Sunday 31 January 2016

Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

Hapa tutaongea sana ila ukweli unabaki pale pale. Mtanzania wa kawaida hajui mbunge na Diwani ni nani.
Ukisoma mjadala huu linajitokeza kwa uwazi kabisa.
Makosa mengi yamefanyika either makusudi au kwa kutojua matokeo miji yetu imekuwa na maendeleo yasiyompamgilio cha kusikitisha hatuna mahala tunasema sasa inatosha.
Unapompimia mtu kiwanja sizani umemsaidia.
Uzoefu unaonyesha failure ya plan ya sinza kuondoa makazi holela Tandale na manzese viwanja viliishia mikononi mwa watu toka oyster Bay, Masaki,mikocheni...
Tumeendelea kufanya makosa yale yale. Mtu anaamka kesho kajenga ukuta kama wa magereza kamega kipande cha barabara ya mtaa na jirani anafanya hivyo bada muda inabaki kuwa njia ya miguu magari tunapaki yard za CCM.
Kuna matatizo mengi toka kwa mtanzania mdai maendeleo. Mengi ni kutokujua haki zao ni zipi na wajibu wao ni upi bahati mbaya watu wenye uelewa tunajitahidi kujitoa fahamu

On Jan 31, 2016 06:34, "isack mchungu" <isackmn1965@gmail.com> wrote:

Ccm lazima ifanye yoote hayo kwa sababu ndo ina serikari inayaokusanya kodi kutoka kwa wananchi mnyika na tundu lissu mliwaona wapi wanakusanya kodi? Acheni ushabiki wenu  nendeni shule mkajifunze kazi za mbunge! Na mkumbuke hayo yoote mnayosema ccm haikutoa pesa kwenye miradi yake ili kuvifanya ni kodi za  watanzania

On Jan 31, 2016 8:21 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Diwani na Mbunge wao kinachotakiwa kwao ni mazungumzo na wapiga kura wao, kuwaelimisha kuhusu majukumu yao na kuzingatia sheria. Diwani anatakiwa awepo kila mtaa au kijiji wanapopanga mippango yao ya maendeleo ba vikosi vya wataalamu ili yakatadiliwe Kata katika WDC halafu yajumuishwe kitarafa yaende wilayani yajadiliwe katika Idara na Full Council. Mp yupo ktk Full Council wanapojadili na kupitisha mipango iende vikao vya juu kimkoa hadi Wizara etc. MP anapewa na mkopo wa gari ambapo anatakiwa alitumie ktk kushiriki kuhamasisha maendeleo vijijini/Mtaa. Hawa waheshimiwa wanatakiwa wasaidie watumishi wa ugani ktk kazi zao. Kwamba ataambatana nao ili kisichoeleweka kieleweke. Mtumisghi ugani hasa vijijini anaweza akaonekana-si wa kabila letu hivi na vile lakini yeye akanyoosha njia kuona kuwa hawaonewi ndio sera na sheria hakuna ukabila hapo wakamuamini. watu wanalewa kutwa hakuna maendeleo-Duiwani wao atawapasha na pia mbunge wajirekebishe. Atafafanua sera ya Elimu bure wasione kuwa dezo ni kila kitu walimu na extension staff vibaka tu wanawaambia wajitolee hapa au pale. Team work inahitajika wao na extension staff ili yanayopangwa yafanikiwe. Akipita Mtaani na kiongozi wa Mtaa aiogope kukemea waliojenga hovyo. Anampa uzito kiongozi wa mtaa na Land's Officer katika kuwaonya wanavyoziba njia na kuvamia maeneo. Hakitoonekana uonevu tingatinga linapoingia kuvunja maana nae kawasemesha karne. Badala ya Mbunge kutetea ufunguzi wa kesi Mahakamani awe mstari wa mbele kuwakumbusha wananchi wake daima waliovamia na kujenga maeneo hatarishi wahame. Wale ambao wamewekewa X kuanzia 1994-awaonye daima na aseme siwatetei, milishalipwa, hamjabomoa hakutokuwa na msaada wa kisheria kutoka kwangu hata kama mtanyinyima kura! Watetee, waendelee kukaa, mvua ije na maji iwazoe wafe-utawafufua? Utawalipa fidia wewe unae watetea? Badala ya kusubiri kura tu-anza sasa sio wakati wa kukaribia uchaguzi. Sote tuwajibike kwa waannchi wetu na mcheza kwao vema-hutunzwa!! Kura utapata tu kwa kutetea na kufanikisha mazuri. Ukitetea uovu wa madhara-mjinga  huwa anaamka na akiamka utalala wewe!! Watakuona fara, umewaingiza katika utata kwa kuwaendekeza na ujinga wao. Amsha aliyelala aone chanya yaliyopo ama sivyo itakula kwako mbele ya safari atakapoamshwa na wengine.

--------------------------------------------
On Sun, 31/1/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
 To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
 Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
 Date: Sunday, 31 January, 2016, 5:04

 Mnyika
 tunategemea alete maendeleo gani kwanza. Hili baraza la
 madiwani si ndo limekamilika?

 Kuna mengi hayakufanywa tangu nchi ipate uhuru akiweza hata
 kuonyesha njia ipi ifuatwe katika kuelekea kutatua matatizo
 ya wananchi itakuwa bora. Wakati huo huo aendelee kusimamia
 serikali bungeni.

 Humu Kuna watu Wana fahamu mambo mengi ya jamii, siasa na
 uchumi. Wakati mwingine ndugu zangu viongozi wanasiasa si
 mbaya mkabeba ushauri haitaondoa status ya wewe ni nani.

 Kuna huu ujenzi holela wa viosk nalo ni kosa la mbunge?!

 Kuna vitu serikali kuwajibika na vingine mwananchi. Pande
 zote mbili muhimu kutimiza wajibu
 On Jan 30, 2016 06:55,
 "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 Angeongea na wananchi waliovamia mabwawa ya maji machafu
 mabibo akawaondoa, waliojenga Kibangu mtoni na Ubungo
 kisiwani mtoni wakaondoka na wanaoziba njia ya bus za
 kupanda huko juu njia zote wamebana kwa kujenda barabarani
 tungejua diwani na Mbunge wake wanafanya kazi ya promotion
 of community dialogue, education and mobilization waondoke
 maeneo hatarishi, wasibane njia ambapo magari yanaweza
 kugongana na yakaingia ndani ya majumba kupiga kuta
 zikaangukia watu. Pia suala la kila baada ya nyumba 3 kuna
 bar na unywaji mpaka usiku wa manane na makelele kusubua
 watoto. watu wamejenga makorongoni na huku kuna vilima na
 kona na magati ya kupita ni ukazi hatarishi. hata mabomba ya
 maji ya mradi wa kupitisha bomba waliofanya Wachina
 (wakandarasi) ilikuwa tabu kupitisha bomba hizo na sidhani
 kama zinatoa maji maeneo mengi kutokana na utata wa gradient
 na kupata nafasi ya kunyooshea. Kazi za Diwani na Mbunge
 zitaonekana hapo Mto ubungo darajani ni Chuo cha Maji kuna
 takataka zinajazwa mtoni. Pamoja na GVt kujenga mawe ya
 kuzuia mmomonyoko, mfuga ng'ombe hapo anatupa nyasi
 mtoni anajaza taka na uchafu wa kinyesi-Dengue na sasa Zika
 mbu huyo huyo Aedes anasababisha magonjwa hayo (ni Vector).
 Biashara zimejaa njia za kupita kwa miguu na mto unachimbwa
 mchanga unamomonyolewa. Hizi grassroots work ni za hao vikao
 na wananchi wao elimisha tumia watumishi ugani tuone
 wameondoka kukaa katika maeneo hatarishi. Kinyesi uwani na
 watoto wanateseka na pombe kucha-elephantiasis, dengue,
 Zika. magari kupaki njia za miguu wenyewe wanakunywa pombe
 wapitaji tunateseka tunapishana na daladala, bajaji,
 pikipiki zinatukwangua!! Hatujawaona kuwajibika bali kelele
 tu bungeni na lawama kwa GVT!!

 --------------------------------------------

 On Sat, 30/1/16, Salim Khatri <skhatri@orcis.com>
 wrote:

  Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa
 Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

  To: Wanazuoni@yahoogroups.com

  Cc: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Saturday, 30 January, 2016, 14:14

  Mazuri

  kwenye hilo jimbo yamefanywa na serikali ya CCM na
 mabaya

  yaliyobaki alaumiwe Mnyika na madiwani wake? Sielewi

  kabisa!

  Salim.

  On Jan 30, 2016 13:36,

  "Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk

  [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>

  wrote:

  Kafanya nini mnyika? Maji visima vya boreholes ni  vya

  Dawasa/Dawasco Kibangu na kuna Water User Association
 (WUA).

  EPZ -viwanda eneo la uwekezaji ni ya Serikali ya
 CCM-TZ;

  Mabweni ya branch ya UDSM wanafunzi wanakaa huko Ubungo

  Kisiwani ni serikali ya CCM. Huko wananchi wanawauzia

  chakula, kuwapangisha wengine biashara imepanuka toka

  wanafunzi awwe huko na wanakodiwa daladala biashara
 imekua.

  Campus hiyo na EPZ area  imefanya watu wajenge majumba
 ya

  kupangisha, mahoteli, lodges yamejengwa za magorofa.
 Wageni

  wa EPZ wanakaa huko.

  Mji unabadilika watu wanauza maeneo wengine wanajenga

  maghorofa wao wanahamia kando ya mto na kuziba barabara

  haipitiki. Nyumba 10 kwa mwanga zinaingia/kupasuka kuta
 na

  kuanguka mtoni. Wamehamishwa Buguruni suatter area

  wamepimuwa plots medium density Ubungo makuburi. Nyumba
 za

  NHC za Mburahati wameuziwa na wameuza wamevamia mabwawa
 ya

  kinyesi ya mambiko kama wale walioboreshewa kinondoni

  Mkwajuni (Hannanasif) wakahamia Sunna (jagwani bondeni)

  wakapelekwa Mabwepande wakauza wakarudi. Maji yakijaa

  wanayaona mpaka darini. halafu hawaelewi hatari
 wanaendelea

  kuishi. Wakibomolewa-noma, kesi mahakamani. lakini
 tyoka

  Mkoloni  mabonde hayakujengwa wala NHC zilipojengwa

  magomeni, Jangwani, Kariakoo, Kigogo Mission Quarters

  hazikushuka mto msimbazi. Hata walipojenga majengo ya
 RC

  Msimbazi hayakuingia mtoni wala za Mchkichini kuingia

  bondeni Yanga area. Wao wameuza halafu wapo bondeni na
 hapo

  Fire DSM wapo wanavuka mtu wanajenga nyumba wamezungukwa
 na

  maji ya kinyesi. Wanafanya hivyo hapo fire kushoto
 ukitoka

  mataa kuingia jangwani serikali na viongozi wanaona
 karne

  yote. Nini huko ubongo-DSM yote.

  Miradi ya Mipango miji ya kupima viwanja Ramani zipo
 mpaka

  Aerial Photos na physical Photos. Sasa fika Sinza uone
 kama

  zile barabara zipo-wameziba wameweka viosk, gates za
 nyumba

  na magari. Moto ukiwaka zima moto haina pa kupita. Mji
 wa

  DSM kote kulikopimwa kupo makorokoro. Wanajua

  wabomoe-hawabomoi  wanaangalia tu. Likiingia Sinza
 Tinga

  Tinga-makelele.

  Jangwani karibu na Ofisi za Zima moto, Upanga, Mnazi

  mmoja-Mtu anaamua tu nyumba ya Msajiri/NHC anaweka kuta

  anaweka gate na kuweka yard ya magari. anaongeza kuta

  anaweza paa na kujaza bidhaa! Eti umempangisha mtu
 nyumba

  yako unamkuta amebadili design ya nyumba na kuongeza
 vyumba

  humuulizi? NHC inaona nyumba zimebadilishwa design hizo
 za

  maghorofa wapangaji wamefanya hivyo. watoto hawana pa

  kucheza michezo yao kote ni yard za gari, maduka ya
 matairi,

  restaurants, Stationeries shops ertc-WHY? Maana yake
 hata

  maeneo ya nyumba za police kuweka bar ndio tija ofisi
 ipate

  pesa! Baa jirani  na Kituo cha Police Mtaji wa kituo
 hicho?

  Uvamizi si utatokea kwa urahisi? Ni ni hayo majumba ya

  police kaone pale Ubungo/Urafiki-magodoro, maguo

  yananing'inoa hovyo juu ukutani, maduka ya biashara

  kuongeza kipato waliyoweka wakazi-hata nyumba za police?
 Si

  wabaya watatumia nafasi hiyo kuja kuripua anakuja kunywa
 au

  kununua bidhaa analewa mpaka usiku wa manane anasoma
 picha

  hapo! Tunaona vinavyoendelea lakini tu vipofu-tamaa na
 Siasa

  zimetawala!

  Vilivyofanywa na serikali vilivyo vizuri na vya
 maendeleo

  tuvisifie sio lawama tu. Kama kuna EPZ, Viwanda -NIDA,

  magodown ya bandari kavu etc jimboni;  kuwepo barabara
 mpya

  Buguruni-Ubungo-Mwenge  pana ya pande mbili na
 haikuwepo

  zamani; barabara ya Mwenge-Tegeta-Kawe;Kimara-Mbezi na
 Bus

  Stations mpya; Jengo na kituo cha mawasiliano na other
 GVT

  Institutions na UDSM inayozidi kukua na kupanuka
 majengo

  mpaka Changanyikeni-Makongo kutanukia Msewe
 yanaonekana;

  Mlimani City under UDSM na Investors (PPP) haikuwepo
 zamani

  watu wakikabwa na wanafunzi kubakwa wakikatiza hapo
 kutoka

  Sinza kwenda mlimani primary school. Sasa kuna mpaka
 houses

  za kupangisha kwa $ hapo survey; Maduka ya kununua kila
 aina

  ya kitu Mlimani City, Banks nyingi, Maduka ya Dawa,
 Nyumba

  za Cinema, Hall mikutano na Sherehe nyinginezo, michezo
 ya

  watoto mlimani city, vituo vya mabasi-Hii yote UKAWA

  hawaioni kama ni maendeleo na vijana wao wamejaa hapo
 kutwa

  Samaki Samaki wanalamba pombe na vitafunwa na kumaliza
 fedha

  za mikopo za GVT katika vileo na kuusaka Ukimwi. Kaleta

  Mnyika vyote hivi au ni ktk Plan za Serikali ya JK na
 sasa

  ya JP?

  Majumba ya Ghorofa ya JWTZ  Mwenge Makongo na maduka
 ya

  kuwauzia vifaa nasi tunakwenda kununua mafriji hapo.
 Bado

  hayo matrekta hapo Mwenge na barabara poa ambapo
 ukitoka

  Mwenge Kwenda kwa Mdee unapita barabara safi. Ukitupa
 chupa

  tupu au ganda la ndizi kutoka ndani ya
 daladala-mtashushwa

  wote msote mloweshe chupi zetu kwa haja zitakazowatoka
 mpaka

  apatikane aliyerusha afyeke majani na kumwagia miche
 maji.

  Mtafagia na kubebeshwa mpaka mizoga ya mbwa waliokufa
 kwa

  kugongwa na gari. Barabara safi pamoja na open water

  drainage system yake hakuna viroba vya takataka. Katiza
 njia

  na gari au bajaji, bodaboda usimamishwe na uambiwe
 ukanyage

  eksereta yako mpaka mafuta yaishe uunguze engine! Kisha

  umwagie maji miche yote na udeki barabara kwa shati
 lako!

  Nidhamu kujengwa TZ-wape JWTZ ndio wataweza. Tukiachiwa
 hivi

  hivi-tutarudi nyuma miaka 40 kwani hata hii Kazi ya
 usafi

  tunafagia leo kesho tunatupa humo humo tena na mafuriko

  yanatuathiri kama kawa lakini hatuoni wala kubadilika!

  Leo mabarabara ya lami raha tupu kuanzia Ubungo
 Mawasiliano

  hadi Mlalakua, Mwenge ni vileo/Bar magari juu ya njia
 za

  kupita kwa miguu watu wanalewa kutwa mpaka manane
 kutokana

  na barabara pande 2 kuwa za lami na Plots za Sinza
 (surveyed

  area) watu wanauza majumba yao maghorofa yanasimama.

  Kungekuwa hakuna barabara ya lami na maendeleo hayo
 huko

  kukiitwa Sinza Machinjioni (Urafiki-Sinza makaburini)
 na

  Sinza ya Petrol Station (ya Mlimani City) tungeona
 maghorofa

  hayo mapya kwa sasa? NBC Ubungo na Ubungo Plaza
 violikuwepo

  na kituo cha mabasi ya kwenda bara si kilikuwa
 mbananoni

  Mnazi mmoja/Liya Street? Laumuni lakini serikali na
 uongozi

  wa Chama tawala cha CCM wamefanyakazi!!

  Waacheni akina Mnyika na T.Lissu wabebe vitabu vya
 sheria

  wakabwate tu Bungeni. Ipo siku wananchi watachoka na
 wao

  kuingia na kutoka kwa vurugu-watafanya kitu cha hasira
 ktk

  kuwaelimisha kuwa-tumechoka!! Twataka maendeleo sio
 kuzozana

  tu bungeni na kutoka nje daima kususia majadiliano au

  vikao!! Kuwe na uwezekano wa kutofautisha wale wa
 kubwata

  vijiweni na wa kubwata bungeni ambako bunge ni chombo
 cha

  kutunga sheria, kupitisha mipango na kuisimamia
 serikali.

  Kama Kawa

  --------------------------------------------

  On Thu, 28/1/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>

  wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote,

  watendaji wote lakini barabara hazipitiki

   To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>

   Date: Thursday, 28 January, 2016, 15:03

   Burudani za

   watanzania bwana. Hao wanaoishi eneo lile kelele
 nyingi

   wangapi wamelipa kodi halali ya jengo na aridhi
 kwanza.

   Hivi kama hamlipi kodi mbali mbali serikali
 itawaleteaje

   maendeleo?

   Ifike mahala tuwe na kodi halisi hizi za sasa viini
 macho

  na

   zinaumiza mwananchi na hazijulikani ziendako.

   Halafu mmejenga barabarani mkivunjiwa mnataka malipo.
 Je

   mlipojenga mlipata vibali?

   On Jan 28, 2016 04:30,

   "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

   wrote:

   Kati ya

   abunge wazuri wqanaofanya kazi zao hapa Tanzania
 mmojawao

  ni

   Mnyika. Kjazi za mbunge ni kuisimamia serikali ifanye

  hayo

   ambayo sasa tunamdai Mnyika. Tumfuatilie kama kweli

   haisimamii serikali. Tunajua wote alivyoshupalia swala

  la

   maji. Nidyo kazi yake haswa.

   --------------------------------------------

   On Tue, 1/26/16, 'mohamed mnzava' via
 Wanabidii

   <wanabidii@googlegroups.com>

   wrote:

    Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani

  wote,

   watendaji wote lakini barabara hazipitiki

    To: "wanabidii@googlegroups.com"

   <wanabidii@googlegroups.com>

    Date: Tuesday, January 26, 2016, 10:50 AM

    Tatizo la

    huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua

  masuala

   ya

    Kimsingi kt jimbo lake, . . . . .  hata Upande huu
 wa

   Mbezi

    kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko 
 .

  .

   .

    . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya

   biashara

    binafsi nk. . . . . .  Kama kawaida yake, tutamuona

   tena

    baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna

  uchaguzi

    unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . .

   mimi

    sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa

   anawajibika

    kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote

       On Tuesday, January

    26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via

   Wanabidii

    <wanabidii@googlegroups.com>

   wrote:

    Mim ni

    mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu
 sana

   jinsi

    barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja

    anaiangalia.

    Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.

    Haipitiki kabisa.

    Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha
 daladala

   Mbezi

    Mwisho

    kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa

   zaidi

    ya masaa 3

    barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia

  kutokana

   na

    ubovu wa

    barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida

   sana.

    Maji

    tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei.

  Tunauziwa

   lita

    1000 sh. 15

     hadi elfu 20.

    Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote
 hatuwaoni

    jimboni

    Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

    Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi
 wapo

    tayari kuchangia.

    Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.

    Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata
 tamaaa.

    Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe
 ni

    jipu.

     Rudi

    jimboni saidia wananchi

    jf

    --

    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

    Kujiondoa Tuma Email kwenda

    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

   Utapata Email ya

    kudhibitisha ukishatuma

    Disclaimer:

    Everyone posting to this Forum bears the sole

   responsibility

    for any legal consequences of his or her postings,
 and

   hence

    statements and facts must be presented responsibly.

   Your

    continued membership signifies that you agree to
 this

    disclaimer and pledge to abide by our Rules and

    Guidelines.

    ---

    You received this message because you are subscribed

  to

   the

    Google Groups "Wanabidii" group.

    To unsubscribe from this group and stop receiving

   emails

    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

    For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings, and

  hence

   statements and facts must be presented responsibly.
 Your

   continued membership signifies that you agree to this

      __._,_.___

          Posted by: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

                            Reply

  via web post

                        •

                 Reply to sender

            •

                Reply to group

            •

              Start a New

  Topic

            •

                              Messages in
 this

  topic

                  (3)

      Visit Your Group

     • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use

    .

  __,_._,___

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment