abiria linapiga music kwa sauti nasi
tumo
ndani tunanengua! Hata ukipikiwa simu-hakuna kusikilizana.
Dreva anahitaji kusikia warning ya magari mengine-hawezi
kusikia. Makelele ya music anaongeza sauti kila wakati
hata
mkimwambia apunguze. Traffick police wanayaona magari
haya,
wanasikia makelele na abiria tunavumilia tunaogopa
kuwakemea
hawa mazombi wanaosababisha ajali. Matokeo hata akipewa
warning signal nje haoni, hasikii yupo anatingatinga music
sauti juu, concentration haipo kazini ni story na tingo na
abiria rafikize pale mbele wamejaa.

  Jiangalie sana unapoanza kuingia barabara ya
Bagamoyo
ukibaliza Bunju. Kuna malori yanachota mchanga kiwizi huko
yanakwenda mwendo kasi sana sana. Magari ya watu binafsi
yanayotoka bagamoyo huenda mwendo kasi sana utadhania
anawahi ndege airport. Mara unamuona kasimama ghafla
ananunua vitu. Na hiyo barabara ya lamikwenda Chalinze
nayo
wengi watapata madhara. Kuweka matuta sio tija kama akili
na
tabia zetu hazibadiliki na kujali usalama wetu na wa
wenzetu. Gari inaingia kijijini haijali wakatiza njia,
watoto na anaona watoto wa shule anapita kasi. Utaona
wasomi
na magari yao ya hela anaendesha huku anasoma sms ktk
simu,
anatuma ujumbe anaongea na simu. Hata kama umepewa lift
unakosa amani kwani dreva mmiliki gari njia nzima
anaendesha
mkono mmoja na kuangalia simu sio usalama wa barabarani.

Anaendesha gari ya familia na ana familia yake humo-Yupo
mbele yenu anaweka foleni-anasoma sms na kutuma sms. Simu
zimeua ulaya na hapa zinatumaliza. Hujali hata usalama wa
familia yako? Hata umsomeshe vipi mtanzania-issue ni
atabadilika? Kuwa na elimu na kusoma ni jambo moja muhimu.
Muhimu zaidi ni change in behaviour and practices ziwe
sustainable na bila shuruti. Ndio unaona hata polisi,
hakimu, daktari wanachukua rushwa. Kwani hajui kuwa sheria
inakataza? Anajiaminishwa-hatokamatwa. Tunataka elimu
isaidie kuleta mabadiliko. Lakini hili ni tatizo kuu
bongoland  na africa kwa ujumla. Hata viongozi
wanaong'ang'ania madaraka wanajua ubaya wao lakini
wanabadili katiba ili awe Rais milele; anajua ubaya wa
vita-ila anachochea uasi; anajua dhambi na sheria kali ipo
na mila inakataza lakini anambaka mwanae!?!

Bado hiyo misafara ya wakubwa nayo hapa nchini inakwenda
mwendo kazi sana sana. Kwa nini wanafanya hivyo wakati
wana
ulinzi? Kama ni usalama-ndio waingie na kutoka mjini kwa
speed za 200km per hour na wana ulinzi? Tatiozo ni nini?
Ndipo lori la mchanga kerege Bagamoyo likachakaza magari
na
kuua ndugu wetu waliokuwa katika msafara-Mwanasheria,
mhandisi maji, Mchumi, mchumi msaidizi, madreva wawili na
wengineo hoi hospitali-vilema vya kuwatesa maisha. Mungu
awasaidie.

Na bado wengi yatatufika tutakufa au kuwa vilema kama
hatutotenganisha barabara. Malori yapite kwenda na kurudi
njia yake pekee na gari za abiria kubwa na ndogo njia yao
zisiingiliane. Ukiona dreva anapita juu ya reli au pa
kupita
kwa miguu au njia ya kwenda yeye anarudi-nyang'anya gari
hiyo, mshitaki na gari piga bei pesa itumike kuboresha
miundo mbinu. Serikali ikifanya hivyo-itasaidia
kutushikisha
adabu. Maloriya petroli yanaruhusiwaje kusimama barabarani
highway au main road dreva amebeba viripuka kama petroli.
Anakunywa hapo barabarani na kula mama ntilie lori au
tanker
lina petroli. Ikitokea utata dreva aje aligonge-moto
utawaka
na kuua wangapi. Budi kuwe na maeneo ya parking
yanayolindwa
mfano Kibaha, Mlandizi, Chalinze, Mikumi, Iringa,
Makambako
etc ili dreva akale chakula, gari likae pa usalama sio
pale
kwa mama ntilie. Moto wake utakaotokea kama lori au bus
litakuja kuligonga na mafuta yamwagike yashike moto kutoka
mama na baba ndilie anapopika-tutazika ile mbaya (Tazama
kiambata ya ninaloongelea ya tankers za petroli).

Unakuta mtu amepanga biashara njia ya watu kupita kwa
miguu.
Mpaka darajani pa kupita kwa miguu wanapanga biashara-zoa,
uza ndio tutaacha. Kituo cha basi cha kukaa watu amepanga
chakula na soda unapita unakusanya kodi-ni makosa.
Unarasimisha kuvunjwa sheria unapokusanya kodi na biashara
ipo njia ya kupita kwa miguu. Angalia kituo cha bus cha
Mawasiliano. Wamejengewa eneo ya biashara na soko huko
ndani, kuna vyoo pia-hawakai. Wameweka magenge ya chakula,
soda nje kwenye vumbi kali na chakula kipo wazi. Facility
ipo ndani ya kituo wao kuweka biashara-hawataki watalipa
kodi. Vigenge ubungo yote mpaka mawasiliano na biashara
zimejaa njia ya kupita kiusalama waendao kwa miguu.
Magenge
mpaka eneo la Chuo cha Maji na Majengo ya Wizara ya Maji
Ubungo hayapo mbali na Mto Ubungo unaoharibiwa mpaka
mifugo  imefugiwa kando na mto na inamwaga kinyesi
mtoni.

Bado tupo mochwari katika utendaji wetu, hatubadiliki
tabia
zetu sisi wananchi kuisaidia  serikali.Mpaka kuwe na
mfumo wa Social Security Number (SSN) iliyowekwa na alama
za
vidole ktk mfumo wa electronic wa police na NIDA,
uliounganishwa na DNA data Ocean Road ndipo tutakapoweza
kupata ufanisi unapomsimamisha dreva na kumnyang'anya
leseni
leo asipate ingine kwa jina lingine kwani atakosa SSN ya
kujiandikisha upya popote pale. Ukigonga namba yake-utaona
huyu ni fuani na alikwisha kufungiwa maisha. Vitambulisho
vya Taifa vingeondoa utatahuu. Ama sivyo-watapata tu vyeti
bandia na kupata leseni wakiwa ni watu hatarishi.Hata
afugendevu abadili sura-DNA atabadili vipi na SSN mpya
ataipataje kiholela?

Kama Kawa
--------------------------------------------
On Wed, 23/3/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] AJALI ZA MAGARI BARABARANI:
TUNAHITAJI KUSAHIHISHA HAYA YA MSINGI KUZIPUNGUZA
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, 23 March, 2016, 8:31
 
  Elisa;Eneo
  la kwanza mi naona ndio sababu kubwa ya matatizo ya
  ajali.Madereva
  wetu hawajitambui kabisa na hii inasababishwa kwa
kiasi
  kikubwa na wasimamizi wa mfumo wa utoaji
leseni,unajua
  leseni zinauzwa tu kama karanga?
  Pasipo kuzingatia kama unafahamu sheria au la
unaletewa
  leseni mezani/ofisini etc.Ngoma
  ipo sasa huko barabarani,hii inapelekea hata
wahusika
  kushindwa kuwabana mana ni jamaa uliyempa leseni
  mwenyewe,anapaki gari kama mbuni na yupo main
road/highway
  sababu anaingia dukani hapo opposite!!Hata
  magonjwa ya sikuizi hayawezi kupungua mana watu
hatutaki
  kufanya mazoezi hata kiduchu,tunashindwa tu kuingia
nayo
  chooni.
   Reuben
 
 
 
 
    On Tuesday, March 22,
  2016 11:23 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
   
 
 
  Imetokea ajali nyingine Baagamoyo. Imeua
  watendaaji wa wilaya ya Bagamoyo na naibu waziri wa
TAMISEMI
  kuponea chupuchupu.
  Chanzo cha ajali hiyo ni
  mwendo mbovu usiofuata sheria za barabarani wa
madereva
  wawili wa gari ndogo na lori la mchanga.
  Wakati tukiomboleza vilio hivyo vya ndugu zetu
  tunatafakari pia ajali nyingi nyingine zinazoua na
kujeruhi.
  Zinazoacha ulemavu; yatima na wajane na uharibifu wa
  miundombinu.
 
  Kwa muda mrefu
  ajali zimekuwa zinatokea na hatua kadhaa
zinachukuliwa.
  Hatua hizo ni pamoja na kujenga matuta barabarani;
Kuongeza
  viwango vya fine za barabarani; kuongeza vituo vya
ukaguzi
  wa askari barabarani; kuongeza vifaa vya kudhibiti
mwendo
  kama tochi za askari vinavyomulika na kubaini mwendo.
Kwa
  madereva wetu kuongeza ujanja askari wetu sasa
wanaweza
  kujificha na kumulika tochi hizo kwa kushtukiza.
Bado
ajali
  zinatokea. Ukiziangalia njia zote nilizozitaja za
kudhibiti
  ajali tunaweza kuziita ''symptomatic control
  measures'', yaani zinatibu dalili lakini
hazidhibiti
  vyanzo vya sababu za ajali.
 
  Yapo mambo mengi ya msingi yanayohitaji
  kufanyika na yanaweza kupunguza ajali hizi. Hapa
nitajadili
  mambo muhimu matatu na nayaona ni ya msingi katika
kudhibiti
  ajali hizi:
 
  Upatikanaji wa
  madreva:
  Inafahamika kuwa siku ya mtihani wa
  darasa la saba au Form four nchi yote hutaharuki.
Usalama
  wataifa; Polisi, na idara nyingi hushiriki. Madaktari
wetu
  wanapofanya mitihani watahini hutoka hospitali mbali
mbali
  kuja kuunda timu za kutahini waganga na madaktari
wetu.
  Wengine tunawaita 'External examiners' na
wengine
  'internal Examiners'. Mambo huwa hivyo ili
kuhaskikisha
  kama ni mganga, nesi au daktari anatahiniwa na
kujiridhisha
  kuwa amefaulu. Sijui walimu, mabwana shamba
hutahiniwaje
  lakini kuna taratibu zake. Lakini hata sifa za
kuchukua
  masomo hayo kuna mifumo yake.
 
  1)      Madereva wetu hupatikana kiholela.
 
  Wakati hayo yakiwa hivyo kwa taaluma hizo
  sivyo ilivyo kwa madreva wanaosababisha vifo na
ulemavu
  mwingi. Tanzania hatuna mfumo sahihi na rasmi
unaotusaidia
  kuwapata madreva. Wengi wamepata uzoefu walipokuwa
mautingo.
  Wengine huenda vyuo vya udreva na kununua cheti cha
udreva
  na baadaye kujifunza baada ya kuajiliwa. Mimi ni
dereva.
  Majuzi niliendeshwa na dreva mmoja ambaye naamini
elimu
yake
  ni darasa la saba au chini. Niligundua kuwa kama
tunataka
  kuwa na madreva ni lazima dreva awe amemaliza kidato
cha
nne
  na masomo muhimu ambayo lazima awe amefaulu ni
Physics na
  Hesabu.
  Katika mtaala wa madreva, wasomeshwe
  mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja ni mahesabu ya
speed na
  muda. Mfano speed ya gari unalotaka kulipita na muda
  utakaotumia kwa kuliangalia gari lililo mbele yako
linaweza
  kuwa limefikia wapi kwa speed ya magari matatu hayo
(lako,
  unalolipita na linalokuja mbele yako). Impaction
inayoweza
  kutokea magari yanapogongana yakiwa katika speed
fulani.
  Madreva wetu hasa wanaoajiliwa lazima waende vyuoni
na
  utahini wao usisimamiwe na wenye vyuo. Kama ilivyo
kwa
  taaluma nilizozitaja na madreva iwe taaluma
inayoheshimika
  na upatikanaji wake usiwe wa kuokotwa. Twaweza
kuweka
nafuu
  kwa dreva anayeendesha gari lake binafsi kwa sababu
kwa
  kawaida mwenye gari huwa makini kuliko anayeendesha
la
  mwingine.
 
 
  2)    Adhabu za makosa ya barabarani:
  Eneo la pili linalosababisha ajali ni kuhusu
  adhabu za makosa ya barabarani. Mtu ukipewa swali
uchague
  jibu likiuliza: Adhabu zinazotolewa kwa makosa
barabarani
  Tanzania zinalenga nini: (A) Kupunguza ajali
barabarani
(B)
  Kukusanya mapato ya serikali. Jibu sahihi ni (B). Si
muujiza
  kusikia RTO au RPC akitoa taarifa kuwa mwezi huu
Polisi
  wamekusanya bilioni kadhaa kwa makosa ya barabarani
na
  anasema hilo kama sehemu ya mafanikio.
  Adhabu hutolewa kwa wakosaji. Kwa hiyo kwa
  taarifa hiyo Polisi wanakuwa wanashangilia makosa na
kutaka
  yaendelee ili mapato zaidi yakusanywe. Huu ni ujinga
  tunaostahili kuutoka. Kwa sababu madreva wetu
hawakwenda
  shule tunahitaji kubadili mfumo wa kudhibito makosa
ya
  barabarani.
 
  Mfano makosa
  yatokanayo na dreva kutojua au uzembe, adhabu sahihi
ni
  dreva kumsimamishia liseni akaenda chuoni kwa wiki
kadhaa
  kujifunza sheria aliyoivunja. Hii itasaidia kama
dreva
  anafanya kwa kutojua basi akishajifunza hatarudia na
kama
ni
  uzembe atakuwa mwangalifu ili liseni yake
isizuiliwe.
Makosa
  kama yalioua maafisa wetu ya dreva kupita gari
katika
  mazingira mabovu, Kutotii king'ora cha ambulance,
  kutofunga mkanda, kwenda speed iliyozidi nk
yatadhibitiwa
  kwa njia hiyo bila fine.
 
  Kwa makosa ya ubovu wa magari dreva ataagizwa
  kusimamisha gari hadi litengenezwe au anaweza kupewa
  masharti ya speed hadi gari lifike liendako na
likifika
  lipelekwe gereji. Mfano gari lililoishiwa tyres, Taa
  kutowaka, bodi iliyochakaa nk Utaratibu huu
utapunguza
sana
  mapato ya serikali yatokanayo na ujinga au umaskini
wa
wenye
  magari na madreva.
 
  3)   
  Tabia ya Polisi barabarani:
  Hili ni eneo la
  tatu ninaloliona linasababisha maafa makubwa
barabarani.
  Polisi kuliachia gari bovu likaenda kwa sababu ama ni
la
  serikali, Rafiki yake au la mkubwa Fulani ni jambo
la
  kawaida. Trafiki kulikamata gari lisilo na kosa na
kuanza
  kutafuta ''kosa lolote' na huku magari mabovu
au
yenye
  makosa-hatarishi yanapita ni kawaida. Hili ni eneo
muhimu
  kusahihisha ili kudhibiti ajali barabarani
 
  Maeneo hayo matatu yakifanyiwa
  masahihisho tunaweza kupunguza ajali barabarani kwa
kiasi
  kikubwa.
 
  Elisa Muhingo
  0767187507
    --
   
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
     
   
 
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
   
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
      Utapata Email ya kudhibitisha
  ukishatuma
   
     
   
    Disclaimer:
   
    Everyone posting to
  this Forum bears the sole
   
  responsibility
    for any legal
  consequences of his or her postings,
  and
    hence
    statements and
  facts must be presented responsibly.
 
  Your
    continued membership signifies that
  you agree to
  this
   
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
    Guidelines.
   
    ---
   
 
    You received this message because you are
subscribed
  to
    the
   
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
   
    To unsubscribe from this group and
  stop receiving
  emails
   
  from it, send an email to
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
   
    For more options,
  visit
   
  https://groups.google.com/d/optout.
   
   
   
   
 
   
    --
   
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
     
   
 
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
   
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
      Utapata Email ya kudhibitisha
  ukishatuma
   
     
   
    Disclaimer:
   
    Everyone posting to
  this Forum bears the sole
   
  responsibility
    for any legal
  consequences of his or her postings,
  and
    hence
    statements and
  facts must be presented responsibly.
 
  Your
    continued membership signifies that
  you agree to
  this
   
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
    Guidelines.
   
    ---
   
 
    You received this message because you are
subscribed
  to
    the
   
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
   
    To unsubscribe from this group and
  stop receiving
  emails
   
  from it, send an email to
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
   
    For more options,
  visit
   
  https://groups.google.com/d/optout.
   
   
   
   
 
   
   
 
    --
   
    Send Emails
  to wanabidii@googlegroups.com
   
     
   
 
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
   
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email
    ya
    kudhibitisha ukishatuma
   
 
     
   
    Disclaimer:
   
    Everyone posting to this Forum bears the
  sole
    responsibility
   
  for any legal consequences of his or her postings,
  and
    hence
 
    statements and facts must be presented
responsibly.
  Your
    continued membership
  signifies that you agree to
  this
    disclaimer and pledge to abide by our Rules
  and
    Guidelines.
   
    ---
   
 
    You received this message because you are
subscribed
  to
    the
   
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
   
    To unsubscribe from this group and
  stop receiving
  emails
   
  from it, send an email to
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
   
    For more options,
  visit
   
  https://groups.google.com/d/optout.
   
    --
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
    Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email
    ya
  kudhibitisha ukishatuma
   
    Disclaimer:
    Everyone
  posting to this Forum bears the sole
 
  responsibility
    for any legal consequences
  of his or her postings, and
  hence
    statements and facts must be presented
  responsibly. Your
    continued membership
  signifies that you agree to this
   
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
    ---
    You received this message because you are
  subscribed to
  the
    Google
  Groups "Wanabidii" group.
    To
  unsubscribe from this group and stop receiving
emails
    from it, send an email to
   
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
    For more options, visit
 
  https://groups.google.com/d/optout.
   
   
   
   
    --
   
   
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
     
   
 
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
   
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
   
  kudhibitisha ukishatuma
   
     
   
   
  Disclaimer:
   
    Everyone
  posting to this Forum bears the sole
 
  responsibility
    for any legal consequences
  of his or her postings, and
  hence
    statements and facts must be presented
  responsibly. Your
    continued membership
  signifies that you agree to this
   
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
   
    ---
   
   
  You received this message because you are subscribed
to
  the
    Google Groups
  "Wanabidii" group.
   
    To unsubscribe from this group and stop
  receiving emails
    from it, send an email
  to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
   
    For more options,
  visit
 
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
  for any legal consequences
  of his or her postings, and hence
 
  statements and facts must be presented responsibly.
Your
  continued membership signifies that you agree
  to this
  disclaimer and pledge to abide by
  our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
  subscribed to the
  Google Groups
  "Wanabidii" group.
  To unsubscribe
  from this group and stop receiving emails
 
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
 
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
  Everyone posting to
  this Forum bears the sole responsibility for any
legal
  consequences of his or her postings, and hence
statements
  and facts must be presented responsibly. Your
continued
  membership signifies that you agree to this
disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message
  because you are subscribed to the Google Groups
  "Wanabidii" group.
  To unsubscribe
  from this group and stop receiving emails from it,
send an
  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
     
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
  statements and facts must be presented responsibly.
Your
  continued membership signifies that you agree to
this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed
to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment