Kwani hotuba si ilitawanywa kila mtu mwenye kutaka kuijua na kuichambua akaiona. Suala la kwamba UKAWA hawaijui hotuba si sahihi.
On Tuesday, 26 January 2016, 10:00, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Leo bunge la jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni;
Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya raisi.
Maswali;
Je wanajadili wanalolijua?
Je wanamtambua John Pombe Magufuli?
Je nini sababu ya kutoka nje?
Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya raisi.
Maswali;
Je wanajadili wanalolijua?
Je wanamtambua John Pombe Magufuli?
Je nini sababu ya kutoka nje?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment