Saturday 30 January 2016

Re: [wanabidii] KUTELEKEZA BUNGE: HILI KALIFANYA KAMA CHENGE AU KAMA MWENYEKITI

imi ni mwanaCCM. Lakini ukifika wakati wa Chenge napata shida. Huyu jamaa kajisungushia waya wa umeme. Ukiugusa unaumia. Hakuna dili alilokuwa peke yake. Labda magufuli aamue kuwageuka hata anaowaheshimu. Hapo atampata Chenge. Dawa ya watu kama hawa ni nje ya mfumo wa kawaida.
--------------------------------------------
On Sat, 1/30/16, 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KUTELEKEZA BUNGE: HILI KALIFANYA KAMA CHENGE AU KAMA MWENYEKITI
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com, kofiabaya@yahoo.com
Date: Saturday, January 30, 2016, 9:58 PM

chenge aka joka la makengeza ni mpiga
dili na fisadi mkubwa. ni jambo la kusikitisha kushuhudia
wanaCCM wakitumia uchama kumpa chenge uenyekiti wa bunge ili
asaidie kuivuruga serikali ya magufuli. hizi siasa za uchama
zitaipeleka nchi kuzimu. hivi fisadi chenge siku hoja
inayomhusu (wizi wa fedha za rada) itakapoibuliwa upya
bungeni huku yeye akiwa ndiye mweneyekiti wa bunge hiyo hoja
itajidiliwaje? CCM acheni unafiki wenu jamani, mtaipeleka
hii nchi kuzimu!
--------------------------------------------
On Thu, 1/28/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: [wanabidii] KUTELEKEZA BUNGE: HILI KALIFANYA KAMA
CHENGE AU KAMA MWENYEKITI
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mabadilikotanzania@googlegroups.com,
kofiabaya@yahoo.com
Date: Thursday, January 28, 2016, 11:13 PM

Andrew Chenge Mbunge wa Bariad
anafahamika kwa mengi. Moja ni hili la kumuunga mkono
Edward
Lowasa katika kuwania uchaguzi na haijulikani kama kweli
haungi harakati zake kuidhoofisha serikali ya magufuli.
Kituko alichokifanya bungeni nakitilia mashaka.
Kwanza alimbana Zitto asome kanuni licha kuwa uzoefu
Mbunge
akitaja namba ya kanuni basi anaendelea mbele.
Baada ya kuahirisha Bunge na kurudi akatangaza uamuzi wa
kamati ya uongozi rabxha zilitokea Bungeni.
Kitendo cha kuondoka Bungeni na kuliacha Bunge bila
kiongozi
kinanitia mashaka.
Hivi alitegemea nani adhibiti mambo kama kiongozi ametoka?
Hivi hilo liliendelea kuwa Bunge au ni ukumbi tu uliojaa
wabunge?
Kama ingetokea wabunge wakamkwida kabari askari akafa kesi
hiyo ingekwenda mahakamani au la?
Alikuwa anawaza nini wakati yuko nje ya Bunge na Polisi
wakiume wakiongozana na Mbwa wako bungeni kuwavuruga
wabunge
bila kanuni za kipolisi ambazo zinaelekeza mwanamkde
kushughulikiwa na polisi wa kike?

Kama hakuna maelezo yakinifu ni lazima kuwa na Busara:
1.    Busara ya kuona kama Chenge anastahili
kuwa Mwenyekiti wa Bunge au anastahili kupumzishwa.
2.    Busara ya kuona kama Speaker anaweza
kuwaomba watanzania radhi kwa kile walichokiona.
3.    Busara ya kuahakikisha Bunge halitumiwi
na wakwepa kodi, wauza unga na mafisadi wengine ambao
wameanza kuathiriwa na serikali hii ya awamu ya tano
4.    Busara pana ya kuhakikisha watanzania
wanakuwa wamoja na kuwa na Rais Mmoja na kuondoa dhana
inayoonekana kwa wasiovaa miwani ya mbao ya kuwa na marais
wawili (1) rais wa Watanznia na (2) rais wa wanaCHADEMA.
Kuna maelekezo maalum yanatolewa kuwagawa watanzania licho
ya Juhudi za Rais magufuli kuwaunganisha watanzania.
Maelekezo kama 'madiwani wa CHADEMA hawatafanya kazi
kama
wa CCM etc. Juhudi za kukazana kuwatetea wakwepa kodi kuwa
hawakutendewa haki bila kujiuliza kama wao walitumia
taratibu wakati wanakwepa kodi. Juhudi za kutaka
kuibebesha
mzigo serikali kwa kutekeleza sheria ikiwa ni pamoja
kuwahamisha watu waliomabondeni licha ya kuwa mafuriko
yakija ni serikali itakayolaumiwa kwa kuwaacha bila
msaada.
Tusisubiri haya madogo likaonwa na kila mtu.

Elisa Muhingo

  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
  statements and facts must be presented responsibly.
Your
  continued membership signifies that you agree to
this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed
to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment