Diwani na Mbunge wao kinachotakiwa kwao ni mazungumzo na wapiga kura wao, kuwaelimisha kuhusu majukumu yao na kuzingatia sheria. Diwani anatakiwa awepo kila mtaa au kijiji wanapopanga mippango yao ya maendeleo ba vikosi vya wataalamu ili yakatadiliwe Kata katika WDC halafu yajumuishwe kitarafa yaende wilayani yajadiliwe katika Idara na Full Council. Mp yupo ktk Full Council wanapojadili na kupitisha mipango iende vikao vya juu kimkoa hadi Wizara etc. MP anapewa na mkopo wa gari ambapo anatakiwa alitumie ktk kushiriki kuhamasisha maendeleo vijijini/Mtaa. Hawa waheshimiwa wanatakiwa wasaidie watumishi wa ugani ktk kazi zao. Kwamba ataambatana nao ili kisichoeleweka kieleweke. Mtumisghi ugani hasa vijijini anaweza akaonekana-si wa kabila letu hivi na vile lakini yeye akanyoosha njia kuona kuwa hawaonewi ndio sera na sheria hakuna ukabila hapo wakamuamini. watu wanalewa kutwa hakuna maendeleo-Duiwani wao atawapasha na pia mbunge wajirekebishe. Atafafanua sera ya Elimu bure wasione kuwa dezo ni kila kitu walimu na extension staff vibaka tu wanawaambia wajitolee hapa au pale. Team work inahitajika wao na extension staff ili yanayopangwa yafanikiwe. Akipita Mtaani na kiongozi wa Mtaa aiogope kukemea waliojenga hovyo. Anampa uzito kiongozi wa mtaa na Land's Officer katika kuwaonya wanavyoziba njia na kuvamia maeneo. Hakitoonekana uonevu tingatinga linapoingia kuvunja maana nae kawasemesha karne. Badala ya Mbunge kutetea ufunguzi wa kesi Mahakamani awe mstari wa mbele kuwakumbusha wananchi wake daima waliovamia na kujenga maeneo hatarishi wahame. Wale ambao wamewekewa X kuanzia 1994-awaonye daima na aseme siwatetei, milishalipwa, hamjabomoa hakutokuwa na msaada wa kisheria kutoka kwangu hata kama mtanyinyima kura! Watetee, waendelee kukaa, mvua ije na maji iwazoe wafe-utawafufua? Utawalipa fidia wewe unae watetea? Badala ya kusubiri kura tu-anza sasa sio wakati wa kukaribia uchaguzi. Sote tuwajibike kwa waannchi wetu na mcheza kwao vema-hutunzwa!! Kura utapata tu kwa kutetea na kufanikisha mazuri. Ukitetea uovu wa madhara-mjinga huwa anaamka na akiamka utalala wewe!! Watakuona fara, umewaingiza katika utata kwa kuwaendekeza na ujinga wao. Amsha aliyelala aone chanya yaliyopo ama sivyo itakula kwako mbele ya safari atakapoamshwa na wengine.
--------------------------------------------
On Sun, 31/1/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Sunday, 31 January, 2016, 5:04
Mnyika
tunategemea alete maendeleo gani kwanza. Hili baraza la
madiwani si ndo limekamilika?
Kuna mengi hayakufanywa tangu nchi ipate uhuru akiweza hata
kuonyesha njia ipi ifuatwe katika kuelekea kutatua matatizo
ya wananchi itakuwa bora. Wakati huo huo aendelee kusimamia
serikali bungeni.
Humu Kuna watu Wana fahamu mambo mengi ya jamii, siasa na
uchumi. Wakati mwingine ndugu zangu viongozi wanasiasa si
mbaya mkabeba ushauri haitaondoa status ya wewe ni nani.
Kuna huu ujenzi holela wa viosk nalo ni kosa la mbunge?!
Kuna vitu serikali kuwajibika na vingine mwananchi. Pande
zote mbili muhimu kutimiza wajibu
On Jan 30, 2016 06:55,
"'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Angeongea na wananchi waliovamia mabwawa ya maji machafu
mabibo akawaondoa, waliojenga Kibangu mtoni na Ubungo
kisiwani mtoni wakaondoka na wanaoziba njia ya bus za
kupanda huko juu njia zote wamebana kwa kujenda barabarani
tungejua diwani na Mbunge wake wanafanya kazi ya promotion
of community dialogue, education and mobilization waondoke
maeneo hatarishi, wasibane njia ambapo magari yanaweza
kugongana na yakaingia ndani ya majumba kupiga kuta
zikaangukia watu. Pia suala la kila baada ya nyumba 3 kuna
bar na unywaji mpaka usiku wa manane na makelele kusubua
watoto. watu wamejenga makorongoni na huku kuna vilima na
kona na magati ya kupita ni ukazi hatarishi. hata mabomba ya
maji ya mradi wa kupitisha bomba waliofanya Wachina
(wakandarasi) ilikuwa tabu kupitisha bomba hizo na sidhani
kama zinatoa maji maeneo mengi kutokana na utata wa gradient
na kupata nafasi ya kunyooshea. Kazi za Diwani na Mbunge
zitaonekana hapo Mto ubungo darajani ni Chuo cha Maji kuna
takataka zinajazwa mtoni. Pamoja na GVt kujenga mawe ya
kuzuia mmomonyoko, mfuga ng'ombe hapo anatupa nyasi
mtoni anajaza taka na uchafu wa kinyesi-Dengue na sasa Zika
mbu huyo huyo Aedes anasababisha magonjwa hayo (ni Vector).
Biashara zimejaa njia za kupita kwa miguu na mto unachimbwa
mchanga unamomonyolewa. Hizi grassroots work ni za hao vikao
na wananchi wao elimisha tumia watumishi ugani tuone
wameondoka kukaa katika maeneo hatarishi. Kinyesi uwani na
watoto wanateseka na pombe kucha-elephantiasis, dengue,
Zika. magari kupaki njia za miguu wenyewe wanakunywa pombe
wapitaji tunateseka tunapishana na daladala, bajaji,
pikipiki zinatukwangua!! Hatujawaona kuwajibika bali kelele
tu bungeni na lawama kwa GVT!!
--------------------------------------------
On Sat, 30/1/16, Salim Khatri <skhatri@orcis.com>
wrote:
Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa
Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 30 January, 2016, 14:14
Mazuri
kwenye hilo jimbo yamefanywa na serikali ya CCM na
mabaya
yaliyobaki alaumiwe Mnyika na madiwani wake? Sielewi
kabisa!
Salim.
On Jan 30, 2016 13:36,
"Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Kafanya nini mnyika? Maji visima vya boreholes ni vya
Dawasa/Dawasco Kibangu na kuna Water User Association
(WUA).
EPZ -viwanda eneo la uwekezaji ni ya Serikali ya
CCM-TZ;
Mabweni ya branch ya UDSM wanafunzi wanakaa huko Ubungo
Kisiwani ni serikali ya CCM. Huko wananchi wanawauzia
chakula, kuwapangisha wengine biashara imepanuka toka
wanafunzi awwe huko na wanakodiwa daladala biashara
imekua.
Campus hiyo na EPZ area imefanya watu wajenge majumba
ya
kupangisha, mahoteli, lodges yamejengwa za magorofa.
Wageni
wa EPZ wanakaa huko.
Mji unabadilika watu wanauza maeneo wengine wanajenga
maghorofa wao wanahamia kando ya mto na kuziba barabara
haipitiki. Nyumba 10 kwa mwanga zinaingia/kupasuka kuta
na
kuanguka mtoni. Wamehamishwa Buguruni suatter area
wamepimuwa plots medium density Ubungo makuburi. Nyumba
za
NHC za Mburahati wameuziwa na wameuza wamevamia mabwawa
ya
kinyesi ya mambiko kama wale walioboreshewa kinondoni
Mkwajuni (Hannanasif) wakahamia Sunna (jagwani bondeni)
wakapelekwa Mabwepande wakauza wakarudi. Maji yakijaa
wanayaona mpaka darini. halafu hawaelewi hatari
wanaendelea
kuishi. Wakibomolewa-noma, kesi mahakamani. lakini
tyoka
Mkoloni mabonde hayakujengwa wala NHC zilipojengwa
magomeni, Jangwani, Kariakoo, Kigogo Mission Quarters
hazikushuka mto msimbazi. Hata walipojenga majengo ya
RC
Msimbazi hayakuingia mtoni wala za Mchkichini kuingia
bondeni Yanga area. Wao wameuza halafu wapo bondeni na
hapo
Fire DSM wapo wanavuka mtu wanajenga nyumba wamezungukwa
na
maji ya kinyesi. Wanafanya hivyo hapo fire kushoto
ukitoka
mataa kuingia jangwani serikali na viongozi wanaona
karne
yote. Nini huko ubongo-DSM yote.
Miradi ya Mipango miji ya kupima viwanja Ramani zipo
mpaka
Aerial Photos na physical Photos. Sasa fika Sinza uone
kama
zile barabara zipo-wameziba wameweka viosk, gates za
nyumba
na magari. Moto ukiwaka zima moto haina pa kupita. Mji
wa
DSM kote kulikopimwa kupo makorokoro. Wanajua
wabomoe-hawabomoi wanaangalia tu. Likiingia Sinza
Tinga
Tinga-makelele.
Jangwani karibu na Ofisi za Zima moto, Upanga, Mnazi
mmoja-Mtu anaamua tu nyumba ya Msajiri/NHC anaweka kuta
anaweka gate na kuweka yard ya magari. anaongeza kuta
anaweza paa na kujaza bidhaa! Eti umempangisha mtu
nyumba
yako unamkuta amebadili design ya nyumba na kuongeza
vyumba
humuulizi? NHC inaona nyumba zimebadilishwa design hizo
za
maghorofa wapangaji wamefanya hivyo. watoto hawana pa
kucheza michezo yao kote ni yard za gari, maduka ya
matairi,
restaurants, Stationeries shops ertc-WHY? Maana yake
hata
maeneo ya nyumba za police kuweka bar ndio tija ofisi
ipate
pesa! Baa jirani na Kituo cha Police Mtaji wa kituo
hicho?
Uvamizi si utatokea kwa urahisi? Ni ni hayo majumba ya
police kaone pale Ubungo/Urafiki-magodoro, maguo
yananing'inoa hovyo juu ukutani, maduka ya biashara
kuongeza kipato waliyoweka wakazi-hata nyumba za police?
Si
wabaya watatumia nafasi hiyo kuja kuripua anakuja kunywa
au
kununua bidhaa analewa mpaka usiku wa manane anasoma
picha
hapo! Tunaona vinavyoendelea lakini tu vipofu-tamaa na
Siasa
zimetawala!
Vilivyofanywa na serikali vilivyo vizuri na vya
maendeleo
tuvisifie sio lawama tu. Kama kuna EPZ, Viwanda -NIDA,
magodown ya bandari kavu etc jimboni; kuwepo barabara
mpya
Buguruni-Ubungo-Mwenge pana ya pande mbili na
haikuwepo
zamani; barabara ya Mwenge-Tegeta-Kawe;Kimara-Mbezi na
Bus
Stations mpya; Jengo na kituo cha mawasiliano na other
GVT
Institutions na UDSM inayozidi kukua na kupanuka
majengo
mpaka Changanyikeni-Makongo kutanukia Msewe
yanaonekana;
Mlimani City under UDSM na Investors (PPP) haikuwepo
zamani
watu wakikabwa na wanafunzi kubakwa wakikatiza hapo
kutoka
Sinza kwenda mlimani primary school. Sasa kuna mpaka
houses
za kupangisha kwa $ hapo survey; Maduka ya kununua kila
aina
ya kitu Mlimani City, Banks nyingi, Maduka ya Dawa,
Nyumba
za Cinema, Hall mikutano na Sherehe nyinginezo, michezo
ya
watoto mlimani city, vituo vya mabasi-Hii yote UKAWA
hawaioni kama ni maendeleo na vijana wao wamejaa hapo
kutwa
Samaki Samaki wanalamba pombe na vitafunwa na kumaliza
fedha
za mikopo za GVT katika vileo na kuusaka Ukimwi. Kaleta
Mnyika vyote hivi au ni ktk Plan za Serikali ya JK na
sasa
ya JP?
Majumba ya Ghorofa ya JWTZ Mwenge Makongo na maduka
ya
kuwauzia vifaa nasi tunakwenda kununua mafriji hapo.
Bado
hayo matrekta hapo Mwenge na barabara poa ambapo
ukitoka
Mwenge Kwenda kwa Mdee unapita barabara safi. Ukitupa
chupa
tupu au ganda la ndizi kutoka ndani ya
daladala-mtashushwa
wote msote mloweshe chupi zetu kwa haja zitakazowatoka
mpaka
apatikane aliyerusha afyeke majani na kumwagia miche
maji.
Mtafagia na kubebeshwa mpaka mizoga ya mbwa waliokufa
kwa
kugongwa na gari. Barabara safi pamoja na open water
drainage system yake hakuna viroba vya takataka. Katiza
njia
na gari au bajaji, bodaboda usimamishwe na uambiwe
ukanyage
eksereta yako mpaka mafuta yaishe uunguze engine! Kisha
umwagie maji miche yote na udeki barabara kwa shati
lako!
Nidhamu kujengwa TZ-wape JWTZ ndio wataweza. Tukiachiwa
hivi
hivi-tutarudi nyuma miaka 40 kwani hata hii Kazi ya
usafi
tunafagia leo kesho tunatupa humo humo tena na mafuriko
yanatuathiri kama kawa lakini hatuoni wala kubadilika!
Leo mabarabara ya lami raha tupu kuanzia Ubungo
Mawasiliano
hadi Mlalakua, Mwenge ni vileo/Bar magari juu ya njia
za
kupita kwa miguu watu wanalewa kutwa mpaka manane
kutokana
na barabara pande 2 kuwa za lami na Plots za Sinza
(surveyed
area) watu wanauza majumba yao maghorofa yanasimama.
Kungekuwa hakuna barabara ya lami na maendeleo hayo
huko
kukiitwa Sinza Machinjioni (Urafiki-Sinza makaburini)
na
Sinza ya Petrol Station (ya Mlimani City) tungeona
maghorofa
hayo mapya kwa sasa? NBC Ubungo na Ubungo Plaza
violikuwepo
na kituo cha mabasi ya kwenda bara si kilikuwa
mbananoni
Mnazi mmoja/Liya Street? Laumuni lakini serikali na
uongozi
wa Chama tawala cha CCM wamefanyakazi!!
Waacheni akina Mnyika na T.Lissu wabebe vitabu vya
sheria
wakabwate tu Bungeni. Ipo siku wananchi watachoka na
wao
kuingia na kutoka kwa vurugu-watafanya kitu cha hasira
ktk
kuwaelimisha kuwa-tumechoka!! Twataka maendeleo sio
kuzozana
tu bungeni na kutoka nje daima kususia majadiliano au
vikao!! Kuwe na uwezekano wa kutofautisha wale wa
kubwata
vijiweni na wa kubwata bungeni ambako bunge ni chombo
cha
kutunga sheria, kupitisha mipango na kuisimamia
serikali.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Thu, 28/1/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote,
watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 28 January, 2016, 15:03
Burudani za
watanzania bwana. Hao wanaoishi eneo lile kelele
nyingi
wangapi wamelipa kodi halali ya jengo na aridhi
kwanza.
Hivi kama hamlipi kodi mbali mbali serikali
itawaleteaje
maendeleo?
Ifike mahala tuwe na kodi halisi hizi za sasa viini
macho
na
zinaumiza mwananchi na hazijulikani ziendako.
Halafu mmejenga barabarani mkivunjiwa mnataka malipo.
Je
mlipojenga mlipata vibali?
On Jan 28, 2016 04:30,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kati ya
abunge wazuri wqanaofanya kazi zao hapa Tanzania
mmojawao
ni
Mnyika. Kjazi za mbunge ni kuisimamia serikali ifanye
hayo
ambayo sasa tunamdai Mnyika. Tumfuatilie kama kweli
haisimamii serikali. Tunajua wote alivyoshupalia swala
la
maji. Nidyo kazi yake haswa.
--------------------------------------------
On Tue, 1/26/16, 'mohamed mnzava' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani
wote,
watendaji wote lakini barabara hazipitiki
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, January 26, 2016, 10:50 AM
Tatizo la
huyu mbunge ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua
masuala
ya
Kimsingi kt jimbo lake, . . . . . hata Upande huu
wa
Mbezi
kwa Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko
.
.
.
. . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya
biashara
binafsi nk. . . . . . Kama kawaida yake, tutamuona
tena
baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa kuna
uchaguzi
unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku, . . .
mimi
sikumpatia Kura yangu ila ni vyema aelewe kuwa
anawajibika
kwa kupokea mshahara toka kwa jasho la wananchi wote
On Tuesday, January
26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mim ni
mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu
sana
jinsi
barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja
anaiangalia.
Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.
Haipitiki kabisa.
Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha
daladala
Mbezi
Mwisho
kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa
zaidi
ya masaa 3
barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia
kutokana
na
ubovu wa
barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida
sana.
Maji
tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei.
Tunauziwa
lita
1000 sh. 15
hadi elfu 20.
Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote
hatuwaoni
jimboni
Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi
wapo
tayari kuchangia.
Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.
Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata
tamaaa.
Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe
ni
jipu.
Rudi
jimboni saidia wananchi
jf
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
__._,_.___
Posted by: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in
this
topic
(3)
Visit Your Group
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment