Saturday 30 January 2016

Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

Kafanya nini mnyika? Maji visima vya boreholes ni vya Dawasa/Dawasco Kibangu na kuna Water User Association (WUA). EPZ -viwanda eneo la uwekezaji ni ya Serikali ya CCM-TZ; Mabweni ya branch ya UDSM wanafunzi wanakaa huko Ubungo Kisiwani ni serikali ya CCM. Huko wananchi wanawauzia chakula, kuwapangisha wengine biashara imepanuka toka wanafunzi awwe huko na wanakodiwa daladala biashara imekua. Campus hiyo na EPZ area imefanya watu wajenge majumba ya kupangisha, mahoteli, lodges yamejengwa za magorofa. Wageni wa EPZ wanakaa huko.

Mji unabadilika watu wanauza maeneo wengine wanajenga maghorofa wao wanahamia kando ya mto na kuziba barabara haipitiki. Nyumba 10 kwa mwanga zinaingia/kupasuka kuta na kuanguka mtoni. Wamehamishwa Buguruni suatter area wamepimuwa plots medium density Ubungo makuburi. Nyumba za NHC za Mburahati wameuziwa na wameuza wamevamia mabwawa ya kinyesi ya mambiko kama wale walioboreshewa kinondoni Mkwajuni (Hannanasif) wakahamia Sunna (jagwani bondeni) wakapelekwa Mabwepande wakauza wakarudi. Maji yakijaa wanayaona mpaka darini. halafu hawaelewi hatari wanaendelea kuishi. Wakibomolewa-noma, kesi mahakamani. lakini tyoka Mkoloni mabonde hayakujengwa wala NHC zilipojengwa magomeni, Jangwani, Kariakoo, Kigogo Mission Quarters hazikushuka mto msimbazi. Hata walipojenga majengo ya RC Msimbazi hayakuingia mtoni wala za Mchkichini kuingia bondeni Yanga area. Wao wameuza halafu wapo bondeni na hapo Fire DSM wapo wanavuka mtu wanajenga nyumba wamezungukwa na maji ya kinyesi. Wanafanya hivyo hapo fire kushoto ukitoka mataa kuingia jangwani serikali na viongozi wanaona karne yote. Nini huko ubongo-DSM yote.

Miradi ya Mipango miji ya kupima viwanja Ramani zipo mpaka Aerial Photos na physical Photos. Sasa fika Sinza uone kama zile barabara zipo-wameziba wameweka viosk, gates za nyumba na magari. Moto ukiwaka zima moto haina pa kupita. Mji wa DSM kote kulikopimwa kupo makorokoro. Wanajua wabomoe-hawabomoi wanaangalia tu. Likiingia Sinza Tinga Tinga-makelele.

Jangwani karibu na Ofisi za Zima moto, Upanga, Mnazi mmoja-Mtu anaamua tu nyumba ya Msajiri/NHC anaweka kuta anaweka gate na kuweka yard ya magari. anaongeza kuta anaweza paa na kujaza bidhaa! Eti umempangisha mtu nyumba yako unamkuta amebadili design ya nyumba na kuongeza vyumba humuulizi? NHC inaona nyumba zimebadilishwa design hizo za maghorofa wapangaji wamefanya hivyo. watoto hawana pa kucheza michezo yao kote ni yard za gari, maduka ya matairi, restaurants, Stationeries shops ertc-WHY? Maana yake hata maeneo ya nyumba za police kuweka bar ndio tija ofisi ipate pesa! Baa jirani na Kituo cha Police Mtaji wa kituo hicho? Uvamizi si utatokea kwa urahisi? Ni ni hayo majumba ya police kaone pale Ubungo/Urafiki-magodoro, maguo yananing'inoa hovyo juu ukutani, maduka ya biashara kuongeza kipato waliyoweka wakazi-hata nyumba za police? Si wabaya watatumia nafasi hiyo kuja kuripua anakuja kunywa au kununua bidhaa analewa mpaka usiku wa manane anasoma picha hapo! Tunaona vinavyoendelea lakini tu vipofu-tamaa na Siasa zimetawala!

Vilivyofanywa na serikali vilivyo vizuri na vya maendeleo tuvisifie sio lawama tu. Kama kuna EPZ, Viwanda -NIDA, magodown ya bandari kavu etc jimboni; kuwepo barabara mpya Buguruni-Ubungo-Mwenge pana ya pande mbili na haikuwepo zamani; barabara ya Mwenge-Tegeta-Kawe;Kimara-Mbezi na Bus Stations mpya; Jengo na kituo cha mawasiliano na other GVT Institutions na UDSM inayozidi kukua na kupanuka majengo mpaka Changanyikeni-Makongo kutanukia Msewe yanaonekana; Mlimani City under UDSM na Investors (PPP) haikuwepo zamani watu wakikabwa na wanafunzi kubakwa wakikatiza hapo kutoka Sinza kwenda mlimani primary school. Sasa kuna mpaka houses za kupangisha kwa $ hapo survey; Maduka ya kununua kila aina ya kitu Mlimani City, Banks nyingi, Maduka ya Dawa, Nyumba za Cinema, Hall mikutano na Sherehe nyinginezo, michezo ya watoto mlimani city, vituo vya mabasi-Hii yote UKAWA hawaioni kama ni maendeleo na vijana wao wamejaa hapo kutwa Samaki Samaki wanalamba pombe na vitafunwa na kumaliza fedha za mikopo za GVT katika vileo na kuusaka Ukimwi. Kaleta Mnyika vyote hivi au ni ktk Plan za Serikali ya JK na sasa ya JP?

Majumba ya Ghorofa ya JWTZ Mwenge Makongo na maduka ya kuwauzia vifaa nasi tunakwenda kununua mafriji hapo. Bado hayo matrekta hapo Mwenge na barabara poa ambapo ukitoka Mwenge Kwenda kwa Mdee unapita barabara safi. Ukitupa chupa tupu au ganda la ndizi kutoka ndani ya daladala-mtashushwa wote msote mloweshe chupi zetu kwa haja zitakazowatoka mpaka apatikane aliyerusha afyeke majani na kumwagia miche maji. Mtafagia na kubebeshwa mpaka mizoga ya mbwa waliokufa kwa kugongwa na gari. Barabara safi pamoja na open water drainage system yake hakuna viroba vya takataka. Katiza njia na gari au bajaji, bodaboda usimamishwe na uambiwe ukanyage eksereta yako mpaka mafuta yaishe uunguze engine! Kisha umwagie maji miche yote na udeki barabara kwa shati lako!

Nidhamu kujengwa TZ-wape JWTZ ndio wataweza. Tukiachiwa hivi hivi-tutarudi nyuma miaka 40 kwani hata hii Kazi ya usafi tunafagia leo kesho tunatupa humo humo tena na mafuriko yanatuathiri kama kawa lakini hatuoni wala kubadilika!

Leo mabarabara ya lami raha tupu kuanzia Ubungo Mawasiliano hadi Mlalakua, Mwenge ni vileo/Bar magari juu ya njia za kupita kwa miguu watu wanalewa kutwa mpaka manane kutokana na barabara pande 2 kuwa za lami na Plots za Sinza (surveyed area) watu wanauza majumba yao maghorofa yanasimama. Kungekuwa hakuna barabara ya lami na maendeleo hayo huko kukiitwa Sinza Machinjioni (Urafiki-Sinza makaburini) na Sinza ya Petrol Station (ya Mlimani City) tungeona maghorofa hayo mapya kwa sasa? NBC Ubungo na Ubungo Plaza violikuwepo na kituo cha mabasi ya kwenda bara si kilikuwa mbananoni Mnazi mmoja/Liya Street? Laumuni lakini serikali na uongozi wa Chama tawala cha CCM wamefanyakazi!!

Waacheni akina Mnyika na T.Lissu wabebe vitabu vya sheria wakabwate tu Bungeni. Ipo siku wananchi watachoka na wao kuingia na kutoka kwa vurugu-watafanya kitu cha hasira ktk kuwaelimisha kuwa-tumechoka!! Twataka maendeleo sio kuzozana tu bungeni na kutoka nje daima kususia majadiliano au vikao!! Kuwe na uwezekano wa kutofautisha wale wa kubwata vijiweni na wa kubwata bungeni ambako bunge ni chombo cha kutunga sheria, kupitisha mipango na kuisimamia serikali.

Kama Kawa


--------------------------------------------
On Thu, 28/1/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 28 January, 2016, 15:03

Burudani za
watanzania bwana. Hao wanaoishi eneo lile kelele nyingi
wangapi wamelipa kodi halali ya jengo na aridhi kwanza.

Hivi kama hamlipi kodi mbali mbali serikali itawaleteaje
maendeleo?

Ifike mahala tuwe na kodi halisi hizi za sasa viini macho na
zinaumiza mwananchi na hazijulikani ziendako.

Halafu mmejenga barabarani mkivunjiwa mnataka malipo. Je
mlipojenga mlipata vibali?
On Jan 28, 2016 04:30,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kati ya
abunge wazuri wqanaofanya kazi zao hapa Tanzania mmojawao ni
Mnyika. Kjazi za mbunge ni kuisimamia serikali ifanye hayo
ambayo sasa tunamdai Mnyika. Tumfuatilie kama kweli
haisimamii serikali. Tunajua wote alivyoshupalia swala la
maji. Nidyo kazi yake haswa.

--------------------------------------------

On Tue, 1/26/16, 'mohamed mnzava' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote,
watendaji wote lakini barabara hazipitiki

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Tuesday, January 26, 2016, 10:50 AM



 Tatizo la

 huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua masuala
ya

 Kimsingi kt jimbo lake, . . . . .  hata Upande huu wa
Mbezi

 kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko  . .
.

 . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya
biashara

 binafsi nk. . . . . .  Kama kawaida yake, tutamuona
tena

 baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna uchaguzi

 unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . .
mimi

 sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa
anawajibika

 kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote







    On Tuesday, January

 26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via
Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:









 Mim ni

 mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana
jinsi

 barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja

 anaiangalia.

 Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.

 Haipitiki kabisa.

 Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala
Mbezi

 Mwisho

 kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa
zaidi

 ya masaa 3

 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana
na

 ubovu wa

 barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida
sana.

 Maji

 tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa
lita

 1000 sh. 15

  hadi elfu 20.

 Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni

 jimboni



 Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.



 Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo

 tayari kuchangia.



 Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.



 Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.



 Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni

 jipu.

  Rudi

 jimboni saidia wananchi

 jf









 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment