Serikali ipunguze matumizi ya bunge ikiwa pamoja na posho iliyo nje ya mshahara. Na pia siku wakivunja kikao kwa ibishi wasilipwe posho
Sent from Yahoo Mail on Android
From:"'herirashid' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date:Sat, Jan 30, 2016 at 15:19 Subject:Re: [wanabidii] Re: Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?
Ndio tujue tulichagua watu au viazi!
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message -------- From: 'Charles Nazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Date: 30/01/2016 14:38 (GMT+03:00) To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com, kofiabaya@yahoo.com Subject: [wanabidii] Re: Kwanini wabunge wanagombana sababu ya live coverage ya bunge kwani ndo kitu walichotumwa na wananch?
Naomba hawa waheshimiwa wachangie jinsi gani watasaidia TBC kupata pesa za kuruisha vipindi siyo kulalamika tu. Pia watumie vipindi vya bunge vizuri sisi wananchi tunakereka na mambo wanayofanya Bungeni hata wakionekana live wanatuonyesha mipasho naq zomea zomea badala ya hoja haya siyo matumizi mazuri ya hela zetu sisi walipa kodi hatukuwachagua kwenda kufanya mambo hayo. On Wednesday, January 27, 2016 at 9:20:32 PM UTC+3, mpombe mtalika wrote: Nimeshangaa kuona wabunge wanapoteza muda kujadili hili swala. Kwa wananchi wa kawaida hii siyo issue muhimu. Kama serikali imesema inataka kubana matumizi nilidhani waheshimiwa wabunge wangeunga mkono. Wengine watasema ni haki ya wananchi kufuatilia mijadala na mimi naungana nao lakini je serikali si imesema TBC watarecord na kutuonyesha baadae? Kwanini wabunge wapigane? Ama kuna agenda za siri ambazo wengine hatuzijui? Mimi ni mtanzania ninayefuatilia mabunge mengine hasa ya nchi zilizoendelea kama Uk. Wenzetu wana live coverage ya nusu saa mara moja kwa wiki na ni siku ya jumatano kuanzia saa sita mpaka saa sita na nusu. Na hii ni siku maalum ambapo Waziri mkuu anapata kipindi kinaitwa PRIME MINISTE'S QUESTION. Zaidi ya hapo labda kuwe na suala muhimu na dharula na hii ni nchi tajiri ambayo wananchi wanalipishwa kitu kinaitwa TV LICENCE. Ambao kimantiki wakiwa na mawazo kama yetu wanahaki zaidi ya kudai kuona kila kitu live maana wana ifund tv yao siyo sisi tunalipa in direct. Cha msingi wabunge wangeisukuma serikali ikusanye mapato zaidi na hata waishauri ianze kulipisha kila mtu mwenye tv awe na leseni. Hapo kuwe na kitu kinaitwa channel ya bunge kama uk bbc parliament. Zaidi ya hapo sioni kama serikali imekosea na tujue RAIS KASEMA AWAMU YAKE NI YA KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI KAMA TUMESHANGILIA MAWAZIRI KUNYIMWA SAFARI ZA NJE TUSHANGILIE NA SISI KUNYIMWA LIVE COVERAGE YA BUNGE.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. | |
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment